fatma karume aka Shangazi Profile Banner
fatma karume aka Shangazi Profile
fatma karume aka Shangazi

@fatma_karume

1,126,545
Followers
601
Following
3,545
Media
69,483
Statuses

Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
1 year
UWANAHARAKATI wa Haki za binadamu, UHURU wa Mahakama, UTAWALA wa Sheria si mapambano dhidi ya Serikali. Serikali inayopenda HAKI itawakumbatia wanaharakati wa aina hii. Serikali inayopenda DHULMA itawaona ni ADUI.
Tweet media one
259
310
2K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Nakutakieni nyote Happy Nyerere Day. Tumkumbuke kwa mema yote aliyeyafanya. Mungu amlaze mahali pema.
Tweet media one
463
413
8K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Sijasahau maneno haya. Nilishangaa walivyomshangilia mtu anayesema angepoteza watu. You people are not SERIOUS ⁦ @CCMTanzania ⁩. Endeleeni kucheka na kupiga makofi!!!
1K
965
7K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
1948 Abeid Karume, Fatma Karume na mtoto wao, Amani Karume. Kwa kweli Babu alikuwa handsome.🤣
Tweet media one
462
364
6K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Happy Birthday to my beloved father. Amani Abeid Amani Karume.
Tweet media one
263
237
6K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Nancy Pelosi ana miaka 80 na bado anapiga SPANA 🔧 🔧 nyingi tu. Mimi nina miaka 51, Mungu akinipa uhai nina miaka zaidi ya 30 ya kupiga SPANA. Siendi popote.🤣🤣
Tweet media one
331
369
6K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Day 3 #77Nyeupe 🤣🤣👏👏👏Lakini NIMEDAMSHI Jamani!
Tweet media one
430
178
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Innalillah wainnaillahy rajioun Leo nimeamka na huzuni. Aunty yangu Mpendwa Amne Rifay, mke wa Salim Ahmed Salim, amefariki dunia. She only ever showed me love. I will miss her loads.
424
277
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
1 year
Anastahili kuwa kwenye PITCH. Rangi ya jersey ni makubaliano tu si UTUMWA.
Tweet media one
814
222
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Ninataka kutoa SHUKRANI kwa NYOTE mliyonitumia UJUMBE wa solidarity kwenye huu wakati. Maneno yenu yamenifariji sana. 🙏🏾💓 Usiku mwema. #onelove
250
318
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Sijafikiria nitaishi kuona Mwanamke anashika MPINI #Tanzania . Kusema kweli machozi yananitoka. Allahamdullilah. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Tweet media one
272
240
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Ahsanteni nyote mlionitakia siku njema ya kuzaliwa. I celebrated it yesterday in the company of people I 💕 and for that I am grateful. Nakutakieni siku njema.
Tweet media one
316
175
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Hamjambo? Vipi mishahara huko? Na marupurupu je? 🤣🤣
Tweet media one
316
158
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Ninataka kuwashukuru: 1. Peter Kibatala 2.Rugamaleza Nshala 3. Prof Shivji 4.Mike Ngalo Na wote mlionisimamia kesi yangu mbele ya jopo la Majaji wa Mahakama Kuu 🙏🏾
284
422
5K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Kwa mara ya kwanza ninaona AIBU kuwa Mzanzibari! Siamini kabisa kuwa Mzanzibari mwenzangu anaweza kutenda ouvu kama huu. Haya tuone yatokapomfikisha.
285
432
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
An evening with family #Zanzibar
Tweet media one
407
153
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Jamani hii video inayodaiwa Kheri James anasema atampiga Lissu sidano ya sumu mnayo? Please nitumieni.
237
328
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
UPENDO na SHUKRANI Kwa nyote mlionitakia Siku ya Kuzaliwa Njema.
Tweet media one
215
141
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Ahsante sana @SuluhuSamia kwa kuonesha UONGOZI BORA hauhitajii UBABE, KELELE, MABAVU, UJEURI. You make us PROUD to be Tanzanians.
