Joseph L. Haule Profile Banner
Joseph L. Haule Profile
Joseph L. Haule

@ProfessorJayTz

832,047
Followers
1,613
Following
1,374
Media
32,098
Statuses

Hip Hop Artist

HANDS UP ft Gnako Video Link👇
Joined December 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Am back again✍️
Tweet media one
Tweet media two
1K
2K
14K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Leo Nimeanza rasmi Oparation Rudisha Shavu , nikiwa na mdogo wangu wa damu @blackchatta hapa kwa @kazimotopork TABATA SEGEREA , Karibuni sana🙏🙏🙏
Tweet media one
559
567
9K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 months
Ni Dada mkuu na Kaka mkuu tena💪💪 Dada mkuu @jidejaydee amefunga safari straight from USA kuja kunijulia Hali na pia kuniletea Salaam nyingi sana kutoka kwa mwanangu @roma_zimbabwe Am Humbled🙏 Ulikuwa wakati mzuri sana kukuona tena my lovely Sister, Bless Up❤️❤️❤️
Tweet media one
273
487
8K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Leo nimefurahi sana kutembelewa na ndugu zangu wa ukweli @therealfidq @aytanzania @ngomanagwa na @tharealsimplex Asanteni sana kwa kuja, Mungu awabariki sana🙏🙏🙏
Tweet media one
268
401
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Asante MUNGU kwa ulinzi na Afya njema, Asanteni sana WanaMIKUMI wote kwa kuniamini kuiwakilisha MIKUMI yetu, Nakishukuru sana chama changu cha CDM kwa kuniamini, Nimetia NIA tena ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kupitia Chama changu cha CHADEMA, Eeh Mwenyezi Mungu NISAIDIE🙏🏻
Tweet media one
369
263
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 months
Nakushukuru sana Mungu Baba Mwenyezi , Muumba wa mbingu na ardhi na vitu vyote vilivyomo kwa zawadi hii ya Uhai kwa mara nyingine tena, HAPPY BIRTHDAY TO ME, Sina Cha kukulipa baba zaidi ya kutangaza Sifa zako na Utukufu wako siku zote za maisha yangu🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
431
562
6K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ASANTE sana Mwenyezi MUNGU mwingi wa REHEMA, Wewe pekee ndie unaijua vizuri KESHO ya kila mmoja wetu🙏🏻 Nawatakia wote JUMAPILI NJEMA❤️❤️
Tweet media one
288
219
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
NIMEJIFUNZA kwamba sisi Wanadamu inatupasa kuchunga sana NDIMI ZETU, Kutafakari kwa kina KAULI ZETU na inapobidi ni Kufunga kabisa MABAKULI yetu kwani Malipo yapo Hapa hapa DUNIANI na Mwisho wa UBAYA ni AIBU🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
322
309
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 months
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kutupa zawadi hii ya Uhai na kuwa pamoja mpaka Leo, Asante sana Mke wangu kipenzi @mke_wa_profjize kwa kuvumilia mapito yote tuliyotupitia pamoja sina la kusema zaidi ya NAKUPENDA SANA❤️❤️ Happy anniversary to us my beautiful wife❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
Tweet media two
144
329
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
1 year
Toka juzi nilipotangaza #OparationRudishaShavu nikiwa pale @kazimotopork TABATA SEGEREA Nimepokea mialiko mingi sana kutoka sehemu mbalimbali, Nawashukuru sana wote kwa Upendo wenu na kunitakia Mema katika maisha yangu, Tumuombe Mungu atupe uzima tu, AMEN🙏
Tweet media one
155
228
5K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Tarehe 29 December ndio siku niliyobarikiwa Kuzaliwa ,Na kwa BAHATI kubwa na ya kipekee sana nilibahatika kuSHARE Tarehe moja na Mwezi mmoja Wa kuzaliwa na MAMA yetu Mzazi Mama ROSEMARY MAJANJARA, HAPPY BIRTHDAY MAMA, Mourn Till i join You❤️❤️❤️ Happy BIRTHDAY TO ME🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
493
158
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Jina langu linaongeza idadi ya MAADUI, Wengine nawajua wengine SIWATAMBUI, 🔥🔥🔥JINA LANGU.....
