Chama Cha Mapinduzi Profile Banner
Chama Cha Mapinduzi Profile
Chama Cha Mapinduzi

@ccm_tanzania

859,521
Followers
9
Following
8,447
Media
17,441
Statuses

Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania 's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million |

Tanzania
Joined March 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Naona Ndg @HKigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na @moodewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi. Nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda.Siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM"NdgBashiru
Tweet media one
576
294
4K
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Our next Commander-in-Chief, Dr John Pombe Magufuli, the President-elect of The United Republic of Tanzania.
Tweet media one
136
609
1K
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Asante Tanzania kwa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Chama cha Mapinduzi #CCM Dkt John Pombe Joseph MAGUFULI kwa idadi ya kura 12,516,252. #AsanteniTanzania #UchaguaMkuuTanzania2020 #Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
379
143
1K
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 months
🎈🎈🎈🎈Chama Cha Mapinduzi kinakupongeza Komredi Qaillaha Nurdin Bilal Kwa kuchaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM 2023 kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa. Tunakutakia kila la heri katika utekelezaji wa Majukumu yako kuwatumikia Chipukizi…
Tweet media one
94
80
1K
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Nimemuona Ndg @Nnauye_Nape Ilemela, wakati Ndg @jmkikwete anakwenda Lindi 8/9/2020 kuzindua, anatakiwa awe Lindi kumuandalia Mkutano. Tutakuwa wakali kusimamia #nidhamu , wagombea wa CCM wapo chini ya Kamati za Siasa, lazima wafuate maelekezo, sio kujiamulia binafsi" Ndg Bashiru.
Tweet media one
104
89
946
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
📷 Jinsi ya Kuweka Alama ya Vema Ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020 ili uweze kuchagua Wagombea wa Chama cha Mapinduzi #CCM katika Uchaguzi mkuu kwa ngazi ya Urais, Ubunge na Madiwani. #ChaguaCCM #KuraKwaMgufuli2020 #T2020JPM
Tweet media one
352
118
947
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
“Mimi John Pombe Joseph Magufuli mgombea wa nafasi Urais kupitia Chama cha cha Mapinduzi (CCM) kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninaomba kura ya NDIYO ✅ kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28 Oktoba 2020”- Ndugu @MagufuliJP #ChaguaCCM #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM
Tweet media one
232
142
916
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu Mkuu Ndugu Bashiru Ally amepokea gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Leo tarehe 08 Julai 2020 jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
86
68
929
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
TAARIFA KWA UMMA.
Tweet media one
395
114
890
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Uchaguzi ni siku 1. Tanzania ipo siku zote. Tutunze amani na tumtangulize Mungu. Yeye anajua yote. - Dkt @MagufuliJP
Tweet media one
Tweet media two
75
283
920
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
We thank all Tanzanians for choosing the right Leaders in the interest of our Nation. #ThanksTanzania #TanzaniaDecides2020
Tweet media one
224
92
874
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
TANZIA Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa masikitiko na huzuni taarifa ya kifo cha Mwanasiasa mkongwe na msomi Profesa Mwesiga Baregu kilichotokea usiku wa kuamkia Juni 13, 2021.
Tweet media one
137
135
839
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Asanteni WaZanzibar kwa kuchagua Chama cha Mapinduzi #CCM na kumchagua Ndugu @DrHmwinyi kuwa Rais mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. ✅ #YajayoNiNeemaTu #Mwinyi2020 #Zanzibar
Tweet media one
168
87
854
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Makatibu Wakuu Wastaafu Ndg. Yusuf Makamba na Ndg. Abdulrahman Kinana leo Februari 10, 2020 wamefika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa Kamati ndogo ya Usalama na Maadili inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara Ndg. Philip Mangula.
Tweet media one
Tweet media two
78
65
840
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Rais na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili Dkt @MagufuliJP ambaye alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1959(61), Chato. #HappyBirthdayMrPresident #Tanzania
Tweet media one
107
99
853
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 ni nzito, ni kubwa mara 3 ya Ilani ya Mwaka 2015 - 2020 na ina mambo mazuri sana ya maendeleo, muda ukifika tutawaomba wananchi mtuchagulie tena Ndg @MagufuliJP ili aweze kuyatekeleza mambo hayo mazuri kwa kasi ile ile na zaidi" - @hpolepole
Tweet media one
118
77
838
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
2 years
UKWELI KUHUSU KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA NCHINI NA DUNIANI PAMOJA NA HATUA AMBAZO SERIKALI INACHUKUA ILI KUWAPUNGUZIA MAKALI YA MAISHA WANANCHI. #CCMImara KaziIendelee
Tweet media one
794
105
819
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Tumchague Ndugu @MagufuliJP kwasababu anatimiza ndoto za Baba wa Taifa" - Ndugu Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa Mel Julius Kambarage Nyerere.
