Mwananchi Newspapers Profile
Mwananchi Newspapers

@MwananchiNews

1,049,791
Followers
301
Following
66,330
Media
149,489
Statuses

Dar es salaam, Tabata relini
Joined July 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 days
Usipitwe na mfululizo wa ripoti maalumu kuanzia Jumatatu, Mei 27, 2024 ndani ya gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii.
Tweet media one
10
8
86
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Tundu Lissu akikatiza mitaa ya jiji la Antwerp nchini Ubelgiji baada ya kuanza kuacha kutumia magongo kumsaidia kutembea #MwananchiUpdates
378
314
3K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha, ndugu wa familia wamethibitisha
Tweet media one
251
227
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Sheikh Ponda asema Lissu anatosha urais
Tweet media one
44
250
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Zitto asema atampigia kura Lissu
44
228
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mbowe: Ndani ya saa 72 Lissu atakuwa Rais, mimi Waziri mkuu Mungu akipenda
139
188
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
2 years
Augustino Mrema afariki dunia
231
180
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Lissu: Ni mkataba wa hovyo kuwahi kutokea
40
215
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya amefikishwa mahakamani muda huu kusubiri kusomewa mashtaka. Picha Mussa Juma #MwananchiUpdates
Tweet media one
175
157
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Mbunge wa Kawe Halima Mdee amesimamisha shughuli za Bunge kwa dakika moja baada ya kuingia bungeni, lakini Spika Job Ndugai akaonya kuwa shangwe za wenzake zinaweza kumponza #MwananchiUpdates
Tweet media one
162
103
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Ghebreyesus amesema idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona inayoripotiwa barani Afrika huenda sio sahihi kwa kuwa vipimo sio thabiti #MwananchiUpdates
Tweet media one
217
161
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
“Kumpenda Mungu huku tukiwatesa na kuwadharau wanadamu ni ibada ya sanamu na Mungu hawezi kuwa upande wetu hata kama tunamuimba kila siku na kula viapo kwa jina lake.” Dk Bagonza #MwananchiUpdates
Tweet media one
84
300
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Hamza azikwa usiku Dar
Tweet media one
147
110
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
11 months
Muhimbili yawapokea wanafunzi Wasudan 650, kuendelea na mafunzo
100
50
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
"Kuanzia leo Machi 8, 2020 mwanaume yeyote atakayempiga mke wake nitakula naye sahani moja, chukueni namba yangu 0682009009 pigeni simu halafu kazi niachieni mimi" Paul Makonda, RC Dar es Salaam #MwananchiUpdates
Tweet media one
437
67
2K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia. Mashinji na viongozi 8Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.
403
123
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
"Maisha ni magumu fedha hakuna watu wana hali mbaya akina mama wananyang’anywa televisheni, friji kwa ajili ya mikopo. Tunaomba mheshimiwa tuachie fedha mengine yote hatuna tatizo na wewe,” amesema Abel Mpinga, mkazi wa Wilaya ya Igunga mbele ya Rais John Magufuli
Tweet media one
113
113
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019. #MwananchiUpdates
Tweet media one
117
125
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amemteua aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Profesa Benno Ndulu kuwa mmoja kati ya watu 18 wanaounda baraza la kumshauri katika uchumi #MwananchiUpdates
Tweet media one
100
166
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameomba msamaha kwa Wakenya kufuatia kitendo cha polisi kutumia nguvu kuwatawanya wananchi waliokutwa nje baada ya katazo la kutotoka nje kuanzia saa 1 usiku hadi saa 11 alfajiri kuepuka maambukizi ya corona #MwananchiUpdates
Tweet media one
162
156
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
“Tanzania ilikuwepo kabla ya Mheshimiwa Magufuli (Rais) na itakuwepo baada yake. Tanzania si mali ya mtu awaye yeyote bali ni mali ya Mungu muumbaji wa mbingu na nchi.” - Askofu Stephen Munga. Soma zaidi >
Tweet media one
117
230
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha #MwananchiUpdates
Tweet media one
249
173
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuanzia kesho Jumatatu Aprili 6 watu wanaozurura bila kazi watakamatwa ili kuepusha maambukizi ya virusi vya corona #MwananchiUpdates
