Eng.Simon J.Msenga🇹🇿 Profile Banner
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿 Profile
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿

@SimonMsenga

31,727
Followers
15,646
Following
16,036
Media
153,613
Statuses

Wireless Product Engineer @Huawei | Telecommunication Industry|UDSM Alumni|Leader|Digital Strategist|Social Activist| Runner|Tanzanian

Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿
Joined June 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 months
"Dear Simon Msenga, as you journey through life, remember that every challenge you face is an opportunity to grow stronger and wiser. Embrace each moment with courage and perseverance, for within every setback lies the seed of a greater success. Keep believing in yourself………
Tweet media one
1
9
43
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Yule dogo aliye trend jana kwa kupanda juu ya mti Jana ili kumuona @TunduALissu huko Rujewa huyu hapa👇👇! cc: @halimamdee @Kiganyi_ @kigogo2014 @RealHauleGluck @WemaKako
231
583
4K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Hahaha hii team ya kampeni ya @halimamdee ni hatari sana 😂...wameona isiwe tabu, wanapeleka ujumbe live huko kuhusu Gwajiboy.. Kwako Shemasi @kigogo2014 , @Kiganyi_ @RealHauleGluck ....😄
233
313
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Leo asubuhi kuna mtu kutoka Kilwa huko amekosea kutuma muamala na kunitumia 75,000/= kwa namba yangu ya tigo!! Ki uungwana tu imenibidi nimrudishie Japoo niko Broke kimtindo. Muda mwingine Mungu anatujaribu kwa vitu vidogo tu sana kupima imani uaminifu wetu!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
265
114
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana Mungu. Siku niliyoingojea kwa hamu na shauku kubwa. Wakati wa Mungu ni Wakati Sahihi. Nitalihimidi jina lake milele! New Telecom Enginner 2022 in Town!
Tweet media one
205
104
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Pumzika kwa Amani
Tweet media one
110
95
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Anaitwa Halima James Mdee ( @halimamdee ): Pale Jimbo la Kawe:👇 2010: Aliwaaangusha wanaume nguli akiwemo James Mbatia mzee wa mama Tanzania. 2015: Akampiga chini Kippi Warioba mtoto wa Judge Warioba. Sasa 2020: Anakutana na Gwajima. Je unadhani Gwajima atafua dafu pale?
Tweet media one
226
92
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Kipindi hicho Lijualikali ramani haieleweki ... @freemanmbowetz akamuibua....juzi kati akaanza kashfa...dharau nyingi
Tweet media one
130
119
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Inaonyesha @LazaroNyalandu yupo serious sana na hii safari yake! Patakuwa patamu ndani ya @ChademaTz . Hapa @LazaroNyalandu Kule @TunduALissu !🔥🔥
Tweet media one
76
79
2K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Wakuuu....naona ule mtego wanataka kuniwekea na mimi! Sidanganyikiiii!👇👇
Tweet media one
278
34
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Bwana TITO ni Shujaa, tulikuwa naye CoET akisomea Mechanical, alipofika mwaka wa pili 2018, Course haikumuendea fresh ikabidi aanze upya B.A in Statistics na leo amehitimu kwa. GPA ya 4.8 na kuwa BEST STUDENT! Kwenye maisha ukianguka usikate tamaa, INUKA Huyu kwangu ndo shujaa!
Tweet media one
53
155
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
@RealHauleGluck @FlavianaMatata @Captain_255 Yaani huyu dada akirudishwa na Tume MwanaFA anaweza asitoboe asipojipanga
132
137
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Ipe caption picha hii!👇✍️
Tweet media one
313
117
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Hapa nje ya Mahakama, kuna polisi mmoja kashindwa kujizuia anacheka anasema mmetudhalilishia sana boss wetu jana...😂
49
103
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Nilikuwa namsikiliza leo @BenMembe akihojiwa na Idhaa ya kiswahili ya DW: 👉Anasema dhamira yake ya kugombea Urais ipo pale pale, iwe kupitia CCM au vinginevyo. 👉Na anasema kwenye dhamira hii hayupo peke yake, wapo watu sita CCM, yeye ni wa Saba. Anasema akiwataja watafukuzwa.
Tweet media one
86
72
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Nimeona watu wanashangaa kuona kabla Mwili wa Dr Mahiga haujamaliza saa 24 ndani ya kaburi, tayari mamlaka imeshamteua mtu mwingine kushika nafasi yake! Niwakumbushe Ndugu zangu, Thamani ya Mwanadamu ni wakati ukiwa na pumzi tu! So vyeo na mali tutaviacha duniani. Be humble!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
100
99
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Kama niliota vile....Hii video ambayo aliipost @RealHauleGluck isingemuacha salama @IdrisSultan ..... Pole kwake Idriss!
