Muhimbili National Hospital Profile Banner
Muhimbili National Hospital Profile
Muhimbili National Hospital

@MuhimbiliTaifa

14,754
Followers
7
Following
1,038
Media
1,067
Statuses

National referral Hospital, Research centre and teaching hospital

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
TAARIFA Upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana (Rehema & Neema) umefanyika kwa MAFANIKIO.
Tweet media one
713
1K
7K
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Msanii Joseph Haule (Prof. J) ameruhusiwa jana kwenda nyumbani baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika. @wizara_afyatz @ummymwalimu #Muhimbilitaifa
Tweet media one
139
271
3K
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
184
367
2K
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Julai 1 mwaka huu, Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha walioungana sehemu ya kifua, tumbo na ini. Upasuaji unategemewa kufanyika kwa saa 6- 7. Tanzania itakuwa nchi ya tatu Barani Afrika kufanya upasuaji wa aina hii baada ya Afrika Kusini na Misri.
Tweet media one
Tweet media two
174
253
1K
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Timu ya wataalamu waliofanikisha upasuaji wa kuwatenganisha Neema & Rehema.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
39
148
989
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Hospitali ina kawaida ya kupuliza dawa ya kuua wadudu mbalimbali wodini, maofisini , na maeneo mengine ya nje mara mbili kwa mwaka. Wakati zoezi likifanyika, wagonjwa hutolewa nje na kuwekwa chini ya mahema huku huduma nyingine zikiendelea. Hili ni zoezi la kawaida na endelevu
95
53
844
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
44
46
843
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
MNH imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo za TZS. 210 Mil. Itafunga mashine moja kusaidia mgonjwa kupumua (ventilator) ya TZS. 56 Mil. katika Hospitali ya Rufaa ya Amana ili kuhudumia wagonjwa walioambukiwa CORONA.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
76
95
726
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Tuna wataarifu kuwa ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili tuna mtoa huduma wa TIBA ASILI anaye uza dawa zilizo idhinishwa na Serikali.Upanga anapatikana karibu na Maabara Kuu, Mloganzila anapatikana Mapokezi Kuu.Mawasiliano yake ni 0628107828, 0652 015853.Healthy Living MUHIMBILI
141
89
647
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Mtoto Bakari Juma Selemani ambaye amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ametembelewa na wachezaji na viongozi wa Simba ili kumpa pole kutokana na kuugua maradhi ya kupooza misuli. Bakari ni shabiki kindakikindaki wa Simba.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
23
81
638
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
#Nimefurahi kuwa Mtanzania wa kwanza kupandikizwa Figo Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila
38
120
598
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Menejimenti ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imewapatia wafanyakazi wake zaidi ya 3,500 kila mmoja zawadi ya Sikukuu ya Krismasi sukari kilo tatu, mafuta ya kupikia lita moja na miche miwili ya sabuni.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
108
52
569
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
5 months
Mwishoni mwa juma hili,Hospitali ya Taifa Muhimbili ilimfanyia upasuaji kwa njia ya matundu madogo mtoto ambaye alikua na tatizo la kumeza (Achalasia)tangu akiwa na miaka sita kutokana na mishipa yake ya fahamu ya koo la chakula kuharibika na kumfanya ashindwe kumeza kwa urahisi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
80
541
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
27
49
447
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
24
47
412
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
21 days
11
81
382
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
11 months
Wanafunzi 150 wa udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Tiba, Sayansi na Teknolojia (UMST) cha Khartoum nchini Sudan wamehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ili kukamilisha mwaka wao wa mwisho wa masomo, kutokana machafuko ya kisiasa nchini mwao yaliyosababisha vyuo kufungwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
30
40
364
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Mkazi wa Mburahati, Jijini Dar es Salaam, Bi. Hamisa Tuli ametoa zawadi ya keki kwa madaktari na wauguzi wa jengo la wazazi ikiwa ni ishara ya kuwashukuru kutokana na huduma nzuri aliyopewa na kujifungua salama. Mama na mtoto wake tayari wameruhusiwa kwenda nyumbani.
Tweet media one
Tweet media two
16
64
343
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
Hospitali imefunga mtambo wa kuchuja maji (Portable RO) wenye thamani ya TZS. 28 Mil. na mtandao wenye miundombinu ya kusafirisha maji ili kuwezesha mashine hizo kufanya kazi ya kusafisha damu uliogharimu TZS. 12 Mil.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
40
285
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
MNH yashona mavazi ya watoa huduma za afya kujikinga (PPE)wakati wa kuwahudumia wagonjwa wa COVID 19 ili kukabiliana na uhaba wa upatikanaji wa mavazi hayo. Kushoto ni vazi la WHO kulia ni vazi lililoshonwa MNH.
