KIPEPE ๐Ÿ’Š Profile Banner
KIPEPE ๐Ÿ’Š Profile
KIPEPE ๐Ÿ’Š

@kipepe123

430,953
Followers
985
Following
4,898
Media
165,201
Statuses

Social media influencer

Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mimi Hata Iwe birthday yako Ukinipa Nafasi ya Kujitambulisha Lazima Niwaambie Watu Nina degree huo ndo Ukweriiiiiii...๐Ÿ”ฅ
409
429
5K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Niliwahi Enda Mahali Interview Kweny CV nkasema Najua Vizuri Compyuta Mbwa wale Si wakanipa Exel muda huohuo...๐Ÿ˜ญ
183
62
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Happy Birthday To Me....Nazidi Kuzeeka Tu...Inshalaah Birthday Ya Mwakani Nitaendeelea Kuishi Kwa Wazazi Wangu Mmekua Familia...Nawapenda Mnooo Fam โค
Tweet media one
350
156
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kama Unazijua Hizo Pen Mwisho Wa Kuoa na Kuolewa Ni mwezi Wa Sita...๐Ÿคฃ
Tweet media one
345
123
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mkimuona Shemeji Yenu Maeneo Ya Sheli Tushtuane Wadau .....
132
73
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kuna Jamaa Yangu Anaishi Angolaa Anadai Hiyo Team Haipo Kule...๐Ÿค—
145
79
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kuna Jamaa Yangu Akinipigia "Anaanza Kuulizia "Zile Gari Zangu Kumi Umetoa Bandarini? Nitakufukuza Kazi" Najua Kuna mdada Anapangwa Hapo.. Mimi Naishia Kusema Nisamehe Boss ๐Ÿคฃ
149
120
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
9 months
Haimbwi Vya Kutosha ila Anapiga kazi Sana....โœ Solid midfielder
Tweet media one
49
67
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mtu Unamwambia Uko Lunch Serena Hotel Anapiga Video Call ya Nini Sasa? ๐Ÿ˜ฅ
171
71
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Happybirthday to me Nazeeka Tu walaah ๐Ÿคฃ na michongo hakuna au nijiue......
Tweet media one
389
103
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yaani Sasa Hivi Ni Bora Umrushie Mtu Majini Kulikoo Muamala......
154
101
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Inamaana Kanisani Muda wa Matangazo Wanashindwa Kusema kuna Muumini ana degree? Umuhimu wa degree uko wapi.?๐Ÿ™„
161
69
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kama Unaijua hii Picha Jipige Kifua Mara tatu Af Jisemee"Nimezeeka Sasa" ๐Ÿคฃ
Tweet media one
215
104
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Muda Wa Matangazo Kanisani Wanashindwa Kutangaza Tuna Muumini Ana degree,Umuhimu wa Kuwa na degree Uko wapi? Nimeumia Mnoo ๐Ÿ˜ฅ
162
58
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Ukiulizwa Kwenye Interview Tukulipe Mshahara Shilingi Ngapi Unatakiwa Kujibuje? ๐Ÿ˜Š
335
87
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Historia Inaandikwa Yanga Inakua Team ya Kwanza Kutoka Tanzania Kufuzu Nusu Fainali Kwenye Mashindano Makubwa Barani Africa Hakika Hawa Waanza Team Zingine Ndogo Kama Simba Wana La Kujifunza...๐Ÿ”ฅ.
Tweet media one
119
98
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yaani Manara Amefukuzwa Kazi Kapata Na Ajira Nyingine mimi Nipo Tu ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿšฎ
152
37
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Natafuta Vijana 10 serious Niwape Ajira za Kusambaza CV zangu Mikoaniii.....
177
58
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mwenye Namba ya Ndugai Naiomba Nimuadd Kwenye group la Wasambaza CV....
120
58
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Niliwahi Mchapa Makofi Dogo Bimkubwa akanambia "Nguvu za kupiga watoto unazo ila za kutafuta ajira huna" ๐Ÿคฃ
95
70
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mfano Mimi Sina Ajira Sina Kipato Cha Uhakika Lakini Nina degree Naruhusiwa Kuoa?
