Tito Magoti, PG Profile Banner
Tito Magoti, PG Profile
Tito Magoti, PG

@TitoMagoti

245,048
Followers
9,565
Following
3,455
Media
95,250
Statuses

Bingwa. Attorney | Human rights | Formerly: @humanrightstz . #NguvuMoja

Afrika
Joined October 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 months
Spoke with @hrw ’s Oryem on three years of HE @SuluhuSamia as 🇹🇿 President. I argue that Pres SSH offers the “same tea in a different cup.” A stagnant reformist if you wish. Full interview here:
7
29
121
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Kwa hisani ya uhuru wa Mzee Mbowe, shusheni handle zenu hapa niwainue 😁 #MboweSioGaidi #MboweYukoHuru
2K
633
5K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
We’re unstoppable #NguvuMoja 🦁🦁
Tweet media one
106
165
4K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Kwa NEEMA YA MUNGU, nina furaha kukuandikieni. Kama ambavyo huwa tunatamani wafu washuhudie umati uwaagao, ndivyo ilivyotokea. Nimeona, na daima nitaukumbuka, wema na upendo wenu wa ajabu.🙏🏽
186
353
3K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Vijana mjiajiri wakati wao wanagombania ajira ya 2025!
156
296
3K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Usiombe kukutana na mjinga mwenye confidence. Utajua hujui.
168
268
3K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
January 5 mwaka huu tulimaliza kifungo cha nje mwaka mzima. Wasn't easy. I resisted to get scared and quit bse I ain't a coward. Walioniteka na kunitesa sadly wawili wametangulia mbele ya haki. Wengine wanahaha kukubali kuwa umma unawajua - watekaji, wauaji. Mungu anatupenda🙏
307
393
3K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Kitu pekee Bunge la JMT (extended party caucus) linafanya kwa ufanisi ni kulipana mishahara. Mengine ni majaliwa.
104
279
3K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Great season for us. We’re ch4mpions. #NguvuMoja #SimbaNguvuMoja
Tweet media one
106
110
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
Msemaji wa vijana wa miaka ya 90🤓
Tweet media one
215
163
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
My guy Mpalukwa Said Nyagali MDUDE, karibu tena uraiani, kaka. Mungu ni mwema 🙏🏽
76
223
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mwigulu alidai mpwa wangu Abdul Nondo amejiteka, wakamfungulia kesi, Nondo akashinda. Mwigulu akadai mhuni aliyemtolea Mhe Nape bastola sio askari, leo huyo mhuni ni kati ya askari waliofanya mauaji Mtwara. Hivi karibuni alitaka tuhamie Burundi. Bado ni Waziri!!😕
170
305
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Asante Mungu kwa mwaka mwingine 🙏🏽
437
118
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Tujenge ukuta kuzuia wizi wa madini. Tuondoe maduka ya dawa jirani na hospitali kuzuia wizi wa dawa hospitalini. Akili zilezile. A weak ago, kuna mbuzi ziliambiwa zile kwa urefu wa kamba zao!
129
311
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mzee Mbowe is our fellow countryman. He is not a terrorist. Set him free. Imetosha.
39
284
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Pres @SuluhuSamia : Hawa (pichani) wako jela kwa makosa makubwa ya ugaidi kwa maelekezo ya Sabaya na genge lake, wanadai. Walikamatwa Hai wakati wa uchaguzi wakihusishwa na CDM & Mbowe. Waliteswa sana - see how weak they were, & the scars. Wako jela Segerea.
Tweet media one
Tweet media two
163
433
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Nawashukuru nyote, kwa umakhsusi: familia na marafiki, mwajiri wangu (LHRC), wanaharakati, wanazuoni, wanasheria, watumishi wa Mungu, wanahabari, asasi za kiraia, wanasiasa, na jumuiya za kimataifa. Jitihada na sauti zenu zilikuwa na maana kubwa sana kwangu.
123
244
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Supporting a great club: one team, one dream. Simba🦁 #NguvuMoja
Tweet media one
89
111
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Hakuna manufaa yoyote tunayopata kama Taifa kwa kuwatesa binadamu wenzetu. Mzee Mbowe sio gaidi.
