@Adventure_36
Unakodi bus kutoka dar hadi kahama zaidi ya >1M Tsh alaf unatumia masaa >15, wakati angepanda zake precision Air hadi mwanza laki 3, kwa lisaa na dakika 45, alaf unafika MWNZ unalipia Police escort na unakodi Vogue 5 unakuwa rais wa kahama, Simple! BUS tena for motion sickness?
@amprincess9
Kwamba dada alilewa hadi channels zikakata mpaka ikapelekea kujamiiana hadi asubuhi; hivyo hawakutumia kondomu. Kama jamaa angekuwa mhuni angeweza hata kumuingilia kinyume na maumbile. Huyo dada anajamiiana kizembe na inaonesha hiyo ni TABIA yako, akilewa tu wahuni wanaweka.
@godbless_lema
Nishawaambia wapinzani wa Tz ni kikundi cha wahuni hamtaki kuelewa😀😀. Wakiguswa BAWACHA wanakimbilia unyanyasaji wa wanawake, lkn wao sasa... vijana wa cdm ni kikundi cha wahuni, tena ni wahuni hasa hata uvccm wakasome
@eggy_eggie
Sasa kujizungushazungusha ili iweje?? Hakn jipya ambalo "Tukijizungusha" hamjui tunataka/tunaelekea wapi. Mwamba kaamua awe too open na "theme" yake ifike chaaapu😀😀
@IAMartin_
Oyaaaaa Acha kufananisha ng'ombe na vitu vya ajabu. Hili nalo tuliite "BUMUNDA Jr" ita-sound vizuri. Ng'ombe apewe heshima yake bana...tunakunywa maziwa na nyama😁😁😁🤣🤣🤣
@Chahali
@diamondplatnumz
Chuki haijawahi kushinda haki. Petition ya ICC sijui iliishia wapi, leo hii diamond kafika hapo kwa juhudi zake sio rhc wahuni wawili watatu wamshushe. Mungu sio Martin wala hassan, Mungu ni Mungu na hawawezi kumwangusha.
@Kisamiyo
@fbuyobe
@JMakamba
Sio kwamba yule dr hajui, bali huenda hofu na uoga mbele ya Rais, ilimfanya akose ujasiri. Hii hutokea, lkn Prof kwa kuwa alikuwa amezoea kukaa na Rais na wasaidiz wake, aliona kawaida. Anyway, Janabi ni mtu na nusu.
@shokakazini
@MpondaSabinus
Tatizo mnakaza vichwa sana. Kijijini kwetu matofali ya kuchoma ni 100 hadi 200tsh, hapo unaletewa hadi home. Mafundi ni wa vjjn na tuna kasumba ya kiushikaji, hadi hapo cement unadhn ni mifuko mngp? Yaani undhn amedangny?? Ww ndo unadngny
@Mr_DavidHk
@IAMartin_
Wiki nzima, timu imeshnd kufanya maandalizi ya usafiri. Km RC aliwapa motisha ya 10-15M vs simba, kashindwa nini hata kufanya fund rising ? Hata kuwahusisha maRC wenzake? Hii nchi tuna tatizo sana. Yaani sijui mpk malaika Gabriel aje atufanyie kila kitu? Aibu kwa taifa
@UhamiajiTz
Point ya msingi ibaki pale pale, msiwe mnasumbua watu na
#AJIRA
#AjiraUhamiaji
wakati tayari mno watu wenu. Mnasumbua watu wanapoteza muda na rasrimali fedha wakati mna orodha tayari. Mnakera 🚮
@privaldinho
Mkiambiwa simba inawafanya mfuatilie Ligi (timu za Africa) mnakataa!! Kwnd kwa Chama Barkane kumewafanya muifuatilie hiyo timu, kupangwa kundi moja Barkane na simba kumewafanya muifutalie, kama mnabisha mbona hamfuatilia Wydad ya Msuva?? Hata Priva alienda FNB S.A 7bu ya simba🤣
@ExMayorUbungo
Hapa sasa ndo udikteta unaonekana, this means mkishk dola mtalipiza kwa wale wote waliokuwa wanashabikia mwendazake? Mtawafungia kazi zao? Mnashangaza sana, tofaut ni nyie kutokuwa na dola tu lkn udikteta ni ule ule
@Lissu4change
@JamiiForums
Ndg yangu, we Tanzanians are extremely cowards. Sio viongozi wala raia, hakuna wa kujitokeza. Namulaumu sana mwl jk nyerere kwa kutupandikizia huu uoga. Inauma sana
@Mujwanuzi
@fbuyobe
@BaloziMtaa
Na angefia kcmc Ungehoji why not Aghakan/muhimbili. Mind you hata huko kcmc watu wanakufa. Ruge alifia South Africa, Nyerere alifia Uingereza, meko na lupaso walifia Mzena hospital.
