MR BEN Profile
MR BEN

@Eric__Bernard

436,395
Followers
5,146
Following
8,289
Media
263,354
Statuses

Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.

university of daresalaam
Joined October 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Eric__Bernard
MR BEN
4 years
Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!
123
651
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Comments ziwe Fupi Fupi Sana Jamani!
Tweet media one
433
112
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Nasisitiza tena Shujaa Majaliwa akaanze Mafunzo Jamani 😂
Tweet media one
214
82
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Tuungane Kuiponya hii Nchi pamoja!
Tweet media one
376
169
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Mwamba Paul Christian Makonda Msibani kwa Mzee Malecela.
Tweet media one
141
75
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Kakosea Sana Jamaa aisee hii Mbaya sana tena sana!
Tweet media one
300
87
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro Joan Faith Katarahiya ambaye amesifiwa na Rais Samia Suluhu Hadharani kwa kukusanya Mapato. "Kale Kabinti Kangu Kameweza" Neno Moja kwake Tafadhali
Tweet media one
139
133
3K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Anayeweza Kuedit hii Picha amtoe Sakho amuweke Mayele au Aziz K tuwape furaha wenzetu!
Tweet media one
144
98
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 months
Picha haijapigwa Bahati Mbaya hii.
Tweet media one
57
91
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Tangazo ni Kali Sana!😂
Tweet media one
247
142
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Mwana FA : "Hatumtaki Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Shirikisho tunampa masaa 48 ajiuzulu" Steve Nyerere :"Mwana FA akampe Bibi yake hayo masaa 48, kwanza Ubunge wake ni wa Kupewa tu" Ikulu : Rais amemteua Mwana FA kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Steve..
Tweet media one
136
89
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Mbeya Dj kila baada ya Dakika 20 anatoa Tangazo la kwamba anauza Mchele!
141
91
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
5 months
Moja ya Jamaa anafanya kazi ya uzalendo Hanang.. Huyu Hapa, Mungu ambariki sana. 🙏
Tweet media one
76
111
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
8 months
Vijana msiache kuomba Namba Jamani... Kuna Kijana huku katuangusha mno!
465
365
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Huyu Abdallah alifanya kazi nzuri sana. Wahudumu aina hii wabarikiwe sana ndo uzalendo huu!
Tweet media one
193
114
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Ole Sabaya kashinda Rufaa yake Mahakamani bila Hashtag Mitandaoni!
105
51
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Simba tuna la Kujifunza hapa, tusiishie Kuhate tuwe Inspired!
Tweet media one
108
92
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Date na Mtu ambae anakupush kutimiza malengo yako. Kwa Umri wako wewe sio wa kushangilia kupostiwa Mitandaoni au kuwekwa Profile Picture!
109
205
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
11 months
Mmiliki wa Kampuni ya Haier ndo huyo huyo mmiliki wa GSM
Tweet media one
113
55
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
11 months
Mchambuzi Bora Bingwa wa Soka Nchini Geoff Lea!
Tweet media one
55
82
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kudate na Mwanaume ili uwe unapewa Hela Bure sio Mapenzi ni Umalaya huo!
105
128
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Chekeni sana, Beza sana lakini ukweli mnaujua Simba Timu kubwa sana kwa sasa kuwashinda nyie!
191
88
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Uzuri Protocol za Ikulu zinajulikana Huwezi kumaliza mazungumzo na Rais ukaondoka Bila Bahasha! 😂
156
57
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Lakini Erikisen alikuwa haumwi huyu alituingiza Chaka!
54
31
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Arusha mbona kila Binti barabarani anatembea kibabe tatizo nn? Mabinti Wazuri wa sura lakini Mwendo kama Askari Wanyapori!
180
69
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Bora kuchelewa kupata Mtoto kuliko kuzaa na Demu hana Akili!
118
119
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Dear ladies Mwanaume anaanza na kutamani halafu ndo akupende, Akili yako, Matendo yako, na Tabia yako ndo itamfanya aamue anabaki au anaondoka!