151
85
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Luka 19:5 [5] Na Yesu, alipofika mahali pale, alitazama juu, akamwambia, Zakayo, shuka upesi, kwa kuwa leo imenipasa kushinda nyumbani mwako.
Tweet media one
13
68
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Tweet media one
Tweet media two
20
188
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
10 months
Kuna Mwamba yupo Dubai anahojiwa na akina Kitenge eti ni mfanyakazi wa DP World Dubai....😂 Nchi ngumu sana hii
Tweet media one
202
42
1K
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
KAULI YA ANTONY DIALO LEO😂👇👇 "Huko nyuma tulishawahi chagua watu waliowahi kwenda kwenye hospitali za vichaa...mtu ana track record ya Milembe alafu mnamuachia achukue Nchi..."~Antony Diallo (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza) cc: @kigogo2014 @MariaSTsehai @franklin_tissa
104
225
978
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Enjoy every moment!
Tweet media one
31
40
971
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
JE, KUNA UKWELI JUU YA MDUDE KUTEGEWA MWANAMKE?-(THREAD) Na Malisa GJ Wiki jana ndugu Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama ‘Mdude Chadema’ alikamatwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya bila kuwekwa wazi sababu za kukamatwa kwake.(1)
Tweet media one
107
90
941
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
6 months
Leo mchana nilipata wasaa mzuri wa kupita kununua Perfume kwenye ofisi mpya ya ndugu @kalage_jr iliyopo hapa Bamaga Nyuma ya Kebbs Hotel! Nimemkuta Kalage yupo anaendelea kuiboresha ofisi yake hii mpya! Ninamtakia kila la kheri katika biashara yake. Karibuni wote!
Tweet media one
Tweet media two
38
87
940
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Hawa ndo wa kutoka nao huwa hawali kilo moja ya nyama peke yao.....😂..... Nyie endeleeni kutoka dating na hao wabongo wahujumu uchumi!😂😂
Tweet media one
140
36
897
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Naona Tunaanza kuongea lugha moja sasa...mpk Msandi kashaanza kupanic
28
25
886
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Why always, CCM wakihojiwa Mambo ya Msingi wanakimbilia kichaka cha AMANI?
47
77
882
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Deep down unakuja kugundua kumbe Prof. Assad Ndo Kigogo...😂 Utafanyaje
39
28
884
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
CHADEMA imefanya uamuzi mgumu na wenye Gharama Kubwa, ila Ni Uamuzi wenye HESHIMA!
9
36
877
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Jioni ya leo nikiwa katika maandalizi ya Mkutano mkuu wa CHASO UDSM ( @ChasoUdsm ) utakaofanyika hapo kesho. Tunawakaribisha wadau wote!
Tweet media one
17
62
872
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Shughuli za Kijamii zimeshaanza!🤗
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
86
824
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Ukifatilia kwa kina haya mambo yanayoendelea huko Bungeni kwa sasa, lazima utakubali bunge la 2015-2020 ni dhaifu sana haijawai kutokea!
Tweet media one
52
33
817
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Group la Whatsapp UVCCM wameanza kutuhamasisha usiku huu tuvae barakoa
47
33
762
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Alafu bado kuna shabiki wa YANGA anabisha kuwa @SimbaSCTanzania hatupindui meza kwa Mkapa😂🙌
Tweet media one
110
46
752
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Ndugu yangu @LusakoWaKwanza nazidi kukusisitiza tuvuke Boarder namna hii....😀😂 Hawa wa Abroad hawavujishi DMs, na nilikuambiaga hawali kilo moja ya Nyama Peke yao kama Wabongo... We endelea na hao Wabongo wenye Maringo Mengi na Kuabisha...
Tweet media one
Tweet media two
117
27
739
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Wakazi wenzangu wa jimbo la Kibamba, tusifanye makosa, KIBAMBA inastahili heshima endelevu! Chagua MGAWE! Chagua CHADEMA!
Tweet media one
10
83
730
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Ila Kitenge😁😁🙌 Kafanya kugeuza lugha tu...
Tweet media one
Tweet media two
149
48
724
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Naomba Retweet 1000 kwa @BawachaTaifa kuonyesha Upendo kwao
Tweet media one
5
325
716
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Nchi ngumu sana hii....🤔
Tweet media one
Tweet media two
70
25
707
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Kingai kavalia kaunda suti yake....anaonekana ana wasiwasi kidogo..hayupo kiutulivu
28
52
696
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 months
Kanywe soda Mrembo, ni vile najitafuta ningekuoa kabisa! Wife material!
