Ummy Mwalimu, MP Profile Banner
Ummy Mwalimu, MP Profile
Ummy Mwalimu, MP

@ummymwalimu

893,708
Followers
696
Following
1,866
Media
8,152
Statuses

🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020

Dodoma, Tanzania
Joined March 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
7 months
Ooh Allah, Thank you for giving me another year, for giving me life. All that I am is because of you Allah, and I bow to you only, Alhamdulillah. It's my birthday🌺
Tweet media one
2K
685
12K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Halafu wala haturingi💪
Tweet media one
643
581
10K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Its my birthday🌺. Alhamdulillah. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu. Ummy Mwalimu wa sasa Vs Ummy Mwalimu 10 years ago. Ama kweli siku hazigandi.
Tweet media one
Tweet media two
2K
430
9K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
On this special occasion of my life, I pray for nothing else than the guidance of Allah in everything I do and every path I take. Happy birthday to me!
Tweet media one
1K
409
9K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Tweet media one
183
274
7K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Mzalendo halisi🇹🇿. Proud of you Komandoo💪💪
Tweet media one
464
195
5K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
277
416
5K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Eid Mubarak! Tusherekee kwa Amani huku tukiendelea kuchukua Tahadhari na kujikinga na maambukizi ya #COVID -19
Tweet media one
512
178
5K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Tweet media one
759
245
5K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
8 months
Tweet media one
137
377
5K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Pongezi nyingi kwa Vijana wetu wa @Coastalunion_fc Hakika mmejituma. Kwangu mimi na wengi nyie ndio washindi wa game la lao. Hongereni sana! Asanteni sana kwa kuiheshimisha Tanga na Soka la Tanga. So proud of you @Coastalunion_fc
Tweet media one
303
121
4K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Alhamdullilah! Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu. Ninawashukuru wote mlionitakia heri na kuniombea mema. Nami ninawaombea heri na baraka ktk kazi na maisha yenu #virgowoman Nb. Kwa wapiga kura wa #TangaMjini ni hivi #odoummyatosha #Magufuli5Tena
Tweet media one
408
110
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Mimi na mama yangu tunawakia Eid Mubarak! Mwenyezi Mungu uwalinde na uwape afya njema wazazi wetu na pia uwarehemu wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki. Eid Mubarak! Kutoka kwa watu wa Tanga Mjini🙏
Tweet media one
Tweet media two
305
112
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
A good heart has stop beating! My heartfelt condolences to his family. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. RIP Balozi Augustine Mahiga. Ulikuwa mtu mwema sana, usie na makuu na kutojikweza licha ya nafasi kubwa/nyeti ulizowahi kushika nchini na kimataifa. PKA Balozi.
Tweet media one
318
216
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Heri ya Pasaka. Baki Salama. Corona Inazuilika. Epuka Mikusanyiko. Tuwalinde Watoto na Wazee. #JikingeWakingeWengine
Tweet media one
365
232
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Tweet media one
152
214
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
5 years
Alhamdulillah! Ninamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kuongeza mwaka mwingine ktk maisha yangu. Asanteni sana wote mlionitumia na mnaoendelea kunitumia salaam za heri ktk Siku yangu. Mwenyezi Mungu awabariki sana #VirgoWoman
Tweet media one
534
111
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Tayari kupiga kura ya NDIYO kwa Ndugu Samia Suluhu Hassan✅✅✅✅
Tweet media one
170
79
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tabasamu la kuwa Ikulu Chamwino. Nafurahi kuwa sehemu ya historia #TanoTenaKwaJPM
Tweet media one
208
81
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Suala la mtoto Anna Zambi: Serikali kupitia Wizara ya Afya na @maendeleoyajami tunachukua jukumu la kuratibu na kusimamia psychosocial support ya mtoto huyu pamoja na ustawi wake kwa ujumla. Katibu Mkuu Dkt John Jingu leo ataitembelea familia yake iliyopo Goba. Tutatoa taarifa.
