Twaweza - ni sisi Profile Banner
Twaweza - ni sisi Profile
Twaweza - ni sisi

@Twaweza_NiSisi

99,836
Followers
902
Following
3,769
Media
30,358
Statuses

Twaweza means 'we can make it happen' in Swahili. It's a citizen-centered initiative, focusing on large-scale change in East Africa. #DemokrasiaYetu

Tanzania, Kenya and Uganda
Joined March 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 days
In Loving Memory of Herbert Harold Humphrey 💜 It is with deep sorrow that we announce the passing of our admired colleague, Herbert Harold Humphrey, on Sunday, May 19, 2024. Herbert's departure has left a deep void within the Twaweza East Africa family. He was so much more
Tweet media one
5
14
48
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
#Tbt : uzinduzi wa takwimu za #SautiZaWananchi - "Kuwapasha Viongozi: maoni ya wananchi kuhusu siasa nchini #Tanzania 2018. #DemokrasiaYetu #SheriaZetu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
78
63
917
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Tweet media one
6
41
368
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
...Umeme na maji... #SioFea
Tweet media one
17
55
340
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
1 year
Kutana na Mary Joseph, mwalimu wa kujitolea katika shule ya msingi Nhungwiza, wilayani Mbogwe. Shule hii ndio iliyomkuza Mary tangu mwaka 2007 hadi 2012 alipohitimu. Wakati akiwa mwanafunzi kulikuwa na mwalimu mmoja tu wa kike kwa shule nzima ya Nhungizwa. Aliporudi kutoka chuo,
Tweet media one
9
46
351
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Hatuwezi kuwa watumwa wa sheria tunazozitunga wenyewe - @SuluhuSamia #SheriaZetu #DemokrasiaYetu 📸: courtesy.
Tweet media one
24
35
307
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Muswada wa marekebisho ya sheria na. 3 ya 2020 kukusudia kuwawekea kinga za kutokushtakiwa kwa baadhi ya raia kwa sababu ya nyadhifa zao ni ukiukwaji wa Katiba ya JMT. Tunaomba kushirikiana nawe kusaini azimio hili kupinga kupitishwa kwa Muswada huu:
16
55
302
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
"Huwezi kuendesha nchi bila utaratibu wa sheria. Watu hawatajua kesho kutatokea nini" - J.K. Nyerere, Muungano na dhambi ya ubaguzi - 1995. #ChangeNiSisi
Tweet media one
10
84
289
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Set a reminder for my upcoming Space! #ElimuYetu
0
29
288
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Ikiwa leo ni #SikuYaWalimu Je, walimu wanamchango katika kujifunza kwa watoto? Jiunge nasi leo saa 11.30 jioni tuzungumze! #TeachersDay2022 #ElimuYetu
8
27
302
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo - J.K. Nyerere. #ChangeNiSisi
Tweet media one
8
78
288
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...Ushindani wa kisiasa si lazima uwe na chuki ndani yake, la muhimu ni kila mmoja kuweka maslahi ya taifa na jamii mbele... #DemokrasiaYetu #RuleOfLaw
Tweet media one
18
63
269
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Kitendo cha wananchi kushindwa kuona bunge live kinafanya wasijue majukumu ya wabunge ni yapi - Esther matiko. #WikiYaAzaki2018 #MbungeLive
Tweet media one
9
34
256
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Tweet media one
3
30
254
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Tunawaomba ndugu jamaa na marafiki kuungana nasi kuliomba Bunge la JMT kutangaza rasmi Siku ya Taifa ya Wanawake wenye Ulemavu. Uwepo wa siku hii utasaidia kuongeza ujuzi wa jamii kuhusu haki za watu wenye ulemavu. Weka sahihi yako hapa: #UlemavuSiUdhaifu
20
72
250
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Tweet media one
7
34
242
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Halmashauri ni ya Madiwani kwa mujibu wa sheria. RC na DC hawapaswi kuingilia halmashauri - Katibu Mkuu TAMISEMI. #ALAT
Tweet media one
15
66
233
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%). #DemokrasiaYetu #SautiZaWananchi 2018
Tweet media one
39
52
230
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...An unjust law, is no law at all... #DemokrasiaYetu
Tweet media one
2
61
226
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
..."Madikteta wengi sasa hivi ni wa kwetu. Wamo katika Afrika, Asia na Latin Amerika. Na sasa kusema ukweli wanaanza kubakia Afrika zaidi. Kupuuza puuza tu maisha ya watu hivi, kuoneaonea watu tu"... #DemokrasiaYetu
@ManojMa95191783
Manojmanoj@manojmanoj
3 years
1
18
55
2
61
222
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
..Ushindani wa kisiasa si lazima uwe na chuki ndani yake... #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi
