M A G I R I Profile Banner
M A G I R I Profile
M A G I R I

@Kiganyi_

390,483
Followers
956
Following
17,178
Media
237,849
Statuses

Mhandisi Jamii | Libertarian | #MUFC #SimbaSC

North Mara
Joined April 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Narudia, hii ni mara ya kwanza kwa CHADEMA kupata ufuasi mkubwa mikoa ya kanda ya kati tangu kuanza chaguzi za vyama vingi… hapa ni Dodoma…
Tweet media one
143
429
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Huyu nani?
Tweet media one
266
114
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Huyu jamaa hatembei na wasanii kama hirizi, anatembea na Ilani ya chama chake tuu na hapa Kyerwa 😄😄
239
385
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Uhuru ni mstaarabu ndio maana anaishi vizuri na wapinzani pale Nairobi...
69
110
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
9 months
Life.
217
803
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
CHADEMA ndio chama pekee kinachoifanya mihimili ya Serikali isifanye kazi kwa mazoea... kama unabisha muulize Kingai...
97
280
3K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Mwanasheria Mkuu Mpya wa Malawi… Chikosa Silungwe, PhD
Tweet media one
134
125
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Freeman Mbowe kapoteza vingi sana katika kipindi cha miaka 5; biashara, marafiki na sasa wamemvunja mguu… binafsi sijawahi kusikia hata kauli moja ya Mbowe akimtusi mtu… kinachosikitisha zaidi ni kwamba viongozi wa upinzani bungeni wanaishi kwenye makazi rasmi sio uchochoroni
79
236
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Tundu Lissu katetea watu zaidi ya 400 waliokuwa wamefungwa kwa kubambikiwa kesi Nyamongo miaka ya 2003, yani kumpiga mabomu huko ni kosa la kimkakati… halafu kaoa huko, hivi maCCM mnajielewa kweli?
29
178
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
CHADEMA ongezeni resources na team ya campaign, maCCM wanapiga campaign ndugu zangu… Waziri Mkuu ana siku nne yuko Mkoa Mara anapiga campaign, hiyo ni baada ya Rais Magufuli, msaidieni Lissu ambaye kimsingi anajituma sana….
119
173
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 months
Hawa sio watu wa kubeza hata kidogo.
Tweet media one
91
268
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Mazungumzo ni kama haya, sio mnajazwa chumba kimoja na kina Dovutwa mnaanza kupewa lectures
Tweet media one
167
244
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Yani afande Kingai alikuwa anawanunulia magaidi misosi na mo energy.. huko sio kufadhili ugaidi?
119
169
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Msimamizi Musoma kakuta mawakala wa chadema wamekuja na raia kama buku ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
158
223
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Hatari sana… kama mtu anaweza kuja kwenye ngome yako na kuvuta audience ya namna hii bila kuwa na wasanii 200 ujue ni balaa sana…
Tweet media one
128
177
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Lissu kasimamishwa na mamilioni ya watu Lamadi…
56
122
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Ukiona babako, mzee wa miaka 70 baada ya kuoa mke mwingine anaanza kunyoa mzuzu na 0 kama Madenge... tafuta mawakili muanze kuandaa mapingamizi
Tweet media one
196
119
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Mwakyembe akitolea macho mlima wa kura za mshindani mwenzake huku akiwa amekumbatia kura zake kiduchu…
Tweet media one
184
86
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
CCM mlidhani kumnyoa Mbowe kipara ndio mmemaliza akili na busara, kumbe mmechemka 😁😁
124
127
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
1980s Mbowe anasafirisha matunda nje ya nchi kwa Gulf Air... wakati wewe na babako mkipanda basi mnatapika...
184
147
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
11 months
Ila kwa kweli
247
461
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Yani nikiona bongo fleva wanavyonyang'anyana peremende za CCM halafu kule Nigeria wasanii wana mahela lakini bado wanatumia ushawishi wao kuchochea mabadiliko kwenye jamii na mifumo ya nchi nasikia hasira mpka natamani kupiga ngumi ukuta…
165
237
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
"Mahinda my dota"
Tweet media one
125
58
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Kuna muda Lissu anapiga spana mpaka sie ndugu wasikilizaji ndio tunaogopa… daah
51
120
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Naona Lissu anarushwa hapa Aljazeera muda huu buana…
52
101
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
UVCCM walikuwa wanadhani Mbowe analindwa na mabaunsa wa mitaani, nadhani mmeelewa toka mahakamani kuwa wale ni makomandoo... waliofuzu mafunzo ya upeo
53
150
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Tukianza kumkosoa Rais mpya msituletee mambo ya jinsia hapa...