Tweet media one
362
212
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mungu ni mwema. Na leo pia hatuna case mpya za COVID19. Mgonjwa wa Kagera (Ngara) amepona. Sasa jumla ya waliopona ni 3. Mgonjwa aliebaki wa Arusha vipimo vyake siku ya 9 leo ni Negative. Tutampima siku ya 14 ili kujiridhisha kama amepona. Wengine 15 waliobaki wanaendelea vzr
Tweet media one
494
354
3K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Rest In Peace Senator Ndassa! Mtani wangu! Daima umekuwa ukinitia moyo ktk kazi zangu toka nikiwa Naibu Waziri mwaka 2010 na sasa ktk nafasi hii ya Waziri. Asante kwa upendo wako mkubwa kwangu. Asante kwa utani na urafiki wetu! Pole kwa familia ya marehemu na wananchi wa Sumve.
Tweet media one
227
83
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mimi kupata Corona sio ajabu wala aibu. Hata hivyo Taarifa hii sio ya kweli, Ipuuzwe.
Tweet media one
473
203
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Asanteni sana kwa Pongezi. Nimesoma maoni na ushauri wenu kuhusu utendaji kazi wa TAMISEMI. Tutayafanyia kazi. Aidha toka kuteuliwa kwangu nimepokea sms nyingi za wananchi kuhusu uendeshaji wa Halmashauri zetu hususan ukusanyaji wa mapato, Utawala na matumizi ya fedha za umma
457
124
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Last night we (Tanzania🇹🇿)received a donation of medical materials that will help in our fight against #COVID19 . Our gratitude and appreciation to China's @JackMa , @AlibabaGroup and the government of Ethiopia @AbiyAhmedAli .🙏 @MagufuliJP @MsigwaGerson @TZMsemajiMkuu @TZEmbassy
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
230
345
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 month
Pumzika kwa Amani Kiongozi wetu Dkt John Pombe Magufuli.
Tweet media one
Tweet media two
109
126
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
CCM Tanga Mjini imeamua! Asanteni sana sana wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Tanga🙏🙏🙏. Nina deni kubwa sana kwenu. Nina deni kubwa kwa wana Tanga. #TangaMjini2020
Tweet media one
208
67
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
SSH - My President, My Pride💪
Tweet media one
151
91
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Asanteni sana wote mlionitumia Salaam za Heri na Upendo katika mfanano wa siku yangu ya kuzaliwa. Nimepokea Salaam zenu kwa heshma na unyenyekevu mkubwa🙏. Mwenyezi atujalie umri mrefu wenye heri, afya njema na baraka nyingi. Lots of love🌺🌺🌺
Tweet media one
240
99
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Chuma hichoo! Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na kukusimamia rais wetu mpendwa Dkt @MagufuliJP . Tunakupenda na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu kila lililo jema rais wetu.
285
155
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Leo Bungeni Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
231
53
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 months
Rais wetu, Fahari yetu🇹🇿 #TunaendeleaNaMama
Tweet media one
Tweet media two
486
123
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Barakatul Eid💫
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
187
80
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mapema leo asubuhi Uwanja wa Taifa kumuaga Mzee wetu Mhe. BW Mkapa. Pumzika kwa Amani mzee wetu.
Tweet media one
80
63
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Update on #COVID19Tanzania . Samples tested at the National laboratory between 18th - 20th April, 84 new cases in Tanzania mainland and Zanzibar. Total confirmed cases to-date 254. We regret to announce 3 new COVID-19 deaths in Dar es salaam.
Tweet media one
479
327
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
7 months
Happy birthday @Eric__Bernard Mwenyezi Mungu akujalie miaka mingi, yenye heri, afya njema na baraka tele. Nb. Vipi utaendelea kuwashauri watu humu kuhusu mapenzi?😃🤣
Tweet media one
332
142
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
6 years
Alhamdullilah! Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine katika maisha yangu! Na wote waliozaliwa tarehe kama ya leo ninawatakia maisha marefu yenye afya njema na baraka nyingi. #Birthday 🙏
373
100
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
UPDATE: #COVID -19Tanzania as of 13 April 2020 #JikingeWakingeWengine
Tweet media one
Tweet media two
286
292
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Ni majonzi makubwa kwa Tanzania! Tumuombee Mzee wetu Mhe Rais Mstaafu Benjamin Mkapa apumzike kwa Amani. Natoa pole kwa mke wa marehemu Mama Anna Mkapa, watoto, familia, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wote. Bwana ametoa, bwana ametwaa.