Tweet media one
114
68
765
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
2 months
Asante na Pumnzika kwa Amani Mzee wetu.
Tweet media one
19
43
820
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Tunatoa Shukurani kwa Watanzania wote kwa kuchagua Viongozi sahihi kwa maslahi ya Taifa letu. #AsanteniTanzania #UchaguaMkuu2020
Tweet media one
247
75
790
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
2 months
#AsanteEDO 🇹🇿🙏
Tweet media one
17
43
808
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
26 days
📌📌SALAMU ZA PONGEZI KWAKO NDUGU. ALLY HAPI Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , kinakupongeza kwa kuaminiwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu kuwa katika nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya…
Tweet media one
58
65
791
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akipokelewa na Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally (Kulia) baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba kwa ajili ya kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachofanyika ofisini hapo
Tweet media one
63
43
753
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Tweet media one
69
120
761
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP ametoa kiasi cha Shilingi Bilioni 15 kumalizia ujenzi wa Hospitali ya Kisasa ya Rufaa ya Mkoa wa Mara. Ujenzi wa Hospitali hiyo unatarajiwa kukamilika mwezi wa sita mwaka huu wa 2020. #TunaijengaNchi #Kazitu #TukutaneOktoba
Tweet media one
Tweet media two
197
47
750
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 months
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
35
102
766
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Bashiru Ally Kakurwa amekemea vikali tabia za baadhi ya wanachama wa CCM wanaopanga kukisaliti Chama katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu kwa maslahi yao binafsi. Ameahidi kuwachukulia hatua kali watakaobainika kusaliti Chama ikiwemo kuwafukuza Uanachama.
Tweet media one
187
78
682
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally Kakurwa azindua Kituo cha Mawasiliano kuhusu Habari za Uchaguzi kilichopo kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo umefanywa leo tarehe 17 Agosti 2020. #Tumejipanga #TukutaneOktoba #KaziInaendelea
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
82
67
711
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Tumshukuru Mungu tumeifikia siku hii. Nimetimiza wajibu wangu, sote tupige kura, demokrasia iamue. - Dkt @MagufuliJP
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
204
716
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
6 months
"Chama kinamuelekeza waziri mkuu wa JMT Ndg. Kassim Majaliwa kusimamia kikamilifu suala la kutatua mgogoro Kwa kuunganisha wizara tatu chini ya wizara mama ya ardhi:-
Tweet media one
28
43
720
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Sihitaji utajiri, siutafuti. Miaka yote nimekuwa muadilifu na kumtanguliza Mungu katika kuwatumikia. Nitabaki kuwa hivyo. - Dkt @MagufuliJP
93
249
692
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
6 months
📌 CCM IMARA, KAZI INAENDELEA Hongera Ndugu Paul C. Makonda kwa kuaminiwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi. @SuluhuSamia @chongolo_daniel #TunaendeleaNaMama
Tweet media one
71
82
706
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg @MagufuliJP kwa niaba ya Wanachama, Viongozi na Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi anawatakia watanzania wote Eid Mubarak. Tusherehekee kwa amani, upendo na mshikamano.
Tweet media one
57
56
674
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
ZANZIBAR JAMBO LIMETIKI ✅ #UMATI wa wananchi wa Unguja Zanzibar waliofurika katika Uwanja wa Demokrasia, KibandaMaiti. #HaijapataKutokea #DrMwinyiAnakubalika #YajayoNiNeemaTupu .
Tweet media one
Tweet media two
64
93
629
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 months
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema,Mweka hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Comrade Upendo Peneza ,amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
135
63
666
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu @MagufuliJP imekutana Leo Jumamosi Novemba 28, 2020 katika ukumbi wa mikutano Ikulu, Chamwino - Dodoma.
127
33
633
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
5 months
📌📌 SHUKRANI NDUGU DANIEL CHONGOLO Chama cha Mapinduzi Kinakushukuru sana kwa Utumishi wako Uliotukuka Ndani ya Chama kwa Kipindi cha Miaka 2 na Miezi 7 umekitumikia Chama Cha Mapinduzi Kama Katibu Mkuu wa CCM #vitendovinasauti 🇹🇿 #kaziiendelee #CCMImara
Tweet media one
46
67
661
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.