Tweet media one
4
39
218
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa, 2018 unabadilisha jukumu la msingi la Msajili wa vyama vya siasa kutoka kuwa “msajili” mpaka kuwa “mdhibiti”. #DemokrasiaYetu #PoliticalPartiesBill
11
47
204
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
7 years
If real development is to take place, the people have to be involved." Julius Kambarage Nyerere. #NyerereDay @MariaSTsehai @JamiiForums
Tweet media one
7
53
214
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
BBC News Swahili - ''Kabendera ni mwanangu, nilimzaa hapa Tanzania na hapajawahi kuwa na utata kuhusu anakotoka, polisi iseme ukweli inamshikilia kwa nini''. via @bbcswahili #FreeErickKabendera #DefendMediaFreedom
3
50
203
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
64% ya wananchi wanasema uhuru wa vyama vya upinzani vyombo vya habari (62%) na asasi za kiraia (58%) umepungua. Pia 54% ya wananchi wanasema uhuru wao binafsi umepungua, ikiwemo uhuru wa maoni kuhusu masuala ya kisiasa. #SautiZaWananchi #DemokrasiaYetu
Tweet media one
7
52
212
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
...Nonses... #SioFea
Tweet media one
4
25
200
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Kitu ambacho kitafanya mambo yetu kuwa mazuri ni uwazi. Si uwazi tu katika mikataba, bali uwazi kwa kila kitu - Prof Mussa Assad. #DemokrasiaYetu #CSOWeek2021
Tweet media one
1
25
205
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Twaweza imeona taarifa za uongo kwenye gazeti mojawapo la Agosti 13, 2018. Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza sio mwanachama na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini Tanzania. Soma hapa:
10
36
183
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
"Katika nchi inayojali haki na usawa, majeshi hayana budi yawe ni chombo cha kulinda haki na maslahi ya walio wengi. Na kamwe hayaruhusiwi kuwa ni chombo cha wachache wenye kujali nafsi zao na kusahau maslahi ya walio wengi” - Edward Moringe Sokoine. #ChangeNiSisi
Tweet media one
3
41
195
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
" #Elimu huibua udadisi na kuchochea kuhoji", J.K Nyerere. Je, #ElimuYetu ya sasa inaibua udadisi na kuchochea kuhoji?
Tweet media one
19
61
188
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya zao yote ni matatizo ya kiuchumi. Kati ya hayo, tatizo kubwa zaidi ni kupanda kwa bei za bidhaa na gharama za maisha (48%). #SautiZaWananchi
Tweet media one
4
32
186
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
We need to build education systems that work for everyone - H.E @jmkikwete #YouLead21
Tweet media one
6
34
183
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Prof. Baregu: miaka ya 60/70 ujinga, umasikini na hofu vilikuwa maadui wa #Elimu lakini kwasasa; ujinga, umasikini na hofu ni mitaji ya kisiasa. #Tanzania inahitaji mjadala mkubwa wa elimu. Je, ni wapi tunaelekea? #ChangeTanzania #ElimuYetu
Tweet media one
4
86
179
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
"Zamani tulikuwa tunaangalia #BungeLive . Mambo mengi tulikuwa tunayajua, lakini sahizi hatuwezi kujua wabunge wetu wanatutetea vipi, yaani hatujui kitu chochote"- #SautiZaMtaani . Je, unafatilia vipi kujua kama mbunge wako anawajibika? #Funguka
16
32
177
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Tweet media one
1
32
175
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
"Sehemu nyingi hali za wananchi zimekuwa mbaya kwasababu ya migodi mikubwa ya madini. Kwa mfano wananchi wa Kakora hali zao ni mbaya sana" - @zittokabwe #WikiYaAzaki2018 #JukwaaLaUziduaji
Tweet media one
3
29
172
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
1 year
"Walimu shuleni hapo hawana moyo wa kufundisha, kutokana na wanafunzi kuwa watukutu, tukio la kusisimua analosimulia mwalimu huyo lililotokea mwaka jana, ni mwalimu kuchomwa kisu cha tumbo na mwanafunzi wa kidato cha pili" via @MwananchiNews #ElimuYetu
20
37
178
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
80% ya wananchi wanasema kazi kubwa ya vyama vya upinzani baada ya uchaguzi ni kuchochea shughuli za kimaendeleo. Kwa maoni yako, je unadhani ni zipi kazi za vyama vya upinzani baada ya chaguzi? #DemokrasiaYetu #Funguka
Tweet media one
26
21
162
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
"Nchi zote duniani zinaongozwa na watu, lakini haziongozwi kutokana na akili za watu. Zinaongozwa kutokana na sheria" - J.K Nyerere #ChangeNiSisi
Tweet media one
3
44
156