@godbless_lema
Mhe juzi ulitweet kuwa ajiuzuru, ili Rais atengeneze serikali yake. So kumpiga vita sioni km ni big deal, ngoja wampige vita ili apishe maan hakuteuliwa na Samia kuwa PM
@JamiiForums
Unasajili kituo kipya gani chenye hadhi bora ya huduma kama hospital tajwa hapo juu?? Hapa Tz angalau ukiondoa MNH, kuna hospital gani nyingine tofauti na Agakhan na Kairuki kwa huduma bora?? Hii nchi ni kama enzi za mwendazake, unafukuza wawekezaji kwa kiburi bila akili😅😅😅😅
@MariaSTsehai
Kwani shangazi, hawa mabrigedia jenerali na meja jenerali ni sahihi kuwa RC's kwa vyeo vyao?? Mbn km kushushwa vyeo?? Why wasipewe luteni kanali au kanali??
@MariaSTsehai
@fatma_karume
@Advocate_Jebra
@Roma_Mkatoliki
#jebra
@Advocate_Jebra
nackiaga ukihukumiwa 10 yrs, means unakaa 5 yrs tu kuwa mahakama/magereza zinahesabu 12 hrs kama independent day??? Nauliza sijui hii kauli, naomba ufafanuzi.
Hii hukumu, siku Rais akitoa msamaha, jamaa naye atasamehewa? If yes Je, ni baad ya miaka mingp?
@IrmgardSamia
@millardayo
@ayotv_
Umesahau kuwa hao waliopoto kwny vyombo vya ulinzi na usalama takribani 80% ni aidha walifeli darasa la 7, form4 au six? Sasa hiyo akili ya rotation inatoka wapi? Mbunge wa ilala mzee wa kodi ya uzalendo anasema magari ni machache, kamanda anakwambia yapo ya kutosha..crazy
@John_Pambalu
Likija suala la Tuzo mnapitisha
#Petition
ili ashindwe, likija suala lenye manufaa kwenu mnataka akemee...si tulikataa uTz tukasema kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake?? Nyooo🚮🚮🚮🚮🚮
@Tanganyikan
Asee niliwah kupigwa tukio km hili, I was on duty of night shift, nikapigiwa simu mtoto wa dada anaumwa sana naenda kumuona usiku huu, nikamwambia nenda mama, huwez amini aliondoka saa 4, alaf saa 11 alfajr akarudi. Jirani angu aksm mwanangu umepigwa na kitu kizito, singida🚮🚮
@OtsileNtaje4
@KaizerChiefs
@SimbaSCTanzania
😀😀 Thank you for noticing that. If you don't beat them massively at your pitch, you will be doomed. Those boys have been going crazy when they play at Benjamin mkapa stadium, 🇹🇿. They become really simba (lions) and for sure they hunt 😆😆
@amprincess9
My dada wa nguvu...nadhn tungeanza kujua ukweni sehemu (kabila gani)?? Nawez kukushauri kikwetu kikerewe zaid kumbe unakwnd uhayani huko😋😋. So far "Overconfident" disvalues!! Quiteness matters tho 🤗🤗🤗 and avoid too much talkatives!!!
