๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข Profile Banner
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข Profile
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข

@Chahali

212,073
Followers
140
Following
50,552
Media
365,456
Statuses

One-Man Think-Tank | Tweeting in English + Swahili | RTsโ‰ endorsement

Scotland
Joined February 2008
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
"Iโ€™m an ex-spy... I donโ€™t pretend to be anything more than that." ~ Carrie
Tweet media one
88
97
2K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
#PrinceHarry : The people's King
Tweet media one
1K
523
5K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
1 year
Goodbye 2022
Tweet media one
29
456
2K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
1 year
Rais @HHichilema kwenye mvua wakati wa kufunga mafunzo ya makomandoo wa Zambia. This man is from entirely another planet ๐Ÿ‘
Tweet media one
Tweet media two
91
180
2K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Thank you my Kenyan brothers and sisters as you had more trust in me than most of my fellow Tanzanians. I don't blame them, nonetheless. For past 5+ years Magufuli had successfully tried and managed to portray anyone who stood for the truth as "working for imperialists." Asanteni
76
190
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
India: Hindu event calling for genocide of Muslims sparks outrage
Tweet media one
2
388
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
How it started How it's going
Tweet media one
Tweet media two
32
170
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#BreakingNews : Rais @SuluhuSamia amezuia matumizi yeyote yasiyo ya lazima na matumizi yote yapate kibali chake
80
62
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#BreakingNews : Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari aliyesimamishwa kazi jana, Injinia Kakoko amepekuliwa nyumbani kwake leo na Polisi+TAKUKURU na kukutwa na begi kubwa lenye pesa dola za kimarekani 1,625,800
Tweet media one
184
190
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Tunapoadhimisha #SimbaDay2022 ni wakati mwafaka wa kuenzi mchango usiomithilika wa mkuu @moodewji ambaye - kubali au kataa - ametutoa kimasomaso wana @SimbaSCTanzania na kutufikisha hapa tulipo leo. Salute๐Ÿซก back to you mkuu Mo! #NguvuMoja
Tweet media one
25
45
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
1 year
. @SimbaSCTanzania asanteni kwa zawadi bora kabisa kuuaga mwaka 2022 na kuukaribisha mwaka 2023.
Tweet media one
9
26
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 months
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
55
28
1K
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Mo ( @moodewji ) Ateuliwa Na Rais Ramaphosa Kwenye Jopo La Washauri Watano Wa Uchumi, Uwekezaji Afrika Kusini
48
66
991
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
๐ŸŽต Blessing - Stonebwoy, Vic Mensa
8
113
941
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Mama @SuluhuSamia "kala kichwa" cha mtoto wa dada yake Mwendazake. Epic! ๐Ÿ˜
Tweet media one
49
25
884
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Kila analofanya @zittokabwe kwa @ChademaTz ni baya. Ni mwanasiasa anayeongoza kwa idadi ya kumtembelea @freemanmbowetz gerezani, lakini bado anatukanwa. Leo anamsihi Mama @SuluhuSamia asaidie Mbowe kuachiwa, anaitwa mpiga dili. Lini "mnaowasujudia" wamemtembelea Mbowe gerezani?
Tweet media one
158
79
841
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Dada ameuliza swali la kijasiri kuhusu kamati iliyoundwa na Mama @SuluhuSamia kuchunguza ubadhirifu wa fedha, lakini haijatoa ripoti hadi leo. This lady knows her job. Makofi kwake tafadhali
Tweet media one
27
39
818
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#BreakingNews : Tanzanian President President John Magufuli has passed away at 5.30pm (EAT) at Mzena Hospital in Dar es Salaam. However, the Vice President hasn't been informed.
108
492
751
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Dear @venusnyota I just wanted to let you know that "unaupiga mwingi sana" kwenye taarifa zote kuhusiana na majukumu yako as mkurungezi wa mawasiliano ya Rais Mama @SuluhuSamia . Yaani hadi raha kusoma taarifa hizo. HONGERA SANA NB: Kindly retweet kumpongeza Bi Zuhura Yunus
Tweet media one
31
203
794
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Asiyefurahishwa na hotuba ya Mama @SuluhuSamia leo basi huyo ni MCHAWI. Ofkoz matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno, na ni muhimu kwa kauli za Mama Samia kutafsiriwa kwa vitendo lakini let's not pretend hizi kauli za leo sio big step towards +255 we deserve. Mama piga kazi
Tweet media one
47
70
754
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
"Kuachwa na mwanamke aliyekuzidi umri ni kama mtoto kuachishwa kunyonya..." ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜
54
136
757
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
5 years
Kama namuona Bashite alivyopaniki. Kuna funzo muhimu katika huu msala wa baba yake: ukipanda chuki utavuna chuki. Inasikitisha kuona mtu anaumwa halafu watu kibao wanaombea aondoke tu.
