PhD: Climate Change and Sustainable Development
Master: MSc. Project Planning and Management
Bachelor: BSc. Information Communication Technology with Business
HighSchool: Physics, Geography and Mathematics
#GodDid
Wilaya ya Mpwapwa tumepokea jumla ya Tsh. Bilioni 2.3 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya elimu. Kati ya hizo, Bilioni 1.573 ni kutoka mradi wa BOOST..! Miradi hii italeta mageuzi makubwa katika miundombinu ya elimu na hivyo kupelekea kuinua elimu wilayani kwetu
Maswali ni mengi... nimetoa majibu wakati wa mahojiano na gazeti la mwananchi... linatoka kesho tarehe 3 Disemba 2023. Pata nakala yako!
@MwananchiNews
Kwa sasa nimebanwa na majukumu lakini nikipata nafasi nipo tayari kufanya mahojiano kwa njia yoyote kwa ajili ya kuelimisha kuhusu hili (kujibu maswali na kutoa maelezo zaidi) kwasababu mimi pia nilikua mwenyekiti wa Chipukizi Taifa 2002-2006.
Watu wana mambo yao mengi sana mioyoni, ambayo kwa lugha isiyopendeza unaweza kuita 'pile of garbage' au 'rundo la takataka'. Kadiri rundo linavyokua kubwa ndivyo ambavyo watu wanahitaji kuyatupa mahali 'dumping the garbage'. 1/2
Tumeifungia shule ya sekondari Nelson Memorial mpaka hapo watakarekebisha mapungufu yaliyopo ili kuweza kutoa elimu bora na kuhakikisha usalama wa walimu na wanafunzi katika shule hiyo. Shule ina mapungufu mengi yakiwemo.... (1/3)
'Local Government Management and Economic Development'
Nashukuru kwa fursa ya kupata mafunzo kuhusiana na Menejmenti ya serikali za mitaa na Maendeleo ya Kiuchumi... yaliyofanyika Academy for International Business Officials (AIBO), Beijing, China.
Tbt 2018 nikiwa nimemaliza kukusanya data kwenye madodoso. Jumla ya madodoso 200, Dar na Morogoro kuhusu Mtizamo wa wanakaya kuhusu uhifadhi wa umeme (Household perceptions on electricity conservation in urban Tanzania). Nitajitahidi niPublish paper kuhusu hii research
Mnakumbuka mradi wetu wa ujenzi wa madarasa 9, mabweni 4 na matundu ya vyoo 14 katika shule ya sekondari Mazae kwa gharama ya Tsh. 730.8M? Ujenzi huu tumefikia hatua ya kupiga kenchi...tunatarajia kuukabidhi mradi mwishoni mwa mwezi huu.
Wilaya ya Mpwapwa tulipokea Milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU), lenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa 10 kwa mpigo, katika hospitali ya wilaya. Jengo limekamilika, tunaishukuru serikali kwa kutuletea vifaa... na sasa jengo lipo tayari kwa matumizi!
Heri ya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika/Tanzania Bara. Leo pia ni siku tunayofanya mkutano wa kwanza wa kitaifa wa DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO kwa miaka 25 ijayo (Vision 2050)
Tarehe 29 Julai 2023 wilaya ya Mpwapwa tulizindua mradi unaoitwa STAWISHA MPWAPWA (SM2). Mradi huu umelenga kumuinua na kumuimarisha mwananchi anayeishi Mpwapwa kiuchumi....
Mradi huu umelenga maeneo makubwa matatu,
1. Kilimo Biashara
2. Ufugaji wa Kisasa
3. Utunzaji Mazingira
@rollymsouth
Tusichanganye kati ya TEACHERS na LECTURERS, hawa ni watu wawili tofauti kabisa. A teacher is an educator while a Lecturer is an expert! Mmoja anaishi na wanafunzi na kuwafundisha, mwingine anaongea kwenye settings tofautitofauti kuhusu eneo lake alilobobea!
Uchaguzi wa Chipukizi wa CCM Taifa, 2002! Tukiwa katika msimu wa chaguzi za chipukizi ndani ya chama, nami kama muandamizi wa chipukizi (nilikua mwenyekiti wa chipukizi wa Taifa, 2002-2006), nawatakia kila la heri wagombea wote wa nafasi mbalimbali nchi nzima!
Juzi tulipotambulisha mradi wa Tsh. 730.8M katika shule ya sekondari Mazae. Tutajenga madarasa 9, mabweni 4 na matundu ya vyoo 14... Tunakiri kupokea fedha yote kwa ukamilifu. Kazi yetu ni kuhakikisha mradi unakamilika kwa ubora, vigezo na wakati (value for money)!