Tweet media one
Tweet media two
83
40
618
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Sasa nawahakikishia msaliti na mnafiki akibainika hatutamgusa wakati wa vita na msiwaguse hawa wakati wa vita, wakati wa vita sio wakati wa kugombana, lakini tusizushiane tukawachonga wasaliti tukawachonga wanafiki kumbe watu wanaonewa" Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM 18/9/2020
110
69
589
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
6 months
KISHINDO LUMUMBA! Ni Kesho Alhamisi tarehe 26 Oktoba 2023, Siku ya furaha na kishindo kumpokea kiongozi mahiri na mchapakazi Komredi Paul Christian Makonda katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi, Karibuni wanachama na wananchi wote
Tweet media one
Tweet media two
100
70
621
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Pumzika kwa Amani, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Raisi wa Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli 1959 - 2021.
Tweet media one
41
105
606
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
#TaarifaOktoba26 Tunawaomba wana-CCM watulie, wasiwe na hofu, wawe na subira hadi Tume imalize kazi yake.
27
152
601
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Namna ulivyokuwa msafara wa Mwenyekiti wa #CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akielekea ofisi za Makao Makuu ya CCM (Whitehouse) Jijini Dodoma, jana tarehe 06 Agosti 2020. #TukutaneOktoba #Tumejipanga #KaziZaidiKasiZaidi #SisiNdioCCM
56
69
582
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
CHAGUO SAHIHI KATIKA MUDA SAHIHI.
Tweet media one
54
73
574
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Nyimbo mia tano, wasanii mia mbili ndani ya Jukwaa moja. #UhuruKunaJambo Fuatilia moja kwa moja matangazo hayo kupitia kituo cha Televisheni cha TBC, Channel 10 na Magic fm, pamoja na kurasa rasmi za Chama mitandaoni.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
82
63
579
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Halmashauri Kuu ya Taifa imemchagua Ndugu Shaka Hamdu Shaka kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi. #ChamaImara #SerikaliMadhubuti #Kaziinaendelea
Tweet media one
53
49
568
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Nasaha za Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg @hpolepole jijini Mbeya.
47
77
565
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma.
Tweet media one
19
42
563
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Shinyanga tuna jambo letu Mgombea wa CCM Ndg @MagufuliJP atazungumza na wananchi wa Shinyanga ktk Uwanja wa Sabasaba, Kata ya Kambarage. Atasindikizwa jukwaani na Linah Sanga, Young Dee, Msechu, Bob Haisa, Mrisho Mpoto, Banana Zorro, Chege na Sholo Mwamba Kambarage ni moto🔥✅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
98
43
536
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Picha mbalimbali zikionyesha maelfu ya wananchi katika maeneo ya Kata za Solwa-Maswa, Lamadi-Busega na Itilima wakiwa wamejipanga njiani kusalimiana na mgombea wa Urais wa CCM Ndg @MagufuliJP akiwa njiani kuelekea Mkoani Mara. #ANAKUBALIKA #MagufuliNiMafanikio #magufuli5tena
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
53
87
536
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa 2020 kufanyika tarehe 11-12 Julai 2020, maandalizi yamekamilika. Wajumbe wote mnakaribishwa. #MkutanoMkuuDodoma
40
81
527
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Ndg @jmkikwete akizungumza katika Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama @SuluhuSamia Jimbo la Mchinga, Lindi. Leo Septemba 09, 2020. #ChaguaCCMchaguaJPM #JPM2020
59
80
504
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @SuluhuSamia ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Septemba 10,2021 jijini Dodoma .
Tweet media one
143
71
524
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
UZINDUZI WA KAMPENI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Bashiru Ally ashiriki Jogging ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Mitaa mbalimbali ya Jijini Dodoma. #TunaisimamishaDunia #TunawashaMitambo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
37
49
522
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiwasili katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa na kupokelewa na wajumbe wa kikao hicho kilichoketi asubuhi ya Leo tarehe 10 Juni 2020 katika ukumbi wa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
55
63
528
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar imeketi leo tarehe 04 Julai 2020 ambapo itajadili na kuchuja wagombea waliojitokeza kuomba nafasi ya kuwania Urais wa Zanzibar ktk uchaguzi mkuu kwa tiketi ya CCM. Kikao hicho kitapendekeza majina yasiyozidi matano kwa Kamati Kuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
48
526
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Bashiru Ally Kakurwa kesho Jumatatu tarehe 14 Septemba 2020 atakuwepo katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na Kituo cha Television cha ITV kuanzia saa tatu Usiku.
