Simba Sports Club Profile Banner
Simba Sports Club Profile
Simba Sports Club

@SimbaSCTanzania

1,621,947
Followers
38
Following
17,580
Media
19,971
Statuses

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN )

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Amerudi anapostahili kuwepo. Karibu tena nyumbani, @LuisMiquissone #NguvuMoja
Tweet media one
1K
2K
14K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
YESSSSSS ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ๐Ÿคฉ Hongera sana @ousmane10_sakho ๐Ÿ’ช #CAFAwards2022 #NguvuMoja
Tweet media one
641
1K
10K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Kutoka London hadi Dar es Salaam, Salim Kikeke atakuwa MC namba moja kwenye tamasha kubwa zaidi nchini, #SimbaDay2023 #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Tweet media one
282
649
10K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Karibu Simba SC, Fabrice Ngoma. Taarifa zaidi kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
467
724
9K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Mwanasimba andika ujumbe wako hapa kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa @LuisMiquissone ๐ŸŽ‚ #NguvuMoja
Tweet media one
480
503
9K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Karibu Simba SC, Willy Essomba Onana. Taarifa kamili kuhusu usajili wake inapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
546
742
9K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
๐€๐’๐€๐๐“๐„๐๐ˆ ๐’๐€๐๐€. Wafuasi milioni moja kwenye Twitter ๐ŸŽŠ๐ŸŽ‡ #NguvuMoja
Tweet media one
496
739
9K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Karibu Simba SC, Che Malone Fondoh. Taarifa zaidi inapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
459
635
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Simba SC tumefikia makubaliano na klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumnunua mchezaji wetu Pape Sakho. Tunamtakia kila la kheri Sakho kwenye timu yake mpya. Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
360
621
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Tunawapongeza Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/22. #NguvuMoja
804
831
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Saidi Ntibazonkiza ni ๐Œ๐๐˜๐€๐Œ๐€ ๐Ÿฆ #Ntibazonkiza #NguvuMoja
Tweet media one
604
502
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mshambuliaji wa magoli, @baleke_12 Bonne journรฉe ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
222
470
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
๐Ÿ‘• Jezi bora na za viwango vya juu kutoka kwa ๐‘ด๐’๐’š๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐Ÿฆ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
880
1K
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Washindi wamekutana ๐Ÿคฉ Sakho ๐Ÿซ‚ Mane #CAFAwards2022 #NguvuMoja
Tweet media one
153
627
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Mtu wa kazi na nusu. Ana hatari huyu ๐Ÿ˜Ž #NguvuMoja
Tweet media one
211
369
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
P-U-T-I-N #NguvuMoja
Tweet media one
197
317
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Mchezaji Bora wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Mwamba wa Lusaka, @ClatousCC โœจ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
275
504
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Mlete nani? ๐Ÿคฃ THIS IS SIMBA ๐Ÿฆ #NBCPremierLeague #NguvuMoja
Tweet media one
403
502
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Karibu Simba SC, Aubin Kramo. Taarifa kuhusu usajili wake zinapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
453
563
8K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
321
682
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
"Nimepata mapokezi makubwa Simba, moyo unapenda unapo thaminika. Kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana Wanasimba. Asanteni kwa kunikaribisha."- King Kiba. #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
212
414
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
KUMRADHI. #NguvuMoja
Tweet media one
521
554
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Elezea kiwango cha Baleke kwa kutumia emoji ๐Ÿ˜ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
587
295
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Mabibi na mabwana ile siku ya furaha kubwa kubwa zaidi imefika ๐Ÿคฉ Mko tayari? #NguvuMoja
Tweet media one
395
459
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
๐ŸŽ’Kibegi ndo habari namba 1 Tanzania, Asanteni sana watanzania muda mchache mtaona kit mpya za Mnyama zilizomo ndani ya Kibegi Saa 1 kamili jioni picha zote zitaanzia kwenye Simba Appโ—๏ธ #Kibegi #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
327
691
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
7๏ธโƒฃ Onana. Ana balaa huyu. #NguvuMoja
Tweet media one
292
340
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Wachezaji wetu wanne wametajwa kwenye kikosi bora cha wiki cha Ligi ya Mabingwa Afrika. โญ๏ธ Shomari Kapombe โญ๏ธ Clatous Chama โญ๏ธ Jean Baleke โญ๏ธ Sadio Kanoute #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
185
370
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na kiungo mkabaji Ismael Sawadogo. Taarifa zaidi Simba App ๐Ÿ“ฑ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
618
371
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Salamu za pole kwa Young Africans. #NguvuMoja
Tweet media one
399
627
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Kama ilivyo kawaida yetu TUMESHINDA ๐Ÿคฉ #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
Tweet media one
439
606
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
SIMBA MKUBWA WAO ๐Ÿฆ #NgaoYaJamii #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
222
592
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Wanasimba mjiandae kwa magoli ya viwango kutoka kwa Dejan Georgijeviฤ‡. #SimbaWeek #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja
Tweet media one
256
411
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Sakho kwenye usiku wa Tuzo za CAF 2022. #CAFAwards2022 #NguvuMoja
Tweet media one
143
