Dr John Magufuli Profile
Dr John Magufuli

@MagufuliJP

990,703
Followers
8
Following
61
Media
241
Statuses

The Fifth President of The United Republic of Tanzania.

Tanzania
Joined July 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Today, the World Bank has declared Tanzania Middle Income Country. In this regard, I congratulate all my compatriots for this historic achievement. We had envisaged to achieve this status by 2025 but,with strong determination, this has been possible in 2020. GOD BLESS TANZANIA.
2K
6K
29K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate Y'r Excellency Narendra Modi on y'r re-election as Prime Minister of India.This indicates the confidence that y'r compatriots have in you. Be assured of our commitment to strengthen our bilateral co-operation
551
4K
24K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
7K
3K
20K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Benki ya Dunia leo tarehe 01 Julai, 2020 imeitangaza Tanzania kuingia UCHUMI WA KATI.Nawapongeza Watanzania wenzangu kwa mafanikio haya.Huu ni ushindi mkubwa na kazi kubwa tumeifanya, tulipanga kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini tumefanikiwa 2020.MUNGU IBARIKI TANZANIA
3K
3K
19K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimesikitishwa na kifo cha Mzee wetu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa Awamu ya 3). Nitamkumbuka kwa mapenzi yake makubwa kwa Taifa, ucha Mungu, uchapakazi na utendaji wake katika kujenga uchumi. Hakika Taifa limepoteza nguzo imara. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
3K
3K
17K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.
4K
2K
15K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza. Nitamkumbuka kwa uongozi wake imara na juhudi zake za kupigania amani, maendeleo na kuruhusu demokrasia. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania nawapa pole familia na Warundi wote. Mungu amweke mahali pema.
2K
1K
12K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nakupongeza Ndg. Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi. Wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwako. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano mzuri kati yetu. Nawatakia Warundi wote amani na ujenzi bora wa Taifa lenu.
1K
1K
11K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
NAMSHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya leo. Pia NAWASHUKURU nyote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa. Mmenionesha upendo wa dhati na mmenitia nguvu katika kutekeleza majukumu yangu. Nami nawatakia afya njema, maisha marefu na Mwenyezi Mungu awabariki sana.
2K
903
10K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nakupongeza Ndg.Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine. Nakutakia mafanikio mema.
1K
3K
9K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
The Government and the people of Tanzania convey their warmest congratulations to Dr.Akinwumi Adesina on his re-election as the President of the @AfDB_Group . In our joint work over the last 5 years, we have appreciated your consistent commitment to Africa. HONGERA SANA 👏🏼👏🏼👏🏼
655
811
9K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawashukuru wana CCM wote na Watanzania wa vyama vyote kwa kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2020 Jijini Dodoma. Pia nawashukuru wasanii, waandishi wa habari, viongozi wa Dini, n.k waliojitokeza kuniunga mkono katika uzinduzi huu. Maendeleo hayana chama. Tanzania Hoyee
2K
802
8K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawapongeza Walimu wenzangu wa madaraja yote kwa kuadhimisha siku ya Walimu Duniani. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa kwa Taifa na itaendelea kuboresha maslahi na mazingira yenu ya kazi. Endeleeni kuchapa kazi. Tulianza pamoja, tutamaliza pamoja. : Mwl. John Pombe Magufuli.
2K
797
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii. Hongera sana Mhe. Rais.
684
658
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice President-elect @KamalaHarris on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries.
1K
773
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawatakia heri WAKULIMA, WAFUGAJI na WAVUVI katika sikukuu hii ya Nanenane. Serikali inatambua mchango wenu mkubwa katika ujenzi wa Taifa na ustawi wa Watanzania. Tunaahidi kuendelea kuwaunga mkono na kushughulikia changamoto zenu ili kuongeza tija katika kazi zenu. NANENANE JUU!
957
648
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina.
2K
1K
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nimepokea kwa masikitiko tukio la kupigwa risasi Mh.Tundu Lissu, namuombea kwa Mwenyezi Mungu aweze kupona haraka. 1/2
1K
1K
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Congratulations Your Excellency Mokgweetsi Masisi on your election as President of Botswana. On behalf of the Government and People of Tanzania, I wish to reiterate our commitment to further strengthen the excellent bilateral relations that exist between our two countries.
