NMB Bank Plc Profile Banner
NMB Bank Plc Profile
NMB Bank Plc

@NMBTanzania

44,178
Followers
582
Following
6,407
Media
23,529
Statuses

We are committed to a customer experience that brings us closer to you with every engagement #NMBClosetoyou

Dar-es-salaam
Joined November 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Ukiwa na bima ya gari, rukhsa kuvimba! Katia gari lako bima kupitia tawi lolote la NMB karibu yako na uvimbe kitaa. #NMBBancassurance #Umebima
Tweet media one
33
43
2K
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Ni rahisi na haraka, lipia safari yako ya bodaboda kupitia simu yako na usahau usumbufu wa kutembea na pesa. Karibu kwenye ulimwengu wa #MastaBoda . #NMBMkononi #NMBKaribuYako
22
58
1K
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Huduma zako zote za bima tumekusogezea karibu zaidi! Kata bima ya kilimo, chombo cha moto, maisha, mali na afya kupitia tawi lolote la NMB karibu yako. #NMBBancassurance #Umebima
Tweet media one
24
42
1K
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Ishi bila presha ya gharama kubwa za matibabu. Kupitia matawi yetu yote nchi nzima, unaweza kukata bima ya afya kwaajili yako na uwapendao, bila wasiwasi. #NMBBancassurance #Umebima
Tweet media one
23
45
1K
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Ni series gani kali uliyotazama ambayo wengi hawaifahamu? #NMBmkononi #Mbonafastatu
Tweet media one
60
20
768
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Kesho mapema kabisa, historia inaenda kuandikwa! Usikose! @YoungAfricansSC #NMBKaribuYako
Tweet media one
11
62
762
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
5 years
Iwe unafanya manunuzi na Easybuy, Amazon, eBay au popote mtandaoni, kadi yetu ya Mastercard inakurahisishia malipo yako bila kwikwi #BlackFriday hii mpaka #CyberMonday . #NMBlackWeek
Tweet media one
13
35
712
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Kata Bima yako sasa dhidi ya majanga ya asili kuepuka gharama ambazo hauwezi kupanga wala kuepukika pale zinapotokea. Tembelea matawi yetu nchi nzima au wasiliana nasi kupitia 0800 002 002 kujua zaidi. #NMBBancassurance #Umebima
Tweet media one
12
24
560
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Tunazidi kuwa karibu nawe na sasa ni kupitia WhatsApp namba 0747333444. Njoo inbox tukuhudumie. #TatuZaKibabe #NMBKaribuYako
Tweet media one
33
21
520
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Lipia nauli ya usafiri wa bodaboda kwa Mastercard QR uanze wiki yako na kiki ya kutosha. #NMBMkononi #Mastaboda #NMBKaribuYako
Tweet media one
2
10
448
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Bado huna zawadi kwa ajili ya mpendwa wako sikukuu hii? NMB Mkononi itabadilisha hili. Watumie salamu zako kijanja kabisa kupitia NMB Mkononi (Piga *150*66# au pakua app) na uwatembezee tabasamu😀😄
Tweet media one
3
15
428
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Muite Mastaboda akuwahishe mishe kama foleni imebana. Malipo nayo simpo tu kwa Mastercard QR. #MastaBoda #NMBMkononi #NMBKaribuYako
Tweet media one
2
14
391
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Hakuna tena kuchelewa! Kulipia usafiri wa mastaboda ni rahisi kwa Mastercard QR ukiwa na NMB Mkononi. #NMBMkononi #Mastaboda
Tweet media one
0
14
384
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Tweet media one
71
43
399
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Iwe siku ya kazi au wikiendi ndefu kama hii, stress za bili zisikuumize kichwa. Kamilisha malipo yako yote kupitia *150*66#   #NMBMkononi #Mbonafastatu
Tweet media one
6
14
320
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Wazingatia karoti na mchicha, hii inawahusu! Utofauti ni mdogo sana , unaweza kuuona? Anza kuzoom #NMBKaribuYako
Tweet media one
216
21
334
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Wale tuliokuwa vinara wa hisabati shuleni tujuane kwenye comments.