@BongeLaAfya
Wameambiwa waende mwanayamala kaka, kwamba mama ameboresha huduma za afya zinapatikana bila usumbufu 😅😅. Alaf NHIF wamesema wanasajili vituo vipya ambavyo ni Ben medics, bihemo hospital na zack medical center zinatoa huduma za dialysis na uchunguzi wa kibingwa bobezi😅
@Deogr_thomas
@Adventure_36
Mastermind wa mwendazake na ccm ya awamu ya 5 in general. Mtu m-bad sana huyo mwamba usimuone hivo. Kumbk sherehe imehudhuriwa na mama wa Taifa, mama wa Royal tour
@ChediOfficial
@rollymsouth
Mamae advance pa kichoko sana. Yaani Ni Elimu ya bongo sielewi...unaweza chomoka kote huko lkn pia ukafika chuo ukaanza kuchezea sup kila semester tena zile course za credit kubwa ww unakula sup tu mamae...😂😂😂
@HescoKabunda
@AnethStanley
Huko umeenda mbali, ungemuuliza waislamu wangapi wameenda kutoa ushahidi wa michongo? Rais ambaye alisema ushahidi umekamilika via
#BBC
tena na kilemba kichwani ni dini gani? Hawa watu sijui hawajuagi kufikiria??🚮🚮
@kalage_jr
Yaani mimi sielewagi asee...unakuta mtu kahitimu form 4 2010 lkn cheti kinaonesha kazaliwa 1995 au kahitimu form 4 2011 lkn birth certificate ni 1996......kwan ukisema tu ukweli kuna shida gani??
@BongeLaAfya
@Eric__Bernard
Shida yetu bana sijui tupoje, umemtajia majina ya vituo husika ambavyo havipokei bima completely, bado ana-critisize, sasa na mimi namwongezea, Aje mwanza kuna Royal hospital mwezi wa pili huu nhif haigusi pua pale.
@kalegamyeh
Matikiti kudondokaaa matikiti kudondokeaaa......for more clarification, MD gross ni 1.5m jmn wale wa HESLB ukilimwa PSSSF, TRA, NHIF, take home ni 900k!! Sema hii kazi tunaipenda kutoka moyoni ila siku mkikuta tumevurugwa tunawajibu ku*******ny muwe mnatuelewa 😃
@daktarimtalii
Kwenye kusepa ninavojua mimi, unatoa taarifa 30 days before kama una contract, ila kama unajitolea aua upo ndani ya matazamio unatoa taarifa 7 days kabla. Lakini kama hujalipwa miezi 2 unasepa tu ghafla
@Kilastborn
Hii moment ww Acha tu...alaf ukute mtoto wa mtu anajua kukizungusha na zile romantic "ride sounds "...unawez kuuza hata pancreas ili umhudumie mtoto wa mtu
@daktarimtalii
Ladies ukimcheat mwanaume akijua, akijifanya amekusamehe huo ni mtego. Ukiingia utanasa 🤣🤣 wanaume bana umcheat ajue eti amekusamehe, thubutu. Sasa bidada anamchukia nini jmn yeye si ndo alianza ? Jamaa kamaliza na amechukua point 3
@Don3174
@privaldinho
Waamuzi wasaidizi wanzengua. Wanapaswa wawasaidie waamuzi wa kati, hapo mwamuzi wa kati hawez ona makosa hayo yote...sijui kazi yao ni nn
@mzeewakaliua
Anatoa pesa kwa kuwasajili akina makambo free agents? Akina fiston, saido na djuma ambao ni free agents? Hizo pesa za kuwasajili akina Billiat au dube mbona kakosa? Haya mawazo kawaambie wale wa Insta kule
@mzeewakaliua
@DreamCh54545327
@godbless_lema
Akili mkichwa!!! Muwege na reasoning kabla hamjakurupuka. Makada wangp wa CDM wanatumia hii picha?? Inamaanisha nn?? Wanapoitana MAKAMANDA, huwa wanaongoza "Platoon" gani??🤣🤣
@Iamsospete1
Hadi wale waliomaliza medicine mwaka huu wamepewa mtihn ili uende intern mpk uufaulu, leo matokeo yametoka ni KILIO tu, vichwa vimeliwa. Nchi hii saiv kusoma ni upumbavu
@davitheempire
Kuna vijana humu wanakaza mafuvu wanaishi mageto ya kupanga ya 50k-100k kwa mwezi, kila uchwao ni kushika bomba na kupakana majasho, vijna kuweni na akili timamu. Hayo magari ya sadala kwny ukoo wenu hkn hata mwenye uwezo wa kumiliki v8 moja, come on.