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Mitandao ya kijamii ni kama kijiji. Hauwezi kukubalika na kila mwanakijiji. Cha msingi ni kutoenda kinyume na malengo yako @zittokabwe #CSOWeek2021 #ChangeNiSisi
Tweet media one
4
35
159
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Wazee (76%) wana uwezekano mkubwa wa kusema wapo karibu na CCM kuliko vijana (49%); wanawake (63%) wapo karibu zaidi na CCM kuliko wanaume (53%); na wasio na elimu (66%) wapo karibu zaida na chama tawala kuliko wenye elimu ya juu (46%). ( #SautiZaWananchi 2018)
Tweet media one
19
29
158
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Kwa mujibu wa #SautiZaWananchi , wananchi 2 kati ya 3 wanasema kuwa Tanzania inahitaji #Katiba mpya. Je, unafikiri #Tanzania inahitaji #Katiba mpya? Na je, #Katiba iliyopo sasa (1977) inatumika ipasavyo? #DemokrasiaYetu #Funguka
Tweet media one
45
41
147
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...Ni vizuri sana kuwa na 'strong institutions' kwasababu hata kama kiongozi si mzuri sana, zile taasisi zina uwezo wa 'kumcheck' yule kiongozi... #ChangeNiSisi
3
28
150
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Kwa mujibu wa #SautiZaWananchi , 80% ya wananchi wanasema kazi kubwa ya vyama vya upinzani baada ya uchaguzi ni kuchochea shughuli za kimaendeleo. Je, unafikiri kazi kubwa ya vyama vya upinzani ni ipi baada ya uchaguzi? #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi #Funguka #politicalpartiesbill
Tweet media one
23
31
151
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Haki za waliotupigia kura zitalindwa sawa na zile za wale wa maeneo ambayo tumeshindwa. Wajibu wetu ni kwa taifa zima na watanzania wote - Benjamin Mkapa. #DemokrasiaYetu
Tweet media one
0
22
148
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo... #ChangeNiSisi
Tweet media one
2
30
145
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Bado mmelala? Amkeni kumekucha. #DemokrasiaYetu #KatibaYetu
Tweet media one
2
40
145
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Adv. Harold Sungusia: usitunge sheria kukomoa mtu. Tutunge sheria kwa manufaa ya taifa. Sheria unayoitunga leo itakugeuka kesho. #DemokrasiaYetu
Tweet media one
5
31
138
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Je, unajua kwamba 48% ya wananchi wanasema kuwa njia nzuri ya kufufua mchakato wa mabadiliko ya #Katiba ni kuanza mchakato huo upya na tume mpya? #DemokrasiaYetu #SautiZawananchi
Tweet media one
4
44
132
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Wanaazaki tumekuwa na tabia ya kujiuza na kugombania kuonekana zaidi ya kuonesha kazi tunazofanya - @TitoMagoti #CSOWeek2021 #ChangeNiSisi
Tweet media one
0
27
134
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
86% ya wananchi wanasema #Tanzania inahitaji vyama vya upinzani ili wananchi waweze kuchagua vema nani wa kuwaongoza. #SautiZaWananchi #ChangeNiSisi
Tweet media one
5
32
130
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
7 years
ungana nasi leo saa 6:30 @startvhabari1 katika kipindi chetu cha @NjooTuongee tutakuwa na @JMakamba #NjooTuongee mazingira @JamiiForums
Tweet media one
7
11
133
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Kwa taarifa sahihi za takwimu za #SautiZaWananchi , tafadhali tembelea tovuti yetu: au tembelea ukurasa wetu @Twaweza_NiSisi . Pia unaweza kusoma ripoti hapa:
Tweet media one
21
65
132
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NO. 3(2020): Mapendekezo ya mabadiliko ya sheria yanaruhusu wale tu ambao wameathiriwa moja kwa moja na uvunjifu fulani wa haki kufungua mashitaka ya kudai haki zao. #KatibaYetu #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
20
126
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Tukifahamu barabara aina ya Taifa tunalotaka kujenga, ndipo tutakapoweza kuweka mipango ya #Elimu yenye kutufikisha kwenye shabaha hiyo - J.K. Nyerere. #ElimuYetu
Tweet media one
4
34
125
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Where there is little or no public opinion, there is likely to be bad government, which sooner or later becomes an autocratic government - William Lyon Mackenzie. #DemokrasiaYetu #ChangeNisisi
Tweet media one
4
42
124
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Tweet media one
2
30
124
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Jenerali Ulimwengu: lugha ya taifa lazima ipewe uzito unaotakiwa. Lugha ya taifa haiwezi kuishia kuuzia vitumbua. #ElimuYetu #lughashuleni
Tweet media one
8
31
120
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
...Vigeugeu... #SioFea
Tweet media one
4
16
