"Walimu shuleni hapo hawana moyo wa kufundisha, kutokana na wanafunzi kuwa watukutu, tukio la kusisimua analosimulia mwalimu huyo lililotokea mwaka jana, ni mwalimu kuchomwa kisu cha tumbo na mwanafunzi wa kidato cha pili" via
@MwananchiNews
#ElimuYetu
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Sijui inaweza isha vp ila kunahitajika ktu cha ziada kiwaelewesha vijana maisha yalivyo.. shule za kata zinaongoza kwa vijana watukutu.. Masela wapya ni wengii bangi inavutwa mnooo pombe ndo kabisa watoto wanapagawa sana
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Idadi kubwa ya wanafunzi zaidi ya wanafunzi 4000 kufundishwa na walimu 68 ni changamoto.....kwwnye 68 unaweza kukuta wapo walimu walioko masomoni...likizo....na wengine kwnye utawala kwwnye kufundisha upungufu ni mkubwa saaana
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Kuadhibiwa mtoto kwa karne ya sasa ni kuharibu haki za watoto. Walimu wanafundisha ilimradi wapate mshahara na hawezi kuona umuhimu wa kurekebisha nidhamu ya mtoto.
So,wazazi wanachangia sana wanafunzi kuwa na nidhamu mbaya kwa waalimu shuleni
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Nimeisoma Hadi mwisho ,kwa Hali hii Elimu yetu umefikia mwisho. Wanafunzi 4000 Hawa walipaswa wawe kwenye shule 4. Wazazi wametelekeza watoto wao wanawatupia walimu MZIGO ,huku serikali nayo ikiwalaumu walimu. Waalimu wanapitia magumu mno, TUWAOMBEE
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Hii inanikumbusha binti mmoja alimpiga second master wake akamchania shati ,mzazi alipoitwa shuleni akamuuliza binti tatizo Ni nini ,yule bint akampiga shoka baba yake mzazi.
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Duuuuhhhhh.......yaaani walimu wametolewa kafara kwa watoto watukutu. Apo hakuna kesi wala adhabu itakayo tolewa kwa huyo kijana. Kwni hakuna sheria mathubuti ya kumfukuza mtoto shulen.....
π«π«π«π«π«π«π«π«π«π«π«π«π«π«
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Tatizo uhuru unaotukuzwa na demokrasia kazi yake kuondosha maadili ktk jamii. Ukilikologa utalinywa mwenyewe tu.
Nyinyi simnadai uhuru wa wananchi? Uhuru wa mtu binafsi kufanya atakavyo? Pamoja na sheria ya mtoto inayodaiwa kuwa inalinda mtoto? Mpaka kufikia kuwa kuna adhabmbad
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Bado shida ipo kwa walimu na uongozi wa shule kwa ujumla. Nilichobaini hapo ni tatizo la usimamizi mpaka utukutu huo unafikia hapo ni dhahiri kwamba kuna watu hawakuwajibika ipasavo
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Maagizo mengi ya serikali kwa walimu yamejaa siasa ndani yake ila kiuhalisia walimu wanapitia changamoto kubwa kulea wanafunzi watukutu.
@Twaweza_NiSisi
@Adventure_36
@MwananchiNews
Watu wengi wanaokosoa ufanisi wa walimu kusimamia nidhamu ya wanafunzi ni wale ambao hawajui walimu wanapitia mangapi katika kulea wanafunzi mashuleni.
Kiukweli siku hizi baada ya siasa kuingilia malezi ya watoto shuleni hatari sana kwa usalama wa walimu.
@Twaweza_NiSisi
@MwananchiNews
Haki Elimu walipokuwa wanaonesha mapungufu ili tujirekebishe tuliwakataza kuzuia mafuriko kwa mikono Psychomotor ina mapungufu tukubali Cognitive