50
29
730
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
1 year
. @moodewji ni alikuwa mchezaji wetu wa 12 leo uwanjani, na japo hizi bao mbili muhimu ni kwa kila mwana- @SimbaSCTanzania , he deserves more than asante. Ajengewe sanamu pale Msimbazi. Asante sana mkuu Mo ๐Ÿ™
Tweet media one
4
17
762
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Halafu "Oh Mo this, Mo that." Tungefika hapa bila @moodewji ? Ofkoz pongezi kwa wachezaji na kocha lakini itakuwa ukosefu wa shukrani tusipotambua mchango binafsi wa Mo. Haya mko wapi wale wa "utaratibu/mkataba haujazingatiwa"? Mkuu Mo piga kazi, tunaojielewa tunakusapoti
Tweet media one
44
60
729
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Kwa vile tu Mama @SuluhuSamia hakuteua chaguo lako kuwa Makamu wa Rais does not mean hafai kuwa Rais. Mimi nampa Mama Samia clean sheet of paper kabla sijamhukumu, akiboronga nitamkosoa (kama anavyochelewa kuvaa barakoa) na akifanya vema nitampongeza. Give Mama yetu a chance!
Tweet media one
48
41
701
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Amechuja kama Kigogo ๐Ÿ˜Š
Tweet media one
73
16
696
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Dear Mama @SuluhuSamia , nakusalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee. Asante kwa kuturejeshea matumaini tunaokuamini. As I have repeatedly said, kufanikiwa kwako ni kwetu sote. Wito wangu kwako ni kumuagiza Dkt Feleshi afute kesi ya Mh @freemanmbowetz . Itasaidia kujenga umoja wetu๐Ÿ™
Tweet media one
38
76
703
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
16 days
#Jasusi anakuletea uzi mfupi wa chapchap kuhusiana na kifo cha Rais wa Iran Ebrahim Rais na msafara wake kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea jana mchana.
Tweet media one
13
36
719
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Siku nikipata wasaa nitaeleza kwa kirefu kuhusu kikosi cha ulinzi wa viongozi cha Idara ya Usalama wa Taifa kinachofahamika kwa jina la PSU, ikiwa ni pamoja na jinsi gani miongoni mwao wanapatikana "walinzi wa karibu zaidi" na kiongozi husika. Itakuwa true story, si ubuyu.
Tweet media one
86
34
689
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
"Kadri watu wanavyopiga kelele ndio kadri "bipolar" yake inavyoongezeka. Unajua huyu mtu ana fragile ego, anapenda kusifiwa tu. Akikosolewa anafura kama chatu. Trust me, hizi kelele dhidi yake zikiendelea utaskia siku moja kaanguka pwaaa... au kajiuzulu..."
50
75
675
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#BreakingNews : Bwana Kakoko jana alikuwa amehamisha Shs 48 Bilioni kutoka BOT kupeleka NMB kwenye akauti ya matumizi kwa kisingizio kuwa awalipe Wachina kumbe ni kwa ajili ya Siasa za kupata Makamu wa Rais na Makamu mkt wa CCM. lakini pesa zote zimerudishwa BOT.
39
58
673
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
#KwaMaslahiMapana : Ingependeza endapo Bwana Nyalandu angeamua kumuunga mkono #TunduLissu ili zoezi la kumng'oa @MagufuliJP lianze mara moja. Ingependeza pia Bwana Membe nae atangaze kumuunga mkono Lissu.
