Gerson Msigwa Profile Banner
Gerson Msigwa Profile
Gerson Msigwa

@MsigwaGerson

802,951
Followers
1,498
Following
4,377
Media
4,893
Statuses

The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
6 months
Nimefurahi kukutana na huyu mwamba kabisa wa Gunners. Long live Arsène Wenger and thank you for your invaluable contribution to soccer especially uplifting African Footballers.
Tweet media one
175
184
5K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Get well soon Bibi.
Tweet media one
218
162
4K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Tweet media one
171
650
4K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
Mhe. Rais Magufuli ampa zawadi ya Tausi Mhe. Rais Uhuru Kenyatta kama kumbukumbu ya uhusiano mzuri, undugu, urafiki na ujirani mzuri wa Tanzania na Kenya.
212
680
3K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Mama na Mama.
Tweet media one
119
176
3K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Mambo yamebadilika Tanzania, kila mmoja aje awekeze zaidi hapa Tanzania - Alhaji Aliko Dangote, Mwekezaji.
382
604
3K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Tweet media one
167
208
3K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma. Amemuombea heri ili apone haraka na pia amewashukuru Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Kalya na Hospitali ya Maweni kwa matibabu waliyompa.
415
191
3K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
7 months
Nakushukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuniapisha na sasa nipo tayari kuanza kazi. Ahadi yangu SITAKUANGUSHA. #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
240
89
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Amina. 😭😭😭😭😭.
Tweet media one
495
184
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Nitaongeza uwekezaji Tanzania - Alhaji Aliko Dangote.
Tweet media one
67
159
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Ubungo kimeeleweka. Piga kelele kwa JPM akeee!!!!!
443
205
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Tweet media one
602
145
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Hujawahi kutuangusha Watanzania, leo tena unatuheshimisha na tunamuomba Mwenyezi Mungu asimame na wewe na asimame na Watanzania. Tuzo ya BET ije nyumbani. Kila la Kheri @diamondplatnumz #betawards
Tweet media one
306
127
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
Happy Birthday Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli🎂. ▪︎Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu, afya njema na Maarifa zaidi. ▪︎Watanzania tumekuelewa, tunakushukuru na tupo pamoja. ▪︎Tanzania Mpya tunaiona na tunaiishi. #HapaKaziTu
Tweet media one
268
234
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
U T E U Z I & U T E N G U Z I Mkoa wa Arusha
Tweet media one
233
144
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Amechukua fomu pekee yake, ameondoka zake pekee yake na gari yake binafsi. #HapaKaziTu
403
245
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
====TAARIFA==== Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi. Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
Tweet media one
341
231
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
HISTORIA Picha hii imetoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Philip Mangula. Inaeleza kwa mara ya kwanza Baba wa Taifa alipofika Chamwino Mkoani Dodoma na kuanzisha Ikulu mwaka 1971.
Tweet media one
149
151
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
UBUNGO DSM. Kazi inaendelea.
Tweet media one
235
122
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tweet media one
297
192
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. : Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Tweet media one
Tweet media two
378
184
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Mama Janeth Magufuli.
Tweet media one
200
61
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Kumekucha
Tweet media one
181
123
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E U Z I.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
197
232
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
🙏🏼🙏🏼
Tweet media one
240
126
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
TANZIA. Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa.
Tweet media one
183
277
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
CHUMA KIMESHTUKA!!! Makanisa, Masinagogi na Misikiti ya Marekani ifunguliwe kuanzia wikiendi hii - Rais Donald Trump Tunahitaji zaidi maombi wakati huu. HAPO VIPI?, HAPO VIPI?, HAPO VIPI????
490
233
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Majaribio ya treni ya umeme yaanza rasmi katika kipande cha Dar es Salaam - Morogoro. : Kudos @tzrailways
376
528
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Tweet media one
1K
105
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
7 months
Familia. Asante Mhe. Rais.
Tweet media one
64
51
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Nimefurahi kukutana na Mzee wangu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaji Ali Hassan Mwinyi kando ya Dhifa ya Kitaifa Ikulu Jijini Dar es Salaam. : Anasema leo asubuhi amepiga zoezi kwa kutembea kwa miguu kilometa 5 na yupo fiti. Mzee Ruksa hoyeeee!!!!!