117
126
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Ukizuia watu 100 wasikutanike physically, ukute wamekusanyika 6000 mtandaoni
Tweet media one
88
138
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Yuko wapi aliyekuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr Nyambura MOREMI?
Tweet media one
90
119
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Lissu yupo na Ponda na Maalim Seif we upo na Kipoozeo… inabidi ujitafakari sana my friend…
59
131
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
UVCCM, mmeona wajomba zenu wanavyobanwa wakipandishwa kizimbani? Punguzeni kiherehere...
88
167
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Mzee Malaba katupia suti kali sana, na O kalichonga ipaswavyo 😁😁
Tweet media one
69
71
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Kuna dada yangu anashona seat covers za magari... kama una kazi tafadhali mpe hatokuangusha... Yuko Mabibo, Dar karibu na NIT. Namba yake; +255 689 829 778, Kindly rt tumuinue mtoto wa kike. ..
Tweet media one
Tweet media two
58
755
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?
51
163
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Nina miaka 3 tangu nimejipiga marufuku kuvuta sigara, mwezi wa 5 nafikisha mwaka tangu niache kunywa pombe…. And I'm neither a motivational speaker nor bitching about it…
198
111
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Hayo ndio mambo ya CHADEMA digital ndg zangu... unapata taarifa papo hapo, popote ulipo
34
114
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Rais anaongea mpaka unatamani asimalize.... tulikuwa tunaishi nchi gani wajameni?
136
123
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Nilikuwa kwenye mkutano wa kuhitimisha campaign za chama changu na baadaye maandamano ya amani kama km 10 hivi. I can tell you, CHADEMA ni chama kikubwa sana Tanzania, don't let any FOOL fool you… kapige kura kesho…
37
179
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Tito na Theo wakiambiwa kulipa fine, tunachanga milioni 17 ya fine. Tunachanga nyingine ya gari - maana alikuwa anadunduliza kununua gari - halafu tunamchangia ya kiwanja. Yani mpaka hii tabia iishe…
128
202
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Katoro ni wapi?
144
174
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Mama asipokuwa makini 2025 will be noisy and messy...
68
96
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Musiba anasema Lissu na Waisraeli wameingiza nchini mtambo wa kuiba kura ndio maana anajiamini sana….
147
105
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Naambiwa Wenje anakimbiza mwizi kimya kimya hapo Rorya mpaka maCCM wanataka kurusha ngumi 🤣🤣🤣🤣
54
83
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
CHADEMA walimfukuza Kitila na wenzie kwa kula njama na kuandaa waraka wa siri kupindua uongozi wa chama, leo anaondolewa kwenye cabinet kwa madai ya kula njama za urais 2025. Kumbe dhambi ya usaliti ni mbaya namna hii?
71
155
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Hii chama ikiamuaga ku stretch political muscle huwa haitanii... mpaka wengine walikonda vipaja..
Tweet media one
82
108
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Namna hii 😁😁
83
259
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Huu ukanda wote kuanzia Serengeti mpaka huko Ngorongoro watu kuishi na wanyama ni kawaida, pundamilia huwa wanakuja mpaka polisi wakijisikia 😁😁
Tweet media one
160
119
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Vifaranga wa mzee wetu Meko wanaondolewa kwenye system slowly but surely...
79
81
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Runzewe ni karibu na Chato
58
260
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 months
Yani Dr Slaa, Balozi mstaafu, Mwenyekiti wa bodi na mwanzilishi wa CCBRT, Katibu mkuu wa zamani wa TEC, Mbunge, Mwenyekiti wa Kamati za Bunge nk anaandamana kwa ajili ya reforms tena kwenye mvua wewe mtu ambaye kitu unamiliki ni pair ya matako unamcheka. Mungu anakuona.
150
296
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Bashiru atakuja kuvunjika shingo kwa tamaa...