@Yours_Mandarin
@IAMartin_
PM ametoa agizo lini kaka? Mind u hata kule Djibouti walikwnd siku ya mechi, maan yake haga wangepita hii hatua, hatua inayofuata ingekuwa majanga vile vile. Shame shame. Wanakera sana
@fbuyobe
Tangu nikiwa mtoto nilikuwa naonywa kuoa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, mpaka leo hii ukigusia kuoa hiyo mikoa miwili (kanda ya ziwa watakupinga, kusini watakupinga, kanda ya magharibi na kanda ya kati wanakupinga). In short, wanakwambia "wao kwa wao tu wanaogopana, ww utaweza?
@godbless_lema
The hx repeats itself. Kama meko aliweka ubaguzi, Samia nae km analeta ubaguzi, undhni ajaye baada ya samia hatobagua? The solution is to protest and prohibit huo ubaguzi na sio kuhubiri.
@MariaSTsehai
Ila binafsi nacheka sana, MO ni ccm, MO ni m/kiti wa klabu ya simba, siku ya simba day alimpongeza magufuli uwanja wa mkapa akiwepo Zungu, kwann hamukuweka petition kwa Mo awe disqualified kuwa chairman wa board ya wakurugenzi simab au simba yenyew isishiriki Caf competitions?
@IAMartin_
Acheni ngojera kaaaa. Kwahyo wagonjwa pia walikuwa wamekwnd kwny kongamano? Mzee mwny pressure alikwnd kufanya nini na wakati kila uchwao tunaimba tuwalinde wazee na corona? 83 yrs like seriously? Hao wenye mtihani janaw walitakiwa wawe wanajisomea, then wakawa wazururaji
@Chogondizi19
@HildaNewton21
Siasa bana huwa nacheka sana. Hii tweet imenikumbusha sana, kweli bana waliwahi kusema makomandoo gani wanapasua matofali lkn leo tunasema "yuko smart"😅😅. Anyway nikikumbuka tulivyomsafisha mzee Lowassa huwa nacheka tu
@Mtoka_Pabaya
@iamcleopatricia
Moshi wana-weupe tu lkn hkn pisi kali pale. Arusha kuna wahuni tu na pisi kali zote za Arusha ni zinazotoka Singida, na manyara
@daktarimtalii
Oyaaa mwanangu
@CharlieBihemo
ona vijana wa dar wanavyodharirika, ebu tukawaokoe mwanangu sisi sangara + mihogo +dagaa+ ugali naamini tupo vizuri. Au unasemaje kipenzi
@Happykonina
😊😊😃😃🙌🙌
@RealHauleGluck
Maria is coward and a dictator as well. Hataki mawazo ya wngn yawe opposite na yake, ninemuuliza petition ya ICC iliishia wapi km anaamini petition inaweza kumuathiri diamond, kaishia kuni-block.Where is freedom of expression aliyokuwa anatwambia enzi za meko? Maria ni dictator