@Twaweza_NiSisi
chanzo rasmi kinashughulika na sensa nyie mpaka mnapublish mmehoji asilimia ngapi ya watanzania au ndo vile unamfuata unayejiskia tu kumuuliza,,, wekeni basi taratibu nzuri usiseme maoni ya watanzania kumbe ni yq mtaa fulani na watu fulani mliowapendelea huku vijijini ndo maumiv
@Twaweza_NiSisi
Ingependeza mngeweka mgawanyo wa hio sampuli ya watu 3000 kulingana na mikoa, umri, shughuli zao zakijamii na kiwango cha elimu ambavyo vyote ni muhimu kwenye kufanya generalization ya results mlizopata.