510
646
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mzee na Rafiki yangu Dkt. Reginald Mengi. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk maendeleo ya Taifa letu na maono yake yaliyopo ktk kitabu chake cha I Can, I Will, I Must. Poleni wanafamilia, wafanyakazi wa IPP na Jumuiya ya Wafanyabiashara
1K
864
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Kwa niaba ya Serikali na Watanzania nakupa pole Mhe.Rais Uhuru Kenyatta na Wakenya wote kwa kuondokewa na Rais Mstaafu Daniel Toroitich arap Moi. Watanzania tutamkumbuka kwa uongozi wake mahiri, jitihada za kuimarisha uhusiano wetu na Kenya na kufufua Jumuiya ya Afrika Mashariki.
577
595
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Mhe. Spika. Nakushukuru wewe na Wabunge kwa azimio la kunipongeza. Mmenitia moyo na kunipa nguvu zaidi ya kufanya kazi. Nami nawapongeza kwa kazi nzuri mnazofanya Bungeni na Majimboni kwenu. Mbarikiwe sana.Kwa niaba ya Serikali naahidi kuendelea kushirikiana na Bunge letu Tukufu.
1K
496
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawapongeza Wanawake wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu. Mchango wenu kwa familia,jamii na Taifa hauna mfano.Serikali ninayoiongoza itaendelea kuwathamini,kuwaheshimu na kujenga mazingira bora yatakayowawezesha kutekeleza majukumu yenu ipasavyo. #HappyInternationalWomensDay
634
633
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Congratulations to Your Excellency President Xi Jinping and the people of China on commemoration of the 70th anniversary of your great Nation. On this occasion, I pledge to further enhance our historic, friendly and fraternal ties. 祝贺习近平主席!祝贺全体中国人民! China Hoyee!
701
638
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
I am deeply saddened to hear about the crash of the Ethiopian Airlines' Boeing 737 which occurred early today. I seize this occasion to express my profound condolences to all the bereaved families and to all Heads of State whose people's lives have been claimed by this accident.
594
845
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Rais Mstaafu na Baba wa Taifa la Zimbabwe Mzee Robert Mugabe. Afrika imepoteza mmoja wa viongozi Jasiri, Shupavu, Mwanamajumui wa Afrika na aliyekataa ukoloni kwa vitendo. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
1K
762
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Punde nimezungumza na Mhe. Kenyatta kuhusu shambulizi la Jijini Nairobi,zaidi ya watu 14 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa.Pole sana Mhe. Rais na pole sana wananchi wa Kenya.Tupo nanyi katika kipindi hiki cha majonzi. Nawaombea Marehemu wote walale mahali pema peponi, Amina.
938
885
7K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawapa pole familia na wote walioguswa na kifo cha Jaji Mstaafu Mark Bomani. Nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa Serikalini katika masuala ya sheria na katika chama akiwa Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa CCM. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
884
516
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha ghafla cha Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.
Tweet media one
743
422
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nawashukuru wote mlionitakia heri katika siku yangu ya kuzaliwa. Mungu ni mwema. Nimepokea salamu nyingi japo sikuweza kuwajibu wote, lakini muamini kuwa nimezipata. Nawaomba Watanzania tuendelee kudumisha amani,upendo,mshikamano na tuchape kazi za kulijenga Taifa letu.
733
510
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Hongera sana Mhe. Rais Hage Geingob. Your re-election is clear testimony of the trust and confidence that Namibians have bestowed on you. I wish to assure you of our continued support to further strengthen the historical ties between our two brotherly countries.
458
425
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Following the judgement by the High Constitutional Court. I congratulate HE. Felix Tshisekedi on his election as President of the DRC. While congratulating all the Congolese, I beseech you to maintain peace and affirm my commitment to furthering our historic and brotherly ties.
633
964
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimesikitishwa na kifo cha Mzee wetu Balozi (Mst) Job Lusinde. Nawapa pole Familia, wana Dodoma na Watanzania. Nitaukumbuka mchango wake mkubwa kwa Taifa akiwa Waziri, Balozi, Mdhamini wa CCM na Kiongozi wa Wazee wa Dodoma. Pumzika salama Mtani wangu, kazi kubwa umeifanya vizuri.
723
485
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
It is with deep sorrow that I received the news about the demise of the Leader of Oman Sultanate, Sultan Qaboos bin Said Al Said. During his leadership, our two nations enjoyed strong and close bilateral relations. We convey our profound condolences to all the people of Oman.
413
513
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Aidha, vyombo vya dola viwasake wale wote waliohusika na tukio hili la kinyama na kuwafikisha ktk mikono ya sheria.2/2
961
903
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
Vijana wangu - TAIFA STARS🇹🇿 Muda mfupi ujao nitakuwa nikitazama mchezo kati yenu na Timu ya Taifa ya Lesotho 🇱🇸. Mimi na Watanzania wenzangu tunawatakia mchezo mwema, mrudi na ushindi.
