kuna mdada nilikutana naye gym tulipiga story 2,3 nikampa business card yangu anajua mimi ni developer
Jana akanicheki akaniambia kuna rafik yake anahitaji website nikamuambia 1000$
Leo kaja ofisin katoa 790$
Jichangange na watu, jifunze kuwambia watu unachofanya
#thinkinusd