Tweet media one
245
24
317
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Tinga kwenye #TOTBonanza au Shamba la bibi kwa kutumia Mastaboda ufurahie muda na marafiki ukiwa na uhakika na usalama wa fedha zako kwenye suala zima la nauli. #Mastaboda #Lipabilakesh
Tweet media one
1
15
285
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Dar es Salaam📍 Kwa kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, leo tumeingia makubaliano na timu ya @YoungAfricansSC na kuwa Benki ya kwanza nchini kuwawezesha mashabiki na wanachama wa Yanga kupata kadi za uanachama kupitia matawi yote ya NMB yaliyoenea nchi nzima.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
40
307
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Kazi ni kwako kutuambia jibu kwenye comments! #NMBKaribuYako
Tweet media one
332
14
290
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
🏆 Ushindi wa mara ya tisa mfululizo sio wa mchezo mchezo 🔥💪🏾! Kwa mara nyingine tena, tumeshinda kama Benki bora nchini na pia; Benki bora ya wateja binafsi na biashara za kati. #NMBKaribuYako #Mara9Mfululizo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
206
18
275
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Ngoma mpaka kwenye Tawi letu la Saba Saba! Tulikwambia usikose kupita, mashabiki wa Yanga na wateja wetu wamepata nafasi ya kupiga picha na makombe waliyoyapata msimu huu! Daima Karibu Yako! #NMBKaribuYako
12
48
276
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Kwanini upoteze muda kwenye foleni wakati kutuma na kutoa fedha ukiwa na NMB Mkononi ni kama kunywa maji na mrija? Bofya *150*60# au App kujihudumia. #NMBMkononi #Mbonafastatu
Tweet media one
4
11
235
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 months
Benki inayokujali inakuletea mchongo mwingine Valentines hii ❤️ Tumetenga TZS 300,000/= kwa ajili yako. Unachopaswa kufanya ni kutuambia jinsi utakavyotumia pesa hii kufanya siku ya Valentine's kuwa ya pekee kwa mtu umpendae! Jinsi ya kushiriki: ➡️ Follow page ya @nmbtanzania
78
50
257
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Mastaboda inakurahishia malipo ya huduma zako zote za bodaboda tena bila kesh. Kamilisha malipo yako sasa Mastercard Qr #NMBMkononi #Mastaboda
Tweet media one
0
4
239
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Mkwanja wa buku 50 💰 ni wa kwako ukijibu sahihi ✅. Mchongo ni kuretweet na comment ya jibu sahihi. Mwenye retweets nyingi zaidi anasepa na mapene. Mshindi kutangazwa kesho saa kumi na mbili jioni. Twende kazi! #Mara8Mfululizo
Tweet media one
44
70
229
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Hauhitaji kuwa na akaunti ili kula bata. Kupitia Prepaid card ya NMB Mastercard, jaza salio lako kuenjoy na marafiki kwa malipo yasiyohitaji kubeba vibunda vya hela. Kupata kadi hii tembelea tawi letu lolote lililo karibu nawe. #KwaSababuUnaweza
Tweet media one
5
4
235
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Furahia ulimwengu usio na kikomo! Tumekuletea kadi zinazoendana na kile unachostahili kama riba nafuu na urahisi wa shughuli nyingi za malipo. Unastahili uhuru na usalama. #KwaSababuUnaweza
Tweet media one
8
9
219
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Mkwanja wa buku 50 💰 ni wa kwako ukijibu sahihi ✅. Mwenye retweets nyingi zaidi anasepa na mapene. Mshindi kutangazwa kesho saa kumi na mbili jioni. Twende kazi! #Mara8Mfululizo
Tweet media one
135
40
204
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Tumezindua rasmi mfumo wa majaribio ya kidijitali (Sandbox environment) kwaajili ya vijana wabunifu kujaribu suluhishi zao za kiteknolojia. #AmshaNaFursa #NMBSandBox
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
11
62
197
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Unasafiri kwenda nje ya nchi? Kwanini ujistress kuhusu kufanya malipo wakati unakadi yako ya NMB Mastercard - World Credit inayokupa uhuru wa kuendelea na shughuli zako hata unapokuwa mbali na nyumbani. Tembelea tawi letu la karibu nawe kujipatia kadi hii. #KwasababuUnaweza
Tweet media one
1
7
192
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
9 months
Tuchangamshe akili kidogo! Jibu lako lidondoshe kwenye comment. #NMBKaribuYako
Tweet media one
237
15
199
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Husika katika comments hapo chini kutuandikia neno hilo. #NMBKaribuYako
Tweet media one