Tweet media one
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
3 months
Shida si Ajenda Lets Hear it 😊😊
Tweet media one
190
468
3K
30
72
729
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Twitter IT Tumsaidie ndugu yetu huyu...anatafuta App ya kuweza kujua kinachoendelea ktk simu ya Mkewe
Tweet media one
262
25
686
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Anaandika Malisa GJ Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa amekataa kupanda gari la serikali lililopelekwa gerezani Segerea ili kumchukua baada ya kulipiwa faini.
Tweet media one
38
41
683
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
😂😂👇 Hii App inafurahisha sana!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
117
85
671
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Live from Mlimani City #BarazaKuuCDM2022 .
Tweet media one
17
42
686
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
😂👇
Tweet media one
Tweet media two
137
49
664
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Huyu ndo Adadi kumbe!!
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
4 years
Nakumbuka Adadi alikerwa sana alivyopigwa RISASI Tundu. Alitoa speech safi Bungeni.
28
50
693
17
106
674
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Kwaheri Prof.Baregu💔
Tweet media one
15
55
664
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
HATIMAYE BAADA YA KUMALIZA KIFUNGO CHA SIKU 7 ILE RATIBA YA KAMPENI YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO INAENDELEA.... Leo 01/10/2020 Boniface Jacob anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Manzese Leo tarehe Kuanzia Saa 7:00 Mchana.
Tweet media one
6
77
654
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
NAOMBA UGUSE MAISHA YA KIELIMU KIJANA HUYU ATIMIZE NDOTO YAKE YA KUWA DAKTARI. (Naomba usome Uzi huu👇) Nawasalimu Ndugu watanzania Ninakuja mbele yenu kwa heshima na tahadhima tuweze kuguswa na maisha ya kijana huyu Kijana huyu anaitwa Paul Temba.(picha yake iko chini) 1/11
Tweet media one
65
274
655
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Hatimaye kesi imemalizika, nimetimiza kiu yangu ya kuja kumtia moyo Mheshimiwa @freemanmbowetz na washitakiwa wengine. Leo hii nikiwa na Mpambanaji Alphonce Lusako ndani ya ukumbi wa Mahakama wakati wa kesi. Aluta Continua!✊
Tweet media one
16
46
632
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Mzee baba alikuwa anaongoza 95% ila kina @kigogo2014 na shangazi @MariaSTsehai wanapindua meza asee🙌
33
30
628
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Martin kila siku niko naye Mahakamani Full stop. Tunafahamu mnamtafuta lakini mnashindwa kumpata ndo maana mmeanza kuja na songombingo
25
58
610
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
11 months
Ukizingatia unaamka saa Kumi Alfajiri kila siku kuwahi mzigoni alafu unakutana na kauli " I'm not a paid slave "
43
38
618
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Naendelea kukagua nakala za fomu ya matokeo jimbo la Kibamba...huu ni moja ya ushahidi ya mchezo uliochezeka. Just imagine ukijumlisha kura za kila mgombea aliyopata jumla ni 93. Ila msimamizi chini kaweka waliopiga kura ni 283 na kura halali ni 283...hakuna kura iliyoharibika
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Kibamba ni madudu matupu... Na hii inaonyesha ni majimbo yote....ya Dar es salaam kama sio Nchi nzima
6
15
133
24
92
607
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Asset or Liability!? 🤔🤔🤔
Tweet media one
101
21
587
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Ukitaka kujua Faida za Uchawa kamuulize Polepole muda huu😂
12
14
585
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Martin Anastahili kupewa mkono wa hongera Ikipendeza @IAMartin_ weka Namba yako Wadau waku boost Voucher na Pesa ya KVANT kidogo ulegeze koo... Kazi yako ni tukufu sana
27
66
583
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
"Ndani ya kipindi cha miaka mitano, tumetengeneza viwanda zaidi ya 8477, ambavyo vimetoa ajira zaidi kwa vijana wetu"
Tweet media one
19
33
578
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
NAOMBA UCHUKUE DAKIKA CHACHE USOME UZI HUU, TUUNGANE TENA KUGUSA ELIMU YA BINTI HUYU NA MUNGU AKUBARIKI! Nawasalimu wana Twitter, Pichani chini anaitwa Rachel Njau, ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu Dar es salaam, anasoma BSc. in computer science... #1
Tweet media one
24
188
552
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
@IAMartin_ Huyu tunampa siku kadhaa ile App yake tunaishusha chini, ngoja niwastue vijana. Kavuka Mipaka sasa
35
16
554
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Hivi Dubai ni ulaya? Ndugai bana😂😂👋
41
17
538
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
CHADEMA is the future and only hope of this Country 🇹🇿. Jah Bless!