Tweet media one
75
57
500
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 months
📌📌HAPPY BIRTHDAY DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa kwako Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mwenyezi Mungu akujalie Afya njema, Maisha marefu Dunianj yaliyotawaliwa na…
Tweet media one
50
83
538
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Watanzania wamechagua mabadiliko ya kweli. Rais Mteule ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli. #TunakwendaKufanyaKazi
Tweet media one
167
365
518
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
5 months
📌📌 KINANA ATETA NA MAKONDA KWENYE MAFUNZO YA WANEC Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati wa Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa HKT, Mafunzo yamefanyika DSM tarehe 28 Novemba 2023.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
56
533
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Tumepata mafanikio makubwa kiuchumi katika miaka 5 iliyopita kutokana na utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Uchumi umekua kwa 6.9%, ni kasi ya juu zaidi kuliko nchi nyingi Afrika, kutokana na ukuaji huo, Benki ya Dunia iliitangaza Tanzania kuwa nchi ya Kipato cha Kati.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
142
65
463
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Jisajili kielekroniki kuwa mwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi #CCM . Utaratibu huu utamuwezesha mwananchi anayetaka kuwa mwanachama kupata namba ya uwanachama, kuweza kulipa ada kupitia mitandao ya simu na benki. #CCMmpya #JiungenaChamaBora #Tumejipanga
107
86
482
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Kuna watu wapo miguu juu kama mende, tena kwa raundi moja ya kampeni wakati zipo sita,wajanja kama mzee Mrema na Cheyo wakasema hapa tunamuunga mkono Magufuli, waliobaki wote tusilaumiane, tutatumia nguvu zote za CCM bila kujali udhaifu wao, tutawashinda, hadharani kwa kishindo"
Tweet media one
76
69
484
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni… http://t.co/tfx47nUWR1
Tweet media one
301
511
503
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
96
42
520
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt @MagufuliJP Tunatoka Shukurani kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi huu wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi. #AsanteTanzania #MatokeoYaUchaguziMkuu2020 #Tanzania
Tweet media one
135
70
506
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
#CCM kuzindua #Kampeni keshokutwa tarehe 29 Agosti 2020 katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Ndg @MagufuliJP ataunguruma. #SautiYaMamlaka #TunaisimamishaDunia #MitanoTena #NiMagufuliTena #AchaKaziiendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
51
74
508
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
66
502
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Baadhi ya Nukuu za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Ndg @MagufuliJP katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM 2020 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
46
82
502
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Tumedhamiria kukomesha rushwa katika chaguzi zetu" - Ndg @hpolepole Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi.
141
52
496
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu @hpolepole kesho tarehe 05 Agosti 2020 saa 5 Asubuhi, atazungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo ya Makao Makuu (OND) Lumumba. Itarushwa mubashara #Channel10 , na mitandao ya kijamii kwa anuani #hpolepole .
Tweet media one
41
55
500
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
6 years
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinakutana leo 20/11/2017 kikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
120
53
495
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
6 months
📌📌 #TemporaryPost Swali Jepesi Jioni ya Leo. YANGA mnataka kuchukulia Ng'ombe wenu LUMUMBA au DODOMA ? #TunaendelaNaMama #VitendoVinaSauti
Tweet media one
37
42
512
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Mgombea wa Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Rais @MagufuliJP kesho Jumanne Septemba 1, 2020 ataendelea na Kampeni katika viwanja vya Bombadia, Singida mjini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
28
61
494
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Nidhamu ya Chama inamtaka mtu aliyepewa nafasi ya kuwa Kiongozi awe ni mwenye kuridhika" - Ndg @hpolepole Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi. Tarehe 18/07/2020 Ruvuma.
55
58
497
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
1 year
Ni Jambo la KAWAIDA Comrade MOHAMMED KAWAIDA #MwenyekitiUVCCMTaifa #CCMImetimiaKaziIendelee
Tweet media one
36
46
492
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Dkt @MagufuliJP atapiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Magufuli, kijiji cha Rubambangwe, kata ya Muungano, jimbo la Chato.
23
152
490
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Leo Oktoba 24 2015, Dkt @MagufuliJP anafanya mkutano kuhitimisha kampeni toka uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza.