Tweet media one
0
37
657
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Hizi taarifa kuwa Idara ya Usalama wa Taifa "imemuweka mateka" Mama @SuluhuSamia zinanitatiza mno. Nashawishika kuamini japo kiduchu kwa sababu Mama Samia nimjuae mie sio wa kumuweka Mbowe mahabusu ya wafungwa wa kunyongwa let alone kumbambikia ugaidi. Naskia VPN tena! ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Tweet media one
45
60
659
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
Moja ya athari hatari za utawala wa @MagufuliJP is taking symbiotic relationship btw CCM na Kitengo to whole new level ambapo sasa baadhi ya maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wamekuwa makada kamili CCM as was case ya huyu Bwana Ephraim Ngenzi (tulikuwa intake moja, UDSM too)
Tweet media one
28
32
662
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
You guys have a really cool President.
@OliverMathenge
Oliver Mathenge
3 years
President Uhuru Kenyatta cuts his speech at Magufuli's funeral mass in respect of Adhan that happened as he talked.
362
1K
6K
162
63
646
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Dear @TunduALissu , @godbless_lema na @ngurumo kuna jasusi wa TISS anaitwa ZANGIRA yupo hapa UK. Ndo tegemeo lao nchi za Magharibi. Kuna kazi amepewa na DGIS Diwani Athuman dhidi yenu. Kuweni makini. Naweza kuwapatia picha mkihitaji. Ngurumo waweza kuthibitisha thru your sources.
2
92
655
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 months
Jinsi Idara ya Usalama wa Taifa ilivyopata "maafisa tarajiwa" zama hizo kabla ya "ajira za kujuana" hazijaanza. Maelezo zaidi kwenye comments
Tweet media one
10
50
664
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#MATAGA script imebadilika. From "haumwi" to "hajafa" to "hajafa tarehe 12.03.2021" to "hajafa kwa Korona" to now "analiliwa sana kwa sababu alipendwa." Mlikuwa hamjazaliwa 1999 wakati wa msiba wa Nyerere. Na kama kweli alipendwa sana, kwanini mhangaike kutuaminisha?
39
46
623
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Nitamke tu kuwa mie na Wakili Msomi Kibatala tunatoka sehemu moja: Ifakara aka Ifoza. Ukoo wa akina Kibatala ni maarufu sana hapo Ifakara. Hopefully siku moja nita-link up nae... au labda ndo atakuwa wakili wangu katika mother of all cases in Tz... jasusi vs TISS ๐Ÿ˜Š
Tweet media one
43
43
625
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
When I broke the news re: Magufuli's demise, my sole intention was to inform the public. Not to deceive anyone. Not to compete with anyone. Not to confuse anyone. Not to convince anyone. The burden of proof, for those of you doubting the news, rests on you: prove me wrong.
30
58
597
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Wananchi aka Shikamoo Jazz Band aka Fainali Uzeeni ๐Ÿ˜Š
Tweet media one
56
24
587
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
โ€œI come from a very hypocritical society. Everybody knows who the bad people are. Everybody knows the reasons why we suffer, but theyโ€™d rather go after the underdog who is just trying to get by." - @burnaboy
24
154
528
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 months
Dear Idara ya Usalama wa Taifa, uzembe wenu unatufanya "wastaafu" tuingie kazini. Kuna NGO moja, makao makuu yapo Dar ila ina branches Shinyanga na Kigoma. Inaingiza raia kutoka nchi moja jirani kupitia sekta ya afya. Wana watu wao Uhamiaji na NIDA wanawasaidia. Acheni kulala ๐Ÿ˜ก
37
57
593
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Mnajifanya mnaipigania Tanzania lakini mnapinga wanaoitangaza Tanzania? Tatizo si @diamondplatnumz kuwa ni kada wa CCM, kwani hiyo ni haki yake kikatiba. Tatizo ni CHUKI. Genge linalompinga Chibu kuhusu BET ndo hilohilo linalimtusi Mama @SuluhuSamia kila kukicha. Stop hating ๐Ÿ˜ก
Tweet media one
90
58
569
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Kama kila kitu kitakwenda kilivyopangwa, basi kesho tutamjua Makamu mpya wa Rais. Inshallah. Napigia mstari "kama kila kitu kitakwenda kilivyopangwa."