Tweet media one
393
68
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Balozi Marekani amtembelea mke wa Azory Gwanda
27
117
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini #MwananchiUpdates
Tweet media one
234
93
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Hivi ndivyo uwanja mpya wa Yanga utakavyokuwa
277
71
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Kampeni za Lissu sasa ni anga kwa anga
24
103
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Kaizer Chiefs yamtaka Nabi
17
32
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais John Magufuli akitembelea maeneo yenye mawe ndani ya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. #MwananchiUpdates
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
178
126
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Profesa Assad adai asilimia 60 ya viongozi serikalini hawana uwezo
132
208
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
“Niliwahoji wanaogopa nini wakati wana uwezo wa kukata jina langu? Niliwaambia waniache nigombee halafu huko mbele wakate jina langu maana si uwezo wanao bwana,” - Bernard Membe. Soma zaidi hapa>
Tweet media one
86
116
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
CAG: Makato ya HESLB yamepitiliza
77
193
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
"Tanzania ipo uchumi wa kati lakini mimi siwezi kumudu familia yangu kunywa chai ya maziwa ingawa baba yangu pale Tanga tulimudu kunywa chai ya maziwa enzi hizo. Uchumi lazima uendane na maisha ya wananchi kuwa na mabadiliko hata ya kimaisha," amesema Profess Mussa Assad
Tweet media one
126
233
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
CAG Profesa Mussa amesema mashirika ya umma 14 ikiwemo Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Benki ya TWB yana matatizo ya kifedha na kusababisha kuwa na madeni makubwa kuliko mtaji wake, kati ya mashirika hayo, 11 yana ukwasi hasi na mengine kujiendesha kihasara kwa miaka miwili.
Tweet media one
85
205
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
7 years
UPDATES: Mbunge Tundu Lissu yuko hai na anaendelea na matibabu, risasi zimempata miguuni na tumboni - Mganga Mkuu Hospitali ya Dodoma
114
220
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
NUKUU: “Mafanikio yako hayapimwi kwa starehe unazozifanya bali mchango wako katika kusaidia wasiyo nacho”- @moodewji
Tweet media one
62
136
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Stendi ya Magufuli malalamiko kibao
48
55
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
NUKUU: "Hauwezi kubadilisha dunia. Hiyo ni kazi kubwa. Mpigie mzazi wako simu, mwambie umemkumbuka na unampenda. Mtakie maisha marefu. Gusa maisha ya mtu mmoja mwenye uhitaji, leo na kesho na keshokutwa. Kwa kufanya hivyo, dunia itabadilika yenyewe"- @KennedyMmari
Tweet media one
29
216
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam. #MwananchiUpdates
Tweet media one
95
51
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Wanafunzi ‘form six,’ wasotea vitambulisho Nida
14
34
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya chama hicho kata ya Ndala manispaa ya Shinyanga huku akiwataka wanachama wa chama hicho kufanya kazi kwa kushirikiana. #MwananchiUpdates
Tweet media one
25
87
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Bibi mwenye miaka 95 apona corona nchini Italia
34
62
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Nabi aipa Yanga Sh4 bilioni
37
19
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Zitto aruka kiunzi, sasa ruksa kumshtaki Rais
18
42
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
“Ninakusudia kuunda kamati ya wataalamu waliangalie suala la corona kwa upana halafu watushauri serikali, watupe upeo wa tatizo hili lilivyo na hayo yanayopendekezwa na ulimwengu, hatuwezi kujitenga kama kisiwa na hatuwezi kupokea yanayoletwa bila kufanya utafiti,” – @SuluhuSamia
Tweet media one
47
159
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
CCM yalaani mbunge Catherine kuvamia mazishi ya mfanyabiashara
Tweet media one
118
53
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Baada ya Rais wa Tanzania John Magufuli kufariki dunia, hakuna uchaguzi mwingine unaofanyika badala yake, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ataapishwa kuwa Rais kwa kipindi kilichosalia katika muhula wa miaka mitano.