Tweet media one
242
70
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
"Sheria mpya ya madini haimpi mamlaka CAG kuingia na kufanya ukaguzi wa migodi. Tunaona kuna udhaifu wa kisheria hapo" CAG Profesa Mussa Assad, 2019
35
166
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
CHADEMA mkipata viti maalum vingi, msimsahau shangazi wa Chato halafu mpeni ford moja azunguke nchi nzima kufanya campaign…
44
102
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
CHADEMA mmefanya jambo la msingi kuondoa wale MANINJA waliokuwa na vitu kichwani na kumpa Lissu huyu mlinzi… sasa image ya mgombea wetu imekaa vizuri…
Tweet media one
74
100
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Tundu LISSU is a true DEMOCRAT…
30
123
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Kwa mwenendo huu watamtoa Sabaya jela asubuhi na mapema...
54
84
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Mgombea anapofahamu mpaka majina ya vijiji vya mpaka wa kwanza uliowekwa na SENAPA mwaka 1959 na kuja kubadilishwa baadaye anawakosha sana watu wanaoishi kwenye mpaka wa Serengeti na vijiji… well done Lissu…
21
144
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Wanapiga hadi nyimbo za "CHAGUA KIKWETE.. " kwenye mikutano yao, what's going on?
106
77
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Huwa nikimaliza kucheki muvi ya maFBI na CIA nkatoka nje usiku, nahisi watu wananifatilia…
168
71
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
1985, Freeman MBOWE ana boti la uvuvi, anaenda deep sea... sidhani kama DC, yule mtangazaji mwenye kitambi au Simalenga walikuwa wamezaliwa... hawa wanatumika tuu, Mbowe hayupo kwenye league yao
49
134
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Jana tarehe 27/09, DED wa Serengeti ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi aliandika barua inayoonesha Mkutano wa Lissu ulitakiwa kufanyika jana badala ya leo kinyume na ratiba aliyopewa Lissu na NEC… Tungekuwa na mgombea tofauti na Lissu manake leo mkutano usingefanyika
28
124
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Lissu alipokuwa Mbunge nadhani ni Mbunge pekee aliyekuwa anafanya Bunge lionekane linatimiza wajibu wake wa kutunga Sheria, ikibidi bunge kukaa mpaka saa sita usiku lilikuwa linakaa, hakuwa anakubali vifungu vya hovyo vipite kienyeji. Werema na mrithi wake Masaju wanamjua vizuri
21
142
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Kibatala kasababisha michongo ya 2025 ipotee aysee 🤣🤣
44
73
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Toka uzito wa 104kg mpaka 84kg leo, congratulations to me...
167
47
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Tarime - Sirari ni bendera za CHADEMA na wamama wa kikurya waliovalia madela ya CDM tuu
21
121
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Lying in state is the tradition in which the body of a dead official is placed in a state building, either outside or inside a coffin, to allow the public to pay their respects.
Tweet media one
103
90
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Barabara zilipambwa na wapenda mabadiliko Jijini Mbeya…
Tweet media one
25
87
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Nimeshuhudia maeneo CHADEMA waliyosimamisha wanawake mikutano inahudhuriwa na kina mama na mabinti wengi sana…
17
109
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Hizi show anapiga Lissu ni solo… hakuna ma bigwig wa chama wala nini lakini vumbi linatimka… yani ni yeye, aliyekuwa diwani wa Sombetini, Ally BANANGA na wasaidizi wake…
45
103
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Lissu anatumia kitabu cha maadili ya Uchaguzi cha NEC kujibu hoja za Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Mahera… yani ni spana tupu hapo Mbalizi…
16
109
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Kuna spana zinapigwa na Lissu Serengeti lazima baadaye lawama zijae…
31
90
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Kajamaa kana hela asee, kama MeTL inachangia 3.3% ya GDP sio mzaha mjue
59
63
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Hili jamaa kumshika mama mikono namna hiyo inaonesha lina furaha sana moyoni...
Tweet media one
124
58
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Sasa hadi polisi wameanza kuvamia msafara wa Lissu… things are thick…
26
104
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Mwaka jana baada ya uchaguzi huyu Masanja alipelekwa ikulu ya Chamwino kuchekesha watawala... ukisikia alivyokuwa anawaongelea kina Mdee na wanawake wengine waliopitishwa kwenye mateso makali wakati wa uchaguzi halafu anakuja hapa kutetea ujinga unajua kabisa utapeli upo
76
133
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Mna uhakika hawa watu waliopanga bidhaa barabarani wote ni machinga? Naona kuna jamaa wana mzigo wa mini supermarket...