58
296
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
821 KJ. Hapo huniambii kitu kuhusu Jeshi!
Tweet media one
395
94
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Siku tatu kabla ya hukumu, ninajua kitu pekee mshirika wetu Mdude anafanya ni kuomba na kushukuru. As we gather for prayers this weekend, tumkumbuke. Mungu ni mwema. 🙏🏽
64
231
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Baada ya Sakho kutwaa Tuzo ya goli bora la mwaka, unaambiwa thamani ya Simba katika Soko la Dunia haishikiki. #NguvuMoja 🦁
97
155
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mgunda: “Nawashukuru sana Senior Players, wakiwemo Bocco, yule Mwamba wa Lusaka (Chama), Mkude, na wengine.. . wameifanya kazi yangu kuwa rahisi.” When Coach is truly grateful to Snr Players, it is no longer footie, but rather a family! #NguvuMoja 🦁🦁
Tweet media one
23
137
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Nimefungua kesi ya Kikatiba, Civil Application No. 3/2022 Mahakama Kuu, DSM, dhidi ya NEC, AG, CHRAGG & Magereza, kuomba Mahakama ifute sheria inayozuia wafungwa kupiga kura.
111
266
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Excited to be #ChosenForChevening . I’ll be pursuing LLM in International Human Rights Law and Practice with @UniOfYork . Grateful to @CheveningFCDO , World’s prestigious scholarship, and @UKinTanzania for the opportunity.
Tweet media one
360
266
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mzee Freeman Aikael Mbowe is a hero!
35
200
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa ROMA ni shujaa wa Taifa #AnaitwaROMA
89
166
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Ndugai alianza kutafutwa na watu wa mtandaoni. Leo anatafutwa na Watanzania wenzake huko Bungeni. Nigga amedrift ghafla toka utukufu hadi uhuni. Karma.
115
152
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Vijana wenzetu mlio katika vyombo vya ulinzi na usalama maelekezo mnayopewa dhidi yetu yapokeeni kwa uangalifu. Ubaya hauna mafao.
80
272
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mzee James Rugemarila na Wakili Joe Makandege: Mungu awarejeshee miaka iliyoliwa na nzige. Poleni, karibuni tena uraini.🙏🏽
32
175
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mzee baba Tito Magoti Snr is 70 today. Ameishi, ataishi. Blessings 🙏🏽
154
75
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Msajili: “hatuna Rules za kuzuia simu. Waacheni.” Tunarudi Kortini. #MboweSioGaidi
58
220
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mtu aliyezawadiwa uDC sababu ya kusifu na kuabudu anatusimuliaje faida za tozo, ati tunajenga madarasa.. huyu mtu ni mjinga kiwango gani?
221
185
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mzee Mbowe: Mungu akufunike kwa mbawa zake, uwe salama, urudi salama. Ushindi ni hakika. John 14:14
Tweet media one
43
197
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Utekwe, uteswe mara mbili. Uviziwe, uekewe madawa, iwe kesi, ukae mwaka jela, sasa ungoje hukumu. Mdude hastahili mateso ya namna hii katika nchi yake.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
83
281
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Alichoongea Mwigulu kuhusu kodi ni mawazo yake binafsi au ndio muelekeo wa Serikali? Fikra duni sana.
83
147
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Naukumbuka ukuu wa Mungu tarehe hii. Katikati ya uhai na kifo, Mungu alijidhihirisha. Nimejifunza kwa vitendo kwamba dunia ina watu wema na wabaya. #FreeTitoMagoti haikuwa bure. Nawashukuru kwa mshikamano.
81
227
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Dear God, thank you for the gift of life. #LiveLeaveLive tells me who you’re. Your son’s forever #Grateful 🙏🏽
Tweet media one
230
138
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Popote ulipo, Daud Albert Bashite. Kuhudhuria Mahakamani ni wajibu. Tunapokezana. Njoo Mahakamani mkongwe. Usiogope!😁
113
129
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mhuni aliyemtolea Mhe Nape bastola alikanwa sio Polisi ila baadaye akapewa Ukuu wa Upelelezi Mtwara (W). Rewarding thugs! Haitashangaza wakichomolewa katika kesi yao ya mauaji!
