Moyo wa TAIFA ™️ Profile Banner
Moyo wa TAIFA ™️ Profile
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

410,318
Followers
41,293
Following
74,922
Media
682,953
Statuses

💥BA,MA-IDS,UDSM| 💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀

Down the Earth
Joined October 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 months
Kuanzia 13/01/2024 ofisi za @BajabirLogistic zimehamia Barabara ya Kinondoni,mkabala na Phantom Filling Station ⛽️ (Ofisi za Bakwata HQ) Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0653487816. Huduma zinatolewa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
Tweet media one
7
145
224
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Pigo kubwa sana kwa wakazi wa HAI. Hawatapata DC makini na Mzalendo kama huyu. Alisakrifaisi maisha yake kwa ajili ya wana HAI.... Pengo lake halitazibika...utendaji wake hautasahaulika umeacha alama kwa wana HAI
Tweet media one
735
111
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Uzeni ndege mtengeneze madawati watoto wasikae chini..acheni ndege MOja ya kuulia NZIGE
197
156
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Tutafute hela...mambo mengine yatajiseti... Musukuma huyu hapa na PhD yake hata course work hajui maana yake.
Tweet media one
202
62
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
"Hushpuppi alishapata mabilioni kwa utapeli....why asingeacha?
Tweet media one
260
50
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Hivi Hitler alikuwa kweli katili au wahuni waliichezesha Historia?
Tweet media one
181
65
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Huyu dogo hana mpira wowote wa kumzidi SAKHO....sema Kocha wa Senegal anabagua sana wachezaji wanaocheza Afrika
Tweet media one
214
20
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Appreciation tweet kwa "WALIMU WOTE" wa nchi MASKINI....
Tweet media one
53
175
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Umemaliza Chuo 2014..... Una mzigo mkubwa wa Deni la HESLB... Kuna mtu anakuhubiria ujitolee ndo akuajiri..... Think beyond....
111
136
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Mzee Mpili anashika Bahasha vizuri kuliko hata vijana wenye degree wanaosambaza CVs.
Tweet media one
112
48
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Tuwaambie au tuwaache?
Tweet media one
257
79
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Wamachinga hawaamini kinachoendelea
99
44
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Kuna uwezekano mkubwa sana Niki akaja kuwa Rais......
287
31
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Ndo huyu ndo aliwasimamisha kazi wale madokta kwa sababu ya ajali ya Korogwe?
Tweet media one
122
35
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Tangazo la LATRA kuhusu tahadhari ya COVID-19 na kinachoendelea kwenye daladala na mwendokasi...is like LATRA wapo Uholanzi na daladala zipo Cambodia then watumiaji wapo Cape Verde
88
140
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
Kocha wa Mamelod alikuwa mahiri kuchambua wachezaji wa Yanga akamsahau Jonas MKUDE 😀😀😀
Tweet media one
47
63
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
6 months
George Weah ameonesha uzembe mkubwa sana. Wewe ni Rais,upo madarakani unashindwaje Uchaguzi? Kwa Afrika hili ni TUSI kubwa sana. 1.Una Tume 2.Una wasimamizi wa uchaguzi 3.Chama dola 4.Una polisi 5.Una jeshi 6.Una mifumo ya kuchakata matokeo. ametuhuzunisha wapenda Democracy
Tweet media one
357
140
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Nachojua mie "Wananchi" ni mashabiki wa Yanga.....
Tweet media one
221
84
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Dogo juzi kati amegraduate jeshini....now anamlinda mshua..... Kesho unaskia anawania urais.... #Mipango
Tweet media one
105
51
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Reli imepita na hakuna bomoa bomoa
Tweet media one
128
51
2K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
#IjumaaKareem to my followers....
Tweet media one
25
120
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
BAKWATA ombeni eneo mjenge University...kweli mnaomba Kodi ya Tende ishuke jamaniiiiiiiii?😂😂😂😂
118
73
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Naungana na Marekani.... Waafrika wachague 1...wagaiwe dawa za HIV na condoms bure au wapewe nafaka Bure...sio wapokee vyote kwa pamoja.
Tweet media one
227
108
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Kama hutaki kulipwa 200,000/= kwa sababu una degree anzisha ofisi yako ujilipe utakavyo....