Tweet media one
277
139
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 months
Leo nimepata Neema ya kutembelewa na NABII @godblessjlema1 Hakika Mungu ni mwema sana siku zote asante sana ujio wako umenipa nguvu sana Leo🙏🙏
Tweet media one
87
206
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MIKUMI. MGOMBEA : Joseph Leonard Haule Kura zilozopigwa 138 Kura za NDIO - 137 Kura za HAPANA - 0 Kura zilizoharibika 1.
215
162
4K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 months
EP yangu mpya Ya ‘_NUSU PEPONI NUSU KUZIMU ‘ imetoka tayari kwenye All Digital platforms Worldwide pia unaweza kupitia LINK ipo kwenye BIO yangu🤟🏼
Tweet media one
Tweet media two
104
606
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
No RETREAT No SURRENDER🕶🤺💣🥊Ukianguka, Unainuka, Unajikung'uta na KUSONGA MBELE👣 NEVER BACK DOWN💪🏻💪🏻💪🏻
Tweet media one
145
185
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Happy Birthday RAIS wa MBEYA @IamJongwe__ @IamJongwe__ Pambania KOMBE mwanangu Mwanzo mwisho mpaka KIELEWEKE ✌️✌️
Tweet media one
123
111
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
2 years
LEO amezaliwa mwanangu kipenzi LISA JOSEPH HAULE, Nakuombea kila lililo jema katika kumbukizi ya siku yako hii muhimu, Mwenyezi Mungu akulinde na akufungulie kila mlango wa Heri, Kikubwa zaidi Nasubiria DIVISION ONE yako uliyoniahidi kwenye matokeo ya mtihani wako wa FORM FOUR❤️
Tweet media one
230
123
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 months
Nimeamua kuileta kwenu video hii ya SIKU 462 rasmi kwa mashabiki wangu kokote mliko duniani, leo kwenye siku yangu yakuzaliwa, ni dakika kadhaa zinazo onyesha na kuelezea mapito niliyoyapitia, link ipo kwenye bio🤞🏼🤞🏼
161
558
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Mbona WAMENUNA? Maana Nilitegemea LEO wale waliokuwa wanashangilia wagombea wao kupita bila kupingwa ndio wangegalagala chini kabisa kwa FURAHA, kwani tumewaachia Mitaa,Vijiji na Vitongoji vyote, Haya Sasa WATENDAJI tokeni uko MAFICHONI mkaendelee na KAZI na Muwashe SIMU zenu🤪
Tweet media one
163
191
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
7 months
KING anapokutana na KING💣💣🔥 Studio Session 💪🏻💪🏻 Yajayo yanafurahisha sana✍️✍️✍️ @kingsmusicrecords @binladen_255
Tweet media one
55
187
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
6 months
Tweet media one
37
423
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Happy birthday Mfanyabiashara Maarufu wa Afrika Mashariki na Kati na kusini mwa Jangwa la SAHARA Pamoja na GHUBA ya UAJEMI, ISHI zaidi my Brother and NEVER BACK DOWN🙏🙏 @jongwe__ #UTANIAMBIANINI is OUT NOW
Tweet media one
80
138
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
LALA SALAMA ndugu yangu @masoudtheking Leo ndio unapumzishwa kwenye nyumba yako ya MILELE😭😭 Tangulia kamanda Nasi Tunafuatia🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
146
76
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Wewe sio Gaidi... wewe ni kiongozi bora Tanzania, Afrika na Duniani. Tuliopita mikononi mwako tunajua. Busara zako, bidiii na kujituma katika kazi, mapenzi yako kwa nchi yetu, utu na upendo wako havipimiki...Tutakupigania, tutakutetea na Utarudi imara na utawashangaza✌✌
Tweet media one
62
397
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ISHI Ulaumiwe KUFA Usifiwe... Hiyo ndio HULKA ya Binadamu.