86
73
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Yule boya anayeendesha account ya Lissu anyang'anywe mara moja… watu wote hawa yeye anaweka picha ya kabla mkutano haujaanza?
Tweet media one
80
98
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Kama mvua imesababisha foleni piteni kwenye flyover… itapungua…
91
95
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Profesa wangu Kitila usidhani pale ubungo kutakuwa mteremko sana… Watoto wa ubungo external hawavai miwani mzee…
Tweet media one
45
64
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Huyu wa kwanza karibu na waziri Ummy ni nani? Wanawake wanaupiga mwingi
Tweet media one
141
43
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Wakati wengine wanatishia kuvunja wapiga kura miguu, huyu jamaa - throughout his campaign - anahubiri upendo tuu na wananchi wanaona tumaini jipya kupitia maneno na matendo yake… Jumapili njema ndugu zangu..
Tweet media one
17
137
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Marafiki wa CCM wako vizuri…
Tweet media one
144
112
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
2 years
Azam TV wana huduma mbovu kwa wateja kama halotel... unalipa, hawaunganishi, unawapigia, wanakwambia wanaunganisha baada ya dakika 10. Hawaunganishi, ukipiga saa 4, muda wa kazi umeisha. Uwekezaji wote ule unaweza usiwe na maana kwa mambo ya kijinga kama haya
165
102
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Wewe unang'ang'ana kumuona Martin kotini ili iweje? Umetumwa?
67
75
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Bananga mke wake ni miongoni mwa wabunge 19 wa korona.. duru zinadai analelewa
135
64
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
2015 alichangia campaign za UKAWA waziwazi bila kujificha.. RIP
@swahilitimes
Swahili Times
3 years
Tanzia: Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Zacharia HansPope amefariki dunia usiku huu. Taarifa zaidi zitakujia.
Tweet media one
48
56
695
44
99
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Jamuhuri imekanyaga live wire 🤣🤣
59
79
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Nimeona mahali Bakhresa Group wanatimiza miaka 40... kumbe ni biashara ya muda mrefu. We umefungua kiduka juzi tu kila siku unavuta draw ya mauzo unaenda kunywa supu... utapata wapi marejesho? Af bank wamtume Madenge aje kukudai 🤣🤣
75
109
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Muda huu kuna walimu wa boarding wanahangaika kutafuta pesa za nauli za watoto walizowatunzia
131
93
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Ukisikia vegetable top brass wanaanza kusema hata mkipigia kura vyama vingine CCM itaunda Serikali ujue they're CORNERED… Yani jikoni kuna joto balaa…
54
112
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
October 18…
Tweet media one
Tweet media two
49
141
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Kwa mara ya kwanza CHADEMA wanavutia ufuasi na umati mkubwa wa watu kwenye mikutano yao mikoa ya kanda ya kati… mikoa iliyokuwa playgrounds ya magamba… nadhani ndio maana kina Mwigulu hawatupigii makelele hapa maana they are cornered…
45
198
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Watoto wazuri sana…
Tweet media one
65
80
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Mi siwezi kumlaumu Nyalandu kwa lolote... kafanya siasa yake vizuri tuu akiwa CHADEMA na kashiriki kikamilifu kujenga chama kanda ya kati katika kipindi ambacho uhuru wa kufanya hivyo haukuwepo... choice is the essence of democracy!
54
100
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Timing ya public lecture ya Prof Assad itafanya UVCCM wameze nyembe...
35
65
2K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
Leo Lissu alizungumzia muundo wa kiutawala unavyoathiri ugawaji wa rasilimali za umma… LGAs hazina mamlaka, zinaamuliwa kila jambo Dodoma… alizungumzia pia athari za kivuli kirefu cha madaraka ya Urais… pendekezo ni kugatua madaraka. Kwa maelezo zaidi kubalini MDAHALO…
24
142
1K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Mawakili wa CCM degree zao wanatumia kutegeshea teuzi
53
87
1K
@Kiganyi_
M A G I R I
4 years
"Jela ni suna"
Tweet media one
114
60
1K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Junior
Tweet media one
82
77
1K
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Hii picha inapendeza, eti?
Tweet media one
88
84
1K