Tweet media one
42
82
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Wafadhili wajitoa dawa za Ukimwi
199
126
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Utafiti waonyesha asilimia 24 wanaume wa Kinondoni wana tatizo la nguvu za kiume
233
108
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Peneza wa Chadema aungwa mkono na mgombea wa ACT-Wazalendo
12
89
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
"Nashukuru Mhe. Ndugai uko hapa. Kazi ya Bunge ni kutetea maslahi ya wananchi. Teteeni maslahi ya wananchi mnaowawakilisha, kama kweli tunasema tumejifunza kutoka kwa Dk Mengi."- Askofu Mkuu wa KKKT, Dk Fredrick Shoo. #mwananchiupdates
Tweet media one
48
160
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa
35
157
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Vuguvugu Katiba Mpya latikisa mtandao wa Twitter
48
193
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Dk Kyauke: Hata mwanafunzi shahada ya kwanza akiusoma mkataba wa bandari atabaini kasoro
24
81
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Waumini wakiwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la kinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu la Mjijini Dodoma leo. Picha na Anthony Siame #MwananchiUpdates
Tweet media one
217
42
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali haitamvumilia yeyote atakayemkwaza mwandishi wa habari akiwa kazini kwani hiyo sio sera ya Serikali. #MwananchiUpdates
Tweet media one
142
88
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Rais Samia kuzungumza na wazee wa Dar
58
46
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Ripoti ya CAG yasema stendi ya Magufuli itasababisha foleni barabara ya Morogoro
109
134
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Shirika la Afya Duniani limetangaza mlipuko wa homa ya manjano nchini Sudan Kusini na kuonya huenda kukawa na maambukizi zaidi #MwananchiUpdates
Tweet media one
82
91
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Tundu Lissu ameshinda pingamizi la Serikali dhidi ya maombi yake ya kibali cha kufungua kesi kupinga kukoma kwa ubunge wake, Mahakama Kuu imekubali kusikiliza maombi yake #MwananchiUpdates
Tweet media one
40
112
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Polisi wamefika eneo la Mlimani City jijini Dar na kuagiza bendera za Chadema kushushwa #MwananchiUpdates
Tweet media one
187
77
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
Askofu Shoo ataka haki uchaguzi serikali za mitaa
36
89
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais Magufuli amesema Serikali imeamua kutowazuia watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa sababu ya ugonjwa wa corona kwakutambua madhara yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivyo ndani ya nchi na kwa nchi 8 zinazotegemea huduma na bidhaa kupitia Tanzania #MwananchiDigital
Tweet media one
185
71
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema inawezekana Ikulu ya Dodoma ikawa ya kwanza kwa ukubwa duniani kwa kuwa ina ukubwa wa kilometa za mraba 34.5. #MwananchiUpdates
Tweet media one
159
51
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
"Juzi nilikuwa namskia Mh Jafo, mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana kitabu kitakatifu, nakushukuru umechukua hatua ya kumsimamisha kazi, lakini mimi namfukuza moja kwa moja muandikie barua ya kuondoka, ashinde kesi asishinde huyo si mfanyakazi wa serikali" - Rais @MagufuliJP
Tweet media one
Tweet media two
128
60
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa Chadema #MwananchiUpdates
Tweet media one
22
70
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi mkoani Mwanza, Jessy Mikofu amekamatwa na polisi kwa amri ya mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Philis Nyimbi kwa madai ya kupiga picha watu waliokuwa wakidai huduma ya kupata vitambulisho vya Taifa katika ofisi za Mamlaka ya Vitambulisho vya
Tweet media one
132
121
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Serikali imekiri kupokea barua ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Tito Magoti aliyemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, akilalamikia mfumo wa sheria unaokandamiza haki za watuhumiwa na kusababisha kukaa mahabusu kwa muda mrefu
24
146
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Rais John Magufuli amemlipia Sh38 milioni Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa kati ya Sh40 milioni alizotakiwa kulipa faini baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu #MwananchiUpdates
Tweet media one
334
106
999
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
1 year
Morrison amvalisha msemaji Simba medali ya CAF
4
14
1K
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
5 years
CAG Assad: Nimesamehe kila kitu #MwananchiUpdates
26
88
984
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
“Hatutasahahu kitendo cha Rais Kenyatta cha kutukumbusha umuhimu wa kuheshimu dini na Imani za wengine kwani alisitisha kuhutubua akiwa jukwaani ili kupisha adhana iliyokuwa inasomwa msikitini imalizike na ndipo alipoendelea, alituachia gumzo na funzo kubwa sana,” - @SuluhuSamia
Tweet media one
10
69
991
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi.
45
177
992
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Rais Samia Suluhu amemteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje. #MwananchiUpdates
Tweet media one
17
46
982
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
3 years
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya dai hilo.
20
138
972
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
KKKT yatoa maagizo kudhibiti corona, ibada sasa ni dakika 45 tu
51
76
967
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee ametoa maelekezo kwa wakuu wa Magereza nchini kuanza kujitegemea kwa chakula cha wafungwa pamoja na huduma nyingine kuanzia Machi 1, 2020 #MwananchiUpdates
Tweet media one
128
58
967
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Mbowe akamatwa na polisi, asema anapitia kipindi kigumu
24
54
963