Samia Suluhu Profile Banner
Samia Suluhu Profile
Samia Suluhu

@SuluhuSamia

1,602,013
Followers
27
Following
847
Media
1,287
Statuses

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania

Dodoma, Tanzania
Joined June 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
6 hours
Mapema leo jijini Nairobi nchini Kenya nikihutubia katika Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA). Pamoja na miradi mingine, kwa ushirikiano na IDA nchi yetu imeweza pia;- 1. Kuboresha eneo la afya ya mama na mtoto tukiwa na moja ya mifumo bora zaidi kwa ukanda wa…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
113
148
783
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
11 hours
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Tweet media one
180
193
2K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
1 day
Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21). Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…
Tweet media one
553
339
4K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
3 days
Nawatakia nyote kheri tunapoadhimisha Miaka 60 ya Muungano wetu. Hii ni tunu yetu sote, matokeo ya kazi ya kila Mtanzania kuanzia waasisi wetu mpaka sasa. Tumejenga nyumba imara ya Tanzania katika misingi ya utu, udugu na uanamajumui wa Afrika hatua kwa hatua, chini ya kila awamu…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
326
424
3K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
4 days
Nimefarijika kwa ujumbe wa video toka Shule ya Sekondari ya Misufini, Kijiji cha Misufini, Kata ya Ndungu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wa wanafunzi Ibrahim na Mwanaulu pamoja na wazazi wao, kuhusu mabadiliko na uboreshaji wa elimu uliofanyika kwenye kata yao katika kipindi…
158
164
948
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
8 days
Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake…
Tweet media one
307
365
4K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
9 days
Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
Tweet media one
375
221
3K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
11 days
Mapema leo nimekuwa na mazungumzo mazuri na kaka yangu, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan. Ziara hii ni mwendelezo wa mageuzi kwenye utekelezaji wa sera yetu ya Mambo ya Nje kupitia Diplomasia ya Uchumi. Thamani ya biashara baina ya nchi zetu imekua;…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
261
225
2K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
11 days
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kenya, Jenerali Francis Omondi Ogolla na wanajeshi wengine tisa katika ajali ya helikopta iliyotokea leo katika Kaunti ya Elgeyo-Marakwet. Natuma salamu za pole kwa Rais na Amiri Jeshi…
Tweet media one
929
2K
15K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
11 days
Naishukuru Seneti ya Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki kwa kunitunuku Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) katika Uchumi. Nimeipokea heshima hii kwa unyenyekevu na shukrani kwa niaba ya wachapa kazi waume kwa wake nyumbani nchini Tanzania. Mimi ni kiongozi wao,…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
359
277
2K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
12 days
Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais @RTErdogan . Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa…
Tweet media one
588
338
3K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
13 days
Jana nilipata wasaa wa kupita Mtaa wa Mombasa, Unguja kuwaona majirani zangu wa zamani Bi. Asha Salum na mumewe, Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Rashid Zam Ali. Kushoto ni bintiye Bi. Asha pamoja na mjukuu wao. Bi. Asha nilisoma naye darasa moja shule ya msingi na shule ya…
Tweet media one
510
431
4K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
17 days
Mapema leo nimeshiriki Misa Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika kwenye makazi ya familia yake Monduli, mkoani Arusha. Hayati Sokoine alikuwa kielelezo cha kiongozi…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
318
234
2K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
20 days
Nawatakia Watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr, tukimshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka ya kuhitimisha funga na ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Mwenyezi Mungu atuonaye tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Mwenye kusikia na kupokea…
Tweet media one
492
456
4K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
22 days
Natawakia nyote kheri katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, mmoja ya waasisi wa Taifa letu. Tafakuri ya maisha yake na historia ya utumishi wake iendelee kutupa mafunzo ya uongozi wenye…
Tweet media one
204
221
2K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
24 days
Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Tweet media one
536
312
3K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
24 days
Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Tweet media one
938
683
7K
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
26 days
Nimefarijika na ujumbe wa video toka kwa Maria, Salama, Ezekiel, Iddi na Cecilia wakazi wa Babati mkoani Manyara, wakielezea namna ambavyo kukamilika kwa miradi miwili ya maji ya Darakuta-Magugu na Dareda-Singu-Sigino-Bagara kumebadili maisha yao. Wao ni sehemu ya wananchi zaidi…
220
202
993
@SuluhuSamia
Samia Suluhu
26 days
Heartfelt congratulations and best wishes to His Excellency, President Abdel Fattah al-Sisi on starting a new term in office, serving the people of the Arab Republic of Egypt. I am looking forward to continuing working together in fostering the relations between our two…
Tweet media one
145
169
1K