Tweet media one
16
52
283
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Tweet media one
12
52
272
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Msanii Peter Msechu amepatiwa huduma tiba ya kuwekewa Puto Intragastric balloon kwenye tumbo la chakula ili kusaidia kupunguza uzito, Msechu amewashukuru viongozi wa MNH-Mloganzila kwa kuwezesha huduma hiyo kupatikana nchini. @wizara_afyatz @ummymwalimu @ikulumawasliano
Tweet media one
16
24
223
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
Mo Dewji Foundation imetoa msaada wa TZS 100 MIL kwa asasi ya Tumaini la Maisha inayofanya kazi na Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa huduma za matibabu kwa watoto wenye saratani nchini , ikiwa ni ahadi ya @moodewji ya kusaidia watoto hao kila mwaka.
Tweet media one
Tweet media two
3
26
204
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
9 months
Tweet media one
11
28
203
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
7
14
195
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Lala salama Dkt.Upendo George Ndaro
Tweet media one
17
21
177
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Katika kukabiliana na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa upumuaji, Hospitali imefunga mashine 4 za kutoa dawa kwa njia ya mvuke (steam inhalation) ili kuruhusu wananchi kwa hiari yao kutumia dawa za asili zilizoidhinishwa na Serikali kama nyongeza ya tiba za kibingwa wanazopewa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
23
170
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
5 months
Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua mtambo unaotumia hewa tiba yenye mgandamizo ya oksijeni(Hyperbaric Medicine Treatment)ambao unatibu magonjwa zaidi ya 10 na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na  ya pili Kusini mwa Jangwa la Sahara
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
43
173
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa lengo la kujionea utoaji huduma za afya pamoja na kupata maoni kutoka kwa wananchi wanaofika kupata huduma hospitalini hapo. @wizara_afyatz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
14
162
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
7
17
157
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi Dkt. Casper C. Haule, Daktari Bingwa wa Upasuaji (Upanga) kilichotokea leo tarehe 09.12.2021, saa 08:40 mchana katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma.
Tweet media one
43
22
156
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
4
28
150
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 months
* #BAADA YA KUWEKEWA PUTO NIMEPUNGUA KUTOKA KILO 150 HADI 99 HIVI#* Bw. Vicent Fortunatus
Tweet media one
21
18
151
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tanzania imeandika historia kwenye utoaji huduma bobezi katika nchi za Afrika Mashariki na kati kwa kuanzisha huduma ya upandikizaji ULOTO (bone marrow transplant) kupitia Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo tayari wagonjwa watano wamepatiwa huduma hiyo- Prof Lawrence Museru.
Tweet media one
7
35
139
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
10 months
Tweet media one
3
4
128
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
7 months
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanikiwa kufanya upasuaji wa kwanza wa kifua kwa mgonjwa ili kuondoa uvimbe kwenye pafu kutumia tundu dogo moja uliowashirikisha watalaamu wazalendo ukiongozwa na Bingwa wa Upasuaji Kifua Duniani, Dkt. Diego Gonzalez Rivas kutoka nchini Hispania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
19
129
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
3
17
127
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
MNH imenunua mashine maalumu (Spectra Optia) zenye thamani ya TZS. 245 MIL zitakazotumika katika upandikizaji Uloto pamoja na uvunaji chembechembe mama za kuzalisha damu na mazao ya damu ikiwemo chembe sahani (Platelets), chembe nyeupe(Granulocytes)na Utegili(Plasma).
Tweet media one
8
26
122
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
9 months
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuboresha huduma na mazingira ya Hospitali hiyo. @wizara_afyatz @ikulumawasliano @TZWaziriMkuu @ummymwalimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
19
119
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
4
8
120
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo itakuwa kitovu cha upasuaji kwa njia ya matundu madogo katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali.
