Kwa ufupi sana mambo yako hivi
CCM wako kwenye attack model kuhakikisha uchumi wa nchi unakufa kabisa ndio pona yao , shughuli yao kubwa ni kufirisi wananchi
Hiyo silaha tunaweza ishinda kama tukiamua kuwatenga hawa watu na kuacha kushirikiana nao kwa namna zote, Nguvu ya Umma
Mwanza na Bukoba ni wazi zimekwenda, Geita nayo kama imekwenda,
Ukipata kanda ya ziwa , mbeya, Arusha na Dar ... Hapo wakurya wana msemo wao " Amang'ana ghasarikire" cc
@HecheJohn
ina maana gani hiyo braza
MATAGA Hotuba ya
@jmkikwete
- Wananchi walisikilizwe na kupewa majibu ya changamoto
- Washindani wa kisiasa sio maadui
- Kusifiwa sio uimara
- Mkuu achukue ushauri kwa waliomtangulia afanye wepesi
- Kiongozi mzuri ujenga sera kuondoa wananchi katika ufukara
#RIPMzeeMkapa
Idadi ya wagombea wanawake majimboni
@ChademaTz
imejitahidi sana ili kukuza usawa, lakini pia inatoa fursa kwa wanawake wenye uwezo kuchangamsha wenzao ambayo wanasubiria viti maalumu kuingia kwenye majimbo... Tukiwa na idadi kubwa ya wanawake kwenye majimbo tutafuta viti maalumu
Leo kwa mara ya kwanza i feel bad kuwa Mtanzania, so bad and painful
My Message
Serikali achaneni na Mbowe, acheni hizi nonsense , kwa nini mnatuchafulia nchi namna hii , why ?!!!
Huyu Sabaya sijui ni kazi gani kubwa anawafanyia watawala lakini huyu sio kiongozi , hakuna kiongozi kabisa hapa, kama kuambiwa maneno mzuri hivi na RC Anna amemvulia miwani na kumwangalia kwa jicho baya hivi hakuna kitu kichwani huyu ni hatari kuwa na madaraka
#ChangeTanzania
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
Leo nimeamini
@kigogo2014
akisema tusilale hatulali hakuna account iliwahi kuwa na nguvu hivi toka nimejua social media miaka 11 sasa...tulikesha sana Darhot wire sasa tunakesha Twitter tunajaza mabando tu ... asikudanganye mtu hakuna siyeyumba na kigogo kama Babu wa samunge tu
Petition imesoma UN
Mtu anashabikia South Afrika kupeleka Israel ICC
Lakini hapo hapo aelewi uzito wa hii petition kwa UN
Ngoja nikufafanulie
β Balozi wote wa kudumu UN watakula huu mzigo na kupeleka nchini kwao
β Wawekezaji wakubwa wote watakula huu mzigo na kujua hali ya
Makerere University Graduation: Honorary procession, July 1970: Presidents: Julius Nyerere (Tanzania), Mzee Jomo Kenyatta (Kenya), Kenneth Kaunda (Zambia) & Milton Obote (Uganda) in procession. Carrying the mace is incumbent Kisumu Governor Prof. Anyang Nyong (father of Lupita)
Hatua ya Spika wa Bunge Mh. Job Ndungai kuendelea kutambua wabunge waliovuliwa uanachama na CHADEMA kwa tafsiri ya moja kwa moja ni sawa na kuvunja Ibara ya 71(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 kama ilivyoainishwa.
#LindaKatiba
#KatibaMpya
#ChangeTanzania
Makonda si aonyesha namna alivyolipa hii plot !! au ukiwa na document hivi tu inakuwa mali yako ?
Proof of payment hapa ni muhimu au sababu za kuamisha hiyo ownership
Tuma ya maadili ya uongozi inajua kuhusu umiliki wa hii mali?
Tatizo bongo kila mtu anafanyakazi sio yake, MC Pilipili anafaa kwa bongo movie zaidi, ange dramatize mambo huko tukapata burudani kali na kuweka kimataifa kama Nigeria
Ila
@kigogo2014
ni mpambo wa gass ukifumuka ni mabalaa tu, hapa nimeshindwa nianze na tweet ipi, Yaani na njaa yote hii kuna watu wanapiga 23milioni kwa vikao vya miezi mitatu mfululizo,? na msharaha juu? Unufaike hivi utakubali kukosolewa kiongozi kweli?
CDF ni mama amemwambia Samia we are tired
Kosa ni Samia kumtoa, maana CDF awezi kuwa pekee yake kwenye kauli ya Wakimbizi kuteuliwa nafasi na Maamuzi
neno kuteuliwa nafasi za Maamuzi ni direct kwa Samia yeye ndiye anayefanya hayo
Samia anatakiwa kuelewa Jeshi aliko
Happy na
Madai ya katiba mpya ni madai ya kurudisha nchi kwa wananchi, kwa sasa nchi iko mikoni mwa wanasiasa , maendeleo na mafanikio ya nchini yamekuwa kiduchu.