Tweet media one
119
97
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Asante sana H.E @SuluhuSamia , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania kwa kuniamini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI. Nitaienzi heshma hii kwa kuchapa kazi kwa kasi, weledi, ubunifu na bidii zaidi ktk kusimamia Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
232
137
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
As we celebrate the holy month of Ramadhan, I wish that happiness and healthy life find you and fill your house. Ramadhan Mubarak!
Tweet media one
107
106
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tweet media one
166
94
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Habari njema - wagonjwa 2 wa COVID19 wamepona. Dar es Salaam - 1 na Arusha - 1. Hivyo sasa Mkoa wa Arusha hauna mtu mwenye maambukizi ya COVID19. Tuendelee kuzingatia maelekezo ya Wataalam wa Afya ikiwemo kuepuka mikusanyiko n/misongamano isiyo ya lazima. #JikingeWakingeWengine
Tweet media one
254
228
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Commander-In-Chief HE Samia Suluhu Hassan. My President, My Pride💪 @SuluhuSamia
Tweet media one
138
98
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Siku ya mwisho Bungeni Dodoma. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hadi kufikia siku hii. Tupo tayari kumsikiliza Mhe Rais Dr @MagufuliJP ambapo ataelezea utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kipindi cha 2015-2020. Hakika kazi kubwa imefanyika #TanoTenaKwaJPM
Tweet media one
Tweet media two
171
63
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
9 months
Commander in Chief🇹🇿💪
Tweet media one
136
106
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Vipi hapo, tushushe collabo ya Ummy na MsagaSumu? Nimepata bahati ya kukutana 'live' na mfalme wa Singeli nchini #MsagaSumu . Kaa tayari kupokea mchango wake ktk kuimarisha hali ya Lishe TZ hususan kwa wajawazito, watoto wadogo na vijana balehe #LisheBora @TFNC_TZ @elimuyaafya
Tweet media one
Tweet media two
109
77
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Mama yetu, Janeth Magufuli. Hatutakuacha peke yako. Tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe nguvu na ustahamilivu ktk kipindi hiki kigumu. #ApumzikeKwaAmaniRaisMagufuli
Tweet media one
82
90
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 months
Rais wetu, Fahari yetu🙏
Tweet media one
289
103
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tunamshukuru Mhe Rais @MagufuliJP kwa kuwezesha hili. Thank you very much President of Madagascar, H.E @SE_Rajoelina for donating #CVO to Tanzania🙏.
@TZMsemajiMkuu
Msemaji Mkuu wa Serikali
4 years
Tanzania leo imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
378
207
2K
366
108
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Corona Inazuilika! Ktk kipindi hiki cha Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona ninawahimiza wananchi kuepuka mikusanyiko na misongamano isiyo ya lazima. Tuzingatie umbali wa mita 1 kati ya mtu na mtu. Tuzuie watoto kuzurura mitaani au kisingizio cha kutembelea ndugu #JikingeWakingeWengine
@wizara_afyatz
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
4 years
MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI Wizara ya Afya inathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya. #ChukuaTahadhari #Covid19Tanzania
Tweet media one
105
161
688
382
236
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Alhamdulillah🙏. So proud to be a Tanzanian
Tweet media one
86
65
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
7 months
@nyuki_malkia Tafadhali tusaidie jinsi ya kumpata mtoto huyu. Au aelekezwe kwenda moja kwa moja Ofisini kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General) kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Anaweza pia kupitia Ofisini kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri au Mganga Mkuu wa Mkoa wa…
311
212
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Uzushi. Ipuuzwe.
Tweet media one
217
133
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
8 months
#UnyamaMwingi ndani ya Jiji la Tanga! Waja Leo Kuondoka Majaliwa. Kwa Hisani ya Odo Ummy - Mbunge wa Tanga Mjini😃 ⁦ @Eric__Bernard ⁩ ⁦ @OfficialAliKiba ⁩ ⁦ @SimbaSCTanzania
59
163
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 month
Taarifa muhimu ya Afya. #UsijisahauJaliAfyaYako #MtuNiAfya #MYA 🇹🇿
Tweet media one
189
112
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Jumaa Mubarak!