61
168
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mhe @TunduALissu apelekwe maabara achunguzwe. He knows plenty of stuffs kwa kiwango cha ubobevu! Ni 'maltsektoro'😅🖐️ #MariaSpaces
109
165
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
We’re unstoppable #NguvuMoja 🦁🦁
Tweet media one
48
73
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mwamba @Advocate_Jebra itisha kikao cha dharura tuone chances za kwenda Kortini. Kodi ya mshikamano ni mzigo.
105
207
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Pamoja na mambo mengine, tunaipongeza Jamhuri kwa kutusaidia kuonesha kuwa jamaa yetu sio gaidi.
37
157
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Nafuu wanayohitaji wafanyabiashara na wote walio jela kwa kesi za kubumba ni kufutiwa kesi wawe huru. Kauli za viongozi husherehekewa kwa muda mfupi. Utekelezaji butu. Watu wanaendelea kuteseka. Tujisahihishe kwa vitendo.
34
254
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mzee Freeman Aikael Mbowe is a Legend, not a terrorist.
24
205
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Yuko wapi Daud Albert Bashite? Sasa atapigwa msako magazetini na maskani kwake, hadi Kolomije. Nigga aliiendesha Mahakama ila sasa anaogopa hata kuisogelea!
69
140
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 months
ARUSHA.. we are rallying behind you. We need a new constitution & better living condition. Solidarity.
Tweet media one
Tweet media two
47
327
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mjadala mzuri sana leo kuhusu tozo. Shukrani kwa mwandazi na wote walioshiriki. Tunajifunza kila siku. Aluta continua.
46
121
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Tumekuwa na siku njema sana leo Kortini. Jumatatu (ruling) ikawe kheri kwa Mzee Mbowe, kheri kwetu sote. #MboweSioGaidi
67
213
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
4 months
Tuliingoja sana siku hii. Tumekumbushana - inawezekana kuishi kwa kuheshimiana na kusikilizana. Aluta continua.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
96
339
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
Wakuu @tanpol , this is to inform you that we appreciate professionalism. 💥💥for this askari.
210
264
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Pengine sio muhimu sana lakini inashangaza kwamba kuna watu/taasisi walipoteza maisha, kazi na heshima, kuteswa, kufungwa, na kufilisiwa sababu ya kuzungumza lugha anayozungumza #CAG leo. Tuwe tunasikilizana jameni.
46
187
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mchafu hachafuki. Mlishachafuka. Hamtachafuka. Futeni kesi ya ugaidi wa kubumba mliyompa Mzee Mbowe. Haitawachafua kwakuwa mlishachafuka.
36
225
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika. Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako. Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri. Kwaheri Mhe. JPM.
58
175
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Kinachoendelea Mwanza ni jitihada za kuturejesha tunakotamani kutoka. Ni mwanzo wa maisha mengine ya uhasama, uhusiano wa paka na panya. Sio sawa.
37
205
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 months
A year older. Thanks God. John 14:14🤲🏾
Tweet media one
Tweet media two
387
184
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Historia ya maisha ya mshirika wangu MDUDE imejaa machozi na damu. Mateso ya kutekwa mara mbili. Mashitaka ya hila. Sasa anateswa mbele ya Mahakama. Kwakweli, kuhusu utawala wa sheria, tuko njia panda! Lifting you in prayers, Mdude.✊
39
219
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Kwenye 18 zake atakwambia TII SHERIA BILA SHURUTI - yaani tulia akutese, akuumize, akupe kesi ya kumbumba uende jela. Kwenye 18 za Mawakili akiulizwa alitumia sheria gani, anaomba kwenda kujisaidia. Watu wa ajabu sana hawa!
87
238
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Wabunge batili wameshikiliwa na dola. Sio huyo jamaa yenu ambaye kama Taifa tulishakubaliana kuwa ni dhaifu. Dola ilikusudia kuua upinzani. Hata Mama anajua. Ila walikosa maarifa & haitawezekana. La leo shows: intent still valid. Taking notice.