26
25
566
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Mkuu, samahani kama nitakukwaza kwa kutoafikiana lakini ukweli ni kwamba tusingefika hapa tulipo bila mchango wako usiomithilika. Natambua kuwa wewe si mpenda makuu wala majisifu lakini kila mwana @SimbaSCTanzania atakuwa anatambua mchango wako. Asante sana #NguvuMoja
@moodewji
Mohammed Dewji MO
2 years
Simba imefika hapa ilipo si kwa ajili ya Mo, ila kwa ajili ya Mashabiki. Simba haiwezi kufanikiwa bila MASHABIKI. Tukutane Mkapa jumapili saa 4 usiku! #nguvumoja @SimbaSCTanzania
25
85
682
18
55
558
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Miongoni mwa walioshiriki kutengeneza kesi feki ya ugaidi dhidi ya Mheshimiwa @freemanmbowetz ni huyo AG aliyetolewa madarakani ambaye kilichomsaidia kupata wadhifa huo ni "ndio mzee" kwa Mwendazake. Yeye na kitengo walimpa fake info Mama @SuluhuSamia japo nae alipaswa awashtukie
Tweet media one
32
46
555
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
Kwa Bashite,uchapakazi ni muhimu kuliko elimu.Kwa watumishi 9,000+ waliotimuliwa serikalini,vyeti ni muhimu kuliko uchapakazi cc @MagufuliJP
Tweet media one
82
98
538
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
RIP Musiba. Haleluya ๐Ÿ™
61
21
521
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#BreakingNews : Rais @SuluhuSamia amechukua hatua KALI. Account ya matumizi ya TPA HQ IMEZUIWA. Sasa hivi hakuna matumizi yoyote yanayofanywa.
28
38
531
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Kitengo kimeajiri ndugu, jamaa na marafiki from private sector recently. Wamepewa crash course, hawana clue abt jukumu muhimu walilopewa, wanalipwa maradufu ya wazoefu walowakuta kazini. Most ni Lake Zoners. Athari za mzaha huu hazitoonekana leo/kesho but SHALL be seen in future
36
82
532
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
Mbowe: 1. Tunadai kuitishwa upya kwa uchaguzi mkuu 2.Tunahitaji kuvunjwa kwa NEC na ZEC 3.Tunalaani vitendo vya vyombo vya dola 4.Tunalaani mauaji ya watu zaidi ya 20 Tunatoa wito kwa wanachama wetu kushiriki maandamano yasiyo na kikomo kuanzia Novemba 2
Tweet media one
15
47
537
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
"Russiaโ€™s invasion of its neighbour has focused the worldโ€™s attention on the struggles of Ukraine and its people. Despite this, a similarly brutal conflict in the Ethiopian region of Tigray has failed to attract almost any attention at all."
Tweet media one
39
971
520
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
"Hard times will always reveal true friends."
16
55
511
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 months
Asante Afande CDF kwa uzalendo wako. Asante zaidi kwa Commander in Chief Afande Mama @SuluhuSamia . Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda nyote ๐Ÿ™
Tweet media one
Tweet media two
46
54
527
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
Vyanzo vyangu vinaniambia kuwa kwa nyakati tofauti Musiba na Bashite wameonekana Uhamiaji wakishughulikia hati zao za kusafiria. Guys, huu ni uchaguzi ambao Waingereza wanasema "yours to lose," yaani kama kwenye soka ni nyie na nyavu, golikipa kenda marikiti. Mshindwe nyie ๐Ÿ˜Š
0
72
506
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
"Shushushu: Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu wa Aina Gani? Na Anafanya Nini?" Kitabu hiki sasa chapatikana Amazon pekee
Tweet media one
39
58
495
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Hongera Mama @SuluhuSamia kwa ujasiri huu, maana ungeweza kabisa "kufunika kombe mwanaharamu apite," lakini umefanya kilicho sahihi. Kwa tunaojua kuwa fast-tracked vetting is prone to errors, kosa kama hilo lililotokea si la kushangaza. La muhimu umerekebisha kadhia husika ๐Ÿ‘
Tweet media one
15
41
489
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
5 years
Naandaa #breakingnews kuhusu undani wa hizo audio zinazosambaa. Nimefanikiwa kupata CHANZO na SABABU. Dah! Nimechoka kwa kweli!
52
18
467
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Wahafidhina within Idara ya Usalama wa Taifa wamemueleza Mama @SuluhuSamia kuwa @freemanmbowetz AKIFUNGWA, KISHA MAMA AKAMPA MSAMAHA itamuongezea her political capital. Dear Mama Samia hao majahili hawakutakii mema. Mateso dhidi ya mtu asie na hatia hayawezi kuwa mtaji wa kisiasa
Tweet media one
27
65
494
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Russian President Vladimir Putinย plunges into icy Lake Seliger at a male monastery 5ยฝ hours northwest of Moscow, during the Orthodox celebration of Epiphany.