Tweet media one
Tweet media two
188
307
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Wow. So clever. #Tanzania humour at its BEST! Ahsanteni. Nina tabasamu hapa ni lipo. So proud of you.
329
372
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Naona picha yangu na Mwalimu imependwa sana. Wacha nitoe background. Mwalimu alikuwa kama Babu yangu. Siku moja nikiwa kwake Msasani 1986 kasema: “Huna picha na mimi. Wacha niite wapiga picha watupige.” Baada ya lunch akaelezwa wapiga picha wamefika.
Tweet media one
233
417
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
🤣🤣🤣
Tweet media one
232
346
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Rais kamatch hijab yake na viatu. She looks lovely. 👏👏👏
Tweet media one
257
191
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
32 years ago the first and last time I took to the catwalk for my friend Kassim Mawji at the National Museum in Dar es salaam. Simple times.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
353
184
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Sijaelewa bado. Mbowe anavunjwa mguu usiku wa J3 baada ya Tundu kutangaza NIA ya kugombea URAIS. Ina maana Tundu anapelekewa UJUMBE? Na mtavunja miguu ya watu wangapi? Mtapiga risasi watu wangapi? Mtapiga visu watu wangapi? Na MPAKA LINI? Maana mwisho UTAFIKA tu!
402
308
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Ninamjua Balozi Katanga personally. Alikuwa Chief Administrator wa Mahakama. Ni mtu mwema sana. Ni mstaarabu na mwenye busara na anaheshimiwa na Civil Service na anakidhi matakwa ya SHERIA kuwa Chief Secretary wa Rais. Mnamuombea kila la Kheri.
100
240
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Following her speech today, the WOMAN of the moment on Twitter Republic is ........
Tweet media one
118
313
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu. Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!
774
448
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Hii Tweet ni kwa WAMBEYA WOTE wanaotaka kujuwa Chama changu cha SIASA - kinaitwa “NONE OF YOUR BUSINESS” na hakijasajiliwa na Francis Mutungi. Rangi zake ni #88Nyeupe na Dira yake ni #TumeHuruYaUchaguzi Nadhani Tumeelewana. Nawatakia WAMBEYA wote siku NJEMA! 🤣
Tweet media one
234
241
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Makonda ndugu yangu, Mimi ni MJUKUU wa RAIS na MTOTO wa RAIS. Wache nikufundishe Newton’s LAW: WHAT GOES UP MUST COME DOWN! 🤣🤣 - KINACHOPAA LAZIM KISHUKE! Hakuna anayepaa MILELE! Kuna siku utashuka tu.
@makonda_paul
Paul Christian Makonda
4 years
Tweet media one
873
131
4K
398
212
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Kwa nyote mnaosema “Sitopiga Kura kwa sababu sina imani na TUME”, naomba mkumbuke maneno ya Lissu: “Nyani haachiwe shamba ya mahindi.”
114
352
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Kwa raha yangu! Mchango wangu huo! Haya jamani tumeshakula ng’ombe mzima kabaki mkia tu! TUCHANGE! 👏👏🤣🤣
Tweet media one
366
251
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
“Bakini wenyewe msimtafute mchawi ni nani” 🤣🤣🤣
Tweet media one
79
244
4K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Picha hii ya tatu na mimi nikajifanya STATESWOMAN nikaanza kutembea huku naongea nae. 😂😂 Hii ndio picha iliyopendwa na Mwalimu akaweka sahihi yake na kusema “For Fatma. With love from Julius K. Nyerere”. Nina Bahati sana kupendwa na mashujaa: I miss u JKN!
Tweet media one
176
243
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
One of the BEST concession speeches I have heard in #Tanzania politics! 👏👏👏
@MustaphaBurhani
Burhani M Mustapha (Mwagalazi)
4 years
This Man ❤️, Mimi nahusudu Sana Siasa za namna hii Sana yaani. @LazaroNyalandu
262
413
4K
144
256
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Mwanaume MPUMBAVU akitaka kupambana na MWANAMKE SHUJAA hatumii HOJA maana hana AKILI za HOJA. Atasema maneno yakiSHENZI kama: Mimi naweza kukuoa wewe! Kama vile NDOA ni USHINDANO wa KIJINSIA anaoushinda ME! Sitaki MASKHARA ya UBAGUZI wa KINJINSIA! Mpumbavu WAHEED!