Usichukulie personal sana ukiona mtu anaku 'attack' kwa mambo yasiyo na maana... au ana 'react' sana kwa mambo hata hayaeleweki. Ni njia mojawapo ya kutupa rundo la takataka alizonazo moyoni/kichwani. Tuombeane na kuoneana huruma tu... hasa humu mitandaoni. Kindness over hate!
Pongezi nyingi sana kwa dada yetu, mhe. waziri
@umwalimu
kwa kupewa tuzo maalum iliyokabidhiwa na mhe. Mama yetu makamu wa Rais
@SuluhuSamia
kwa kutekeleza majukumu yake ya kazi vizuri na kutuwakilisha vizuriβ¦
Tumekubaliana kuhakikisha shule zote za Msingi na Sekondari wilaya ya Mpwapwa kuhakikisha zinakua na PATRON kama ambavyo zinakua na matron kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa watoto wetu wanapokua shuleni... WATOTO WOTE WANAHITAJI ULINZI KUWAEPUSHA NA VITENDO VYA UKATILI!
Nawakaribisha nyote katika mbio zijulikanazo kama NAMTUMBO SELOUS MARATHON zitakazofanyika tarehe 10/11/2018 wilayani Namtumbo.
Dhumuni la mbio hizi ni uchangiaji wa ujenzi wa majengo mawili katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo.
PAMOJA TUNAWEZA!
#NamtumboSelousMarathon
Juzi mkoa wa Dodoma tumezindua mpango mkakati wa kuinua ubora wa elimu na ufaulu. Serikali chini ya Mhe. Rais
@samia_suluhu_hassan
imefanya sehemu yake tayari kwa kuhakikisha tunapata miundombinu bora mashuleni, pia kuhakikisha wanafunzi hawatembei umbali mrefu kufuata shule.
Kuna kada zina uhaba mkubwa sana... course kama Natural Resources and Environmental economics wahadhiri wanahesabika ndani ya nchi. Kuna sehemu (tunaifahamu) tunakosea katika kuandaa na kuajiri wahadhiri...
Jana tumetoa mikopo kwa makundi ya vijana, wanawake na wenye ulemavu, yenye thamani ya shilingi milioni 90, na kufanya jumla ya mikopo tuliyotoa kwa mwaka huu wa fedha kuwa milioni 134. Nawapongeza sana Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kwa kazi nzuri! 1/3
Ahsanteni sana
@NMBTanzania
Mpwapwa kwa zawadi nzuri ya kuanzia mwaka mpya! Siku zote mmekua karibu na jamii yetu, nami kama mmoja wa wanajamii nawashukuru kwa kunigusa kwa zawadi. Shukran!
#nmbkaribuyako
Ninamshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kunipa kibali kupitia mhe. Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli kuwatumikia wananchi wa wilaya ya Namtumbo.
Namshukuru sana mhe. Rais Dr. John Pombe Magufuli kwa kuniamini na...
After many rejection emails... today I received some good news! Publishing a manuscript is not for faint hearted... nimejifunza! Bado paper mbili zinanisumbua sana ππ½
Recently I watched a movie called DON'T LOOK UP... eversince, I have so many questions running around my head! But one thing is for sure, we must choose well when it comes to leaders. Directly or indirectly, such choices affect our lives
Natambulisha rasmi FURSA ya uwekezaji katika kilimo cha zao la KOROSHO wilayani Mkalama.
Sifa moja kubwa ya kuwekeza Mkalama ni URAHISI WA KUFIKIKA kwani wilaya ipo KATIKATI ya Tanzania. Huduma na miundombinu yote muhimu inapatikana.
Kila mtu anataka MAENDELEO... Lakini si kila mmoja anaelewa na kukubali mahitaji ya kupata hayo maendeleo. Hitaji kubwa kabisa la kupata maendeleo ni KUCHAPA KAZI!!
Moja ya changamoto tunayopokea kwenye ziara zetu ni malalamiko ya wananchi hasa wazee kukosa DAWA kwenye vituo vyetu vya kutolea huduma za afya. Inapotokea kiongozi akasimama na kusema upatikanaji wa dawa upo 98% wananchi huwa hawamuelewi kabisa kabisa! 1/3
@bwaya
Bila usafiri atatimizaje majukumu yake uwandani/site? Magari ya halmashauri yana matumizi pia. Ni changamoto sana sema kama huiishi huwezi kujua. Movement ndani na nje ya wilaya inakua issue sana, hapo unahitaji kuzunguka vijijini kuwafikia wananchi
Habari njema: Tarehe 5 Oktoba 2022 kutafanyika uzinduzi wa Msimu wa KILIMO kwa mkoa mzima wa Singida. Nawataarifu wadau wote wa kilimo kwamba shughuli ya uzinduzi kiwilaya tumeifuta na kuifanya kimkoa ili kuongeza ufanisi wa zoezi hilo. Wote mnakaribishwa!
Mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Mpwapwa zimekimbizwa umbali wa 196.4kms!
Sisi tumekwisha uwasha mwenge, na kuuweka mlima kilimanjaro... Ulete MATUMAINI pale pasipo matumaini, ulete UPENDO pale penye chuki, na ulete HESHIMA palipo na dharau!
Tumepokea Tsh 1,088,451,252 kwa ajili ya ujenzi wa SHULE MPYA za sekondari katika kata za Malolo na Kimaghai (544,225,626 kwa kila shule). Tunaishukuru serikali kwa pesa hizi katika jitihada za kuboresha mazingira ya elimu nchini.
Wilaya ya Mkalama tumejenga madarasa 18 kati ya haya, shukrani nyingi kwa mhe. Rais kuipa elimu kipaombele namba 1! Tupo tayari kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023!
Katika siku 100 zilizopita nchi yetu imefanikiwa kujenga madarasa ya sekondari 8,000 na samani zake nchi nzima. Tunaanza kuyatumia juma lijalo. Hatua hii ya kihistoria ni ukombozi kwa wanafunzi zaidi ya 400,000. Hakuna mwanafunzi atayekosa nafasi ya shule kwa uhaba wa madarasa.
Nawakaribisha wadau wote wa KILIMO katika uzinduzi wa msimu mpya wa kilimo wilaya ya Mkalama mnamo tarehe 08/10/2022!
Wadau wote kuanzia wakulima, wauzaji wa mbegu, mbolea, matrekta na pembejeo zingine za kilimo....pamoja na wanunuzi wa mazao ya kilimo.(1/2)
Je, wajua?
Wananchi na wadau wote mnaruhusiwa kutembelea Magereza na hata KUTOA MISAADA ya kibinadamu mfano vifaa vya usafi (sabuni, dawa za miswaki, miswaki, mafuta, n.k)!
Tunawashukuru Barrick Gold
@BarrickGold
kwa kutupatia Tsh. 253,600,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 5, bweni na matundu 8 ya vyoo katika shule ya sekondari Mpwapwa. Hii ni moja ya namna ambavyo
@BarrickGold
wanashirikiana na serikali ktk maendeleo na kurudisha katika jamii/CSR
@hancymachemba
@bwaya
Sifahamu gari gani zitanunuliwa ila sidhani kama itacost 500M. My brother kila Δ·itu kina umuhimu, afya bado tuna safari, elimu, kilimo, miundombinu ya usafiri na usafirishaji... ndio maana sekta zote zinaangaliwa kwa pamoja (at per). Huwezi kufanya hiki kwanza kingine kisubiri...
Huwezi kuwa kiongozi wa kuchaguliwa kama hutogombea! Women aspiring leaders should be bold enough to compete in general elections, just like other leaders! Thus, to see the diversity (we wish), more women should compete for Presidential offices!
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa mwaka 2023. Umekua mwaka wa baraka kwangu na familia yangu, licha ya changamoto nyingi ambazo tumekumbana nazo. Namshukuru Mungu kwa watu wote aliowainua kwa ajili yangu, na ninamuomba azidi kuwainua watu wengi zaidi na kuwafanya baraka kwetu!
Kipande kidogo cha hotuba niliyotoa wakati nikijiuzulu nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) mapema 31/8/2018
Nawashukuru sana wajumbe wote wa mkutano mkuu wa UVCCM Taifa kwa kuniamini na...
Tumeanza kazi kwa kujitolea kuchimba msingi ktk Kimaghai na Malolo... tunatarajia kukamilisha shule hizi kwa wakati na kiwango tarajiwa! Pia tunatarajia kuzisajili shule hizi mwaka huuhuu 2023, ili kufikia Januari mwakani tupokee na kuhamishia wanafunzi ktk shule hizi
@SwahiliBible
Nafikiri sisi tunatumia njia ndefu sana kufikia uprofesa mwalimu... wenzetu unaweza kutoka kusoma shahada ya kwanza ukaenda moja kwa moja kusoma shahada ya tatu. Sisi huwezi kuruka hivyo! Pia namna unasota kupata hizo shahada za juu ni Mungu pekee anajua...
Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza mmoja wa Marubani walioileta ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), Neema Swai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Juni 3, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati Mtoto Georgina Magesa (8) akiwa ameketi kwenye Kiti cha Rais mara baada ya kukutana naye katika hafla ya uzinduzi wa Minara ya kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Azam Media
Nitasimamia ujenzi huu wa msikiti mlilolitamani lifanikiwe tangia mwaka 2000. Ni Tanzania nchi ya amani unakuta tunashirikiana kwa upendo wa dhati bila kujadili dini, itikadi wala makabila. Mwenyezi Mungu atupe wepesi katika adhma yetu hii tufanikiwe, inshallah. Amin. TAKBIR! π€²π½
"Wilaya ya Namtumbo tunakaribisha uwekezaji katika viwanda vya kuongeza thamani zao la soya pamoja na viwanda vingine, vikiwemo viwanda vya mbolea. Hii itasaidia wakulima ambao ni 98% ya wana Namtumbo kuwa na...