39
171
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Nani hajawahi kupigwa tafu? Kutumia udhaifu wa mtu dhidi yake ni udhaifu mara dufu.
53
166
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Hamkuwa na sababu ya kuendelea kumtesa Mzee Mbowe gerezani. Mnajua sio mhalifu. Mnawajua waliompa kesi ya uongo. Wapo miongoni mwenu. Mmeamua kuwa wabinafsi. Hamtaki kuonekana wajinga kwamba mlikosea. Well 🙏🏽
42
223
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Wewe ungeshiriki kutano ambalo Daud Albert Bashite anatoa mada kuhusu utawala wa sheria?
92
106
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Polisi/TCRA wamewahi kukusaidia ulipopoteza/ibiwa – ukaipata – simu yako? Share uzoefu.
416
133
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
In love with Askari. Mungu akuone popote ulipo. #ChangeTanzania
148
339
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mwigulu & Co waache maigizo. Trading on Rais/PM kaguswa, kaelekeza ni excuse mwitu kabisa. Mlikosea kuamua. Futeni hizo sheria. Tafuteni mapato kwingine. Hatuhitaji mshikamano wa kinyonyaji. Vitisho havisaidii.
53
185
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Kumshambulia @CarolNdosi na kuendelea kumshikilia kwa makosa yasiyo wazi sio sawa. Polisi jifunzeni kuishi na binadamu.
126
152
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Hukumu imeahirishwa. Lakini hatma ya Mdude inabeba taswira ya uhuru na usalama wetu katika nchi yetu. Tunafuatilia kwa uzito wake. #Justice4Mdude
62
195
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Ukiwa huwezi, huna nguvu na huoni uwezekano, kitu pekee unachohitaji ni tumaini. Mliponitembelea gerezani, mahakamani, kunitumia salamu na kuniombea; nilipata tumaini na nguvu thabiti. Nawashukuru kwa kushiriki nami katika dhiki yangu (Wafilipi 4:14)
45
176
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Unaambiwa ni kama mlivyosikia. We’re Simba 🦁 #NguvuMoia
Tweet media one
60
69
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mzee Mbowe anarudishwa gerezani hadi Monday. Tumuombee afya na amani. Haya ya watu yatapita. #MboweSioGaidi
18
154
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mwigulu akimaliza mazungumzo Bungeni ashinikizwe AJIUZULU. He’s super incompetent and illegitimate.
108
173
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Wapwa & Vijana wa Hovyo, comment #SimbaDay , shusha handle niwainue!😄
494
109
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 months
Matembezini kijijini kwetu Busambara.
Tweet media one
123
78
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Kenyan Judiciary inatupiga shule kubwa sana ya utawala bora. I admire!
67
116
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Ilikuwa ni kosa la kihistoria kuamini kwamba Mzee & Co ni alfa na omega. Now we here. Tutasikia mengi with time. Lakini nani atamfunga paka kengele?
45
132
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
20 days
Nilianza na mtaji wa madafu tisa, sasa ni Captain wa Jeshi.
172
155
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
My brother @HecheJohn , my leader 👊🏽
@SnrDirector
MAK Mringo (PhD)
2 years
Kuna watu wanakeraaaa
354
1K
4K
76
217
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Unaambiwa hata siye tuliokwisha ingia Kortini tumeondolewa. Ishu ni simu. Tupokonywe simu. Hatujaafiki. Tunangoja kauli ya Msajili. Lakini haya mambo, kwa ujumla, ni ya hovyo sana. #MboweSioGaidi
42
202
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Visit Tanzania🇹🇿 #NguvuMoja 🦁🦁
Tweet media one
35
71
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
4 years
Prof. Ndalichako, really umeagiza UDSM wawafukuze wanafunzi kwa kudai fedha za kijikimu, ambazo ziko kimkataba na Bodi ya Mikopo, kweli? Haya ni maamuzi ya kipuuzi sana toka kwa elites.