Tweet media one
113
134
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
7 months
Happy birthday mwanamke wa maisha yangu @mke_wa_profjize Wewe ni mwamamke wa shoka, Shujaa wangu Jasiri, mvumilivu na mwenye upendo wa hali ya juu sana kwangu, Umenivumilia kipindi chote kibaya kabisa cha mapito ya maisha yangu ukapambana pamoja na mimi,I LOVE YOU soo Much❤️❤️
Tweet media one
73
170
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Wanageuza Ukweli KINYESI kuwa MKATE.. Wanailea mimba ili wazae MAJUNGU, Yaani ni kichekesho kuona mnambeep MUNGU, Huwezi kupinga Jema na Kweli yenye Utakaso, Watalia machozi ya Damu na Meno kutoa JASHO🔥🔥 - J.O.S.E.P.H (2005)
Tweet media one
94
164
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Me,myself and I❤️❤️ #withmyprincess 👑💕 @l .i.s.a.h_profjize
Tweet media one
Tweet media two
119
64
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Binadamu wako Hivi, Akiwa anakufahamu hataki Ufanikiwe, Anaona Bora afanikiwe mtu asiyemjua, Cha ajabu UKIFANIKIWA anataka umsaidie akiamini Asiyemjua hawezi kumsaidia, UBINADAMU kazi sana😤😤😤😤
Tweet media one
165
235
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
11 months
Happy birthday Tajiri @fred_vunjabei Ishi sana ndugu yangu🙏🙏🙏
Tweet media one
23
54
3K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
GWIJI🔥🔥 Wanatamani wapangue kile MOLA alichopanga, Wanatangaza AMANI huku wameficha MAPANGA💣💣💣 #Mikumi all Day Everyday🦾
Tweet media one
72
106
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
NIMETEULIWA kuwa Mgombea wa Jimbo la MIKUMI, Tukutane tar 28 OCTOBER✌️✌️
Tweet media one
42
81
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Kipindi hiki mtasikia Sana Matusi, kejeli na Propaganda kibao kutoka kwa wazee wa kujipendekeza, kuweni nao makini na WAPUUZENI kwani tupo IMARA sana kuliko Jana na MAPAMBANO bado YANAENDELEA Mwanzo mwisho, Never BACK DOWN✊ MIKUMI kwenye Ramani✌ - Mwenyekiti wa CDM (W)- KILOSA
Tweet media one
79
138
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Kila ninapokuja jijini MBEYA lazima nifikie kwenye Hotel ya Kimataifa HOTEL DESDERIA @hotel_desderia 'HOME OF HOSPITALITY❤️❤️❤️ 'KODAK MOMENT' kidogo na Mkurugenzi waHotel hii @jongwe__ na Mama la Mama @mke_wa_profjize LEVEL ni zile zile za SAYARI YA MARS, NUFF RESPCT🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Tweet media one
72
130
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Happy birthday JEMBE langu @halimamdee Mwenyezi Mungu akuponye Mapema na akujaalie Maisha marefu zaidi🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
81
90
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Yaliyopita si Ndwele tumeamua kuganga yajayo, Tumerudi kufanya KAZI pamoja tukiwa IMARA zaidi, Yajayo YANAFURAHISHA, Eeeh Mwenyezi Mungu TUSAIDIE🙏🏻🙏🏻 @majani187 ndani ya MWANALIZOMBE STUDIOS - Mikumi. PIGA: 0713 272900
Tweet media one
83
125
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Stand UP✊ Nasikia hapa MIKUMI wapo 50 namsubiri sana huyo KINARA wao✌️✌️✌️ Huko kwenu kuna HABARI gani🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
Tweet media one
96
79
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nakushukuru sana Kiongozi wa Upinzani BUNGENI @freemanmbowetz kwa kuniamini na kuniteua kuwa Naibu waziri wa MADINI kwenye BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI KIVULI, Hii ni Heshima kubwa sana kwangu na kwa wana MIKUMI, Naipokea kwa unyeyekevu KAZI uliyonituma na Ninakuahidi SITAKUANGUSHA🙏🏻
Tweet media one
98