401
188
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Jamani Unguja hakuna siri. Basi kila anayenipigia simu anajua hichi ki Honda cha Eddy Calypso? 🤣🤣 Msiejuwa basi, tulikuwa tunamuibia Abdul Samad Honda 250cc tulivyokuwa teenagers.
Tweet media one
194
112
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Suad Al Lemky mwanamke wa kwanza kutoka #Zanzibar kuitwa kwenye Bar ya England and Wales. Ninafaraja kuwa nimefuata nyayo zake na mimi nilivyokuwa Barrister wa Middle Temple mwaka 1998.
Tweet media one
Tweet media two
147
211
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Tweet media one
124
389
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Babu yangu alizaliwa na Bi Amina. #WanawakeWeusi . 🥰🥰
Tweet media one
99
187
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Kumekucha!!! #77Nyeupe Let’s go #Tanzania
Tweet media one
149
183
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
😜
Tweet media one
153
158
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Hamisiiiii Acha kumkera Heche! Unamkera mpaka watu wanadhani hawezi kutabasamu? 🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
240
115
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Shkamooooooo Maalim! 🤣🤣🤣
Tweet media one
81
119
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Nadhani kuvaa Magandwa ya Kijeshi ni “PROTOCOL”, Amiri Jeshi Mkuu akihudhuria shughuli za kijeshi.
Tweet media one
217
130
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Don’t mess with Twitter Republic! 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
200
399
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Jamani ni kweli Makonda bado analindwa na Serikali? Na ana ULINZI mkali kwake au maneno ya Mjini tu?
224
161
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
2016 Magufuli alisema ikifikapo 2020 Upinzani utakuwa umekufa. Na kweli CDM na CUF walikiona cha mtema kuni. Lakini kuna watu wachache tulisama tukaanza HARAKATI za kupigania DEMOKRASIA. Tumekomeshwa kweli lakini ni 2020, na UPINZANI uko HAI. Hapiti bila ya KUPINGWA! 🙏🏾🙏🏾
116
319
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Naomba nisema hivi: Sipendi anachokihubiri Gwajiboy kuhusu Covid 19; lakini ana HAKI ya Kikatiba ya kuyasema hayo, na nitatetea HAKI yake ya msingi ya FREEDOM OF SPEECH.
185
213
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Hii helikopta ni Airbus H225 lifting power about 5 tons. Kazi yake: SEARCH and RESCUE. Jana imetumiliwa kumpeleka Majiliwa kutoka Mwanza mpaka Bukoba wakati wananchi wanavuta ndege kwa kamba. Allahamdullilah
Tweet media one
314
420
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Sijawahi kukaa na Maria nikasononeka. Tukikaa pamoja ni vicheko tu. Hususan tukitafakari VITUKO vya mtu fulani! Maana havieleweka kabisaaaaaa! 🤣🤣🤣
Tweet media one
207
176
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa. Nimealikwa lunch na Rafiki yangu. Ni mtu private sana lakini anajijua na ninataka kumshukuru I know it’s going to be a wonderful lunch. Thank you
659
229
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Hapiti bila ya kupingwa. Tukutane 28/10: Nakutakieni usiku mwema. #democracy #utawalawasheria 🤣
Tweet media one
86
188
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
UMOJA ni NGUVU! Tusisahau hilo. Wangekuwa wachache wangepigwa mabomu ya Mahera na Sirro. Nakutakieni usiku mwema.
167
352
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Wakenya naomba ni mwambieni nyinyi ni watu WEMA sana! Ahsanteni kwa UUGWANA wenu mnaoneshea COUSINS wenu waTZ. Maana kila wakipiga risasi, wakipiga mabuti YOU WELCOME US AND THEN SEW US BACK TOGETHER. 🙏🏾🙏🏾🤗🥰 Cousins forever Jamani! 🤣🤣
111
219
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Ninataka kuwashukuru WOTE waliyehakikisha siku aliyeuliwa Babu yangu inakumbukwa #Tanzania hususan Benjamin Mkapa. Mechukuwa siku HASI mkaifeuza CHANYA kwa kusheherekea maisha ya Abeid Amani Karume. Ahsanteni 🙏🏾na nakutakieni nyote a WONDERFUL KARUME DAY.
