Adventure-360 Profile Banner
Adventure-360 Profile
Adventure-360

@Adventure_36

154,224
Followers
833
Following
10,365
Media
513,121
Statuses

Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

Joined February 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Adventure_36
Adventure-360
11 months
Retweet kwa Like kwa YANGA SIMBA
Tweet media one
Tweet media two
140
1K
9K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Hii picha haiwezi kutrend kwasababu hayuko uchiii.
Tweet media one
325
959
8K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Rest in Peace John Pombe Magufuli nisamehe mzee kama niliwahi kukusema vibaya 🥲🕊🕊
Tweet media one
368
548
6K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Like kwa Retweet kwa Phiri Mayele
Tweet media one
Tweet media two
54
458
5K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Sema Harmonize nyieee 😀😀😀🙌
Tweet media one
230
125
5K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Moja ya Madereva wanaofanya kazi katika basi la Tilisho Safari's appreciation tweet kwako pambana dada angu.
Tweet media one
105
204
4K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Maajabu hiyo meza haina pombe hata moja 😃😃😃😃
Tweet media one
296
76
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Bachelor of Laws 😊😊
Tweet media one
379
210
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Mkumbusheni Diamond kwenye hiyo mipango yake ya kutoa mawe back to back asiwasahau hawa jamaa watamshangaza, Saiv ukisikia tu "Chino wana man" ujue kimenuka 😃😃
Tweet media one
195
117
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Watu wako safarini ukafika muda wa Swala dereva ikabidi asimamishe gari watu waswali alafu safari ndo iendelee. Hii unyama sana 💪
Tweet media one
122
138
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Irene Uwoya hela anatoa wapii? 🤔🤔
Tweet media one
601
94
3K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Retweet kwa Like kwa Simba Yanga
Tweet media one
Tweet media two
21
190
3K
@Adventure_36
Adventure-360
11 months
Naombeni Elimu kidogo, Kwanini Yanga hayupo kwenye hii list? Na alicheza hadi Fainali kombe la Shirikisho
Tweet media one
470
155
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Like kwa Retweet kwa Young Killer Ommy Dimpoz
Tweet media one
Tweet media two
26
238
3K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Kwani Moses Phiri ana ugomvi gani na Kocha? 🥴🥴
Tweet media one
147
90
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Chukueni Code hii, Huyo Mtangazaji ametokea Zanzibar, Ni mwembamba mweupe, Aliwahi kufanya kazi hapa Dar tena media kubwa tu, Aliwahi kupewa zawadi ya gari aina ya Crown, Alikuwa na kipindi cha Burudani. Sasa anahamia Efm 🚶‍♂️🚶‍♂️
Tweet media one
103
93
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Kwenye picha anaonekana Mwaisa mtu mbad "Nyonyoma" Jina lake kamili anaitwa Hakika Nyonyoma Mwapongo, Amezaliwa Mbeya maeneo ya airport mtaa wa Isengo pale. O level kasoma Samora Mashel na Advance kasoma Tukuyu Day na Meta Secondary, Chuo Kikuu kasoma SUA "Bachelor of Science
Tweet media one
100
154
3K
@Adventure_36
Adventure-360
5 months
Chris Brown amepost video ya Miso misondo kwenye Insta story yake. Wale mliokuwa mnasema wasije mjini watapotea mko wapi?
Tweet media one
104
155
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Nyieee 😎😎
Tweet media one
76
79
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Natasha Perakov, rubani wa ndege za kivita wa Ukraine amefariki baada ya ndege aliyokuwa akipaisha kutunguliwa na makombora ya Russia.
Tweet media one
220
91
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Messi atakuwa anatumia simu ya aina gani mana sio kwa picha hii 🤔🙌
Tweet media one
218
69
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Ashura akiwa na Muheshimiwa Diwani wakati wa kampeni 2020
Tweet media one
184
85
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Wamiliki wa Mabasi Tanzania hamjaliona hili basi kwelii 😥😥
Tweet media one
327
66
3K
@Adventure_36
Adventure-360
5 months
Hii nchi watu wana hela sana
Tweet media one
117
92
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Nyieee huyu dada anaitwa nani?
Tweet media one
394
63
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Anaitwa Dereva Madam Wittness yupo Extra Luxury Coach ya Moshi to Tabora, Appreciation tweet kwako we ni Super Woman 👩
Tweet media one
66
120
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Rest in Peace Hayati John Pombe Magufuli, pumzika baba
Tweet media one
98
169
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Chuma kimeshafika Airport asubuhi hii ,hakuna kupumzika 🔥🔥👋
Tweet media one
23
58
3K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Jamaa haamini kama amekula shavu jeshini, safii kabisaa pongezi kwake na wengine wote waliosaidia zoezi la uokoaji.