Tweet media one
1
21
113
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia ameelekeza kuwa kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Msanii Bw. Joseph Haule anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi atakapo ruhusiwa kurudi nyumbani - Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya
Tweet media one
12
12
108
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Nimewekewa Puto na wataalamu wa Mloganzila, nimepokelewa vizuri nimeonwa na jopo la madaktari, kwa sasa najisikia vizuri kabisa- Msanii Peter Msechu
7
14
112
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
9 months
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefuzu kuwa na uwezo wa kushughulikia dharura za kiafya zinazoweza kujitokeza katika michuano ya Mpira wa Miguu Barani Afrika (AFCON 2027) ikiwa Afrika Mashariki itapewa ridhaa ya kuwa mwenyeji wa michuano hiyo. @wizara_afyatz
Tweet media one
6
15
111
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
5 months
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi amezindua kitanda kinachojongea kinachotumika kumshusha na kumpakia mgonjwa kwenye gari ambacho kimetengenezwa na Mhudumu wa Afya Bw. Erasto Francisco kwa lengo la kusaidia kutatua changamoto wanazokutana nazo wanapotoa huduma hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
18
107
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy). @wizara_afyatz @ummymwalimu @ikulumawasliano @MsigwaGerson @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
20
106
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
12 days
Tweet media one
15
20
101
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
7 months
Tweet media one
2
12
101
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Bi. Helena na mwanaye walibainika kuwa na tatizo la Plexiform Neurofibromatosis ambalo linaanzia kwenye vinasaba hivyo halina tiba ya moja kwa moja, isipokuwa wataalamu hutibu madhara yake kama ambavyo Bi. Helena na mwanaye walivyofanyiwa upasuaji kuondoa nyama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
21
98
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
@RealHauleGluck @wizara_afyatz Habari za kazi , tungependa kujua jina la marehemu na wodi aliyokuwa amelazwa , nitakuwa Muhimbili leo saa 3 kwa ajili ya kushughulikia hilo ,namba yangu ni 0784648636 - Aminiel Aligaesha, Msemaji wa Muhimbili National Hospitali
14
4
97
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
3
12
93
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
8
15
96
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
6
17
94
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
1
18
94
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
2
17
91
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi amesema malengo yake ni kuona Muhimbili inakuwa ya kwanza katika kutoa huduma bora za afya nchini kwa viongozi kuongeza ubunifu,kuboresha huduma zilizopo,kuanzisha huduma mpya na kutunza mazingira ya hospitali yawe ya kuvutia zaidi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
7
90
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa watoto MNH wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto 2 waliozaliwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo nje (Gastroschisis) kwa kutumia teknolojia ya kuwavalisha mifuko (Silo bags) ambayo haihusishi upasuaji wala dawa za usingizi
Tweet media one
3
13
90
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
Tweet media one
4
29
88
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 month
Tweet media one
3
11
92
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Tweet media one
1
9
89
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
0
7
87
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na kufanya mazungumzo na Wataalamu wa Tiba Radiolojia (Interventional Radiologists team) kutoka Chuo cha Carlifonia San Diego nchini Marekani kwa lengo la kutoa huduma za matibabu ya tiba radiolojia.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
16
85
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
9
6
84
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Bodi mpya ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ( Upanga& Mloganzila) imefanya kikao chake cha kwanza tangu kuzinduliwa mapema mwaka huu na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu. Kikao hicho kimefanyika chini ya Mwenyekiti Dk. Ellen Mkondya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
13
84
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Tweet media one
1
11
82
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
7 months
Madaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia mfumo wa matundu madogo.
Tweet media one
1
24
83
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
9
9
83
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 months
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kutokana na uwekezaji uliofanyika hospitalini hapo ambao umewezesha huduma mbalimbali za kibingwa na ubingwa bobezi kufanyika ikiwemo upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
19
80
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Hospitali ya Taifa Muhimbili itaongoza kufanya utafiti wa kuchunguza  madhara ya muda mrefu kwa waliwahi kuugua ugonjwa wa UVIKO-19 (Post Covid Sequelae) kwa ufadhili wa  Shirika la Fedha Duniani (IMF) kupitia Wizara ya Afya. @wizara_afyatz @ElishaOsati
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
15
79
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 month
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof.Mohamed Janabi atoa ufafanuzi kuhusu video inayo sambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha baadhi ya wagonjwa waliolala kwenye korido za hospitali hiyo.
6
12
81
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 months
Katika mwendelezo wa utoaji huduma za kibingwa bobezi, Hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji wa kutoa mfupa kwenye ubavu na kutengeneza kiungio (joint) cha taya la chini na fuvu ili kumtengenezea mgonjwa taya jipya la kulia lililoathiriwa na uvimbe.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
24
79
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
MNH itapokea madaktari na wauguzi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Amana kuanzia tarehe 28 Aprili, 2020 ili kuwajengea uwezo kwenye Kitengo cha kusafisha damu wagonjwa wa figo na vyumba vya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICUs) aina tano tofauti.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
12
76
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Uwepo wodi ya watoto wanaohitaji uangalizi maalum (PICU) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili umesaidia kuokoa maisha ya watoto ambao walikuwa wanapoteza maisha hapo awali kutokana na ukosefu wa huduma hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
79
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
9 months
Tweet media one
1
12
77
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
10 months
Tweet media one
4
1
76
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari.