Tweet media one
71
80
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
JPM awasili Jijini Dar es Salaam akitokea Makao Makuu Dodoma.
217
175
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
165
220
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Kumbukizi
Tweet media one
199
78
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Alhamdulillah. Ujenzi wa Msikiti wa Chamwino Mkoani Dodoma ulioahidiwa na Mhe. Rais Magufuli umekamilika.
Tweet media one
229
136
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Ikulu imenoga.
311
218
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tweet media one
152
93
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E U Z I.
Tweet media one
148
135
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Thank you IMF Thank you JPM
Tweet media one
193
168
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tupo Njedengwa Jijini Dodoma ambapo Mhe. Rais Magufuli anazindua jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Tweet media one
86
81
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
👍👍
224
170
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
1 year
Tanzania yatoa msaada wa Dola za Marekani 1,000,000 kwa Uturuki kufuatia madhara ambayo nchi hiyo inepata kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi Februari mwaka huu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
506
165
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E N G U Z I & U T E U Z I. #KaziIendelee
Tweet media one
142
115
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Kenya na Tanzania mambo safi.
117
272
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Lala salama Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga.
Tweet media one
271
150
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tayari Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) imemteua Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteuliwa kuwa Mgombea Mwenza.
Tweet media one
97
108
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kesho kupokea taarifa za CAG na TAKUKURU za mwaka 2019/20 Ikulu, Chamwino.
Tweet media one
106
159
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
Mhe. Rais Kenyatta alimtembelea Mhe. Rais Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita na kumjulia hali Mama Mzazi wa Mhe. Rais Magufuli, Bibi Suzana Magufuli.
132
133
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
JPM atangaza maombolezo ya siku 3 kuanzia kesho tarehe 13 Juni, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza.
Tweet media one
268
150
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
7 months
ALHAMDULLILAH!!! 🙏🏼🙏🏼. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka zake na kunisimamia daima. Namshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuniamini na kuniteua katika jukumu hili la Katibu Mkuu. Kwangu hili ni deni, naahidi kulilipa kwa utumishi uliotukuka.…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
443
109
2K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Kwa Wafanyakazi.
Tweet media one
502
125
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
U T E U Z I.
Tweet media one
240
145
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Juni, 2020 atalihutubia na kulifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 4:00 asubuhi hii. Matangazo yatarushwa Mubashara na Redio, TV na Mitandao.
Tweet media one
60
106
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
PIPA LANYANYUKA MAREKANI. ▪︎Ni Boeing 787-8 Dreamliner ya pili. ▪︎Kutua Dar es Salaam kesho saa 8:00 mchana. ▪︎Kupokelewa na wananchi wakiongozwa na Mhe. Rais Magufuli. #HapaKaziTu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
206
176
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Thank you @Twitter for the Verification of my account. // Nawashukuru @Twitter kwa kuthibitisha akaunti yangu.
Tweet media one
112
54
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Ajira zaidi ya Milioni 6. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 JPM. #HapaKaziTu
Tweet media one
339
87
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
#TUELEWANE Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta anasema "Hatuwezi kuendelea na LOCKDOWN" Niongeze sauti????
302
111
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
#TUELEWANE Serikali ya Awamu ya Tano yanunua Boti ya Wagonjwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Ukerewe. Imegharimu shilingi Milioni 200 na ina uwezo wa kutumia dakika 30 kusafiri kati ya Ukerewe na Mwanza. Hongera Rais Magufuli, Hongera wananchi wa Ukerewe. #HapaKaziTu
247
129
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Mhe. Samia Suluhu Hassan anaapishwa leo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
137
153
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E N G U Z I.
Tweet media one
186
141
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
👌👌
Tweet media one
117
86
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
JPM safarini kutoka Chato, awasalimu wananchi wa Singida. Wampongeza kwa kazi nzuri. • Azungumzaye ni Aboubakar Francis Kisike, Mkazi wa Singida. #HapaKaziTu
171
111
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
Ubungo by night.
Tweet media one
124
64
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Poleni wafiwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
31
68
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Taarifa: Kuhusu kutopatikana kwa huduma kupitia Instagram, Facebook na Whatsapp.