Tweet media one
117
132
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Matajiri ndo wanapita Tanzanite Bridge Bure....malofa wanapita Daraja la Kigamboni kwa kulipia.... "kila Mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake"
76
101
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Morisoni hawezi kucheza any club inayosimamia misingi ya Professionalism....atacheza clubs zinazoendeshwa Kihuni huni
148
83
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
Wewe umemaliza chuo 2015 hadi sasa unabeba mikoba ya wanasiasa unawinda teuzi, ajira huna...kutwa uko busy na vikaunda suti vya mita 1 kwa 2000/= ujue wewe huna akili...tafuta kazi wewe ujenge familia....umri unakwenda....wengine mabinti mnatumika...shauri zenu
131
301
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Unaweza kuwa na degrees zako na bado Katuni za Kipanya zinakupita bila kuelewa....ndo maana tunakonsida form IV....Sometimes
Tweet media one
105
62
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Musukuma kaona msintanie acha nipush "PhD yangu kwenye shangingi" Wale mnaojiona mna PhD za TCU mtaendelea kuendesha Spashio tu..... Haya maisha kweli hayahitaji usiriaizi
Tweet media one
97
49
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Safi sana
Tweet media one
145
32
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Kigoma ibadilishwe matumizi iwe "Pori tengefu la akiba". #ElimikaWikiendi
Tweet media one
157
56
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Hello @Tanfootball huku sio kujihusisha na Mpira wenu kweli?
Tweet media one
162
40
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
5 months
Kenya 🇰🇪 wanajionea miujiza haya Mambo Simba na Yanga wanafanya...... Huwezi kucheza mpira kama huna uhakika wa Sembe ndani
95
106
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 years
Abood 3 zimekula mzinga at once Bwawani.... Alhamdulillah.....am safe 🙏🏿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
258
69
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Wana Tanga tuungane na RC kwenda kumpokea Shujaa Majaliwa....
Tweet media one
262
48
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Jamaa wamemchukua Rais wanakwenda kukagua Miradi ya Kimkakati
Tweet media one
95
50
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Taliban never used hashtags...20 years kwenye game....mission accomplished. #Focus
110
85
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Mnajitoa mhanga kulipa Kodi kwa Maendeleo,CAG anakuja kuonesha wenzenu walivyojitoa mhanga kula hizo kodi kwa Maendeleo
58
105
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Ila Kigoma....ni unique region.....
Tweet media one
88
38
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Kweli ile report ilikuwa "Professional rubbish" We decided to opt for POVERTY...
Tweet media one
141
107
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Mzee Simon Yosia Malogo,. Umri wake miaka 65,mwenye Namba 0757 724522. Anaomba msaada wa kifaa Cha kumuwezesha kumove (Wheel Chair) itamfaa zaidi. Anaishi Kijiji cha Wilunze,wilaya ya Chamwino mkoa Dodoma. Unaweza ukampigia aluelekeze namna ya kumfikishia msaada wako.
Tweet media one
Tweet media two
59
482
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
"Nna degree hizi ✌️....niko hapa natangaza Chupi....wewe msomi unafanya nini?"
Tweet media one
117
94
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 months
Waziri Mkuu anatoka Dodoma anakuta wizi Serengeti. 1.Kuna TAKUKURU 2.Kuna RC 3.KUNA DC 4.KUNA RAS 5.KUNA DAS 6.KUNA DED 7.KUNA MADIWANI 8.KUNA POLISI 9.KUNA USALAMA 10.KUNA KAMATI YA SIASA YA CHAMA 11.KUNA CHAWA WA MAMA
Tweet media one
269
198
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Hivi nani alileta mentality kuwa Walimu tukiwa tunakunywa maji ya chupa basi tumetoka kwenye semina?
Tweet media one
128
32
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Hatunaga chuki na Maprofesa wala ma Dk wa PhDs...ila ukweli ni kwamba most of them are empty sets..... Am sorry to say this .... Samahani kama kuna mtu nimemkwaza....but wasomi ndo wanailostisha nchi. They think abt pretty issues like kupanda V8 na LC 300 ila weupe mnoo
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
10 months
Tundu Lissu alisema huyu Pr. Mruma ni professorial Rubbish, mkamzomea ona sasa.
134
209
883
215
259
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Hii "kazi ya laana"
Tweet media one
294
78
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Prof Joyce Ndalichako. 1.Aliajiriwa UDSM 2.Aliajiriwa NECTA 3.Aliajiriwa UDSM tena 4.AKATEULIWA KUWA MBUNGE na JPM 5.Akaomba kura huko Kigoma aajiriwe awe Mbunge 6.Akateuliwa kuwa Waziri (Ajira) 7.ANASHAURI WATU WAJIAJIRI. Namzungumzia mtu mwenye Degree 3
@earadiofm
EastAfricaRadio
3 years
Vijana watakiwa kujiajiri kupitia ubunifu :-
Tweet media one
424
39
911
259
216
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
11 months
Sema Mama Anna anaongea mambo makubwa sana.....sidhani kama hata hao wadau wanamuelewa.....