Tweet media one
7
82
445
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Ila nchi yetu ina uhaba wa wazalendo. Hadi muda huu hakuna mwanasheria japo mmoja aliyeamua "kujilipua" kwa kutamka "enyi mlioitwa tishio kwa usalama wa taifa, najitolea kuwawakilisha dhidi ya Musiba." I guess #Lissu would have "bought" this case had he not been in hospital.
27
54
477
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Dah nimembaini "super pandikizi," and I'm virtually dead. Ndugu zangu wa upinzani kazi mnayo kwa kweli. Time and again, nawasisitiza muimarishe vitengo vya intelijensia kwenye vyama vyenu. Hayo mapandikizi ni kansa inayowatafuna kimyakimya ๐Ÿ˜ž
28
41
478
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
Naambiwa kuna mwongozo umetolewa kwamba "vifo vya watu maarufu" visitangazwe, kwa sababu "vinaichafua serikali ya @MagufuliJP " ambayo "imefanikiwa kudhibiti korona" kwa "KUPUUZA vifo vya walalahoi." Naambiwa kuwa "vigogo kadhaa wamevuta" lakini taarifa za vifo vyao zimedhibitiwa
34
19
481
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
Nimejiskia uchungu kwa kweli. Pole sana dada. Good news is, Mola wako bado yupo nawe...and that's all that matters!
92
37
466
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
Sakata la almasi iliyokamatwa eapoti: nyaraka zaonyesha kuwa Serikali sio tu iliridhia bali pia ilishiriki
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
78
127
468
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Zaidi ya 50% ya Ma-DC, RAS na DAS ni maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa. Hawa walipewa nyadhifa hizo na Magufuli kwa sababu maalum. Mama @SuluhuSamia anapaswa kuwarejesha kitengoni. Benki Kuu nako, hali ni hiyohiyo. Na inachochea dharau na ufisadi. Mumfikishie ujumbe Mama yetu.
19
54
462
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
Lakini baada ya #Lissu kupona Chadema nao itapaswa watueleze kwanini hawana fedha za matibabu ya Lissu. Pesa za ruzuku zinaenda wapi?
77
65
456
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Tufike mahala tuambiane ukweli: @MagufuliJP anaipeleka Tanzania kusikostahili. And that is too bad. But what's even worse ni kwamba asilimia kubwa ya Watanzania wanasubiri miujiza, kwamba siku moja huyu bwana atabadilika. He won't. Worse is yet to come (God forbid) #MarkThisTweet
Tweet media one
53
107
452
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Last night I attended @daddyhope 's Twitterspace. I learned a lot from him. He's exceedingly passionate about his change in Zim. All I could tell my Zim brothers & sisters is you are truly lucky having Hopewell. In Swahili, we call such a person "mtu na nusu" (a man and a half).
20
91
463
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
Siku CCM ikondoka madaraka ndo utakuwa mwisho wa bongofleva na bongo muvi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
106
26
452
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 months
Pengine ni mabadiliko kutokana na nyakati, lakini miaka ya nyuma, kitengo kiliwekeza vya kutosha katika kumwandaa afisa mtarajiwa. Siku ya kwanza mafunzoni ilikuwa ni kama "siku kutoka kuzimu" (a day from hell). Pata fleva kidogo hapo chini kwenye comments
Tweet media one
10
47
468
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
"Usizungukwe na wasaidizi wanaotamani wadhifa wako."
20
38
460
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
Mama @SuluhuSamia yu bukheri wa afya, na panapo majaliwa atafanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri shortly
Tweet media one
28
29
449
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
. @ProfessorJayTz get well soon champ!
Tweet media one
7
24
437
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
So what happened to "VP wetu" Emmanuel Nchimbi? ๐Ÿ˜Š
69
8
442
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
My name is Bond... BLACK James Bond #cantwait #IdrisElba
Tweet media one
8
40
444
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
#UshauriWaBure : Dear @ChademaTz nadhani umati uliojitokeza leo kumpokea #TunduLissu licha ya vitisho vya @tanpol umewarahisishia kazi ya kuteua mgombea urais kwa tiketi ya chama chenu. Mkimkata mmeua chama.