208
64
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Unakuta Mtu hana Degree Anavaa Suti Huwa Nashangaa Sana ๐Ÿ˜ฅ
143
48
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Tusimame Dakika Moja Kuwaombea Waliokua Wanatumia Hii na Ajira Wamekosaa....๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
171
114
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
8 months
Jamaaa Haimbiwa Sana Ila Anafanya Yanga Icheze kwa Utu na Utulivuu..... Maestrooo..
Tweet media one
46
105
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nimeona Mtu hana degree halafu ana Mke Mzuri Nimeumia Moyoo Mnoo mnooo
187
54
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Manara Amka Tukasambaze CV.......
102
61
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Jifunze Kusema Hapana au Sina Unaombwa Pesa Unasema "Ngoja Tuone Badae" Hapana au Sina Itakuweka Huru Zaidi โœŒ
126
133
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Karani Anauliza Mbona Huyu Mtoto Mkubwa Bado Mnaishi naye Anaanza kujisahau ๐Ÿคฃ
81
62
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Huyu KIGOGO anaweza akawa anajua mpaka Hatma ya Mahusiano yangu ๐Ÿ‘€
111
52
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nipange Karibu Na Zimamoto Hawa Wapenzi Hawasomeki ๐Ÿ˜‚
165
70
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Kingereza Nachotumiaga Kutongoza Nashindwaga kukitumia Kwenye Interview.....
105
72
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kama Mchumba Wako Anaitwa MARIA LYIMO Naona Anatoa Ushuhuda kuwa Hana Mchumba hapa kwa Mwamposa......๐Ÿคฃ
100
53
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nimeshauriwa Ninaposambaza CV Niwe natembea Na Karanga Za Kuuza Mmeanza Kunichoka mamae ๐Ÿ˜‚
131
55
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Tweet media one
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
1 year
Basi jamani tumekubali! Hongereni. Huu Mwaka ni wenu
94
51
622
4
43
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nimeota Ndoto Nko Interview Nimevaa Kimasai Ina Maaana Gani?
236
47
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
9 months
Niliwahi Jichanganya Humo...Nilipewa Mabeseni Na Sufuria Kichwani Toka Kariakoo Mpaka Mbezi Mwisho Sirudiii Mamae ๐Ÿคฃ
Tweet media one
286
130
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Oya Hii Nchi Uhuru Umezidi sana Aliefanya hii anakatwa na majini๐Ÿคฃ
Tweet media one
149
87
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nikionaga Mtu Hana degree Anakula chipsi Mayai Huwa Nashangaaa Sana......
151
70
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Niliwahi Enda Interview Sehemu Nikawadanganya Najua Kompyuta...Mbwa Wale Si Wakanipa Microsoft Exel nipractice Muda Huo huo..๐Ÿ˜ญ
90
60
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yule Jamaa Wa Gazeti la Twitter ni Ubunifu level za kidegree ........Appreciation๐Ÿ™
61
67
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Unakuta Mtu hana degree analala kwenye kitanda cha sita kwa sita huwa nashangaa sana.......
129
52
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Huwa Naumiaga Mno Nikiona Mdada Mzuri Ana Mimba๐Ÿค”
179
54
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Maumivu ya Kuambiwa Ujiajiri na Una GPA ya 5 Bora Ulambe Umeme wa Transfoma kwa Ulimi ๐Ÿ˜‚
95
70
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Kila nikikumbuka Kuna Wachambuzi Walisema Tumepigwaa......Napoteza fahamu
Tweet media one
70
77
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Kuna Mahali Nilikua Najitoleaa Wakati Naacha Kazi Yao..Niliiba Chupa ya Chai na Laptop Ya HR...Naomba Nisamehewe...Ile laana Inanitafuna ๐Ÿค—
125
60
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Hivi Ni Mimi Tu Ambaye Ndugu Wa Upande Wa Baba Hawana Time na Mimi?
235
60
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Unapeleka Sehemu CV ofisi Nzima Wanaanza Kucheka Nasema Ipo Siku yenu Tu.....๐Ÿ˜ญ
89
58
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nugazi Amka Tukasambaze CV.......
91
37
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mfano Mimi sina Ajira Pia Sina Kipato Cha Uhakika Ila Nina degree Naruhusiwa Kuoa?