124
291
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Ndugu wachambuzi wa Mavazi wa Twita...hiki kiatu Cha mtoto wa Ronaldo ni Cha Kariakoo,Karume au Mwenge?
Tweet media one
139
25
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Huyu mwanafunzi kesho aripoti kituo chochote Cha Polisi ataukuta Ujumbe wangu... Mimi sijamfundisha hivi....
404
149
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Hii nchi mtu Jobless ila unamuona kwenye media anazungumzia maslahi ya watumishi.....huko Vyuo mnasomea UTAPELI?
81
48
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Inakuwaje CAG anakuta Wizi HALMASHAURI while Kuna wakaguzi wa ndani kwa kila HALMASHAURI?
121
60
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 months
Nilitegemea kuona picha za Rais wa Ivory Coast zimetapakaa uwanjani leo. Hii nchi hawana mapenzi na Rais wao kabisa
89
79
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Huko Ulaya 1GB ni dola 15 wewe unauziwa 3000/- unalalamika.....
Tweet media one
222
53
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 months
Burundi imepakana na Kigoma. Kigoma miongoni mwa mikoa mitano masikini
Tweet media one
107
58
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Sio kwa nia mbaya...Ila wenye background ya UALIMU hawapaswi kupewa madaraka makubwa sana
101
56
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
"Mama amuangalie kakaake atamfelisha" @Roma_Mkatoliki
Tweet media one
47
64
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Nauza mahindi...yapo Mbinga...mzigo ni gunia 1000. Nauza mzigo wote kwa mkupuo. Kwa aliye interested na kununua mawasiliano haya hapa. 0719990446 au anicheki DM.
Tweet media one
53
191
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
5 years
My young blood bro,alipomaliza Chuo 2009 punde akapata tatizo la afya ya akili, as a family we'd fought to make him recovery but he didn't come back normal as he was. Bahati mbaya leo napata habari kuwa amempiga mtu na amemuua😥. Mtihan mzito we never experienced.
559
91
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 years
Hii inasababishwa na nini? Naona wanaume wengi huwatokea.....
Tweet media one
216
105
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Huyu mama Kuna mdau anataka Kum support...atakayefanikisha kupatikana kwake atakuwa ametahisisha sana. Naomba Ujumbe usambae...
Tweet media one
68
307
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
William ametetewa bila hashtags na wala hajulikani...Kuna Wana Wana Bahati sana hapa mtaani
Tweet media one
87
42
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Gwajima mmemlea wenyewe...leo anawa backfire......wajumbe wa Kawe walikuwa na akili mkawapuuza...sasa anawashika sharubu...
55
52
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Kulikuwa na haja ya kubomoa Jengo la Tanesco ikiwa Ubungo Interchange ndo ile tuionayo?
92
37
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 years
Siku ya nne sina umeme,kwa SABABU ZA KIPUUZI tu.Waheshimiwa @tanescoyetu TEGETA mie siwezi kuwapa RUSHWA na MKURUGENZI wenu asome huu UJUMBE...namba yangu ya ripoti ni 1391 mna hiyari mnihudumie au msinihudumie lakini RUSHWA siwapi.
Tweet media one
89
111
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Uzuri Bashiru ameboresha CV..within a Month amekuwa Balozi na amekuwa KMK na amekuwa Mbunge....vyeo MSEREREKO...wenzangu na mie miaka 20 Mwalimu tu tena hata uwalimu wa darasa hupewi
80
71
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Naombeni connection ya kupata nafasi ya kufundisha CANADA jamani...
Tweet media one
66
36
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Napendekeza kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa kila siku katika POSHO na Kila mwezi katika Mishahara ya kila Mbunge kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.
Tweet media one
101
185
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 months
Tweet media one
69
155
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
💉
Tweet media one
147
54
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Kama Mwakinyo ananunua mapambano na wewe nunua uchumi utoke kwenye mstari wa umaskini
Tweet media one
45
48
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 months
Fei kama unasubiria Injinia aondoke ndo urudi.......Sina cha kukushauri
64
62
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Field zinaisha Isha....matusi yanapungua maana access ya WiFi ya Bure ofisini haipo tena
61
42
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Jezi hazijawahi kuwa #SoldOut dunia nzima hiko kitu hakijawahi kutokea...... Tickets ndo huwa #SoldOut sio Jezi....