470
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
8 months
Pongezi nyingi kwa Taifa Stars kwa kufuzu AFCON 2023. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
125
467
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
@yangasc1935 Pole mtani. Kila la kheri kwenye Kombe la Shirikisho. #Tanzania #NguvuMoja
646
707
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Uongozi wa klabu unatoa shukrani za dhati kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye timu yetu kiungo mkabaji, Jonas Mkude katika muda wote wa miaka 13 aliyodumu nasi. Tunamtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya ya maisha ya soka nje ya Simba.Taarifa zaidi Simba #NguvuMoja
Tweet media one
520
362
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Karibu tena nyumbani, Duchu. #NguvuMoja
Tweet media one
278
363
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Mwamba huyu hapa ๐Ÿคฉ Nelson Okwa ni ๐— ๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—” ๐Ÿฆ #NguvuMoja
Tweet media one
573
611
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Mashujaa wetu wanarudi nyumbani. Kesho saa 4:05 asubuhi watawasili nchini. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
568
397
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Nous sommes heureux pour vous @ousmane10_sakho ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ ๐Ÿ‘ Mchezaji pekee anayecheza ligi za ndani ya Afrika kuitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Senegal. #NguvuMoja
Tweet media one
120
406
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Karibu Msimbazi, Ayoub Lakred. Taarifa kamili tembelea Simba App ๐Ÿ“ฑ #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
226
411
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Tumekuwa klabu iliyofatiliwa zaidi barani Afrika kwa mwezi Agosti, 2022 kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter. Hii ni mara ya kwanza kuongoza Twitter. #NguvuMoja
Tweet media one
283
461
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
1K
317
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
11 months
Unastahili hili ๐Ÿ‘ Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23, Saidi Ntibazonkiza. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
417
471
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Pape Sakho tayari amefika nchini Morroco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuhudhuria Tuzo za CAF 2022 ambazo zitafanyika leo saa 4 usiku (EAT) jijini Rabat. #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
202
420
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
๐Ÿ’ช Tunatinga kibabe kwenye hatua ya makundi ya #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
Tweet media one
211
546
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Uongozi wa klabu unapenda kuwajulisha kuwa hatutaendelea kuwa na mlinzi wa kushoto Gadiel Michael baada ya mkataba wake kufikia tamati. Taarifa zaidi Simba App #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
390
289
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Operation Casablanca. Tunaitaka nusu fainali. #NguvuMoja
Tweet media one
285
392
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
6 months
Tuzo ya Mashabiki Bora wa African Football League 2023 ๐Ÿคฉ #AFL #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
264
456
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Kiungo wa katikati ya dimba mwenye uwezo mkubwa wa kuhimili mechi za aina zote. Victor Akpan ni ๐— ๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—” ๐Ÿฆ #Akpan #NguvuMoja
Tweet media one
519
439
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Tweet media one
414
395
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Karibu Simba SC, Idd Chilunda Taarifa zaidi kuhusu usajili wake ingia kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
259
384
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Tweet media one
189
757
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Inonga bado yupo sana ๐Œ๐’๐ˆ๐Œ๐๐€๐™๐ˆ ๐Ÿฆ #Inonga #NguvuMoja
Tweet media one
228
302
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Habari ya asubuhi kutokea kwa mshindi wa Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022 ๐Ÿ˜ƒ #CAFAwards2022 #NguvuMoja
Tweet media one
178
440
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Muda wa kuitumia klabu yake ya maisha โœ๏ธ #Miquissone #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
191
587
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Clatous Chama na Sadio Kanoute โ€˜Putinโ€™ wametajwa kuwa sehemu ya wachezaji wanne ambao wanawania kuwa Mchezaji Bora wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kura zinapigwa kwenye ukurasa wa Twitter wa CAF unaohusika na mashindano ya vilabu. #PlayerOfTheWeek #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
205
372
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
5 months
Karibu Unyamani kocha wa makombe Abdelhak Benchikha. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
634
720
7K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Historia imeandikwa ๐Ÿ“ Hongereni sana @simbaqueensctz #CAFWCL #NguvuMoja
Tweet media one
197
433
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Mwamba wa Kaskazini, Joh Makini atakuwepo kesho kukuburudisha. #SimbaDay #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Tweet media one
77
286
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
8 months
Jeneraliiiiiiiii Phiri ๐Ÿซก #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
88
257
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Kwa timu hii, msimu sasa uanze ๐Ÿฆ #NguvuMoja
Tweet media one
251
356
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
4 months
Tweet media one
158
348
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
187
444
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Mr. Hat-trick โšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ #NguvuMoja
Tweet media one
157
282
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Mwanasimba kwelikweli, Tundaman atakuwepo kesho kuwapa burudani katika Simba Day. #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Tweet media one