123
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
@kileo_innocent
iamINNOCENT
5 years
hatuwezi kusema kuwa tuna maendeleo kama watu hawawezi kutembea kwa Uhuru,wanahofu wanadhani asubuhi yoyote wakisikia mlangoni kwa! Kwa! Wanafikiri kaja mtu anataka kwenda kuwafunga. @kigogo2014 @TitoMagoti @Leyenda_vivien @MariaSTsehai #100k4Erick #FreeErickKabendera
14
86
264
3
33
122
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
"We are not against progress, but we do not want progress that is anarchic and criminally neglects the rights of others," Thomas Sankara. #DemokrasiaYetu
Tweet media one
1
42
122
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
7 years
Wananchi wana hamu kubwa ya kupata #KatibaMpya na wangependa kuanza mchakato huo upya na tume mpya, na ukusanyaji upya wa maoni @zittokabwe
21
19
122
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Je, ungependa kujua kama Mbunge wa jimbo la Tarime Vijijini @HecheJohn anatimiza ahadi alizowaahidi wananchi wa jimbo lake wakati wa uchaguzi? Fuata link hii: #ChangeNiSisi
Tweet media one
5
32
118
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
@usembassytz
US Embassy Tanzania
4 years
Ubalozi wa Marekani unaungana na Watanzania katika kuomboleza kifo cha Rais Mstaafu #BenjaminWilliamMkapa . Akiwa Rais, Alifanya kazi bila kuchoka kuleta amani na ustawi, sio tu kwa Tanzania bali kwa kanda yote. Mchango wake hautasahaulika.
Tweet media one
Tweet media two
30
188
2K
0
6
120
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
There is no greater tyranny than that which is perpetrated under the shield of the law and in the name of #justice - Montesquieu. Welcome back #TitoMagoti and Theodory. #RuleOfLaw
Tweet media one
1
25
121
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
The greatest threat to freedom is the absence of criticism - Wole Soyinka. #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi
Tweet media one
3
62
118
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
7 years
There is no evidence of an increase in student pregnancies as a result of young mothers being in school. #ArudiShule
7
53
115
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Ukweli una tabia moja nzuri sana. Haujali mkubwa wala mdogo. Haujali adui wala rafiki. Kwake wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa. - J.K Nyerere #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
30
114
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Nani anawawajibisha? #ChangeNiSisi 📷 @masoudkipanya
Tweet media one
2
11
113
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
"Inawezekana tatizo la paka na panya lingekwisha kama paka angefungwa kengele shingoni: Tabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - J.K Nyerere #ChangeNiSisi
Tweet media one
2
41
114
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...Without data, you are just another person with an opinion... #UNDataForum #DemokrasiaYetu
Tweet media one
0
32
119
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Haki na Uhuru wa Mawazo. Kila mtu anao uhuru wa kuwa na maoni na kueleza fikra zake. #UhuruWaKujieleza #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
32
115
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
...Tunaposema kuwa tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha na tumepuuzwa kiasi cha kutosha, siyo kwamba tunayaambia mataifa ya nje tu... #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi
Tweet media one
1
20
114
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja. Kazi ya uongozi haiwezi kuwa ni kutenga watu waliokuwa na umoja wawe mbalimbali - J.K. Nyerere. #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
32
106
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Do you know that 6 out of 10 citizens say the freedom of opposition parties (64%), the media (62%) and civil society (58%) has declined? #SautiZaWananchi #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
31
110
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
86% ya wananchi wanasema #Tanzania inahitaji vyama vya upinzani ili wananchi waweze kuchagua vema nani wa kuwaongoza. #FactsNotChat #SautiZaWananchi #DemokrasiaYetu
Tweet media one
8
46
107
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Often we mistake stability, in terms of security and economic activity, to mean a country is doing well. We forget the third and important pillar: rule of law and respect for human rights - Kofi Annan #DemokrasiaYetu #RuleOfLaw
Tweet media one
2
37
108