150
165
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Birthday Lunch. Thank you.
Tweet media one
274
120
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Jamani kuna watu wamepata misukosuko nchi hii lakini wamesimama na wametupa HOPE sote: Ahsanteni nyote mliosimama baada ya mapigo. Mmeonesha WaTZ si woga. Ni watu KAREEM tu. 👏👏👏
95
249
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Leo nilivyokuwa narudi kutoka kazini nimekutana na Shangingi la Hussein Mwinyi namba plates W UL. Lilikuwa likokwenur foleni kama wananchi wengine. Dereva kafuata sheria za barabara. Huu ndio UUNGWANA na KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA! 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
170
140
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Ummy alikuwa Waziri na akatunga hii SHERIA ya pharmacy kuwekwa 500m kutoka hospitali. Swali kwa Ummy: Mganga gani alikwambia 500m ni special number inayozuia WIZI? 🤣 Mnatesa wagonjwa tu maana dawa hamuweki hospitali na sasa mnataka watembee zaidi ya 500m kuzinunua.
298
293
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
#77Nyeupe . #TumeHuruYaUchaguzi #TunduLissuHomeComing Mshikamano wa waTZ leo ni wa kihistoria. AMA kweli “Simba mwenda kimya hula NYAMA!” Eti waTZ waoga??!! THUBUTU!!! Mmenikosha leo! 💕💕💕
Tweet media one
131
131
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Nataka kuwashukuru NYOTE mnaonifollow. Nimefika followers 700k. Thank you to ALL. Mmeruhusu FIKRA na MAWAZO yangu yakufikieni. It’s a true HONOUR! ❤️❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
165
226
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Kwetu nikila urojo vichochoroni na Jussa. #Zanzibar
Tweet media one
161
133
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Walifungwa viongozi wa CHADEMA Nchi hii kwa kuthubutu kusema. Kumbe MAJIZI yalikuwa yanafugwa Ndani ya MFUMO. Jifunzeni Ndugu zangu WaTZ!
89
250
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Nimesema nitavaa #77Nyeupe mpaka siku ya kupiga Kura. Nimeanza leo. Day 1
Tweet media one
192
109
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Jamani tutaCELEBRATE blue ticks wiki ijayo. Kwa Leo kuna kazi #Zanzibar . Kuna habari ndugu zetu #Pemba wanapigwa risasi na mabomu ya machozi!
132
288
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
🙏🏾🙏🏾🙏🏾 So proud of you. 👏👏👏
Tweet media one
120
144
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Eti wanataka kuidhibiti BBC? 🤣 Hebu nicheke mie. Mugabe alijaribu: alivyopinduliwa WALIRIPOTI kwa video. ALIVYOFARIKI, wakaripoti. Nkurunziza pia alijaribu. Alivyokufa BBC wakaripoti kafa kwa CORONA. Abbasi anacheza na PROFESSIONALS. Ataondoka yeye BBC ataiacha! Mark my words🤣
161
237
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Everything has a beginning and an end. This is to inform you all that I have been FIRED from the Firm that I helped build. My sin: “ACTIVISM”.
Tweet media one
Tweet media two
462
536
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
I have been PERMANENTLY removed from the Roll of Advocates:
@JAMVILAHABARI
JAMVI LA HABARI
4 years
BREAKING NEWS:KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI KILICHOKAA LEO TAREHE 23/9/2020. KIMEMKUTA NA HATIA YA KUKIUKA MAADILI KWA KIWANGO CHA JUU, WAKILI @fatma_karume (ROLL 848) NA HIVYO KUAMURU JINA LAKE LIONDOLEWA (PARMANENT REMOVAL) KATIKA ORODHA YA MAWAKILI TANGANYIKA.