908
595
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimehuzunishwa na taarifa za kifo cha rafiki yangu Ali Mufuruki (Mwenyekiti na Mwanzilishi wa Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji wa Kampuni - CEOrt) Nitamkumbuka kwa uzalendo na mchango wake katika kukuza sekta ya biashara na ushauri kwa Serikali.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
598
461
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nakupongeza Mhe. Paul Kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Rwanda kwa kipindi kingine. Kwa niaba ya Watanzania wote nakutakia mafanikio mema.
479
1K
6K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nawapongeza wanachama na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa chama chetu kutimiza miaka 43 tangu kuzaliwa. Tunaposherehekea siku hii muhimu kwa kazi tuendeleze misingi ya chama chetu, tusimamie utekelezaji wa Ilani na tudumishe amani, upendo na mshikamano. CCM HOYEE!
843
352
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Natoa pole kwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi, Familia, Wazanzibari, wanachama wa ACT-Wazalendo na Watanzania wote. Mungu amweke mahali pema peponi,Amina
786
720
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
I'm very glad that we have commenced the second lot of our central line standard gauge railway construction from Morogoro to Dodoma. As we celebrate this important milestone in our country's development lets steadfastly preserve our peace, unity and solidality.
Tweet media one
778
650
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nimepokea kwa mshituko mkubwa taarifa za kuuwawa askari wetu kumi na wanne na wengine arobaini na wanne kujeruhiwa na wawili hawajapatikana huko DRC wakati wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani, natoa pole sana kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na familia 1/2
965
971
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
I am deeply saddened by the news about the passing on of the former President of Ghana, H.E. Jerry John Rawlings. My condolences to Your Excellency Nana Akufo-Addo and the brotherly people of Ghana for the loss of this Great-man of Africa. May his soul rest in peace, Amen.
527
407
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.
1K
723
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Cde. Mnangagwa. On behalf of the Government and people of Tanzania,I convey my sincere congratulations on your victory in the Presidential Election of Zimbabwe.Your victory is a reflection of the confidence reposed in you by the people of Zimbabwe in leading them to prosperity.
578
686
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Tweet media one
967
580
5K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya basi iliyotokea Kericho nchini Kenya na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 50. Nakupa pole Mhe. Rais Uhuru Kenyatta, familia za marehemu na Wakenya wote. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema na majeruhi wapone haraka. @UKenyatta
385
715
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
5 years
I congratulate Your Excellency and dear brother Prof. Mutharika on your re-election as President of Malawi. On behalf of the Government and the people of Tanzania, I pledge our commitment to further strengthening our friendly and fraternal relations, in bettering our economies.
358
288
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Nimesikitishwa na kifo cha Prof. Benno Ndulu (Ex-Governor BOT). Pole kwa familia na wafiwa wote. Nitamkumbuka kwa ushauri wake wa kuimarisha uchumi wa nchi yetu hususani mageuzi ktk sekta ya fedha. Alikuwa mchapakazi na mnyenyekevu. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi,Amina
721
419
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nimesikitishwa na kifo cha Maria na Consolata. Nilipokwenda hospitali waliliombea Taifa. Walikuwa na ndoto ya kulitumikia Taifa. Poleni familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa, pumzikeni mahali pema wanangu. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
772
497
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nawatakia Waislamu na watanzania wote sikukuu njema ya Eid el-Hajj. 1/2
717
440
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nakupa pole Mhe. Rais Museveni na wananchi wote wa Uganda kwa kuwapoteza watu zaidi ya 40 katika ajali ya maporomoko ya udongo iliyotokea katika Wilayani Bududa. Watanzania tunaungana nanyi katika kipindi hiki cha majonzi na tunawaombea majeruhi wote wapone haraka @KagutaMuseveni
269
342
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nawapongeza wanawake wote kwa kusherehekea siku yenu ya leo na hasa kwa mchango wenu mkubwa mnaoutoa kwa jamii. Daima tutaendelea kuwaheshimu, kuwapa ushirikiano na kutambua juhudi zenu katika kujenga ustawi wa jamii yetu.
499
453
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nimefurahishwa na ushindi wa Grace Products, lakini pia nimefurahishwa kwa kutumia kiswahili kukizungumza nchini Marekani, hongereni sana Grace Products.
393
323
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Nakupongeza Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa kutangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda kuwa mshindi wa kiti cha Urais. Tanzania itaendeleza urafiki na udugu wetu kwa maslahi mapana ya wananchi. Hongereni Waganda kwa kukamilisha Uchaguzi Mkuu, endeleeni kudumisha amani na upendo.
