@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
Mitandao ya kijamii ni kama kijiji. Hauwezi kukubalika na kila mwanakijiji. Cha msingi ni kutoenda kinyume na malengo yako @zittokabwe #CSOWeek2021 #ChangeNiSisi
Tweet media one
4
35
159

Replies

@tosovctz
TOSOVC TZ
3 years
@Twaweza_NiSisi @zittokabwe Maneno mazuri Sana mh.zito kabwe
0
0
0
@Baloziwakurya
Nyantahe,
3 years
@Twaweza_NiSisi @zittokabwe Pia na nyie twaweza acheni unafiki
0
0
0
@trunkhorn
Trunkhorn
3 years
@Twaweza_NiSisi @zittokabwe Hayo yatakuwa malengo yako pekeyako na sio kwa Kijiji sasa kwanini wakupende mbinafsi mtaka madaraka msaliti
0
0
0