181
14
185
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Mkwanja wa buku 50 💰 ni wa kwako ukijibu sahihi ✅. Mwenye jibu sahihi lenye retweets nyingi zaidi anasepa na mapene. Mshindi kutangazwa kesho saa kumi na mbili jioni. Twende kazi! #Mara8Mfululizo
Tweet media one
103
41
174
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Ukifanya malipo, sisi tunakulipa! Tunamaanisha tunaposema ‘siyo kikawaida’ kwani Tzs 100,000 zinatoka kwa washindi 30 kila mmoja, kila wiki! Cha kufanya ni kufanya malipo kupitia kadi yoyote ya NMB au Mastercard QR #NMBMastabata #SiyoKiKawaida
Tweet media one
4
3
178
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Kolabo ya timu kubwa @YoungAfricansSC na benki bora NMB inaleta raha kama hizi! Tukutane tawini kuanzia Julai 10, 2023, usajili uanachama wako wa timu ya Yanga, uchukue kadi uteleze na faida kibao! #NMBKaribuYako
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
35
168
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Kushinda zawadi na MastaBata ni rahisi sanaaa! Hakikisha unafanya malipo kwa kutumia kadi yako ya NMB Mastercard au kwa Mastercard QR ili upate Tsh 100,000 kila wiki, vifaa vya nyumbani au safari za Serengeti, Ngorongoro au Zanzibar. #NMBMastabata #SiyoKiKawaida
Tweet media one
3
8
155
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
@gambi_gambino @swahilitimes Habari, Asante kwa kutembelea ukurasa wetu wa NMB. Ndiyo, kutuma kati ya akaunti mbiliz a NMB Bank ni bure. Makato kutoa fedha ATM ni ATM – Kutoa Pesa Ada - Kuanzia: TZS 1,000 - 50,000 1,100 Kuanzia: TZS 50,001 - 150,000 1,300 Kuanzia: TZS 150,001 - 400,000 1,500 ^PJ
38
24
156
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Kombe la mabingwa limeingia mjengoni! Tulisema Benki ya NMB ni nyumbani kwa wananchi na leo tumeyapokea makombe yao ya ushindi kusherehekea mafanikio makubwa ya msimu huu!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
31
149
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Buku 50 inaenda kwa @babalao__ leo. Tutakupa maelekezo ya jinsi ya kupata zawadi yako DM. Kushiriki, fuatilia ukurasa wetu kesho kujua swali litakalo ulizwa na hatua za kufuata. #NMBKaribuYako
Tweet media one
15
8
134
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
5 years
Leo tumezindua malipo ya MasterCard QR kwa bodaboda. Mfumo wa kwanza nchini unaowawezesha abiria kulipa nauli kwa kutumia simu. Huduma hii imezinduliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu-Jenista Mhagama
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
59
17
137
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Muda wako wa mapumziko ukitalii katika mbuga za wanyama hautakiwi kusumbuliwa na jinsi ya kufanya malipo. Kadi ya NMB Mastercard – Prepaid Card inatosha kuhakikisha una fedha za kutosha na kubaki katika bajeti yako uliyojiwekea awali. #KwasababuUnaweza
Tweet media one
1
4
134
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 months
Wazee wa Makoti Wamepoa kwenye Pozi la NMB Pesa 😎 Mchongo wa NMB Pesa uko hivi👇: ➡️ Fungua akaunti kwa kianzio cha Buku Tu! ➡️ Haina makato ya kila mwezi ➡️ Hauhitaji kwenda benki kufungua akaunti; maliza kitaani kwako ukimuona afisa wetu wa mauzo (DSS)
Tweet media one
Tweet media two
12
15
135
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Kama wewe ni mbunifu wa suluhishi za kidijitali, ni wakati wa kujiunga na watu wa viwango vya juu. Mfumo wetu wa majaribio ya kidijitali (SandBox) utakuwezesha kupata jukwaa la kuinua kampuni yako changa (Start-up) kufikia malengo yako.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
33
133
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Hapa sikukuu imeshakuwa tamu kwani washindi hawa wamepata tzs 100,000 kiulaini! Tukutane wiki ijayo na kama utaendelea kufanya malipo kupitia kadi yako NMB Mastercard au Mastercard QR, unaweza kuwa mshindi wetu. #NMBMAstabata #SiyoKiKawaida
Tweet media one
Tweet media two
3
3
119
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
10 months
Kivumbi leo Lupaso 💨! Ukifika Taifa, sogea mpaka geti A kupata burudani ya kukuweka tayari na Simba Day. Usisahau kuja na kitambulisho chako ufungue akaunti mahususi kwaajili yako mwanasimba na ufurahie ofa na huduma kibao! Ukaribu wa Nguvu upo Taifa leo! #UkaribuWaNguvu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
21
119
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