188
57
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mliopo bar nawakumbusha Bia moja ni sawa na tofali tatu ๐Ÿ˜‚
214
60
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Tunaomba Bunge Lipitishe Sheria Watu Wa Kawaida Wanapotusalimia Watu Wenye Degree Wawe Wanapiga Magoti ๐Ÿ’ฅ
139
61
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nimesubiri Interview Toka Asubuhi Asa Hivi Naambiwa Mshahara Laki na Nusu Sijapenda.......๐Ÿšฎ
121
59
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nuhu Alijenga Safina Akiwa na miaka 600 Mimi na Miaka 40 tu (nimetimiza jana) Mnanilazimisha Nijenge Nyumba Hamtoweza ๐Ÿ˜‚
101
61
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Sema Nikipata Ajira Roho Itaniuma Sana Nshazoea Kazi ya Kusambaza CV ๐Ÿ˜‚
96
50
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Ukienda na degree Kusaka ajira Wanasema Wanataka Mtu Wa Diploma Wakienda Diploma Wanaambiwa Wanataka Watu Wa degree ๐Ÿšฎ
123
55
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Jitu Linazama Chumvini Ila Chanjo Linaogopa ๐Ÿ˜‚
147
39
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Leo Natimiza Mwaka Mmoja Tangu Niingie Kwenye Kilimo Cha Mkumbo Cha matikiti Nilijuta.....๐Ÿ˜ฅ
101
49
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Kuna Mtu Ukianza Kudate Nae Michongo Inaanza Kugoma Leo ndo Nimeamini ๐Ÿค”
133
65
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kuna Bodaboda Kanambia Mimi Sina Akili na Degree Yangu Nategemea Wazazi Yeye Hajasoma Anajitegemea ๐Ÿ˜ญ Nimekosa la Kumjibu ๐Ÿ‘€
101
56
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Usikubali Mkeo Aende Kujifungulia Nyumbani Kwao Only legend know Why.....
144
60
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 months
Hii Ndo Yanga Africa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
6
50
2K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Leo Kwenye Birthday Naambiwa "Jamani Kipepe Your so funny"Uishi Miaka Mingi Uroda Sipewi Wala nini....๐Ÿคฃ
120
43
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Na Mkiwa na Shida na Hela Muwaombe hao hao Mnaowapost mamae...๐Ÿคฃ
123
57
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Ninunue Pikipiki ya Kusambazia CV nauli za daladala Zinanicost sana ๐Ÿ˜‚
134
34
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Unakuta Mtu hana degree Anafanya Happy birthday huwa nashangaa sana...๐Ÿคฃ
128
60
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Kingereza Nachotumiaga Kutongoza Nimeshindwa kukitumia Leo kwenye Interview ๐Ÿ”ฅ
123
54
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Juzi Nilipata Kazi Ya laki Na Nusu Nikagoma Leo Nkasema Ngoja Nkafanye Hivo hivo Nimefika Nimekuta Mtu Anajitolea Roho Imeniumnaa mnoo ๐Ÿ˜ฅ
92
50
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Sasahivi Navosambazaa CV natembea Na Panga Nakuuliza Unatoa Ajira Hutoi? ๐Ÿ˜‚
122
48
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kuna Duka la Mkinga Kariakoo Halijawahi Kufungwa...Unaambiwa Wachina Wanatoka China Kuja Kufunga Mzigo Pale... Au Nawapiga Kamba ๐Ÿค—
119
47
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mtu Huna degree Unafungua Account ya Benki Huwa nacheka Sana.....๐Ÿคฃ
121
55
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
9 months
Nionyeshe Picha Iliyojaa Tabasamu La Kweli Kulikoo hii...
Tweet media one
12
31
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yaani Madogo Wakijua Huna Ajira Hata Ukiwaagiza Dukani Wanagoma Sjui Hawajui Nina degree?
77
47
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Respect kwa Wana Wote Tuliojuana Twitter halafu Tunaishi kama Familia โœŒ
125
70
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yaani na degree Yangu Nakatwa Umuhimu wa degree Uko wapi?...