113
296
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Tweet media one
194
340
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Tweet media one
1K
249
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
4 years
MORRISON IS RED ๐Ÿ”ด #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
647
467
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
431
322
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Mchezaji mzawa mwenye hadhi ya kucheza kwenye timu kubwa Afrika. Habibu Kyombo ni ๐— ๐—ก๐—ฌ๐—”๐— ๐—” ๐Ÿฆ #Kyombo #NguvuMoja
583
341
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
๐€๐’๐€๐๐“๐„ ๐๐–๐€๐‹๐˜๐€ Tumefikia makubaliano ya kumuuza mchezaji wetu Rally Bwalya. Taarifa zaidi kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
440
332
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Kwa namna alivyofanya vizuri kwa kipindi cha nusu msimu alichocheza. Unadhani msimu wa 2023/24 atamaliza na magoli mangapi? #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
236
308
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea kuwa na mchezaji wetu kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake kumalizika. Taarifa zaidi Simba App #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
394
283
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
3 years
@AlAhly Congratulations to @AlAhly on winning the 2020/2021 CAF Champions League! ๐Ÿ™Œ๐Ÿ† ๐Ÿฆ๐Ÿค๐Ÿฆ… #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
56
643
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Sisi ni people mtani na leo tutakutana. #NgaoYaJamii #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
137
332
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Unalizungumziaje goli la mkali Dejan Georgijeviฤ‡ ๐Ÿ˜Š #NguvuMoja
Tweet media one
323
209
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba. Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ( @SuluhuSamia ). Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania. Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwaโ€ฆ
Tweet media one
491
502
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Kocha Mgunda ๐Ÿ™Œ Ushindi ushindi tu โœ”๏ธ #NguvuMoja
Tweet media one
147
287
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Kipindi cha pili kimeanza. Taarifa zaidi kuhusu mchezo ingia kwenye Simba App. #NguvuMoja
Tweet media one
77
200
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Kazi kubwa imefanywa na golikipa wetu Ally Salim ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Andika ujumbe wako hapa wa kumpongeza. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
304
386
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Tunaanza kusaka ubingwa wa Ligi Kuu kwa ushindi ๐Ÿ’ช #NBCPremierLeague #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
242
341
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
3 years
Jezi yenye viwango vyote vya kuitwa ๐™Ÿ๐™š๐™ฏ๐™ž ๐™—๐™ค๐™ง๐™– ๐Ÿ’ฏ #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
494
650
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
Heri ya siku ya kuzaliwa El Capitano John Bocco ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‚ #NguvuMoja
Tweet media one
151
272
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Karibu Simba SC, kocha wa makipa Chlouha Zakaria. #NguvuMoja
Tweet media one
460
346
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Moja ya vijana hatari kwa sasa kwenye soka la Afrika. CAF wamethibitisha hilo ๐Ÿคฉ #NguvuMoja
Tweet media one
167
260
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Salomon Kalou na mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona, Alex Song wako hapa kwenye Simba Day. #SimbaWeek #SimbaDay #SimbaDay2022 #NguvuMoja
Tweet media one
80
389
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
9 months
๐ŸŽ’ Kibegi kimefika kwenye kilele cha mlima mrefu zaidi barani Afrika na kutupa nafasi ya kuandika historia ya kuzindua jezi kwenye Mlima Kilimanjaro. Picha zaidi kuwajia hivi punde. Shukrani za dhati kwa @CRDBBankPlc @TTCLCorporation #Kibegi #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
235
645
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Klabu Bora kwenye Instagram kwa mwezi Julai, 2022 ๐Ÿ’ช #NguvuMoja
Tweet media one
178
416
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tweet media one
312
353
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
6 months
TAARIFA KWA UMMA. #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
2K
572
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Tutakutana na Wydad Athletic Club kwenye hatua ya robo fainali ya #TotalEnergiesCAFCL #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
553
410
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
๐Ÿฆ ๐๐Ž๐’ ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ #NguvuMoja
Tweet media one
51
231
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Historia itaandikwa ๐Ÿ“ Uzinduzi wa jezi za msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro ๐Ÿ—ป #NguvuMoja
Tweet media one
182
317
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
Yooooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Unadhani @ClatousCC anawaonesha nini wachezaji wenzake na kuanza kucheka?n #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
373
387
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
10 months
Beki la kazi ๐Ÿฆ #NguvuMoja
Tweet media one
140
302
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Kazi nzuri kwa makamanda wetu imeleta ushindi. #NguvuMoja
Tweet media one
166
237
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
1 year
ู†ุงุฏูŠ ุณูŠู…ุจุง ุงู„ุชู†ุฒุงู†ูŠ ูŠุชู…ู†ู‰ ุนูŠุฏ ู…ูŠู„ุงุฏ ุณุนูŠุฏ ู„ุดู‚ูŠู‚ู‡ ุจุงู„ู…ุบุฑุจ ู†ุงุฏูŠ ุงู„ุฑุฌุงุก ุงู„ุนุงู„ู…ูŠุŒ ู…ุน ูƒู„ู‘ ุงู„ุชู…ู†ูŠ ุจู…ุฒูŠุฏ ู…ู† ุงู„ู†ุฌุงุญ ูˆุงู„ุงู†ุฌุงุฒุงุช๐Ÿฆ…๐Ÿค๐Ÿฆ @RCAofficiel #SimbaSC #RajaAC #NguvuMoja
Tweet media one
186
268
6K
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
Tumerudi nyumbani Tanzania kumaliza kazi. #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
217
345
6K