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI STAND UP✌️✌️✌️ Asanteni sana wale wote mnaoendelea kuniunga mkono, Kwa PAMOJA tunakwenda kushinda kwa kishindo kikuu, Naombeni sana SUPPORT yenu na MAOMBI yenu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
69
143
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Kitendo cha KUENGULIWA wagombea wetu wa Upinzani karibu maeneo yote Nchini bila Sababu za msingi, sio tu kinachochea uvunjifu mkubwa wa AMANI bali pia kinaua kabisa Misingi ya Demokrasia, HAKI na UHURU kwenye TAIFA LETU😭😭Mkicheza NGOMA angalieni na JUA, Msije sema Hatukusema🇹🇿
Tweet media one
120
154
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Muda unaodhani upo SALAMA ndio wa HATARI zaidi🙏🏻 AKILI Za Kuambiwa Changanya na Zako, Tujilinde na tuwalinde wengine, CORONA IPO na INAUA sana😭😭
Tweet media one
66
87
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
SHULE YA BURE. Sio lazima kila siku uimbe MATUSI na Mambo ya kitandani ili Wimbo wako uwe mkubwa na upendwe, Bali unaweza kuimba wimbo wenye mafunzo mema kwa jamii na Wadau wakakushika mkono kwa kiwango cha juu kabisa, Kwa Pamoja tunaweza tukakiokoa KIZAZI hiki🙏🏻🙏🏻 #BABA
Tweet media one
113
210
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI STAND UP✊ Nyumba kwa Nyumba, Mtaa kwa MTAA✌️✌️✌️ #Nitumenitena
Tweet media one
77
98
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mpaka kufika kesho saa mbili asubuhi tunatakiwa kuwa tumechanga milioni 350. Anza kutoa chochote ulicho nacho.. tuma kwa namba hizo hapo chini. Bank Crdb : Chadema M4C account namba 01J1080100600 Simu: Rodrick Lutembeka 0754 275 531 / 0655 275 531
143
280
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ni YEYE 2020 🔥🔥🔥🔥 @tunduantiphaslissu
Tweet media one
32
76
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Nawashukuru sana wana CHADEMA wote wa wilaya ya KILOSA kwa kuniamini na kunichagua kwa kura zote kuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya KILOSA, Natambua sana kuwa haya ni mapambano makali na Hatugawani VYEO Bali Tunagawana MAJUKUMU, Hivyo nawaahidi Sitawaangusha, ALUTA CONTINUA✌🏻
Tweet media one
89
97
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
2 years
Congratulations to my beautiful Daughter Lisa for Graduating kumaliza KIDATO CHA NNE Leo, Mwenyezi Mungu akubariki źaidi na zaidi, - PAPA LOVES YOU❤❤❤ #fezaschools
Tweet media one
91
70
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
ASANTENI SANA wana wa MIKUMI, Tumezindua kampeni zetu rasmi sasa kazi IENDELEE✌️✌️✌️ @mke_wa_profjize @dennis_mosha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
78
97
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MAGWIJI Wawili🔥🔥 Tulishafanya JUKUMU LETU, Naona Nazeeka Sasa na Hapo Sawa REMIX Nadhani huu ni Muda Muafaka wa Kufanya Jambo lingine kwa ajili yenu, Au mnasemaje? Binamu @mwanafa
Tweet media one
86
78
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mguu kwa mguu, Nyumba kwa Nyumba✌️✌️ #nitumenitena @mke_wa_profjize
Tweet media one
39
79
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Weka UGOKO Niweke CHUMA✌️✌️ MIKUMI STAND UP🦾
Tweet media one
54
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mwanalizombe STUDIOS - MIKUMI Kama una KIPAJI iweje ufe na Njaa?? PIGA Namba: 0713 272 900 KARIBUNI SANA🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
54
88
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Nadhani sasa umewadia muda Muafaka wa kuachia MANGOMA mapya, Tuachie NGOMA baada ya NGOMA au mnasemaje wadau?? - Mbunge nje ya BUNGE.