1K
558
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tutaendeleza na kukuza zaidi ushirikiano na uhusiano kati ya nchi zetu hususani biashara na maisha ya wananchi wetu. Hongera Wanyarwanda.
251
607
4K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tweet media one
434
437
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
I have learnt with deep sorrow the sad news of the demise of Winnie Mandela, a woman of an exceptional courage and strength. She will always be remembered for the important role she played during the struggle against apartheid. May the Almighty God rest her soul in eternal peace.
428
484
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
MAN OF GOD, Rev. TB JOSHUA On behalf of my family, I extend my heartfelt wishes on your 55th Birthday. May the Almighty God bestow upon you exceeding divine inspiration so that you can bring deliverance to more people and spread his fragrance across nations. HAPPY BIRTHDAY TO YOU
274
327
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Ninayo furaha kukupongeza Mzee wangu Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 93. Busara zako, ushauri, upendo, unyenyekevu, ucha Mungu na ushirikiano kwa Watanzania ni jambo tunalojivunia sana. Nakutakia afya njema na maisha marefu yenye furaha na amani. HAPPY BIRTHDAY.
278
272
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
My heartfelt condolences to Morgan Tsvangirai’s family. Our thoughts and prayers are with the Zimbabwean people during this time of grief and inexpressible sorrow.
264
480
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nakupongeza Mhe. Rais Yoweri Museveni na wananchi wote wa Uganda kwa kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru. Kwa niaba ya Watanzania nawaahidi kuundeleza na kuukuza uhusiano na ushirikiano wetu wa kihistoria. Kwa pamoja tudumishe ujirani mwema, udugu na urafiki kwa manufaa yetu sote.
323
279
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Congratulation President-Elect Donald Trump and the People of America. Tanzanians and I assure you of continued friendship and cooperation.
274
1K
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Najivunia kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa JWTZ. Mungu ibariki Tanzania, Mungu libariki Jeshi letu.4/4
269
285
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Watanzania wenzangu, leo siku yangu ya kwanza Ofsini kama Rais wenu, nawaomba kwa pamoja tulijenge taifa letu,tofauti zetu tuziweke pembeni.
714
1K
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Nawapongeza viongozi, wanachama na wapenzi wote wa CCM kwa kutimiza miaka 41. Tunaposherehekea mafanikio yetu tuendelee kutunza Amani na umoja wetu, tuchape kazi kwa maslahi ya nchi yetu na Serikali inayoongozwa na CCM.
618
363
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tweet media one
390
421
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nchi yetu imepata mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Kabaale/Uganda hadi Tanga/Tanzania,ni fursa kubwa ktk kuujenga uchumi wetu1/3
Tweet media one
318
448
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Wakati tukisubiri taarifa kamili kutoka DRC niwaombe Watanzania tuwe na subira, Mungu wetu yuko pamoja nasi 2/2
347
402
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Marehem Sokoine hatasahaulika katika historia ya Tanzania, ni wito wangu kwa watanzania tumuige na kumuishi. Ni rai yangu pia tumuenzi kwa kujenga umoja wetu , kupiga vita rushwa na kuchapa kazi . Mungu aiweke roho ya marehemu Edward Moringe Sokoine mahala pema peponi 3/3
352
275
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Wito wangu kwa watanzania wote ni kuchangamkia fursa hii kipindi cha ujenzi na uendeshaji wa mradi huu. Mungu Ibariki Tanzania. 3/3
364
282
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Kwa miaka 44 chama cha CCM kimeendelea kuongoza mapambano ya kulinda heshima na uhuru wa Tanzania, kazi iliyoasisiwa na vyama vya TANU na ASP. Hongereni Watanzania; Hongereni Waafrika
462
281
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
On Behalf of myself and the people of Tanzania, our deepest sympathies go out to the people of Cuba on the death of Fidel Castro.
180
711
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Ombi langu kwa Watanzania wote tuulinde,tuutunze na kuudumisha umoja wetu ktk mwaka 2017 kwa kufanya kazi kwa bidii. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
460
533
3K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Ndugu zangu Waislamu tunaanza mwezi mtukufu wa Ramadhani ktk kutekeleza moja ya nguzo kuu za Uislamu,nawatakia Waislamu wote mfungo mwema.
244
563
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
I wish you a blessed holiday season. May this Christmas bring you comfort, joy, peace and happiness to last throughout the coming year!
405
577
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Kwa uzalendo,umahiri,ushupavu,uadilifu na nidhamu ya hali ya juu na hivyo kujijengea heshima ndani na nje ya nchi yetu. 3/4
188
200
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tunapoomboleza vifo vya wapendwa wetu tuendelee kuwa wamoja. Mungu ibariki Tanzania.