100
36
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nuhu Alijenga Safima Akiwa na miaka 600 Mimi na Miaka 40 tu Mnanilazimisha Nijenge Nyumba Hamtoweza ๐Ÿ˜‚
115
83
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Huwa Napata wakati Mgumu Nikiona mtu Amezaliwa 2000 Ana Ajira Na maisha Mazuri...Roho Huwa Inaumaa Mnooo....๐Ÿ˜ญ
89
55
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Kila Nikikumbuka Kuna Wachambuzi Walisema Tumepigwa Napoteza Fahamu ๐Ÿคฃ
Tweet media one
20
63
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mtu Una Miaka 35 Unashindwa hata Kuwa na Vimillion Ishirini Benki Duniani Umekuja Kushangaa Wenzio? ๐Ÿคฃ
147
60
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Respect Kwa Wana Tuliokutana Twitter Ambao Sio Dini Moja,Hatujazaliwa Pamoja,Kusoma Pamoja Lakini Tunaishi kama Watoto wa Mama Mmoja....๐Ÿ™
77
77
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yanga inaongoza ligi,Nyumbani Msosi wa Kutosha,Nina GB 3 Kwenye Simu, Ex wangu Kaporwa simu jana Nitafute kazi ya nini Sasa?๐Ÿ˜‚
101
71
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Unajua Kabisa Nina Degree Tunapishana njiani Unataka mimi ndo nianze Kukusalimia Umuhimu wa degree Uko wapi?
97
40
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Hivi Ni Kweli Kanisani Wameshindwa Hata kunitangaza Muda wa Matangazo Kuwa Nina degree? Umuhimu wa degree uko wapi?
77
57
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
1 year
Onyesha Upendo Bila Sababu.....๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Appreciation Tweet....๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
20
172
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Ninaposambaza CV sijui Niwe Nauza na Karanga....? Nauli zinaanza Kuniishiaaa aloo...๐Ÿ™„
72
43
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 months
Usajili Bora Kuwahi Kufanyika Ligi ya Tanzania ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
7
31
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mwambieni Wife Sirudi Leo naenda Kusaidia Kuzima Moto Kariakoo ๐Ÿ˜„
79
34
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Unajua Kabisa Nina degree Nakuomba Namba ya Mke Wako Unaninyima Umuhimu Wa Kuwa na Degree Uko Wapi?
89
36
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Gesi Ukiisifia Imekaa Sana Inaisha muda huo huo ๐Ÿคฃ
104
67
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Inakuaje Nauli za Mabasi Sisi Wenye degree Tunalipa hela Sawa na Watu wa Kawaida Umuhimu wa degree Uko wapi?
103
49
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Yaani Kitambaa Alichofutia Machozi Messi Kina Thamani Kuliko Vyeti Vyangu Life sio Fair ๐Ÿ˜‚
64
49
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Nimekutana na Mtoto Wa 2000 Amenunua Kiwanja Kigamboni Roho Imeniuma Mnooo....
139
34
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Huwa Najisikia Uchungu Sana Nikimuonaga Msichana Mzuri ana Mimba ๐Ÿ˜ฅ
164
40
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mtu Una Miaka 35 Mwaka Unaisha Unashindwa Kununua kigari Hata cha Million 40 Duniani Umekuja kuzurura?
126
52
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mtu Unamwambia Uko Lunch Serena Hotel...Anapiga Video Call ya nini Sasa?๐Ÿ™„
105
54
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Shafii Amka Tukasambaze CV Posta na kigamboni....
50
47
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Mimi Wa Kushindia Eneji Kweli na degree Yangu? ๐Ÿ˜’
97
31
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Mtu Hana degree Unamkuta Anachekaa...Hii nchi Uhuru Umezidi mnoo.....
94
48
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Kuna Jamaa Anajua kabisa Nina degree Namuomba lift Ananinyima hivi Thamani ya degre iko wapi?
146
40
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
2 years
Kweli Maisha ๐Ÿšฎ mimi na degree yangu Wa Kuogea Sabuni Ya Unga?
107
44
1K
@kipepe123
KIPEPE ๐Ÿ’Š
3 years
Ukitaka Kumuwin Mama Mwenye Mtoto Mpende Mwanae Only legend know why.....
81
29
1K