20
26
114
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Tumefungua rasmi tawi letu la Kwa Mrombo, Arusha📍 Karibu tukuhudumie 😊 #NMBKaribuYako
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
5
112
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Leo tunakipiga haswa haswa! Jambo la kifalme linafanyika leo, fanya kusogea Tanganyika Packers tukiwashe na timu yetu kubwaa @simbasctanzania #JamboLaKifalme #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako #NguvuMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
30
112
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Vanny Boy / Chui @rayvanny yupo kwenye orodha ya watoa burudani katika viwanja vya TCC Chang’ombe @gonanmb
Tweet media one
6
2
108
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
B Twangala @bdozen naye ndani ya viwanja vya TCC Chang’ombe bila kiingilio chochote!. @gonanmb
Tweet media one
1
4
103
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Mbali na yote, tunaenda kushuhudia ni kinara gani ataondoka na kombe la UEFA champions @gonanmb
Tweet media one
5
9
100
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Mtoto mzuri Minnah @meena_ally anakosaje sasa kuwepo Jumamosi hii? Na zuri zaidi ni hakuna kiingilio hivyo tukutane TCC Chang'ombe. @gonanmb
Tweet media one
4
3
98
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
2 years
Tuchangamshe kidogo ubongo! Tuambie jibu lako kwenye comments. #NMBKaribuYako
Tweet media one
63
7
99
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Karibuni nyumbani wanyama! Ushabiki wa kweli unaenda sambamba na huduma bora za kibenki ⚽️🏦
Tweet media one
Tweet media two
6
22
97
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 months
Ni msimu wa kutamba na umpendae ❤️ Mshindi wa challenge yetu amepatikana baada ya kueleza atavyotumia Tsh 300,000 kuifanya siku ya Valentines kuwa ya kipekee kwa mtu ampendae. Baada ya kutag watu wake na kupata likes na comments nyingi zaidi kwenye page yetu,
19
8
92
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
26 days
Benki ya NMB imeingia makubaliano ya miaka miwili na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwaajili ya kutoa mikopo yenye masharti nafuu kwa wafanyabiashara ndogo ndogo kupitia Benki ya NMB. Kupitia makubaliano haya:
Tweet media one
15
13
98
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Una herufi tatu, zipange kuifanya picha ikae sawa! #NMBKaribuYako
Tweet media one
101
2
97
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Leo tunaandika historia! Tumetoa gawio la Tsh. Bilioni 45.5, ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi kutolewa na Taasisi ya kifedha kwa Serikali. Gawio hili kwa serikali ni kiashiria tosha cha Azma yetu ya kuhakikisha tunaleta tija na faida kubwa kwa wawekezaji wetu wote,
Tweet media one
13
25
92
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
“Basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaaza sauti wakisema: Hosana! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana” - John 12:13 Tunawatakia wewe na familia yako Jumapili njema ya matawi. #NMBKaribuYako
3
11
90
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
10 months
Tayari Afisa Mtendaji Mkuu Wetu, Bi. Ruth Zaipuna akiambatana na viongozi wengine wa Benki yetu wametinga Lupaso kushuhudia burudani ya Simba Day! #NMBNaMnyama #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
16
88
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Unastahili kujipa unachotaka kupitia njia rahisi ya malipo. Kadi yako ya NMB Mastercard - Platinum credit inahakikisha haukosi furaha. Kupata kadi hii tupigie bure kupitia 0800 002 002. #KwasababuUnaweza
Tweet media one
1
2
84
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
How it started How it’s going
Tweet media one
Tweet media two
5
22
87
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
6 years
Wajasiriamali wa #Twittergulio tunatambua jitihada zenu katika biashara, karibuni mfungue #NMBFanikiwaAccount mpate fursa zaidi. Kwa maelezo zaidi, bofya
14
50
84
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Nani kama mama? Ni nani anayeweza kubeba uzito wa dunia kwa tabasamu? Tunapenda kuwatakia heri ya siku ya mama duniani mama na walezi wetu wote. Una maneno yapi ya kumuelezea mama yako? #Mothersday
Tweet media one
5
12
81