323
415
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Nimesikitishwa na kifo cha Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Harold Nsekela. Poleni familia, watumishi wote wa Sekretarieti ya Maadili na Mahakama. Jaji Mstaafu Nsekela alikuwa mwadilifu, mzalendo, asiyejikweza na mchapakazi. Mungu amweke mahali pema, Amina.
426
182
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Ninamshukuru Mungu kufikia siku yangu ya kuzaliwa,ninawashukuru watanzania nyote kwa kuniombea.Nitafanya kazi kwa moyo&nguvu zangu zote 1/2.
382
484
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Katika siku kama ya leo tarehe 12 Aprili 1984 nikiwa Mpwapwa JKT nikitumikia jeshi langu “Oparesheni Nguvukazi” tukatangaziwa kifo cha marehem Edward Moringe Sokoine, ilikuwa siku ya majonzi shujaa huyu niliyemjua na kumshabikia ikawa siku yake ya mwisho 1/3
251
235
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Ugunduzi huu utuelekeze kujipanga hasa ktk eneo la mikataba yetu ili rasilimali hii adimu isaidie kuujenga uchumi wetu 2/2
273
454
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Ninaahidi kuendelea kufanya kazi kwa moyo na nguvu zangu zote kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Mungu Ibariki Tanzania 2/2.
306
444
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nimepatwa na uchungu na majonzi makubwa ninapoyaona majeneza ya watoto na walezi wao waliopoteza maisha katika ajali ya basi huko Arusha 1/2
331
383
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tunaposherehekea sikukuu hii tuendelee kudumisha upendo,amani,umoja na mshikamano wetu. Eid Mubarak.2/2
213
214
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
3 years
Nimesikitishwa na kifo cha Ndg. Subhash Patel. Wakati wa uhai wake ametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya viwanda, kukuza biashara na kuzalisha ajira kwa Watanzania wengi. Natoa pole kwa Familia, CTI, TPSF na TNBC ambako alishiriki vizuri. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
282
211
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
9 years
Siku hii ni kubwa na muhimu ktk maisha yangu, sherehe yangu ya kuzaliwa na nimepata ridhaa ya kuwaongoza watanzania ktk nafasi ya RAIS.
901
1K
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Tunamshukuru Mungu Tanzania tumegundua gesi aina ya Helium(He),wito wangu kwa wachumi,wanasheria na watanzania wote kwa ujumla tujipange1/2
204
559
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tumewapoteza mashujaa wetu ktk elimu. Tuwaombee na tuendelee kuwa na subira, uvumilivu na ustahimilivu 2/2
166
314
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Napenda kutuma salaam zangu za pole kwa Dr Helen Kijo-Bisimba kwa ajali ya gari na kikubwa namuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka.
437
400
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
9 years
Utumishi = Kujifunza + Kujitoa. Miaka 40 iliyopita, Machi 1975 nikiwa mwanafunzi, Kidato cha Kwanza Katoke Seminari. http://t.co/3xbPjlmKWp
Tweet media one
113
525
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
9 years
Mwaka 1978 - nikiwa na umri wa miaka 19, Kidato cha Nne katika shule ya Sekondari ya Lake, Mwanza. http://t.co/2SfDmblWYR
Tweet media one
74
312
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Mradi huu ni kielelezo tosha cha muendelezo wa ushirikiano wa nchi zetu mbili na hasa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. 2/3
117
188
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tuendelee kushikamana, kukijenga chama kwa kuisimamia Serikali ktk kuleta maendeleo kwa Watanzania.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI HAPA KAZI TU!
272
245
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
6 years
Wakati tunapoazimisha siku kama hii ya kifo chake, watanzania tuige mfano wake kwani alikuwa msema kweli, asiyeogopa, mpiga vita rushwa,ufisadi, unyonyaji,mzalendo wa kweli na aliyechukia rasilimali za watanzania kuibwa 2/3
134
171
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Nalipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kutimiza miaka 53 tangu kuanzishwa kwake. 1/4
90
151
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Kwa kipindi chote hiki Jeshi letu limeendelea kutimiza wajibu wake ikiwa ni pamoja na kulinda amani ya nchi yetu. 2/4
93
142
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Aidha ninawapongeza Wanawake wa Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ktk maendeleo. Mungu awabariki Wanawake wote 2/2
131
189
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
8 years
Tumeshiriki kwa wingi wetu siku hii muhimu kwa kufanya kazi ktk maeneo mbalimbali. Uhuru na Kazi, Hapa Kazi Tu. Mungu Ibariki Tanzania.2/2.
263
476
2K
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
7 years
Tweet media one
73
107
2K