@Twaweza_NiSisi
@zittokabwe
Nikweli kabisa wanasema garama hizo ziara wanazofanya za live kila dakika jaman sio garama mbona azam alikuwa anarusha kama TBC wameshindwa awaachie wengine warushe
@Twaweza_NiSisi
@zittokabwe
Kitendo hiki cha kuonesha bunge live Ndio kilifanya wabunge wengi kusahau majukumu yao na Kuanza kutuletea drama Ili wapate kiki kwenye luninga.. Na walifanikiwa
@Twaweza_NiSisi
Moja ya nguzo muhimu ya demokrasia ya kweli ni uwazi na uwajibikaji, ili kulitimiza hilo Uhuru wa habari kwa watu wote kwa wakati sahihi ni muhimu sana, tumemiss sana kuona bunge live kwa sababu zisizo na msingi huku TV ya Taifa ikionesha mikutano ya chama Fulani,