Tweet media one
82
78
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Leo nimechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania kupeperusha bendera ya CCM ktk kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini. Nitumie fursa hii kuwashukuru wote ambao wamekuwa wakinitia moyo na kuniombea heri ktk mchakato huu #TangaMjini2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
230
76
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tuilinde Hospitali ya Taifa Muhimbili. Watu wote wenye dalili za virusi vya Corona msiende @MuhimbiliTaifa kufuata huduma. Ili kuilinda @MuhimbiliTaifa Serikali imeamua Hospitali ya Rufaa ya Amana kuwa Kituo maalum cha matibabu ya #COVID19TZA #JikingeWakingeWengine
170
164
2K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Kombe la FA 2021/22 linakwenda Jiji la Tanga. Wana Mangushi hadi sasa tunaongoza. Coastal Union 1, Young Africans 0 #TangaRaha @Coastalunion_fc
Tweet media one
161
37
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
@MSalimu Poleni sana, Allah ampe kauli thabiti. Naomba jina la marehemu inbox ili nicheck na Timu yangu
248
70
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Hakika jambo hili ni zito na kubwa kulipokea😭😭😭 Ohh Jemedari wetu, Rais wetu Dkt JPM utabaki ktk mioyo yetu kama Rais jasiri, shupavu na uliejitowa kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania na watanzania hususani wa kipato cha chini. Pumzika kwa Amani Baba.
Tweet media one
135
103
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
#WomenInspiringWomen - 👍Dr Constansia Buretta amehitimisha mafunzo ya miaka 5 ya Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (Neurosurgery), Chuo Kikuu cha Kagoshima, Japan. Hatua hii inafanya idadi ya madaktari wanawake wenye utalaamu huo (Neurosurgeons) Tanzania kufikia 4
Tweet media one
82
101
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Kuanzia kesho tar 17 April tunatumia Vikundi vya kijamii ktk mapambano dhidi ya #COVID19Tanzania .Kwa siku 20 vitazunguka ndani ya Jiji la Dar es salaam kutoa Elimu kwa jamii kuhusu Corona.Lengo ni kukata mnyororo wa maambukizi ya Corona TZ @elimuyaafya @trcs1962 @UNICEFTanzania
367
151
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Pumzika kwa Amani Kiongozi wetu Dkt John Pombe Magufuli. Tunakuombea. Na daima utaendelea kuwa katika mioyo yetu🙏
Tweet media one
165
101
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Natamani ningepata maneno mazuri zaidi ya kumshukuru Mh Rais kwa heshma kubwa hii. Hata hivyo nimekosa maneno hayo zaidi ya kusema "Ahsante sana Mhe Rais Dkt @MagufuliJP ". Namshukuru kwa kunijenga, kuniimarisha na kunifundisha kutokata tamaa.Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hili🙏
@millardayo
millardayo
4 years
“Namshukuru Mungu kuiepusha Tanzania dhidi ya corona, kwa namna ya pekee nampongeza Mwana-Mama Jasiri Waziri Ummy Mwalimu kwa uvumilivu wake, nilimtesa sana Ummy maana nilikuwa nampigia simu mara nyingi hadi saa 8 usiku, naomba aniombee msamaha kwa Mumewe”-JPM #MillardAyoBUNGENI
Tweet media one
39
32
819
160
65
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Hongera sana #CoastalUnionFC kwa kuichapa Yanga goli 2 ndani ya Mkwakwani Stadium Tanga. Hakika leo mmejua kutupa raha. Tanga mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
131
88
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mapema leo Bungeni Dodoma #TeamAfya
Tweet media one
101
48
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Asante sana Rev. Eliona Kimaro, KKKT Kijitonyama kwa kutuombea na kututia moyo🙏! Hakika mnatupa nguvu ya kuendelea kupambana dhidi ya adui Corona. Naomba msichoke kuiombea nchi yetu, kuwaombea na kuwatia moyo watumishi wa Afya walio mstari wa mbele ktk mapambano haya #COVID19TZA
116
103
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Asante Mh @DocFaustine kwa Utumishi wako na ushirikiano mkubwa ulionipatia ktk kusimamia Sekta ya Afya nchini. Kila la heri ktk kuwatumikia wana Kigamboni. Hongera Dr G. Mollel, Karibu @wizara_afyatz na @maendeleoyajami . Naahidi kukupa ushirikiano ktk utekelezaji wa majukumu yako
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Nimepokea uamuzi wa Mhe Rais kwa unyenyekevu mkubwa. Ninamshukuru sana JPM kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake. Nawashukuru sana @umwalimu na watendaji wote kwa ushirikiano walionipatia. Mafanikio ya sekta ni makubwa sana. Namtakia kila la kheri NW ajaye Dkt Mollel.
