@Twaweza_NiSisi
Twaweza - ni sisi
3 years
...maamuzi yoyote ya kidemokrasia hayana budi yatokane na mijadala. Bila mijadala, maamuzi, hata yaliyo muhimu kabisa yatafanywa kwa nguvu au kwa hila... #ChangeNiSisi #DemokrasiaYetu
Tweet media one
4
18
102

Replies

@LupilaConstruc1
Lupila Construction
3 years
@Twaweza_NiSisi @zittokabwe @LupilaConstruc1 👉 We design &Build. 👉Arusha,Dodoma,Mwanza,Dar,Kahama&Zanzibar #0752565425 #MilikiNyumbaSasa
Tweet media one
0
0
1
@Siri29011869
Siri
3 years
@Twaweza_NiSisi Bado tunakukumbuka
0
0
0
@Lmbigule
Leonard Daniel
3 years
@Twaweza_NiSisi @yose_hoza Ni kweli.Mijadala huungannusha, hukuza ushiriki na uelewa.
0
0
0
@WillianTanzani1
Willian Tanzanite
3 years
0
0
0