Tweet media one
18
18
76
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
10 months
Klabu ya soka ya Simba (Simba Sports Club) itashirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Heathier Kidney Foundation katika kufanikisha mbio za ‘Figo Marathon’ zinazotarajiwa kufanyika Julai 9, mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
11
76
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
11 months
Hospitali ya Taifa Muhimbili imepata cheti cha ubora wa huduma kutoka program ya SafeCare iliyoendeshwa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kwa kushirikiana na chama cha hospitali binafsi Tanzania.
Tweet media one
1
10
73
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Tweet media one
9
3
74
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
10 months
* #Dkt . Isaac Maro ampongeza Prof. Mohamed Janabi kwa maboresho makubwa Hospitali ya Taifa Muhimbili#* @wizara_afyatz @ummymwalimu @MsigwaGerson @ikulumawasliano @Mloganzila_
4
9
72
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Prof. Lawrence Museru amekabidhi ofisi kwa Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi. Prof. Museru amestaafu baada ya kuitumikia nafasi hiyo kwa miaka saba. @wizara_afyatz @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
15
72
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 years
#Msaada Taasisi ya @DewjiFoundation na @SimbaSCTanzania wamekabidhi vituo vya kunawia mikono , sabuni na vitakasa mikono kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili , @TaasisiyaMifupa na @TaasisiMoyoJKCI lengo ikiwa ni kupambana na maambuzi ya Covid-19 @umwalimu @moodewji
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
7
71
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendesha mafunzo ya siku moja kwa viongozi zaidi ya 100 kutoka MNH-Upanga na Mloganzila yaliyouhusu namna ya kubadili fikra na kutoa huduma bora kwa mteja kwa lengo la kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma unaokidhi mahitaji ya wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
13
71
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Nimesumbuliwa na mawe kwenye figo kwa muda wa zaidi ya miaka 30 nimekuja Muhimbili-Mloganzila nimepata matibabu na sasa afya yangu imeimarika . Wataalamu wa Mloganzila ni wakarimu na wanatoa huduma bora. Bw. Annatori Lubeli Mkazi wa Pugu
5
14
72
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
14 days
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya huduma ya kubadilisha damu kwa mgonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) na kuendelea kuwa hospitali inayoongoza katika kutoa huduma za kibingwa na ubingwa bobezi hapa nchini.
Tweet media one
5
14
69
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Muhimbili yapunguza idadi ya vifo vya watoto kutoka 60% hadi 30% ndani ya miaka miwili.
3
21
66
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Taasisi ya MED-EL ya nchini Austria imefanya upasuaji wa kupandikiza vifaa vya usikivu wa masikio yote mawili ikiwa ni mara ya kwanza kufanya upasuaji huo tangu kuanza kwa huduma za kupandikiza vifaa vya usikivu nchini.
Tweet media one
0
14
69
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
4 months
Tweet media one
0
8
68
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
3 years
Tweet media one
6
29
65
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
2
12
64
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili iliyofanyika Machi 9, 2023.
3
21
66
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Bi. Helena na mtoto wake wametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyeagiza wapatiwe matibabu baada ya kuona taarifa zao kwenye vyombo vya habari. @ummymwalimu @ikulumawasliano @wizara_afyatz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
8
66
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 months
Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kutoa huduma kwa wanachama hao ili waweze kuwa na mwendelezo wa huduma hizo.
Tweet media one
5
15
66
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
2 years
Tweet media one
1
12
62
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
5
10
65
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
0
3
61
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Tweet media one
4
6
62
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
8 months
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amewataka wafamasia kuzingatia uaminifu pamoja na weledi katika utendaji kazi wao wa kila siku. Prof. Janabi ameyasema hayo leo wakati wa hafla ya kuwapongeza wafanyakazi bora wa Idara hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
10
61
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Hospitali ya Taifa Muhimbili imezindua maabara ya kwanza Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa ajili ya upasuaji wa sikio na kituo cha mafunzo bobezi kwa madaktari wa usikivu Afrika kwa ufadhili wa Taasisi ya MED-EL ya nchini Austria. @wizara_afyatz @ummymwalimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
12
61
@MuhimbiliTaifa
Muhimbili National Hospital
1 year
Watumishi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamekumbushwa umuhimu wakuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wanaofika hospitalini kama ilivyoainishwa katika mkataba wa huduma kwa mteja ambao unalenga kutoahuduma bora na kwa wakati.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
3
60