28
63
547
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
UZINDUZI WA KAMPENI ZA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA KIBAMBA NDUGU ERNEST MGAWE ( @ErnestMgawe ) 👉SIKU: KESHO JUMAPILI 👉TAREHE:13/09/2020 👉MAHALI:STOP OVER KIMARA 👉MUDA: SAA12:00 MCHANA MPAKA 18:00 JIONI Tunawakaribisha sana watu wote mje kusikia Sera bora za CHADEMA.
Tweet media one
Tweet media two
18
56
540
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Mbona kama Wito upo kwa Sauti ya juu hivi...Huko jeshini Kunani?
Tweet media one
69
48
549
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Jana tulipokea taarifa za Msiba wa Mchungaji Peter Mitimingi! Kiufupi, Mitimingi pia alishawahi kufundisha chuo kikuu cha Daresalaam miaka ya 2016, ambapo alifundisha somo linaitwa Psychology in the School (PY107) ktk idara ya Sociology na Anthropology ktk Unit ya Psychology.
Tweet media one
36
35
546
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Nichukue Fursa hii kumpongeza ndugu @TunduALissu kwa kuweza kufanikiwa kupendekezwa na baraza kuu la @ChademaTz kuwa mgombea urais 2020. Pia niwapongeze wana CHADEMA kwa kuzidi kuwa wamoja katika kipindi hiki.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
35
532
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Bora Whatsapp imezingua walau tupumue na magroup ya michango ya harusi 🤣
51
24
521
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
11 months
" I'm not a paid slave " 💔 Aisseee hii App inaweza kukupa kisukari
54
45
539
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Wakati Martin anatupa update za maana....Yule Mtu anatupa Update za Yanga kukatiwa maji😂
40
34
522
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Ukute @masoudkipanya hana elimu kihivyooo...ila katupiga Gap Vijana wa CoET naCoICT UDSM. Taifa la Wasomi wa kuwaza TEUZI 😔😎😎😁
35
48
530
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
LEO NI SEPTEMBER 7, 2020:: 👉NI KUMBUKIZI YA MH LISSU KUSHAMBULIWA KWA RISASI! Yeah leo imetimia rasmi miaka mitatu tokea ndugu Lissu ashambuliwe vibaya sana kwa Risasi na watu wanaodaiwa kutojulikana pale Area D, Dodoma katika makazi ya viongozi wa Serikali.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
93
513
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Vile nikiwa nimekaa najaribu kueleweshwa na Vijana wa ACT jinsi NGURUWE alivyo HARAMU ila Tule MCHUZI wake ni DAWA!
Tweet media one
29
23
513
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Tunazidi kukumbuka ule ushauri alioutoa Kocha @PatrickAussems alio utoa wakati akiondoka, ambapo alisema:👇👇 "To grow Simba must absolutely get rid of the liars and uneducated people of the board." Ndugu @moodewji badala kutuwekea watu wenye professional unatujazia wanasiasa.
Tweet media one
44
68
507
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Nikiwa na Mrembo wa "Building and Finance"
Tweet media one
32
24
513
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Namshukuru Mwenyezi Mungu hapo jana nilikamilisha safari yangu ya Uongozi na Uanachama ndani ya @ChasoUdsm na kupokea cheti ya heshima kutoka kwa Naibu katibu mkuu wa @ChademaTz bara Mh Benson Kigaila katika sherehe za Mahafali. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi!
Tweet media one
28
57
503
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
7 months
Nchi ngumu sana hii! Leo ulitakiwa usafirishwe mwili wa ndugu yetu kwenda kuzikwa Moshi, ila kufika Muhimbili kumekutwa l mwili ulishakabidhiwa kimakosa kwa watu wengine na wameshafika nao Songea! So hapa zinafanywa jitihada mwili urudi Dar kwa ndege kesho then uende Moshi!
161
36
520
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
CHASO UDSM Wanajambo kwa wanafunzi First year!
Tweet media one
2
34
508
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Hatimaye nipo ndani ya Mahakama msijali tutaenda live
15
38
492
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
🙌😂👇 Sababu nyingine ya kutoifuta hii App ya Twitter! cc: @Kiganyi_
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
60
43
494
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Am proud to be member of this party! Kudos @ChademaTz !