Tweet media one
139
84
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Tunajivunia NGUVU ya UMMA✌️✌️ NIPO, NILIKUWEPO na NITAKUWEPO✊✊ (Mkiti- CDM Wilaya ya KILOSA)
Tweet media one
66
65
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MWANZA hii sasa ni KUBWA KULIKO🙌🏻🙌🏻🙌🏻
58
124
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
WACHINA hiki mnachowafanyia WAAFRIKA wenzetu huko ni cha KINYAMA, UDHALILISHAJI na HAKIKUBALIKI kabisa, mnafanya Biashara kubwa na WaAfrica na Mmejaa tele Africa Mamilioni kwa Malaki na wengine Mmeoa na Kuolewa AFRICA huku mkiishi kwa FURAHA na AMANI kabisa, ENOUGH IS ENOUGH✊✊
134
114
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nashauri haya magari ya WASHAWASHA yatumike kwenye zoezi zima la kupiga dawa katika miji yetu kupunguza uwezekano wa kusambaa kwa virusi vya CORONA ambavyo vimekuwa tishio kubwa kwa Watanzania,badala ya kuyatumia kwa kazi moja tu ya kupamana na WAPINZANI..Vipi SAUTI inatosha.?
Tweet media one
212
135
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
MZEE BABA🤣🤣
Tweet media one
90
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
TBT ya Kikubwa. 10 Dec 2011 Tulikwenda kwenye SHOW ya pamoja UINGEREZA kabla ya kutokea yaliyotokea😭😭😭 @officialalikiba @diamondplatnumz
Tweet media one
103
91
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Kama PAULO na SILA waliomba na milango ya Gereza ikafunguka, Nasi tunakuombea kwa Mungu Baba Mwenyezi, Muumba wa vitu vyote ambaye ndie HAKIMU Mkuu mwenye KWELI na HAKI siku zote🙏🙏 DON'T GIVE UP MR. CHAIRMAN✌✌ @freemanmbowetz
Tweet media one
57
201
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
9 months
Thank you very Much CHAMP , Sasa ni wakati wa kuachia mashine yetu nyingine baada ya ‘YATAPITA💣💣💣🔥 @harmonize_tz @sammisago
Tweet media one
25
85
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Hongera sana CAPTAIN DIEGO @samagoal77 Sasa na sisi tunapata Heshima ya kuwa na Mwakilishi wa Nchi kwenye Moja kati ya Ligi Bora kabisa Duniani EPL, TANZANIA iko Pamoja na wewe, HAINA KUFELI💪🏻💪🏻 We Are PROUD of you ANKO @samagoal77
Tweet media one
71
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
KILOSA STAND UP✌️
Tweet media one
20
68
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nusu PEPONI Nusu KUZIMU👑
Tweet media one
53
43
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI kwenye RAMANI✌️✌️ Naamini ASKARI Shupavu ni Lazima apitie DEPO, Vinginevyo ndugu yangu utakuwa unapaka Rangi UPEPO🎤🎤 #MTAZAMO 💣💣🔥
Tweet media one
62
76
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nasikia imetangazwa kuwa CORONA imeingia rasmi TANZANIA, Napata hofu zaidi na Msongamano wetu wa kwenye madaladala, Mahospitali, Magereza, Mwendokasi, Masokoni, Vituo vya polisi, viwanja vya mpira ETC Hakika tuna KAZI Kubwa sana ya kufanya kama Taifa MWENYEZI MUNGU ATUSAIDIE😭😭
Tweet media one
103
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Stand UP. So FRESH So CLEAN✌️✌️
Tweet media one
50
45
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI Kwenye Ramani✊ The HEAVY WEIGHT MC🎤🎤🎤🎤🎤
Tweet media one
60
32
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
KARIBU SANA nyumbani Shujaa TUNDU LISSU, Tupo tayari kukupokea kesho pale Airport , Binafsi nitakuwepo mapema sana kabla ya saa 7: 20 Mchana utakapotua AIRPORT. Kesho Tukutane AIRPORT🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
28
73
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
8 months