863
429
7K
114
77
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Kuhusu suala hili - Timu ya Usimamizi Afya ya Mkoa (RHMT) wa Tabora na ya Halmashauri (CHMT) ya Wilaya ya Uyui wanafuatia suala hili. Serikali itatoa Taarifa kwa umma juu ya hatua zilizochukuliwa. Tunawashukuru wote walioibua suala hili.
380
173
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
7 months
Asanteni sana wote mlionitumia salamu za heri na upendo katika siku yangu ya kuzaliwa tar 5 Septemba. Hakika nimeelemewa na upendo wenu mkubwa mliouonyesha kwangu. Namuomba Mungu atujalie sote umri mrefu, afya njema na baraka nyingi. Asanteni sana 🙏🙏🙏🌺🌺🌺
Tweet media one
120
87
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Kaka yangu, kiongozi wetu Balozi John Kijazi hivi ni kweli umeondoka??😭😭😭 Tangulia kaka. Binafsi nitakukumbuka kama kiongozi mweledi, muungwana na mnyenyekevu kwa kila mtu. Pole kwa familia na ndugu wa marehemu, Rais @MagufuliJP , Watumishi wa umma na watanzania wote. RIP Kaka
Tweet media one
195
54
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
6 months
Hongera sana Mwenezi wetu Taifa @ccm_tanzania #KaziIendelee
Tweet media one
74
67
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mama Samia Oyee! @SuluhuSamia . Asante Mhe Rais @MagufuliJP kwa kutupa heshma kubwa sana wanawake wa Tanzania. #WanawakeJeshiKubwa #CCMUshindiNiLazima
Tweet media one
38
71
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Watu wa barabara 11 mambo nin🔥🔥🔥Kombe la Azam FA 2021/22 linaenda jiji la Tanga #WagosiWaKaya @Coastalunion_fc
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
110
44
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Nimepokea Taarifa hizi kwa masikitiko makubwa. Tayari Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania linachunguza suala hili. Endapo tuhuma hizi zitathibitishwa tutatoa adhabu kali kwa wanataaluma hawa ikiwemo kuwasimamishia au kuwafutia kabisa usajili wao.
Tweet media one
353
133
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
It is with deep sympathy that I announce the first death resulted from #COVID19 ; a Tanzanian male, aged 49 years who had other underlying health conditions. Our condolences to his beloved family, relatives and friends. May his soul rest in eternal peace #COVID19Tanzania
Tweet media one
141
156
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mchuma unaondoka huoo!
Tweet media one
Tweet media two
83
44
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Nimekagua fomu za wagombea wote wa Ubunge Jimbo la Tanga Mjini. Nimebaini makosa ltk fomu za wagombea wengine. Sasa nasubiri majibu ya pingamizi nilizowawekea wagombea walioteuliwa. #TangaMjini2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
183
53
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Leo Ikulu, Kiapo cha Waziri wa @wizara_afyatz Eeh Mwenyezi Mungu nisaifidie.