419
131
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Mhe. Rais Samia aondoka Jijini Dar es Salaam na kwenda Zanzibar kwa mapumziko ya sikukuu.
75
99
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
U T E U Z I.
Tweet media one
182
116
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tweet media one
166
110
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
6 years
Ndege yetu aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada ilikwishaondoka Canada kuja Tanzania. Aidha, ndege kubwa nyingine 3 (2 Bombardier CS300 kutoka Canada & 1 Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani) zitawasili baadaye mwaka huu. Nawatakia Ijumaa Kuu njema.
Tweet media one
Tweet media two
282
278
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
TANZANIA TAMU. Viongozi Wakuu kula pamoja. #AmaniUmojaUpendoMshikamoUtulivu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
147
104
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
#TUELEWANE Tumekabiliana na adha ya maji. Hili ni tenki la maji la Kibamba Jijini Dar es Salaam, lina uwezo wa kuhifadhi lita milioni 10. #HapaKaziTu
Tweet media one
135
100
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
One two, one two.......
Tweet media one
166
92
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E U Z I.
Tweet media one
166
187
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
U T E U Z I. Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi. #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
119
140
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tweet media one
149
96
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
KUMEKUCHA!! JPM achukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu 2020.
167
153
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
1 year
HISTORIA IMEANDIKWA.
Tweet media one
133
66
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tunawashukuru na tunawatakia kila la heri Madaktari, Wauguzi na wafanyakazi wote waliomstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19). Mungu ni mwema TUTAVUKA.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
145
101
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Kikao cha ndani. Ikulu, Chamwino Dodoma.
Tweet media one
64
79
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
7 months
U T E U Z I.
Tweet media one
237
91
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Tweet media one
113
67
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atazungumza na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu hali ya ugonjwa wa Corona. Matangazo ya kikao hicho yatarushwa mubashara kutoka Chato Mkoani Geita kuanzia saa 9:45 alasiri leo Aprili 22, 2020.
Tweet media one
150
120
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Ni uchungu mkubwa kuwapoteza Joseph Kambanga “Jenerali” (Meneja TEHAMA - TBC) na Lutengano Haonga (Mwandishi wa Habari Mwandamizi - TBC). Ni mtihani mzito kwa wana familia wenzangu wa TBC. Laleni salama Kaka zangu, kamwambieni Marin Hassan kuwa ARIDHIO inachanja mbuga.
Tweet media one
218
87
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
Mhe. Rais Magufuli leo Machi 25, 2019 atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, Viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na Bondia Hassan Mwakinyo Ikulu DSM. Atawapongeza na kula nao chakula cha mchana. Tukio litarushwa Live! na Redio, Televisheni na Mitandao kuanzia saa 4:00 asubuhi
84
164
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
AKITROTI. Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli wamkaribisha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mama Regina Lowassa, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma.
107
117
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Mhe. Rais Magufuli leo Mei 21, 2020 atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. Tukio la kuapishwa kwa viongozi hao litarushwa moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma kuanzia saa 3:30 asubuhi hii kupitia vyombo vya habari vya Redio, TV na Mitandao.
Tweet media one
55
75
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
UTENGUZI.
Tweet media one
196
98
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
2 years
UFAFANUZI. Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
Tweet media one
325
86
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
JPM avuka Daraja la Mkapa (katika mto Rufuji) lenye urefu wa meta 970 kwa miguu, kumkumbuka Hayati Benjamin William Mkapa aliyejenga daraja hilo wakati wa uongozi wake.
54
146
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Anaitwa Job Yustino Ndugai. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 👌🏽👌🏽
240
114
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
#TUELEWANE Huu ndio uzuri wa Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
136
103
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
U T E U Z I.
Tweet media one
174
145
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Welcome back KLM. Tanzania is safe and blessed. Come one, come all and ENJOY YOUR STAY IN THE LAND OF KILIMANJARO, SERENGETI AND ZANZIBAR. #TanzaniaUnforgettable
52
163
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
U T E U Z I.
Tweet media one
219
155
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
108
135
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
4 years
Prof. PLO Lumumba, Ikulu Dar es Salaam.
71
297
1K
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
5 years
Bravo Hassan Mwakinyo 🥊🥊
66
99
1K