67
179
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Haya mambo haya ya kutumia hela vibaya ukitegemea Dili fulani litiki utareplace mara nyingi dili huwa zinagoma! 😂
135
91
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
CDF Mpya Jenerali Jacob John Mkunda. Mwenyezi Mungu Humpa amtakaye na humnyima amtakaye. Mwenyezi Mungu ni Mwema sana!
Tweet media one
40
51
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kwa hiyo kuanzia July interview za kazi Serikalini ni Kiswahili. Aisee
66
47
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Huyu Hajji Manara anachokitafuta atakipata
97
50
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Kigoma ukifika Bar wakajua umetoka Dar, Dj anakuletea Mic usalimie kidogo!
151
60
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hata kama unajiuzulu ndo uandike barua kwa Herufi kubwa? Hiki ni Kiburi!
131
60
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Nina Mwanangu mmoja huyo nikiona sms yake ya "Kaka Kaa kimkakati hapo nakupgia uniokoe" ujue yupo na Demu anamuingiza King Akipiga simu utaskia"Ben Mzigo wangu Bandarini unashuka lini? Nilikupa maelekezo tangu last week, na zile pesa Benki umepeleka?".Najibu ndiyo Mkuu wangu. 😂
200
71
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Uzuri wa Bar za mtaani wakiona unanunua Bia sana wanakupa Bluetooth upige nyimbo unazotaka!
95
51
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Endelea kuchagua Kazi.. Machinga leo wapo Ikulu!
102
63
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Legends nikumbusheni jina la Movie moja ya Steven Kanumba mwamba aliigiza kama mwanafalsafa fulani hivi alikuwa anawapiga mno Spana wanawake hadharani na ofisini. Huku kwa Ground anawatumia kama Chombo cha Starehe! Naitafuta😂
243
75
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
10 months
Hii Nchi tumefikaje hapa Jamani?
Tweet media one
353
132
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Matajiri, Mabilionea, Wafanyabiashara na watu wenye Vyeo wanakimbizana kupata Chanjo halafu upo wewe usiye hata na Mia kwenye account benki eti they want to kill me, Kill you Over what? 😂
204
101
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Comments ziwe Fupi Fupi Sana
Tweet media one
272
54
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Wakati Sakho anapewa hug na Sadio Mane na Okocha kuna wachezaji wanapewa Hug na Injinia wa barabara pale Salamanda Towers Levels, Levels, Levels! 😂
94
106
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
10 months
Nadhani Simba na Yanga igeni mfano wa Namungo hebu Toeni Thank You kwa Pamoja tuendelee na mambo mengine! 😂
Tweet media one
86
61
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
11 months
Huyo hapo
Tweet media one
@TheRealEkiswaga
Enock Kiswaga
11 months
Alie Muona Manara Ikulu jamani😀😀
2
1
10
18
30
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hii Dar es Salaam ndo Maana Joto Halipungui 😂
Tweet media one
104
100
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Msanii anaitwa Zuhura Othman Soud(Zuchu) na Mwingine ni Nasibu Abdul Juma(Diamond) Hivyo wangeenda Msikitini Kushoot ile Video Ingependeza na Kuleta Uhalisia Zaidi.!
293
85
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Harmonize Kavuruga Sana inabidi Chawa wa WCB wafanye kazi ya Ziada au watoe Mzigo kwa Influencers wageuze upepo!
77
48
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Mama Samia Kafanya Ziara Kariakoo hadi Kamaliza Hajala Mahindi kabisa!
130
38
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Seriously tuongee kama washkaji mnatoa wapi Hela wakuu?
132
70
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
4 years
Hivi Mmegundua Samatta wanamnyima Passi Makusudi Halafu Serikali ipo na Haifanyi Chochote!
159
90
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
4 years
Bongo Movie Sijui Wanatuchukuliaje hii Nchi
Tweet media one
325
77
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hii Nchi kila Sekta ina Mbinu kali sana 😂
Tweet media one
73
69
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Jamaa anaulizwa kipi kilimfanya aache kuvuta Bangi anasema ni siku amerudi home akaanza kumgombeza Mama yake why haolewi umri unakwenda yupo yupo tu na Watoto hana! 😂
97
84
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Walioshinda Twitter wanaponda Gari ya Diamond Rolls Royce wapo Magufuli Stendi wanatafuta Mabasi na Noah za kwenda kwao! 😂
82
48
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Mpira tumeangalia wote subiri sasa Studio Kesho uongo wa wachambuzi tutakoma! 😂
114
51
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Aisee Uzi wa Simba Mkali Balaa Vunja Bei nimekubali unatisha aisee.. Huu ndo Uzi Bora kwa sasa Afrika!