Mungu ni Mwema sana Leo Mkiti wa @profesajayfoundation nimekutana na Rais mstaafu na Mkiti wa @kikwete_foundation na kumpa shukrani zangu za kipekee kwani alikuja zaidi ya mara TATU pale @muhimbili_taifa na pia tumejadili mambo mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Taasisi zetu🤝🙏
Tweet media one
42
92
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Rafiki wa kweli ni MAMA na BABA, Hawa wengine wala usiwaamini Maana BINADAMU wa sasa wana ROHO SABA 🎼🎼🎤🎧🎹🪕🎼
Tweet media one
92
66
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Daaah hili ni pigo lingine tena kwetu, Pumzika kwa Amani mzee MATATA tutamiss Sana upendo na ucheshi wako, Pole sana kwa familia na WASANII wenzetu wote wa Sanaa ya Maigizo, Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake LIHIMIDIWE🙏🙏🙏
Tweet media one
62
75
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ukweli utatuweka HURU kweli kweli🙏🏻🙏🏻 MIKUMI STAND UP✊ #Nitumenitena
Tweet media one
31
98
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MSINIFOKEEE✌️✌️
Tweet media one
57
35
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
LEO ilikuwa Ni Bandika Bandua, Funika FUNUA✊ Asanteni sana Wananchi wa kijiji cha ILAKALA na kijiji cha Mhenda kwenye Kata ya MHENDA Mmefunika sana, Kesho tukutane kata ya KISANGA🔥🔥🔥 #Nitumenitena
Tweet media one
20
95
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Mkononi sina Tatoo bali nina Alama ya Ndui, Mtanzania namba moja Majungu hayanisumbui✌️✌️✌️ MIKUMI kwenye Ramani🔥🔥
Tweet media one
74
80
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Watu wengi wananiuliza kama nimeajiliwa kuwa Mtangazaji wa @cloudsfmtz Jibu ni HAPANA, Bali clouds ni Media SPONSOR wetu kwenye Show yetu ya THE ICON, Hivyo wakanipa nafasi ya kuweza kushiriki kwenye kipindi cha POWER BREAKFAST kwa siku chache ili tuweze kuitangaza show yetu🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
63
97
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Ni Kaka mkuu na Dada mkuu @jidejaydee Hii ilikuwa mwaka 2001 tukiimba pamoja wimbo wa BONGO DAR ES SALAAM, Sasa ni mwaka 2021 ni takribani miaka 20 iliyopita, Tutaimba tena pamoja kwenye show yetu ya KIHISTORIA 'THE ICON' Tarehe 27.8 2021 pale GYMKHANA GROUNDS, Karibuni sana🙏
Tweet media one
67
105
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
27.08.2021 Dada Mkuu na Kaka mkuu❤❤❤ Hii rangi niliivaa tu ili kumpoza dada mkuu @jidejaydee ila KESHO kipigo kipo Pale Pale🙈🙈🙈
Tweet media one
61
36
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
💥💥Mr. Red BARRET A.k.a Mr. Red CARPET💪🏻💪🏻 Endeleeni sana Kuniongelea Vibaya na kunipaka MATOPE, Bado Nawahitaji sana MASNITCH maana wana mchango mkubwa sana kwenye MAFANIKIO yangu✌️✌️ #KAZA 💣💣
Tweet media one
75
58
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
6 months
Habari za jpili wapendwa, Mungu akubarik Sana 🙏🏿 Tunaendelea na harambee ya kuchangia wagonjwa wa figo inayoendeshwa na Ndugu zetu zetu PROFESSOR JAY FOUNDATION kwa Jinsi Mungu atakavyokubariki, Tuokoe Maisha ya wenzetu, AMEEN🙏🏻
Tweet media one
17
261
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Pumzika kwa AMANI Mwanadiplomasia NGULI na Waziri wa KATIBA na SHERIA Dr. Augustine Phillip Mahiga Kweli Nimeamini WEMA HAWADUMU😭😭 Tangulia mzee wetu nasi TUNAFUATIA🙏🏻🙏🏻
Tweet media one
41
44
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Asante sana Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema, Tunaendelea kuchanja Mbuga Liwake JUA inyeshe MVUA, Naombeni sana Support yenu mpaka KIELEWEKE💪🏻💪🏻 JAY kama JAY Leo tukutane kata ya MASANZE🙏🏻🙏🏻 #Nitumenitena
Tweet media one
27
113