Tweet media one
120
84
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
9 months
Umoja wa Ulaya unasema Rais mpinduliwa wa Niger 🇳🇪 analalamika Hana umeme,hapewi chakula yeye na familia yake...yupo kwenye mateso mazito sana. Sasa hizi shida si ndo wananchi wake wamekuwa wakikabiliana nazo kwa miaka yote.
67
117
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Mwaka GANI mtakuja ku realize kuwa SHULE ZA KATA ni SHIMO? Yaani ni useless kwa watoto na sio msaada kwao?
132
67
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
"Walimu wafundishe masomo matano"
Tweet media one
80
36
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Ukitaka kumvuruga Mtanzania muwekee jambo lolole lile kwenye percentage.....
Tweet media one
111
57
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Some guys ni PhD holders walikaza shingo kutuaminisha kuwa Chato ni Kitovu Cha Utalii....
53
56
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 months
Nimefika duka la Sukari hapahapa Kilombero Sugar, sukari Kg moja ni 4000
Tweet media one
Tweet media two
120
91
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Mikindani,Mtwara.
Tweet media one
150
41
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Naombeni mnitajie Chuo kinachofundisha KUJIAJIRI.
208
44
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Ulaya wanapush agenda ya 50/50 then wanaohimizwa kwenda vitani ni wanaume tu. Na bado hakuna anayekemea hili jambo kuwa Kuna ubaguzi wa kijinsia umefanyika
Tweet media one
92
77
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 month
Msiwadanganye Yanga kuandika barua @CAF_Online wakati na nyie sheria zenu haziruhusu kuhoji matokeo ya Urais Mahakamani
50
152
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Washkaji zangu na mitikasi zao za Kila siku....
Tweet media one
90
64
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Ila kwenye ile report ya CAG nimejifunza kuwa Watanzania ni risk takers....na ukali wote Ule wa CHUMA watu wameiba hela mpaka hazina...Tena kirahisi mnooo....huko HALMASHAURI ndo kabisaaa watu wamejichotea na ziara zote zile za JAFO 😂😂😂😂
108
82
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
#Balozi ... Huna Deni Masta....
Tweet media one
39
72
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Binti wa kidato Cha IV karudi kwao saa 8 usiku...mshua anamuuliza "Ulikuwa wapi unarudi saa hizi?" Mtoto kamjibu "Nimetoka kupelekewa moto 🔥"
118
33
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Naomba websites za vitabu vya bure...
104
127
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
Unguja 2,650/= kwa kilo Pemba 2,700/= kwa Kilo Zanzibar hawana Kiwanda cha Sukari, hawana shamba la miwa. Bei ya Sukari Tanganyika ikoje?
Tweet media one
110
92
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
5 months
Kuna namna TANESKO huwa mnanikosha. #HappyNewYear2024
Tweet media one
94
50
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
4 months
Stendi ya mwendokasi Zakiem imejaa maji, barabara ya mwendo kasi imejaa maji.
Tweet media one
96
69
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 years
Nikikumbuka na Pongezi zikatolewa.......kila kona
Tweet media one
102
49
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Imagine nimemisi kuitwa "MNYONGE" jamaniiiiiiiii 😂
Tweet media one
72
30
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 months
Lowassa hakuwa akisema ' serikali ya Mhe.Jakaya Kikwete." Alikuwa akisema "serikali yetu"
22
70
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
19 days
Mnapigwa na jua mnasikiliza mambo yasiyo na maana, wenzenu wanasaini posho za Kuja kuwaweka juani
101
149
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Nimtakie weekend njema Mh Mbunge wa Chato. Bwana Kalemani.....
Tweet media one
64
60
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 months
Sasa STL inapataje ajali kwenye msafara wa mwenezi?
Tweet media one
153
78
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
2 months
Wewe ni dereva wa serikali...na hiyo gari ni ya serikali ila wewe sio serikali. Fata sheria z barabarani...acha kutisha watu eti kisa umevaa kaunda suti ya kitambaa cha 2000/= kwa mita
Tweet media one
85
115
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
3 years
Musiba anatoa wapi Bil 7 jamani?
143
22
1K
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
1 year
Aliyeambiwa STUPID saa hizi yupo kwenye V8 Imeandikwa SU anarudishwa nyumbani kupumzika
82
74
1K