Muda huu tupo njiani tukielekea kata ya Malolo, umbali wa kilomita 184 kutoka makao makuu ya wilaya. Leo tutatembelea kata za Malolo, Mang'aliza, Ipera na Massa.
Tumetumwa KAZI!
#T
.SSH2025
#StawishaMpwapwa
#SM2
Juzi tulipotambulisha mradi wa Tsh. 730.8M katika shule ya sekondari Mazae. Tutajenga madarasa 9, mabweni 4 na matundu ya vyoo 14... Tunakiri kupokea fedha yote kwa ukamilifu. Kazi yetu ni kuhakikisha mradi unakamilika kwa ubora, vigezo na wakati (value for money)!
Niseme tu, NAJIVUNIA KUHUDUMU MPWAPWA, NAJIVUNIA 'TEAM' YETU YA MPWAPWA... Tumeweza kufanya mabadiliko makubwa chanya kwa kipindi cha mwaka mmoja tu niliojiunga na 'team' hii bora kabisa. Nawapongeza wote!
#StawishaMpwapwa
@hancymachemba
@bwaya
Gari ya ofisi ya DC haisomi DC inasoma STM (kwa sasa). Ofisi kwa sasa haina gari. DC wa kabla yangu aliazimwa gari na RAS, na kabla yake aliyekuwepo aliazimwa pia. Nimeambiwa hakuna gari tangu 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha naΒ Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman MboweΒ pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu. Abdulrahman Kinana
@EmmanuelMakidi3
@millardayo
Siku zote fursa inapokuja haiui fursa nyingine bali inaongeza zaidi nafasi za kazi. Kumbuka wakati computer zinaingia, maofisi mengi watu walikua na wasiwasi wa kupoteza kazi. Lakini computers zimeongeza maelfu ya kazi nchini na dunia nzima
Mradi wa maji kata ya Lupeta utakaohudumia vijiji viwili.... maendeleo ni mazuri sana, maji yapo ya kutosha, tunasubiri tu mradi ukamilike!!!
Kazi nzuri inafanywa hapa kata ya Lupeta na serikali ya awamu ya sita! Tumeidhinishiwa Tsh. 2B kwa ajili ya kupanua mradi huu muhimu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa hatujafikia lengo la makusanyo mwaka 2022/2023 kwasababu mbalimbali, kubwa ikiwemo kutokufanya vizuri katika chanzo cha uuzaji na upimaji wa viwanja. (1/2)
@DrMeku
@anon_codex
Kwahiyo nawewe Kiri ulikua wa hovyo enzi tunafanya field? Mimi naamini wengi wapo vizuri, wachache ndio hawapo serious. Wanachuo wanahitaji kufanya field ili kujifunza application ya wanayojifunza. Wapatiwe nafasi
@mzalendowakweli
@uvccm_tz
Nilitaka kutoa experience tu kama mwenyekiti mstaafu. Waulize maswali wajibiwe... watu wanahitaji information tu, baada ya hapo kila mmoja aamue kufikiria anavyotaka kufikiria
Natoa wito kwa wazazi Kufuatilia mazingira ya watoto wanayosomea ikiwemo shule husika (99% ya wazazi walioleta watoto shule hii hawaijui wala hawajawahi kuiona). Malezi sio kulipa ada tu, malezi ni pamoja na kufuatilia mazingira wanayojifunzia watoto!
Uhodari na uzalendo wako katika kuwatumikia watanzania ndio dira ya sisi wasaidizi wako ya namna bora ya kufanya kazi na kujitambua. Nakuombea afya njema, furaha, amani, umri mrefu, nguvu na ujasiri katika kutimiza majukumu yako ya kila siku.
Happy birthday Hon. President of URT
@tuipingeCCM
Ipo boss... from ICT-B I had a course named ICT Project planning and Management. I decided to master in it but in Economics, hence PPM. From PPM I had a course named Natural Resources and Environmental Economics, went with that in PhD (Climate Change and SD)
@zittokabwe
@CarolNdosi
Ni kama kusoma shuleni, kisayansi mtu anaweza kuconcentrate only for 45minutes (max). Kwahiyo inashauriwa uwe na kitu karibu cha kuondoa boredom. Wengi hutafuta kitu chochote mbadala cha kufanya. Otherwise unajikuta unasoma mstari 1 mara 10 na huelewi!