Tweet media one
23
22
441
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#Update5 : Mwili bado Upo Presidential Suite Mzena Hospital
31
50
417
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
1 year
Mnara wa Babeli? Waziri Wapambe
Tweet media one
Tweet media two
21
28
440
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
๐Ÿ˜
Tweet media one
19
20
427
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Haiingii akilini: Ben Saanane+Azory hawajulikani walipo, Lissu kamiminiwa risasi kadhaa, na majuzi viongozi wawili wa CDM wameuawa kinyama...kisha mbwa mmoja anabweka "hawa watu 10 ndo tishio la usalama Tz." Nani alomtuma mbwa huyu? Yani sie hatari zaidi ya #WatuWasiojulikana ?
35
52
424
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Chagua jibu sahihi Bashite ni sawa na (a) mtoto wa rais (b) makamu wa rais+waziri mkuu+mkuu wa usalama wa taifa (c) mkuu wa wakuu wa mikoa (d) rais
Tweet media one
193
33
431
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
"I don't wish anyone dead but I've read some obituaries with great satisfaction." - Mark Twain
5
31
428
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
2 years
It's all over: We @SimbaSCTanzania have won 1 - 0 vs RS Berkane #NguvuMoja
Tweet media one
3
7
426
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 months
Mnaandaliwa kisaikolojia
Tweet media one
36
33
437
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Kigogo mmoja mstaafu jeshini aliletwa kwenye matibabu hapa Uingereza, ni poti wake Magufuli na malipo yalifanywa na serikali. Pia ndugu wa huyo mjeshi alipoumwa alipelekwa India akatibiwa na gharama za serikali. Hakuna cha kubana matumizi wala nini. Sema anakula na "mapoti" wake
10
50
416
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Nobody told me to support Mama @SuluhuSamia . I chose to.
Tweet media one
18
19
410
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Shughuli ya uwekaji mashada bila kuhusisha japo kiongozi mmoja wa Upinzani sio ishara nzuri
Tweet media one
70
38
411
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Mjifunze kudai haki zenu. Mkilishwa matango pori mumkalie kooni mhusika na kumuuliza "ulituaminisha hivi, kulikoni"? Itasaidia kuzuwia "kulishwa matango pori" zaidi ๐Ÿ˜Š
56
21
417
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
This trio should be very worried: ๐Ÿ‘‰Doto James (Magufuli's nephew, Paymaster General) ๐Ÿ‘‰Paul Makonda (Magufuli's adopted son, ex- Dar City governor) ๐Ÿ‘‰Heri James (Magufuli's nephew, Ruling party CCM's youth Wing chairman).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
38
412
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Baadaye leo nitahojiwa na kipindi cha Newsday cha BBC World Service kuhusu hali ya kisiasa nchini Tanzania. Kipindi husika kitarushwa kesho alfajiri kwa mida ya hapa UK.
14
39
406
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
4 years
โ€œAfisa wa TISS Aliyemteka Dkt ULIMBOKAโ€ Apitishwa na CCM Kuwania Ubunge
18
33
416
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
"Once youโ€™ve matured you realise silence is more powerful than proving a point."
8
56
409
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
Dear Mama @SuluhuSamia tusipokwambia ukweli penye kasoro tutakuwa tunakuhadaa kama wanafiki walivyomfanyia Marehemu Magufuli. Hapa kwa Shaka mmeingia chaka. Ni hayo tu!
Tweet media one
10
1
405
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
3 years
#Tujikumbushe : Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama
Tweet media one
2
19
402
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
5 years
"Kama ilivyo kwa CAG, hata Rais sio lazima wananchi wampe kipindi kingine cha miaka mitano. Hakuna mahali panalazimisha hivyo."
23
30
401
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
7 years
Ungana nami kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mtumishi huyu wa Mungu, dadangu/mdogo wangu Sister Maria-Solana Chahali. Happy birthday Sista
Tweet media one
34
14
398
@Chahali
๐‰๐š๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
6 years
Huko Idara ya Usalama wa Taifa wanajua bayana kuwa kuna "Usalama wa Taifa" mwingine chini ya Bashite lakini kwa kukosa uzalendo wanashindwa japo kuiga mifano ya wenzao kimataifa when they don't agree with mwelekeo wa nchi. Very well paid, posho nzuri, why should they care?
16
39
381