Tweet media one
302
177
2K
498
408
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Maria and I causing #Goodtrouble
Tweet media one
153
155
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Nimeelewa kwanini sina Team ya football. Kumbe ukishindwa INAUMAAAA! 🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️😢😢
228
83
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Naomba niulize swali: 1. Je Diamond alimpigia debe Magufuli? 2. Je alimfanya Makonda MLEZI wa Wasafi? 3. Je alitusii tukae kimya wakati watu wanapotea? Kuto kumpa support #betawards2021 si CHUKI ni kuonesha kutokubaliana na SIASA na HARAKATI zake.
263
257
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Tukumbushane: Hakuna MAPOKEZI ya CCM yaliyekosa ULINZI wa POLISI. Kwanini MAPOKEZI ya CDM hayajalindwa? Walidhani WANANCHI watafanya VURUGU ili wailaumu CDM? Maana haya yote yamepita AKILINI mwangu. Siku imeisha kwa SALAMA. Allahamdullilah Hakuna aliyeumia. Usiku Mwema
146
163
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Dadaake Kigogo. Mnamuona Da Doro alivyofurahia CHANJO? 🤣🤣🤣 Nchi ina viumbe hii. Nakutakieni usiku mwema.
Tweet media one
243
164
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
🤷🏽‍♀️
Tweet media one
189
322
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Leo Magu katuma message kubwa kwa mababa. Thubutuni na mtaona kama watoto wenu watabaki kuwa mawaziri; wabunge; makatibu wakuu! 🤣🤣😉😉 Message sent and delivered kwa WAZEE!
220
209
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
2 years
Luteni wa JWTZ anasema Mbowe kamuomba amtafutie makomandoo wa JWTZ kufanya UGAIDI, na huyo luteni kakubali kumtafutia Mbowe magaidi wa JWTZ. CDF do you not see there is a problem here? Maana JWTZ sasa imekuwa TRAINING CAMP ya MAGAIDI! Kuna watu wana AKILI ndogo sana!🤣🤣
171
326
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Leo Mahakama Kuu imeamuru Wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi ni uvunjifu wa Katiba yetu. Ahsante Bob Chacha kwa kunichagua kukuwakilisha kwenye hii Kesi muhimu kwa wa TZ sote.
Tweet media one
250
289
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Mwambieni Hamisi kwa niaba ya @MariaSTsehai Mimi nasema SUUUUU! Haya sasa tunasubiri......... 🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️
276
164
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Hamisi, hata ungekuwa mwanaume wa mwisho duniani nisingekubali kuolewa na mtu DEODORANT hajui kutumia; Hebu shika adabu zaku na jifunze kutumia akili badala maumbile mengine! Ulivyokuwa MJINGA hata huelewi kwamba hayo maneno yanamdhalilisha MKEO na WATOTO wako! Ijumaa Kareem
@HKigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla
4 years
Shangazi kweli umenichoka, unaniombea jela ili uolewe na mwingine ama? 😀
170
25
1K
890
205
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Naomba niulize: Kwanini Masheikh wakiislamu wanakamatwa na kuwekwa ndani na kesi haziendi lakini wachungaji kama Gwajima wanafika hadi ya kusema watageuza miskiti Sunday Schools na wanapewa FOMU za UCHAGUZI za CCM? Maneno ya Gwajima si UCHOCHEZI?
427
238
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Samia Suluhu kasema Magufuli alikuwa mgonjwa kwa muda. Swali: 1.Wale WaTZ ndugu na jamaa zetu waliyekamatwa na kufungwa kwa kusema Magufuli mgonjwa watatolewa? 2. Tumejifunza kwamba Rais ni binadam, na anaumwa na anaweza kufa au bado tutaendelea kuumizana?
140
295
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Eti niamuwe kuingia kwenye SIASA halafu nisekuambieni NYINYI, FOLLOWERS wangu? AMA kweli nitakuwa sina SHUKRANI! 🤣🤣🤣 I can assure you! YOU WILL BE THE FIRST TO KNOW!! 👍🤝🤝
102
101
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Shangazi Na Shangazi wake: Ahsa binti Abeid Karume. Love you Ahsa.❤️❤️
Tweet media one
58
101
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Umbea umenishika mpaka nikataka kuelewa “Mo ENERGY” ndio nini? Nimeletewa MBILI!🤣👏 Naambiwa moja ni 600.