Tweet media one
Tweet media two
136
62
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Mungu ni mwema. Tunaendelea na jitihada za kuhakikisha tunadhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini kwetu. Tunawataka wananchi kuendelea kuchukua hatua ili kuzuia maambukizi mapya ya #COVID19 hapa nchini. #JikingeWakingeWengine #PamojaTunavukaSalama @TZMsemajiMkuu @DocFaustine
154
104
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Asante Mhe Rais Dr @MagufuliJP kwa kuendelea kuniamini na kunitia moyo ktk kusimamia sekta ya Afya nchini hasa ktk kipindi hiki cha mapambano dhidi ya #COVID19 . Naahidi kuendelea kuitumikia nchi yangu kwa bidii,uaminifu na maarifa zaidi. #CoronaInazuilika #JikingeWakingeWengine
@millardayo
millardayo
4 years
“Nakupongeza sana Ummy najua nilikutesa, sitaki kueleza sana, kwa siku mara nyingine Ummy alikuwa anapigiwa simu zaidi ya mara 8, lakini ndio hivyo, unapokuwa kwenye vita saa nyingine kubembelezana hapana, lakini Ummy unachapa kazi nakupongeza kwelikweli”-JPM #MillardAyoUPDATES
Tweet media one
75
44
1K
202
91
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tweet media one
131
130
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Allah Akbaru, Allah Akbaru, Allah Akbaru. Laailah hailla Allah, Allah Akbaru Walillah hamdu🙏. Eid Mubarak🌙
@millardayo
millardayo
4 years
Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu Abubakar Zubery ametangaza kuwa kesho Jumapili May 24 ni Sikukuu ya Eid El Fitri baada ya kuandama kwa mwezi katika Mkoa wa Singida. “mimi kama Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu,nimeuthibitisha mwezi huu ambao umeandama Singida" (📹via Channelten)
20
39
785
60
47
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Moja ya mzazi alietutumia sms kuwa kijana wake kachaguliwa HGK wakati kijana alijaza CBG. Tumerudi kwenye mfumo. Chaguo la 1 ni HGK shule Madibira La 2 ni HKL Mara sek La 3 ni HGL Kigwe La 4 CBG Same na La 5 HGE Kibiti Mfumo umempatia chaguo lake la kwanza. #UchaguziForm5 ..3/3
199
62
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
RIP Mama yetu, Askofu Getrude Rwakatare. Upumzike kwa Amani. Mbele yako, nyuma yetu. Natoa pole nyingi kwa familia ya marehemu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu. Pole Mh Spika wa @bunge_tz kwa kupoteza mbunge. Pole kwa waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto.
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS: Askofu Gertrude Rwakatare wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) amefariki dunia Alfajiri ya leo.
Tweet media one
505
194
3K
102
59
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 months
Sijui ni Halmashauri gani hii? Hakika Mtumishi huyu anapaswa kupongezwa. Nimemuelekeza Katibu Mkuu Afya wamtafute. Lkn pia nasi viongozi tunapaswa kufanya kitu ili kuboresha mawasiliano kuwezesha wananchi kupata huduma za afya.
@ElishaOsati
Dr. Elisha Osati
2 months
Tweet media one
92
26
261
400
98
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
FAKE NEWS. Hadi sasa hatuna Mgonjwa wa Corona nchini Tanzania
103
174
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Alhamdulillah! Baada ya kumshukuru Mwenyezi Mungu, ninaishukuru Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) chini ya Mwenyekiti makini Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuniteua kuwa Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Tanga Mjini ktk…
112
48
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
1 year
Furahini katika Bwana na katika siku hii nzuri. Pasaka njema!
Tweet media one
133
69
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Maulid Mubarak!
Tweet media one
94
67
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
Ndani ya Mkwakwani Stadium kui-support chama la wana #CoastalUnion #TangaMjini
Tweet media one
179
33
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
3 years
UTEUZI maDC: Hongereni wote walioaminiwa na Rais Mh @SuluhuSamia ktk nafasi ya Ukuu wa Wilaya. Ni matumaini yetu kuwa mtaifanya kazi hii kwa kasi, bidii,ubunifu na uaminifu kwake na kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMI. #KaziIendelee @ortamisemitz
106
86
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
11 months
Kuhusu tetesi za uwepo wa #COVID19 ; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanywa kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii...tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la??
123
162
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
9 months
Tunamkaribisha sana Tanga, mahaba yalipozaliwa
@millardayo
millardayo
9 months
Kocha wa zamani wa Yanga SC na Polisi Tanzania Mwinyi Zahera Raia wa Congo DR ametangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Coastal Union ya Tanga kwa kipindi cha mwaka mmoja. #MillardAyoSPORTS
Tweet media one
41
43
2K
164
52
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Tweet media one
95
106
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Tweet media one
61
60
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
4 years
Corona ipo lakini magonjwa mengine pia yapo! Tutaendelea kuhakikisha huduma bora na salama kwa magonjwa yote katika vituo vyote vya kutoa huduma za afya - vya umma na binafsi @wizara_afyatz
@millardayo
millardayo
4 years
“Utafiti uliofanywa na Serikali, katika kila Watanzania 100, Watanzania tisa wana matatizo ya kisukari, akija Mtu wa kisukari apate huduma usianze kumuambia nenda kapime corona, hatuwezi kuacha huduma zisitolewe kisa corona, maisha lazima yaendelee”- UMMY
60
52
908
153
86
1K
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu, MP
2 years
Tweet media one
62
68
1K