Tweet media one
Tweet media two
96
144
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Kumbe jamaa alianza ku control Pages za Biashara za Mo Dewj baadae akapata nafasi kwenda Pre session na Simba akaomba kazi ku control pages za Simba. Saiv ana control Pages za Simba pamoja na za Mo ikiwemo account ya Twitter ya Mo, Changamoto Simba ikifungwa watu wanatukana sana
Tweet media one
37
65
3K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Pale Wasafi Fm kwenye kipindi cha Sports Arena na Sports HQ kumeiva🙌 WATANGAZAJI 1. Ahmed Abdallah 2. Mwanaidi Selemani 3. Poul Mkai 5. Yusuph Mkule 6. Maulid kitenge WACHAMBUZI 1. George Ambangile 2. Eddo Kumwembe 3. Nasri Khalifan 4. Oscar Oscar 5. George Job 6. Hans
Tweet media one
140
89
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Happy birthday to Me 🙏🙏
Tweet media one
497
181
2K
@Adventure_36
Adventure-360
3 years
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wawili wamepata GPA ya 4.7.
Tweet media one
221
104
2K
@Adventure_36
Adventure-360
11 months
Kesho kwa mara ya kwanza tutaona Combination ya Ahmed Ally na Salim Kikeke, Imagine kwenye kutambulisha wachezaji pale 😀😀😀🥳
Tweet media one
Tweet media two
44
106
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mkude anacho mtafuta Mwamedi atakipata tu 😀😀
Tweet media one
125
69
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
🕊🙏
Tweet media one
106
109
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Frester 🥳🥳
Tweet media one
224
55
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Tanzania kuna shule za Private alafu kuna Kaizerege 🔥🔥🔥🙌
Tweet media one
103
90
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Moja ya wachekeshaji wanaokuja kwa kasi Africa basi ni huyu anaitwa Manouton Officiel ni mchekeshaji kutoka Nchi ya Benin ndani ya mji wa Cotonou. Huyu jamaa anachekesha bila kutoa sauti, pia ana video nyingi zinachekesha sana. Kuna ile picha yake amekaa juu ya bati 🙌
Tweet media one
93
125
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Aisee Chuma imewaka moto Singida, Ally's Star Bus poleni sana pamoja na Abiria kwa ujumla.
Tweet media one
Tweet media two
150
106
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Tayari Mfalme Zumaridi kimeumana
Tweet media one
281
71
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Kuteleza sio kuanguka, Big up Majizzo 👊
Tweet media one
24
59
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Salute kwa Kampuni ya Mabasi ya BM, hii gari ilitoka Dar njian dereva akaona ina shida akapiga simu waletewe basi lengine kufika Kiluvya madukani ikasimama na lile lingine lilikuwa limeshafika ndani ya dakika 10 tu watu wamefaulishwa wameendelea na safari, nzuri sana hii Big up
Tweet media one
108
78
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Vipi kuhusu wanachuo wenzake? 😥😥
Tweet media one
336
127
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mzee wa Kitochii kalamba Dili.
Tweet media one
69
51
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Aisee kijana mwenzetu kabisaa R.I.P Bro 🕊
Tweet media one
189
147
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Kumekucha 🤔
Tweet media one
248
106
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Poleni sana Happy Nation 🥲🥲
Tweet media one
109
74
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Nyieee 🤔🤔
Tweet media one
443
71
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
George Mpole ni Mshambuliaji wa Geita Gold tena mtanzania mwenzetu huyu ana goli 12 sawa sawa na Mayele lakini watu hawamsemi kabisa,imefika wakati mtu anataman kuolewa na Mayele na wanashindwa kumpongeza Mtanzania mwenzao tuna safari ndefu sana, Appreciation tweet kwako pambana
Tweet media one
184
191
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Nimepanda Daladala kutoka Mnazi mmoja kwenda Mbezi, Karibia kabisaa na Gate la uwanja wa mnazi mmoja dereva ameomba dakika chache akaswali alafu tutaendelea na safari. Abiria wamekubali na hakuna aliyelalamika . Mungu kwanza 💪
Tweet media one
81
130
2K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Hii picha inaongea mambo mengi sana. Mungu awatangulie wapambanaji kama hawa 🤲
Tweet media one
65
189
2K
@Adventure_36
Adventure-360
4 months
Ushangiliaji wa Mudathir Yahaya una maana gani? na anawapigia simu wakina nani?