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
50
493
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Nilikuwa natazama kipindi cha Clouds 360 cha @CloudsMediaLive wakimuhoji @LazaroNyalandu . Ama hakika wale wakina @Hassanngoma3 na @babbiekabae wamekutana na mtu imara kweli kweli. Nyalandu yupo cool, smart na Focused. Kila wakijaribu kuleta maswali yao ya umbea anawatoka
Tweet media one
22
18
498
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Jioni hii ya leo, nimefika na Viongozi wenzangu wa @ChasoUdsm Msibani kwa Prof.Mwesiga Baregu Mjumbe Mstaafu wa kamati kuu ya chama chetu @ChademaTz kutoa salamu za pole na kusaini kitabu cha Maombolezo. Mungu amlaze mahali pema peponi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
33
483
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Atleast Zuhura Yunus huwa ana guts za kuuliza maswali magumu
28
29
465
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Maisha bana! Yana formula ya ajabu sana! Kwenye Video ni Joseph Selasini ambaye ni mgombea ubunge kupitia @nccrmageuzihq huko Rombo. Hapo awali alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia @ChademaTz ! Toa maoni yako! cc: @IAMartin_ @Kiganyi_ @kigogo2014 @HildaNewton21
100
40
464
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Mwenye Menu ya TTCL hapo naomba atume tuone Vifurushi vyao
27
12
441
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
SUALA LA MEDIA ZA HABARI KUBAGUA CHADEMA. Anaandika Malisa GJ Nimekuwa nikisoma kwenye vitabu na sasa nashuhudia kwa macho. Uhuru wa habari unakanyagwa na watu hawathubutu kukemea kwa sababu ya HOFU.
Tweet media one
Tweet media two
22
74
463
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
5 years
Kesho tutakuwa na kikao cha dharura cha MABAHARIA wote maeneo ya 5N Pub.Agenda ni kuweka idadi ya mwisho ya kutuma Text inbox kwa Mdada Bila Reply Cc: @kigogo2014 @SingoRaggy @rollymsouth @LusakoWaKwanza @Nkololotz @Eric_Bernard94 @IdrisSultan @MwanaFA @KennedyMmari @MarekaMalili
145
42
447
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Wakati Nape akiongea, nimeishia kutazama facial expression ya @JMakamba . Inaonyesha kabisa ni kama kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Pia Funika Kombe mwanaharamu apite! Sijui kwenu mmeonaje @RealHauleGluck @HildaNewton21 @fredrickjustne @kigogo2014 ?
117
36
457
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
WATANZANIA TUUNGANE KWA PAMOJA KUWACHANGIA VIONGOZI HAWA. KIASI CHOCHOTE KILE. CHANGIA KATIKA NAMBA ZA ACCOUNT AU SIMU ZILIZOPO KTK PICHA HII👇👇👇 CC: @zittokabwe @LusakoWaKwanza @LazaroNyalandu @RealHauleGluck @SuphianJuma @ProfessorJayTz @WemaKako @JPambalu @JonMrema
Tweet media one
27
80
455
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Tweet media one
7
41
448
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
"Jela si mahali pa kumuweka mwenzako,na ukiwa unajua kabisa hana hilo kosa. Unaamua kutumia kwa mabavu nguvu uliyopewa na Umma kumdhalilisha mwenzako na kumyima uhuru wake. Suala la Mbowe sio dogo, ana watu wengi nyuma."-Mzee wa Upako. #MboweSioGaidi cc: @SuluhuSamia
29
117
443
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Naona baadhi ya watu wanalipongeza jeshi la polisi, yeah its fine! Ila kwa uhalisia niliouona nikiwa maeneo yale ya Airport kuanzia asubuhi, ni Kwamba Polisi walijikuta hawana namna ya kufanya zaidi ya kutulia tu maana Wafuasi na wananchi waliomiminika pale Airpot ni balaaa!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
30
449
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Wahuni wamepita na Account ya Millard Ayo @millardayo 😄😄
Tweet media one
56
24
433
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Mfano stress walizo nazo muda huu hao vijana wa JKT, nguvu za kiume watatoa wapi?!
27
17
437
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
4 years
Baada ya tafakuri nzito kuhusu hali ya siasa Nchini hasa kwa upande wa upinzani. Nimeona Nitoe ushauri huu:: "Vyama Vya Upinzani viungane kwa pamoja na Visishiriki Uchaguzi wowote Nchini mpaka kuundwe Tume ya Uchaguzi Huru na Katiba ibadilishwe ipatikane katiba ya wananchi."~01
Tweet media one
36
55
434
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
2 years
Suala la Pambalu limenisaidia kuona atleast true color of the so called ,"Neutral Guys"! 😂😂 Anyway tutakutana mbele ya Safari
35
22
438
@SimonMsenga
Eng.Simon J.Msenga🇹🇿
3 years
Kingai anapanda kizimbani hapa....
14
33
430