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Mshindi wa leo anayeondoka na Buku 50 ni @SocialM14131092 leo. Tutakupa maelekezo ya jinsi ya kupata zawadi yako DM. Tunashukuru kwa wote waliochukua muda wao na kushiriki. #NMBKaribuYako
Tweet media one
10
3
74
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Mwamba mwenyewe @lordeyesmweusi ataiwakilisha Hip Hop pale TCC Chang’ombe Jumamosi hii. Na kiingilio ni bureee! @gonanmb
Tweet media one
1
6
79
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
@lugano2019 Habari, asante kwa kutembelea ukurasa wetu. Mabadiliko haya ni punguzo kwenye gharama ya kupata kadi mpya na si gharama ya kutoa pesa, badala ya tsh 11,800 ya awali sasa utakatwa tsh 5900 tu pamoja na makato ya tsh 14,000 hayo ni gharama ya utunzaji wa kadi kwa mwaka mmoja. ^FS
24
4
75
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
7
25
76
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
@KakuruF Habari Comrade Truman,hawavutii kwa kutoa huduma au Sura? ^GK
22
9
76
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
5 years
Baadhi ya tozo zilizofutwa kuwa ni pamoja na 1-Kufungua akaunti kwa mteja mmoja mmoja 2-Ada ya kila mwezi (monthly maintenance fees) 3-Makato ya miamala (transactions fees) 4-Kufufua akaunti ya zamani (dormant account) 5-pamoja kuuliza salio. #NMBKaribuYakoZaidi
Tweet media one
40
39
75
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
10 months
Benki Bora na Timu Bora kwenye wiki ya burudani ⚽️ Tunaendeleza Ukaribu wa Nguvu na leo tumetambulishwa rasmi kama mshirika wa wiki ya Simba (Simba Week).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
25
75
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Ukiambiwa utumie App moja tu kila siku, utachagua ipi? #NMBKaribuYako
Tweet media one
57
1
71
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Umevunja chombo jikoni na mama kakusikia. Quote hii na jibu la mama yako. #Mamareplieschallenge #Mothersday
Tweet media one
91
9
69
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
8 years
@moodewji , Ni kijana, mjasiriamali, mwanamichezo, mwajiri, bilionea na mhamasishaji wa maendelea kwa vijana. Tuambie nani #MCM wako wa wiki!
Tweet media one
0
6
68
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Katika mwaka huu mpya wa 2023 : ✅ Uvuke malengo ✅ Upanue wigo wa michongo ✅ Afya yako iimarike ✅ Uchumi wako ufurike ✅ Jamii yako inufaike Heri ya mwaka 2023 wenye mafanikio kwako na wanaokuzunguka. #NMBKaribuYako
Tweet media one
4
3
67
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Kazi ni kwako kutupa jibu kwenye comments! #NMBKaribuYako
Tweet media one
85
3
68
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Muda si mrefu tunaliamsha dude Kawe 🔊 Kazi yako ni kusogea ukiwa na wana, tuonyeshe Ukaribu wa Nguvu. #JamboLaKifalme #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako #NguvuMoja
7
30
66
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Anayeondoka na buku 50 leo ni @Deoxz . Tafadhali tupe namba yako ya simu inbox kujua jinsi ya kupata zawadi yako. Tukutane tena kesho ili na wewe ujiwekee nafasi ya kubeba mkwanja #NMBKaribuYako
Tweet media one
16
5
62
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
5 years
Karibu katika Tawi la karibu yako kubadili fedha Kwa viwango bora zaidi. RT @masoudkipanya #NMBKaribuYako #FreeBanking
@masoudkipanya
Masoud Kipanya
5 years
Wang Shu
Tweet media one
24
44
616
3
6
64
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
2 years
@MyahudiWa Ahsante kwa kutuandikia Mbwa Koko🐕 Hisa zetu zinapatikana soko la Hisa Dar es salaam Stock of Exchange (DSE), tunaomba uwasiliane nao kwa namba 022-2112807 au 0718-799997 kwa ajili ya msaada zaidi. ^MM
42
10
62
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Ile siku iliyokuwa inasubiriwa, imewadia! Endelea kutufuatilia kushuhudia historia. #Miaka25YaNMB #NMBKaribuYako
15
21
61
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
We are celebrating our very own, Ruth Zaipuna’s remarkable year as our CEO 👏👏👏 Grab your copy of today’s @TheCitizenTZ and @MwananchiNews newspapers to learn more about her first year in office. #NMBCloseToYou
Tweet media one
Tweet media two
2
19
61
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Ugeni wa kihistoria kwenye tukio la kihistoria! Tunafuraha kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya Benki yetu pamoja na kukabidhi gawio kwa Serikali.