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Salaam kutoka GOMA- CONGO, Nimekuwa sipatikani kwenye simu kwa njia ya Kawaida kwa kuwa nipo nje ya Nchi kwa siku nne sasa, NASIKIA kuna watu bado wanatangaza ujinga WAO, WAPUUZENI🚮Mpaka huku Still Nawakilisha Chama la Wana CHADEMA to the Fullest, All Day Everyday✌️✌️
Tweet media one
57
51
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
CHURCH TIME 🙏🏻🙏🏻 Harusi ya JONGWE🔥🔥🔥 @jongwe__ Mbeya Stand UP👊👊
Tweet media one
31
65
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
7 months
Jana nilipata Baraka ya kutembelewa na wadogo zangu @mrbluebyser1988 @official_qchief @binladen_255 na godfather_mbezi Cha muhimu tumefanikiwa kurecord Nyimbo mbili kubwa sana🙌🏻🙌🏻 Mungu ni mwema sana sik zote kwani Yajayo yanazidi kufurahisha💪🏻💪🏻 Asanteni sana na Mbarikiwe sana🙏🏻
Tweet media one
Tweet media two
35
126
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Chiiiiiiii Everybody Say YEAH🤣🤣🤣 JAY na @pierelikwidi TUTAZIDI kuwa Juu Mawinguni, TUTABAKI Kileleni... ATI NINIIII??? 😂😂😂😂
56
122
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
Watu wangu Nimeona SAFARI hii niwashirikishe nyinyi MABOSS Wangu, Niambieni Ni NYIMBO gani mngependa Kuniona NaziPerfom kwenye Tamasha la #wasafifestival2019 Siku hiyo ya Tar 9 NOV Pale VIWANJA VYA KIJITONYAMA?? Nipe PLAYLIST yako👊👊👊
Tweet media one
305
50
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Ni kwa NEEMA ya MUNGU tu🙏🏻🙏🏻 #MikumikwenyeRAMANI ✌️
Tweet media one
31
69
2K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
3 years
Badala ya kuwapa CHAKULA CHA UBONGO kwa Single moja naona kama niwape Chakula cha EP ya nyimbo 5 au mnasemaje MABOSS wangu??? Cc. @directorcobra
Tweet media one
85
68
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
5 years
BABU LAO👑
Tweet media one
45
42
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Katibu wa CHADEMA jimbo la MIKUMI kamanda @dennis_mosha akinikabidhi FOMU ya kutia NIA ya kugombea tena nafasi ya Ubunge wa Jimbo la MIKUMI kama chama changu kitanipa Ridhaa hiyo, Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu, Mliniheshimisha na Heshima NIMEILINDA, MIKUMI STAND UP✌️✌️
Tweet media one
44
71
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MJENGONI LEO. Ni Dada Mkuu na Kaka Mkuu💪🏻💪🏻 COMANDO @jidejaydee ameshawasili DODOMA na Jumamosi hii Tar 1 Feb atakuwa anafanya Bonge la SHOW la #miaka20yaLadyJayDee kwenye ukumbi wa ROYAL VILLAGE. Karibuni sana na TICKETS zinapatikana kuanzia sasa pale pale ROYAL VILLAGE🙏🏻
Tweet media one
47
70
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Baada ya KURA ZA MAONI nasikia kuna watu muda wote wanaimba wimbo wa NIBEBEEE NIBEBEEE tu, Sa Sijui ITAKUWAJE🤣🤣🤣
Tweet media one
48
45
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Mimi nipo kwenye MAOMBOLEZO makubwa ila pia Nimeshachoka kushangilia Ubingwa msimu huu maana huku SIMBA kule LIVERPOOL , NGACHOKAAA Kabisa🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Tweet media one
46
38
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
MIKUMI STAND UP✊ Wazee ni Kisima cha HEKIMA na BUSARA✌️✌️✌️
Tweet media one
21
31
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Nikitafakari jinsi Watu wanavyopiga NYUNGU, NYUNGU, NYUNGU kweli kweli, Mpaka wanatamani waingie kwenye SUFURIA kabisa ili wageuke SUPU🤪🤪🤪 #CORONA Noma SANA🙌🏻
Tweet media one
90
54
1K
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
Watu Wanaonitakia MEMA wameniuliza kama kuna wasanii MAARUFU waliojitokeza kuwepo MIKUMI kesho tarehe 8 September kwenye Uzinduzi wa KAMPENI zangu kama wanavyofanya kwenye kampeni za Maeneo mengine? JIBU ni HAPANA…
64
109
1K