#KatibaMpya
#ChangeTanzania
Hata ningekuwa mimi nisingekubali debate na
@TunduALissu
ukizingatia hizi line
- Mwanasheria mbobezi
- Human Right abuse nchini
- Idea yake kwa wafanyakazi and TRA
- Sheria mbaya tulizotunga hivi karibuni
- Yeye kupiga risasi
- Ujasiri wake wa kuongea
SASA TUSIDANGANYANE
Wenye kumbukumbu zao tunaomba tusaidieni hii kitu ? alisema kweli haya maneno?
Pamoja sikuwa ninaamini huyu mzee, kama ilisema hii kitu ina maana kunauwezekano saa mbovu ilisoma wakati sahihi
ISSUE YA BWAWA LA NYERERE NA MAFURIKO
-- Bwawa limelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje n maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa
-- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa
-- UNECO waonya
Kuna sababu gani za kuijenga Upya Muhimbili? Badala ya kujenga Hospital nyingine kabisa ku replace Muhimbili ili iwe Hospotal ya Mkoa wa Kinondoni ?
Hiyo 500 bn mngepeta hospital mpya tusonge
PLO Lumumba anaongea kama vile yuko Buguruni!!! Kwamba anajua sana the heart beat of Tanzania, huyu ni msomi anayependa Pombe, matokeo yake amekuwa kipofu
Ukitaka kujua wabunge 19 ni wa Job hata suala la kukamatwa mwenyekiti wa chama ambacho wanadai wanakiwakilisha wamekaa kimya
Kuna ushahidi gani zaidi ya huu kwamba hao wabunge ni wa serikali 19 !??
Huyu mdau ndiye anayedhalilisha Jeshi
Mpaka sasa yuko Kimya kutokana na Amri aliyopewa na CHALAMILA
Hakuna wakati tumekuwa na CDF mnyonge kama huyu
You must resign umeshindwa kulinda
Heshima ya jeshi na wanajeshi
DC Sabaya na RC Chalamila ni jaribu jepesi kwa mama
@SuluhuSamia
kuhusu utawala bora. Raisi mwenye kutambua utawala bora hawa sio watu wa kuwa ofisini Mpaka sasa
Watumishi wa umma wawe makini sana na Aweso
Huyo sio tu waziri kuna ya ziada, Aweso akilalamika uponi , ameshikilia penyewe kabisa
Kuweni makini sana na huyu mbunge waziri, wakubwa tunaelewana
Engineer kutupa kikaratasi amefukuzwa kazi , it is personal alishika waya
Mbunge yamemtoa machozi
Nchi ina mambo mengi hayako sawa mengi sana
Ubaya tumekataa kugatua madaraka kwa kubadilisha katiba
Lakini huyu jamaa likuwaje Mbunge bila kujua hii hali ? Aligombea ili afanye nini ? Hakujua hali ya Shule jimboni kwake ?
SGR
Fedha imekata kabisa, ilikata kitambo sasa imekauka
YAPE Merkezi imeondoa wafanyakazi wote kazini
Suala kubwa ni kutokana na serikali kushindwa mradi
Juzi Serikali imeomba Kampuni la kichina kutafuta hela ya Tabora To Kigoma na Pia Isaka to Mwanza
Wakati huo
Wakati wa Magufuli walau unaweza sikia anasema furani ni msaliti wanajeshi mnajua cha kufanya
Lakini sasa unashangaa tu umetekwa au umepigwa marisasi
Ole Sendeka ameshambuliwa na watu wenye silaha, walianzia kumfuatilia kwa muda kabla ya tukio
Huyu ni mbunge na mwana CCM
Genge la kwanza analotakiwa kuanza nalo mama
@SuluhuSamia
ni wale jamaa wanatafsiri Sheria kwa Kiswahili
- Ni hatari sana kufanya haya mambo kwa kukurupuka
- Wataalamu watueleze je Kiswahili kina maneno ya kutosheleza kiasi cha kutumia kwa mahakama zetu? Kuna lugha zina vikwazo
Mhe Raisi
@SuluhuSamia
suala la uamsho liko chini ya watumishi walichini yako, hakuna anayetaka uingilie kesi lakini waulize kwa nini hii kesi imekuwa ya muda mrefu hii. FreeUamsho
#ChangeTanzania
Kumbe chaguzi za CCM ni za kimafia hivi? wana Green Gadi wanaweza kukutoa Roho kwa kuuliza Swali,
Huyu kijana anastahili pongezi anazomewa na ukumbi ila akakomaa, safi sana . Awe makini hawa watu wanapenda sana damu
Tanzanias former Minister of Defence Prof. Philemon Sarungi (L) and his daughter Maria enter to sign the book of condolences for former President Benjamin Mkapa at his home in Dar es Salaam, Tanzania, on July 24, 2020. - Former Tanzanian president Benjamin Mkapa,
A380 ikiwa na watu 300 ya shirika la Uturuki inasemekana umeweza kwepa tukio la kigaidi kutokana na umairi wa rubani na uwezo mkubwa wa ndege hiyo kuweza kukubali kubadilisha mwelekeo kwa haraka na ufanisi