Tweet media one
6
22
59
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Tweet media one
4
5
59
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
2 years
📍Ikulu, Dar ea Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki yetu ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu - Ruth Zaipuna.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
8
56
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Weka bando na usicheze mbali na mitandao yetu kujua yatakayojiri kesho. Kitahappen ile mbaya!. #KwaSababuUnaweza
Tweet media one
14
13
55
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Burudani haikosi kwenye Jambo la kifalme! Whozu nae anatimba kwenye shughuli yetu na wanamsimbazi kukinukisha! Hakuna kiingilio, fanya kusogea tu ukiwa na washkaji. #JamboLaKifalme #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako #NguvuMoja
Tweet media one
2
20
55
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
@ManenoIzaak Ahsante kwa kutuandikia Handsome La Kijiji ndio makato hubadilika tofauti na kutoa kwenye ATMs zetu za NMB ^MM
5
2
55
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
7 months
Ni moja ya kadi ambayo matumizi yako yanakuweka kwenye nafasi ya kushinda zawadi na Mastabata – Halipo! Tuambie umeona tofauti ngapi kwenye kadi hizi? #NMBMastabata #TelezaKidijitali #MastabataHalipoi
Tweet media one
56
5
55
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Tupo tayari katika viwanja vya Tanganyika Packers (Kawe). Tinga jezi yako @SimbaSCTanzania na usogea tukiwashe! #JamboLaKifalme #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako #NguvuMoja
4
22
55
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Ni miaka 57 sasa tangu Zanzibar kufanya Mapinduzi yaliyoleta uhuru kamili. Tuadhimishe siku hii kwa kuenzi juhudi zilizofanywa na waasisi wetu kutufikisha hapa tulipo. #NMBKaribuYako #MapinduziDay
3
5
51
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
@Mazobhago Habari,salaam kutoka Bank ya NMB na asante kwa kutuandikia,tunakuomba utupatie akaunti namba zako pamoja na namba zako za simu, tupatie kupitia DM kwa usalama zaidi
11
0
54
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Twende wote kama Baleke 🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♀️! Shangwe lote hili linapatikana Tanganyika Packers - Kawe! Fanya kusogea. #JamboLaKifalme #UkaribuWaNguvu #NMBKaribuYako #NguvuMoja
7
20
54
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Kuosha mikono mara kwa mara kwa maji yanayo tiririka pamoja na sabuni ni jambo la muhimu kwa ajili ya afya yako. #NaweBegaKwaBega
Tweet media one
1
6
50
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
1 year
Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Uongozi na Wafanyakazi wote wa Benki ya NMB, tunatoa pongezi nyingi kwa Bw. Emmanuel M. Tutuba na Dkt. Natu E. Mwamba kwa kuteuliwa kushika nyadhifa mpya. Tunawatakia kila la kheri katika majukumu haya mapya.
Tweet media one
Tweet media two
4
6
51
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
4 years
Leo tupo Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela, Arusha katika mkutano mkuu wa vijana (TIMUN) Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
16
49
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
3 years
Tumekiwasha na bonge la mpango na safari hii kuna mkwanja, Kirikuu, Lifan na Fortuner; na zote zina 0Km. Fanya kuweka pesa kwenye akaunti yako mara nyingi uwezavyo na ujiweke kwenye nafasi ya kubeba moja ya zawadi hizi. #WekaUshinde #NMBKaribuYako
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
23
5
47
@NMBTanzania
NMB Bank Plc
11 months
Tawi letu la Buhigwe, Kigoma limefunguliwa rasmi ✅ Karibu tukuhudumie! #NMBKaribuYako
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
4
48