53
70
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hii Nchi haiwezekani mtu mmoja ana maoni kwenye kila Jambo, kuhusu Mpira ana maoni, Siasa ana maoni, Kilimo ana maoni, mapenzi ana maoni, Mziki ana maoni, Diplomasia ana maoni, Uchumi ana maoni hadi Kuhusu Sensa ana Maoni. Haijakaa sawa!
229
73
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
11 months
"Usijisikie Vibaya komaa na shule, nina haki ya kukudharau"
Tweet media one
152
85
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Simba Haitokaa ipate Msemaji aina ya Hajji Manara kamwe! Manara kile ni Kipaji cha kuzaliwa nacho na sio Kila mtu amejaliwa! Simba kujaza uwanja tena Taifa labda Tiketi wazigawe Bure 😂
223
65
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
9 months
Aliyetwambia huyu ni Mchezaji akamatwe haraka!
Tweet media one
195
69
2K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
Hebu Comments ziwe Fupi Fupi Sana!
Tweet media one
194
26
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
"Kawaambie Vijana wako Waache Matusi Mitandaoni mara moja"
Tweet media one
63
61
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
1 year
PUUZENI UZUSHI. Gari ya Serikali Vs Gari Binafsi iliyopata Ajali. Tuendelee kumtakia Afya Njema Naibu Waziri. 🙏
Tweet media one
330
37
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Joyce Joined Twitter 2019, Kapata Mchumba 2022. Hawa Ladies Joined Tangu 2012 wapo tu humu! 😂
134
63
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Dogo yupo Chuo hana biashara wala mishe tofauti na Chuo WhatsApp ameset business Account ukimtext inakuja sms "Thank you for contacting.. Please let us know how we can help you" muda huo unamtext kumtumia hela ya Kula Mchana! 😂
112
79
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
William Ruto anatufundisha kwamba Kumtegemea Mungu kunalipa!
44
52
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
6 months
Hii sio Sawa ifike hatua Serikali iingilie Kati hili Jambo.. Mama Samia asikae Kimya, mashabiki wa Simba ndo wapiga kura 2025!
Tweet media one
177
69
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Diva anasema akiwa Clouds alikuwa anasikiliza Sana nyimbo za diamond ila akifika karibu na Studio anazima! Nchi ngumu hii Jamani 😂
114
48
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Wanaotoa Tuzo hawana furaha, wanaopewa Tuzo hawana furaha na wanaofatilia Tuzo hawana Furaha!
110
69
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Haiwezekani wewe Vocha Huna, Hela ya Kucha Huna, hela ya Saloon Huna, hela ya Nguo Huna, hela ya Msosi Huna, hela ya viatu Huna, hela ya simu huna.. Yaani vyote unataka upewe na Mwanaume! Haya sio Matunzo sasa ni Utumwa! 😂
177
211
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Mkurugenzi Mtendaji Mteule Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani Mhe. Kuruthum Amour Sadik anawasalimia sana!
Tweet media one
120
41
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
4 years
Nimewafatilia wagombea wote wa watatu wa Urais Chadema Wakijinadi Mbele ya Wajumbe Baraza Kuu Taifa. So Far Lazaro Nyalandu Kajieleza na kujibu Maswali Vizuri Mno. Lissu ni Good Orator ila Nyalandu ni Presidential Material kabisa.
65
48
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Namshukuru Mungu kwa Kuniongezea mwaka Mwingine. Sifa na utukufu ni kwake Daima. Happy birthday to me.
378
107
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Arsenal ni kama wale washkaji hufaulu Mock na Kufeli NECTA!