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...young people should be at the forefront of global change and innovation. Empowered, they can be key agents for development and peace... #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi
Tweet media one
0
26
103
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Vyama vya siasa vinafaa kuwa taasisi za umma na si mali za watu - @hpolepole #WikiYaAzaki2019 #CSOWeek2019 #ChangeNiSisi
Tweet media one
10
17
111
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Ukweli ni kuwa, walimu ni kundi pekee katika jamii linaloamua tabia, linalotengeneza mawazo na matazamio ya Taifa – J.K Nyerere. Je, kundi hili bado lina nafasi hii katika jamii yetu? #ElimuYetu #ChangeTanzania
Tweet media one
10
37
103
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
Ungana na mheshimiwa @HecheJohn katika #MbungeLive leo usiku ifikapo saa 3:30-4:00 kupitia Star TV. Kuna mengi ya kujionea. Usikose! #DemokrasiaYetu
4
20
106
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
4 years
...Ukweli ni kwamba walimu ndilo kundi pekee katika jamii linaloamua tabia, linalotengeneza mawazo na matazamio ya taifa. - J.K Nyerere. Je, vipaumbele vyetu vinaonesha kutambua umuhimu wa kundi hili muhimu katika jamii? #ElimuYetu #WorldTeachersDay
Tweet media one
1
21
109
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
9 years
Ukimwacha Rais Kikwete, iwapo uchaguzi wa Rais ungefanyika leo, ungemchagua nani? #SautizaWananchi #Uchaguzi2015 http://t.co/koCuZ1fK95
Tweet media one
29
89
104
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Absalom Kibanda: Wamiliki wa vyombo vya habari vya #Tanzania hawajui dhima kuu ya vyombo vya habari. #UhuruWaHabari #UhuruWaKujieleza #DemokrasiaYetu
Tweet media one
3
15
107
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
"Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo" - J.K. Nyerere. #ChangeNiSisi
Tweet media one
2
29
106
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
... #Zanzibar ’s Ministry of #Education is pushing for awareness creation to enable girls who fell pregnant while still in school to be re-admitted to continue with studies after giving birth... #ArudiShuleni #ElimuYetu via @TheCitizenTZ
6
35
104
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Biashara za kidigitali za vijana zinazochochipukia zinapaswa kulindwa na kusaidiwa kukua. #AjendaYaVijana #ChangeNiSisi
Tweet media one
3
16
102
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Without data, you are just another person with an opinion - Edwards Deming. #DemokrasiaYetu #ChangeNiSisi
Tweet media one
2
39
103
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Injustice anywhere is a threat to justice everywhere - Martin Luther King Jr. #FreeErickKabendera #100k4Erick
Tweet media one
3
53
100
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
7 years
Most of these young girls have already suffered, denying them the right to continue with their education adds to their hardship. #ArudiShule
3
42
103
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Zingatia haya kuhusu uvaaji wa #Barakoa #BarakoaUzimaWangu
Tweet media one
1
36
99
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Unaweza kupata ripoti ya #SautiZaWananchi ya maoni ya wananchi kuhusu hali ya uchumi nchini #Tanzania na tozo hapa:
Tweet media one
5
54
102
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...maamuzi yoyote ya kidemokrasia hayana budi yatokane na mijadala. Bila mijadala, maamuzi, hata yaliyo muhimu kabisa yatafanywa kwa nguvu au kwa hila... #ChangeNiSisi #DemokrasiaYetu
Tweet media one
4
18
102
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Tweet media one
5
15
99
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Tweet media one
1
22
100
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
5 years
Tweet media one
0
46
99
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Vyombo vya habari vipo kwaajili ya maslahi ya umma - @ThatBoyKhalifax #CSOWeek2021 #ChangeNiSisi
Tweet media one
1
20
97
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
2 years
Wananchi wengi wanaripoti kupunguza kutuma fedha kwa njia ya simu tangu Julai 2021 (44%) kuliko wale wanaoripoti kuongeza kutuma fedha kwa njia hiyo (15%). #SautiZaWananchi
Tweet media one
8
28
100
@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
6 years
Njia pekee ambayo Uongozi unaweza kutunzwa kama Uongozi wa watu, ni pale ambapo viongozi wanakuwa na sababu ya kuogopa hukumu kutoka kwa watu—J.K Nyerere #DemokrasiaYetu #ChangeTanzania #ChangeNiSisi
Tweet media one
1
26
95