Tweet media one
124
53
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Huyu jamaa ni mzazi mwenza wa yule dada aliyekodi basi la ABOOD kutoka Morogoro hadi Dar, huyu jamaa nayeye amekodi basi kutoka Dar hadi Kahama, watalaam wa kubet hii inaitwaje? 😀😀😀😀😀
Tweet media one
345
75
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Huyu ndo Muigizaji bora wa kiume Tanzania kwa Mwaka 2021, mnaongalia filamu ya Jua Kali huyu jamaa anaitwa nani?
Tweet media one
229
64
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Huyu dada ni nani mbona anatrend sana humu
Tweet media one
122
71
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Viongozi na mashabiki wa Simba hatuwezi kumtafutia jezi huyu mtoto avae? Kindly retweet mpaka iwafikie wahusika 🙏🙏
Tweet media one
124
550
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Kwa Taarifa nilizozipata ni kwelii bhn Dereva wa Super Feo Express iliyopata ajali asubuhi ya Leo Madam Halima amekatika mkono wa kulia, pole sana kwake so painful 😭😭
Tweet media one
Tweet media two
219
99
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Baada ya Ligi kuu kumalizika Tanzania Mohamed Hussein na Familia yake wanaenda kupumzika Dubai, bado mnasema ligi yetu ndogo na haina hela sio sawa.
Tweet media one
81
55
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Kweli uchawi upo gari ruti moja tu imetaga 😀😀😀🙆‍♂️
Tweet media one
129
51
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Kwani huyu Mzee amefanyaje jaman wengine hatuelewi chochote humu 🙂
Tweet media one
117
53
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Hii ndo maana halisi ya Mfalme 🙌. Amepiga show classic sana hakuna kelele wala kukimbia kimbia hovyo uwanja na uwanja mzima umeitika. Pia DJ D Ommy amepiga back up kali sana kwa Ali kiba. Appreciation tweet kwao wamefanya kazi nzuri saana .
Tweet media one
44
157
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Mwijaku alianza kuitwa na Abood, Baadae Shabiby, Baadae Mbunge Msukuma , Leo zamu ya Mkurugenzi wa Mabasi ya Al Saedy 😃😃🙌.
410
175
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Imekuwaje tena 😃😃😃😃🙆‍♂️
Tweet media one
107
45
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mamaee 😬😬
Tweet media one
191
71
2K
@Adventure_36
Adventure-360
9 months
Watu wengi walishangaa kwanini ameacha kazi kule BBC na amekuja Tanzania hakuna media yoyote anayofanya kazi, nadhani sasa jibu mmeshalipata. Jamaa anajuwa sana, ana sifa zote za kuwa Msemaji Mkuu wa serikali ni swala la muda tu.
Tweet media one
109
96
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
H Baba alimfwata Diamond mwenyewe kwenye Press na waandishi wa habari na baadae akamuomba wapaform na akamkubalia. Licha ya maneno yote aliyokuwa anaongea lakini jamaa amemsamehe tu.
Tweet media one
Tweet media two
104
76
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Ndege ya Precision Air imeanguka ziwani Mjini Bukoba Mkoani Kagera asubuhi ya Leo uokoaji bado unaendelea. Taarifa kamili itakuja baadae na itatolewa na mamlaka husika poleni sana aisee 😥😥
Tweet media one
Tweet media two
130
182
2K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Kazi ya Ukonda alishawishiwa na rafiki yake tu baadae akafanya na akaipenda na kawa maarufu kabisaa, Ana certificate kutoka chuo cha Ushirika Moshi pale, Ana miaka 21 tu kutoka kuwa Bus Hostess mpka PR wa Kampuni ya Mabasi ya Tilisho Safari's. 👊 Hongera zake sana Nice Mushi
Tweet media one
61
83
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Mimi na Diamond hatuna tatizo lolote na wakati najitoa WCB nimetoa zaidi ya Billion lakini mwisho wa siku tukafanya wimbo wa pamoja "Nitongoze" na jana tumetengeneza wimbo mwingine tena. Rayvan leo ndani ya XXL Clouds Fm
Tweet media one
44
64
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Nimeipenda hiii
Tweet media one
87
122
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mbona gafla saana 😃😃
Tweet media one
147
69
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Kuna watu wakikupa jina ndo limekaa hilo, mmoja wapo no huyu Baraka Mpenja. Onana ameshapewa Jina la SOMBA SOMBA sisi kama mashabiki wa Simba tumekubalii 😀🙌
Tweet media one
42
78
2K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Gari ya Mkurugenzi na Mbunge Musukuma,
Tweet media one
47
57
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Twitter majeshi naombeni Elimu kidogo, hiko kijumba alichojificha Rais Museveni kinasaidia nini?
