Fortunatus Buyobe
10 months
Tarehe 25 December 2017, Askofu Zakaria Kakobe akiwa kanisani kwenye ibada ya Christmas, katika kanisa la FGBF Mwenge jijini Dar es Salaam, alinukuliwa akituma salamu kwa Rais wa JMT, Dkt. John P. Magufuli.
"Rais John Pombe Magufuli, nawe unatakiwa kutubu leo. Unaposherekea