84
47
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Siku Mtu amepost Tiketi ya Ndege humu watu wakachukua reference number wakapiga simu kucancel safari kwa niaba Ndo Nilijua hii Mitaa sio Poa, Tuwachanganye wapwa joined 2021 na 2022 kidogo! 😂
143
61
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kuna hii hiki kizazi cha Mabinti sasa hivi ukimpa Msaada bila kumuomba Penzi anakuona Fala hivi. Kumbe wengine tumelelewa vizuri na Mama Zetu
73
88
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kitendo cha Katibu Mkuu wa CCM na Katibu Mwenezi Ndugu Shaka kufika Muhimbili kumuona Kamanda wa CHADEMA Prof. Jay ni cha kiungwana sana! Huu ndo Utanzania wetu na Hakika CCM inafanya Siasa za Kuigwa!
183
98
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
4 years
Nimefuta Nyimbo zote za Eminem Siwezi Kufokewa Kiasi Hiki Hata Mama Yangu Hajawahi!
177
76
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Huyu Chama ana sifa sana 😂
16
27
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Aliyesema furaha sio pesa tupo naye hapa kapoteza Wallet ina elfu 5 analia kama yupo Msibani!😂
73
87
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Maisha yalivyo magumu haya bado mtu anakupigia simu kwa namba ngeni anataka utabiri yeye ni nani 😂
74
85
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
6 months
Au Dar kuna kitu tumemkosea Mungu bila kujua?
Tweet media one
113
44
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Leo Kwenye Mwendokasi nimeona Sura ngeni sana watakuwa washaanza kupaki Magari!
41
48
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hawa ndo wakacheze na Al Ahly na Kaizer Chiefs? Nacheka lakini Naogopa! 😂
130
46
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Mmeona namna Wachezaji huagwa? Hii Ndo Simba inawafundisha Ustaarabu!
28
38
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Anachokipitia Christiano Ronaldo kwa sasa kinatupa Funzo wote kwamba usirudiane na Ex Wako Kamwe!
43
79
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
"Najua una mwanaume wako na unampenda lakini naomba unipe nafasi na mimi, tuache tushindane mshindi atajulikana huko mbeleni" Hapa Kanumba alitisha Sana 😂
47
91
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Ukikaa kijiweni washkaji wengi waliooa wana huzuni sana, hawachangamki, hawachangii mada, hawana nuru, wana mawazo sana na hata story za kuchekesha wao hawacheki!
125
75
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Edokumwembe yupo sahihi wachambuzi wa Bongo wanafanya majukumu sio ya kwao!
Tweet media one
109
88
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Huu Mpira Mzuri leo Bocco kautolea Wapi?
68
29
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
MC Mboneke anasema yule Dogo aliyekuwa anaogopa kubeba Begi la Madaftari akiwa shule akidai zito kakutana naye amebeba Gunia la Viazi Kilo Mia! 😂
46
74
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
"Beauty with brain" ana Mimba ya Bodaboda wake!
81
63
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Kuna Mtu aliwahi kudate na Traffic humu? Hivi huwa wana mapenzi ya kweli hawa?
101
37
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Wameona Mancity ina kocha mwenye Kipara inafanya vizuri nao wametafuta Kipara! 😂
115
45
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Huu Wimbo wa Utu kama Huna Chaka lako Huwezi kuuelewa!
41
57
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
3 years
Ukipita Kariakoo Muda huu kwa wafanyabiashara wale ukawaambia sasa Kipaumbele kiwe Katiba Mpya wanaweza kukuua kwa mawe! 😂
115
51
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Huyu Mtu mmoja wa Makamo aliyemfata Mama baada ya Kuapa na kumpa maneno kuhusu Upinzani na Kijani atakuwa nani?
142
27
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Au huyu Mzungu alileta Vifaa vya Sensa tukajua Mchezaji!
49
45
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Akikuomba hela ya Saloon usitume kwenye namba yake, aende saloon asuke utumiwe Lipa Namba. Tusaidiane Kuiponya hii Nchi pamoja!
80
61
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Hadi CCM wanataka Katiba Mpya ni ACT Wazalendo tu ndo wanataka Tume Huru kabla ya Katiba Mpya!
95
88
1K
@Eric__Bernard
MR BEN
2 years
Bado namtafakari Mandonga simuelewi kabisa! 😂
82
21
1K