Tweet media one
150
86
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Ifike wakati Tilisho Safari's mpewe maua yenu 🙌
Tweet media one
113
69
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Hiki chuo gani jaman naona wamekodi Shabiby kabisaa ili warudi kwao 🤔
Tweet media one
169
53
2K
@Adventure_36
Adventure-360
5 months
Tukitoa matokeo pembeni huyu jamaa mpira anaujuwa sana. Appreciation tweet kwake
Tweet media one
45
102
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Retweet kwa Like kwa Innonga Mayele
Tweet media one
12
466
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 month
Lilikuwa suala la muda tu Bambo kwenda mjini 😃😃
Tweet media one
71
74
2K
@Adventure_36
Adventure-360
10 months
Mapenzi ya Kocha kwa Saido Ntibanzonkiza yatafanya huyu KRAMO akose namba 😥
Tweet media one
49
59
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Bus la Ally's jana lilipata ajali poleni sana aisee 😥.
Tweet media one
128
72
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mungu mkubwa saana nilikuwepo kwenye mwendokasi ya nyuma hiyo ajali imetokea Mbezi kwa Yusufu asubuhi hii, niko salama naendelea na safari 🙏🙏
Tweet media one
Tweet media two
213
86
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Kwenye taarifa ya Habari Leo UTV nimemsikia huyo shekhe anasema huyo wa pembeni ambaye ni Mama yake mzazi alikuwa anakuja kumuona jela kila week toka 2014 mpaka Leo wameachiwa huru, mwishoni akasema nani kama Mama? Mungu ni mwema Leo wameachiwa huru na Mahakama wanarudi mtaani
Tweet media one
25
81
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Hivi kuna ruti ndefu zaidi ya hii kwa Daladala za Dar es salaam apo 🤔
Tweet media one
254
55
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Mh Waziri ameomba radhi kwa kosa alilofanya mtoto wake na amesema ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Tweet media one
189
136
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Hii picha naona inatrend sana huyu jamaa Imekuwaje 😎
Tweet media one
110
73
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Hongera sana Brother @George_Ambangil Kila la kwenu na Mungu akawatangulie .
266
144
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Mbunge na Mkurugenzi Dr Msukuma 👊
Tweet media one
51
55
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Duniani hakuna kukata tamaa. Huyu jamaa ni DJ , anaitwa DJ Sharifu ni Mlemavu wa macho haoni kabisaa lakini anakiwasha kama kawaida 🙌. Friday Night Live Eatv
Tweet media one
42
97
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Harmonize amefanya hadi mazoezi na timu ya Yanga, Amewatungia hadi wimbo, Lakini show anapewa Diamond 😥😥
Tweet media one
116
31
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Before After
Tweet media one
Tweet media two
299
61
2K
@Adventure_36
Adventure-360
3 years
Baunsa wa Rayvany amepigwa roba uko 😀😀😀🙌
Tweet media one
159
70
2K
@Adventure_36
Adventure-360
5 months
Wataalamu wa mpira kwanini Novatus Dismass ameachwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa 🤔
Tweet media one
106
43
2K
@Adventure_36
Adventure-360
11 months
Mnajuwa kwanini huwa wanaweka miba hivi?
Tweet media one
184
67
2K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Haji Manara alitambulishwa Bungeni kama nani?
Tweet media one
131
46
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Kapricon ya Kutoka Iringa kwenda Mwanza asubuhi ya Leo wakati wapo njiani kuna mama alijisikia uchungu wa kujifungua ikabidi dereva apeleke basi hadi Hospital ya Migoli ili yule mama aweze kujifungua, pongezi kwao Kapricon 👊. NB: Dada zangu mkiwa na hali ile hasa unakaribia
Tweet media one
75
73
2K
@Adventure_36
Adventure-360
7 months
Happy Nation wanakula Shavu kwa Al Ahly mara ya Tatu hii. 😃😃👊
Tweet media one
19
48
2K
@Adventure_36
Adventure-360
2 years
Abiria alichelewa kufika stend ya Magufuli Bus Terminal basi la Kimbinyiko kutoka Dar kwenda Dodoma lilikuwa lishaondoka ikapigwa simu basi lisimame lilikuwa lishafika mbali saana na wakamsubiri huyo Abiria akapanda wakaondoka nae. Hii ndo customer care sasa 🔥🔥
Tweet media one
130
77
2K
@Adventure_36
Adventure-360
1 year
Pongezi kwa Inspector Rajab Kaimu "DTO Tanga " afande huyu ametoa msaada kusogeza abiria kutoka kituo cha polisi Manga hadi kituo cha polisi Mkata baada ya dereva wa basi hili la Abood kukimbia aliposababisha ajali, hii ni Abood ya Morogoro to Arusha. Salute kwake.
392
262
2K