Tweet media one
Tweet media two
15
141
486
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 months
MAKONDA #BabaWaUpendo ATIMIZA AHADI YAKE, AMKABIDHI PROFESSOR JAY TSH MILIONI 20, AHAIDI KUMTAFUTIA NYUMBA UPANGA KUEPUKANA NA CHANGAMOTO YA UMBALI WA KWENDA HOSPITALI _Awakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation_…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
39
51
495
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
26 days
📌📌SALAMU ZA PONGEZI KWAKO NDUGU. JOKATE MWEGELO Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , kinakupongeza kwa kuaminiwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu kuwa katika nafasi ya Katibu wa UVCCM -…
Tweet media one
18
44
496
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
BREAKING NEWS: Leo 18 Februari 2020 Katibu Mkuu Mstaafu wa CHADEMA, Dkt Mashinji, Ajiunga Rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Tweet media one
80
49
473
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakiagana nje ya ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Mkoani Dar es salaam baada ya kumaliza kikao cha Kamati Kuu Maalum kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 20 Machi 2021.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
38
35
480
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
Dkt @MagufuliJP akifanya sala fupi kwenye makaburi ya Babu & Bibi yake kijijini Katoma,njiani kuendelea na mikutano. http://t.co/3zFyPPRgom
Tweet media one
Tweet media two
23
178
477
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg @hpolepole kesho tarehe 25 Septemba 2020, atakuwa na Mkutano na waandishi wa habari. Mahali; Dodoma Convention Centre Muda; Saa 5:00 Asubuhi
Tweet media one
Tweet media two
157
65
428
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Wapo wanaolilia tume huru iwasaidie kupata ushindi, tume huru haipigi kura bali inasimamia uchaguzi, chama kisicho na wapigakura kisitegemee tume iwape ushindi, CCM imetafuta wapigakura kwa kutoa elimu bure, afya, maji na barabara, sasa wao waseme wapiga kura wamewapataje.
Tweet media one
249
45
460
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
3 years
Masahihisho; CCM YAHIMIZA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA KUVITAKA VYOMBO VYA HABARI KUFICHUA UFISADI.
Tweet media one
Tweet media two
106
53
458
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
“Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM kesho tarehe 28/10/2020. Asante na Mungu akubariki.”- @MagufuliJP #T2020JPM
Tweet media one
221
81
441
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
2 months
Tweet media one
12
32
471
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
2 years
#KaribuMzeeWetu Cde. Abdulrahman Omary Kinana #KaziIendelee
Tweet media one
32
49
448
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
5 months
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana Akifungua Mafunzo ya  (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mafunzo hayo yanafanyika Dar Es Salaam Leo tarehe 28 Novemba 2023. #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
47
459
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
26 days
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan , akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokutana leo Jumatano, Aprili 2024, jijini Dar Es Salaam. #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
59
453
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Wanaohama CCM wakidhani wananguvu,wakitoka wanageuka kama vichaa, wafuatilieni wote waliohama CCM, hakuna mwanaCCM maarufu kuliko CCM, ukijiona maarufu ujue umeazimwa umaarufu na CCM , siku Chama kikikutupa ama ukikitupa umaarufu unakoma. Wapo watakaookota makopo nawahakikishia"
Tweet media one
64
54
407
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
26 days
📌📌SALAMU ZA PONGEZI KWAKO NDUGU. AMOS MAKALLA Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kikiongozwa na Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , kinakupongeza kwa kuaminiwa na kupitishwa na Halmashauri Kuu kuwa katika nafasi ya Katibu wa NEC -…
Tweet media one
45
47
452
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
AHSANTENI SINGIDA Umati wa Wananchi wa Singida waliohudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Ndugu @MagufuliJP katika uwanja wa Bombardier uliopo Singida Mjini. #SINGIDAjambolimetiki #AhsanteSingida #SingidaYaKijani #Magufuli5Tena
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
37
50
436
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
9 years
1991 Chuo Kikuu - Dar, @MagufuliJP kushoto akifanya Shahada ya Uzamili - Kemia. Kulia ni rafikiye, Christopher Kadio. http://t.co/N6eXnbBT4K
Tweet media one
60
166
433
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Salamu za Sikukuu ya Eid Al-Haj kutoka Chama Cha Mapinduzi.
Tweet media one
28
40
436
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
"Tutajiridhisha kwa ushahidi na tunaendelea kushughulika nao, tukimaliza uchaguzi, wanafiki watasafishwa wote kwenye chama chetu, hata kama una urefu kama mnara wa babeli tutakuangusha" Ndugu Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM 18 Septemba 2020 Bukoba Mjini
Tweet media one
75
62
387
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
5 years
Tweet media one
65
64
431
@ccm_tanzania
Chama Cha Mapinduzi
4 years
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi Ndugu @hpolepole atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari tarehe 17 Oktoba 2020 Saa Nane(8) Mchana katika Ukumbi wa Ofisi ndogo CCM (OND) Lumumba jijini Dar es salaam. #CCM #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM
Tweet media one
74
61
420