89
130
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Pia tuwaombee wote walioko mikononi mwa watesi. They need to remain stronger and focused to the cause. Mungu ana maguvu sana. Pray 🙏🏽🤲
23
135
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
I’m so sad that they’ve finally charged Mzee Mbowe with terrorism. 💔
39
148
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Unaambiwa kuna wajumbe hawafungamani na upande wowote. Wana maana gani?😁😁
119
51
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 years
Mdogo wangu @abdulnondo2 ameibua mjadala. Ninamuunga mkono. 1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ? 2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ? 3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?
Tweet media one
322
144
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Mwigulu: ameamua kurisk, au amehakikishiwa, nafasi yake. Kauli za kizembe daraja lile hazitoki hivi hivi.
77
110
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Ni Tanzania pekee ambapo utatekwa, utateswa, utanyimwa chakula, huonani na ndg/wakili, ukalazimishwa kutoa maelezo alafu Mahakama ikaona ilikuwa sawa tu. This is a bad precedent!
78
260
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Adam anatoa ushahidi mgumu sana. He’s partly smiling akishangaa watesi wake wanavyojifanya watu wema, rafiki, mbele ya Mahakama. Mateso aliyopitia ni masimulizi ya mateso wanayofanyiwa watu wengi wakiwa chini ya ulinzi. Hii taasisi — Polisi, ni janga!
49
212
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Tunalazimika kujihami dhidi ya serikali ya Pres SSH. Tulitamani afanye vizuri, afanikiwe, tufanikiwe. Yanayotokea yanahuzunisha. We deserve fair regard in our land.
32
189
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Who can take what Lema & Co have gone through? U can chill in your comfort zone but respect the struggle.
37
164
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Serikali za watu hufanya maamuzi kwa ‘kuwazingatia’ watu. I love Yanga’s protest.
33
111
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
Tumemuandikia barua Mhe Rais @SuluhuSamia tukishauri AMSIMAMISHE KAZI Mhe Jaji Biswalo Mganga, kupisha UCHUNGUZI wa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi akiwa DPP. #Uadilifu #Maadili #Mahakama #Haki
Tweet media one
Tweet media two
121
432
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Baba yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe.🙏🏽
78
68
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Karibu tena uraiani, Mzee Freeman Aikael Mbowe. We believed in your innocence and that was super important for the cause. Aluta continua. #MboweYukoHuru
25
190
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Mashahidi kwa ufupi: "Mzee Mbowe hakuwahi kukaa kikao kupanga ugaidi. Mawasiliano yake ya simu hayaoneshi mipango ya ugaidi." What else? Muachieni huru.
29
163
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Huwezi kusikia jumuiya za wanawake wakikemea ushenzi wa @tanpol Serengeti: binti analazimishwa kufanya mapenzi na baba yake, wakiwa uchi, baba akauliwa afterwards. Selective feminism.
133
286
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
Nimefurahi kuwaona Muddy na Adam wakiwa huru kazini. Gerezani walitengwa. Walitembelewa kwa nadra. Kwa mbinde. Ilizuiwa kuongea nao. Nilivunja utaratibu huo niwape habari nilizookoteza na kuwatia moyo ili kulinda matumaini yao. Imebaki story. Happy for them boys!✋🏾
Tweet media one
Tweet media two
27
140
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
6 months
Polisi wamezoea kutesa watuhumiwa. Askari wa kike anakushika uume, unasimamisha, anakutia spoku kwenye mrija wa uume. Alifanyiwa hivi Charles, akapata kansa, akakatwa uume akiwa gerezani. ‘Naibu Waziri wa Sheria’ anafanya ujinga huohuo, anamtia mtu chupa matakoni. Ashitakiwe.
92
314
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
3 years
Tumepoteza pingamizi la pili pia. Mhe Jaji anahitimisha kwamba maelezo yalichukuliwa kwa hiari. This is saddening, heartbreaking!
61
156
1K
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
2 years
I hope this encounter will rejuvenate the state our politics. As a big fan of TL, I believe he’s seized the moment by sticking to core values of truth, integrity, honesty and public service. Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
47
177
1K