Tweet media one
363
222
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
#NewProfilePic Until further notice 😉
Tweet media one
120
130
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
I am so LUCKY to have such a wonderful MOTHER and I am proud to share her with you ALL! #motherslead
Tweet media one
110
151
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Ubinadamu. Busara. Hekima. Upendo. I hope ataendelea hivi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
114
161
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Kigogo is BACK! 🤣🤣🤣👏👏👏 Sasa ELECTION SEASON itakuwa TAMU! 🤣🤣🤣
@kigogo2014
Kigogo Media
4 years
Kwa kifupi sana maana nimebanwa! 👉Waraka wa TISS political Desk kwenda kwa DGIS juu ya maofisa wa TISS waliogombea ubunge CCM 👉Vicent Mbogo ni mlinzi wa Meko- yaani katoka TISS kaenda kugombea ubunge CCM 👉Ighondu ndiye alimteka Dr Ulimboka 👉Katambi mnajua sasa why kateuliwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
889
483
7K
129
131
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Happy Birthday Maalim Seif Sharif Hamad 🎉 I hope you will see a Free #Zanzibar .
39
171
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
Dar ilivyomuaga Nyerere na Dar ilivyomuaga Jiwe. Then. Today
Tweet media one
Tweet media two
699
274
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
🤣🤣🤣Kila kukicha kuna mepya. Hamjambo?
Tweet media one
250
178
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Kuna shortage ya Helium duniani. Guess what? Inapatikana Rukwa! Serikali ianze kuchacharika na kuhakikisha investors wanaanza kuchimba huko. Waache siasa za kwasakwasa na wafanye siasa za maendeleo. Good morning everyone.
152
181
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Jamani CDM na ACT kuna kitu kwenye SIASA kinachoitwa TARGETTED unseating. Mnaona CCM wanavyo TARGET kiti cha Mbowe HAI? Kelele NYINGI: ANZENI KU TARGET VITI vya watu wao pia e.g 1. Ndugai 2. Kabudi 3. Tulia Ackson 4.Chato Pigeni KAMBI huko. Wekeni MAHEMA kabisa🤣🤣👏 TIT FOR TAT
172
235
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
#Tanzania has woken up to the news that Pres. Benjamin W. Mkapa passed away last night. I will remember him as the man who took our economy from the ICU to recuperation ward and set the foundation for economic growth. I wish him peace on his final journey.
Tweet media one
66
204
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Leo MUSIBA asingetoka kitandani kabisaaaaa! Maana kapigwa tofali na CC ya CCM na huko VUGA Preliminary Objection yake imetupiliwa mbali. Namsubiri September aliteushahidi nimetiwa mimba na muuza UNGA wa GHANA! 🤣🤣🤣
141
124
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
3 years
It has been a horrendous 5 years in #Tanzania but I am grateful and proud that I kept my HUMANITY even when evil was the order of the day. Thank you to all who made these 5 years bearable.
71
305
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Sipendi kabisa kutizama nyuma kwa kutoa lawama. 2015 kulijitokeza wanaCCM 48 kugombea URAISI. CC wakachaguwa 5 BORA kati yao, Magufuli. NEC wakatoa mCCM BORA kuliko wote kumkabidhi NCHI ya watu 55m: MAGUFULI! Swali langu: is this the BEST you had to offer us?
290
180
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Msiomjuwa HECHE hamuwezi kuamini anaTABASAMU! 🤣🤣
Tweet media one
125
91
3K
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
5 years
Nimetoka kusoma WARAKA wa Mzee Makamba na Kinana ulioandikwa kwenye karatasi za CCM. Kumbe CCM sio ya wakina Polepole pekee? Ama kweli “HAKUNA CHA PEKE YAKO”! Nakunywa gahwa yangu mie. 🤣🤣
Tweet media one
347
198
3K