EastAfricaTV Profile Banner
EastAfricaTV Profile
EastAfricaTV

@eastafricatv

1,740,864
Followers
7
Following
93,536
Media
170,727
Statuses

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: habari @eatv .tv

Dar es salaam, Tanzania
Joined July 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS: Mwenyekiti wa Chama cha @ACTwazalendo taifa, @SeifSharifHamad amemuidhinisha mgombea wa @ChademaTz @TunduALissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tweet media one
228
450
5K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#TBT Mtoto huyu alikuwa maarufu na shule zote za msingi zilipewa jina lake, Je unakumbuka alikuwa anaitwa nani? #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
Tweet media one
468
254
5K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#VIDEO HARMONIZE AIPAISHA YANGA NA KUJAZA SHOW AUSTRALIA
Tweet media one
66
132
4K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#MICHEZO Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, @MwanaFA leo amefanya mazungumzoa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika CAF, Veron Mosengo-Omba nchini Afrika Kusini ambapo pamoja na mambo mengine ameiomba CAF kuiongeza @yangasc1935 katika mchuano ya CAF Super League.
Tweet media one
236
104
4K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
Tweet media one
383
220
4K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Huu Mguu wa kulia umejaa vyuma kuanzia kwenye Goti hadi kwenye Nyonga, vingine vipo kwenye mkono wa kushoto na Mkono wa kushoto haunyoki, kuna Risasi iko chini ya Mgongo Madaktari walisema ibaki hapo hapo ni salama zaidi kuliko kuitoa" - @TunduALissu #LissuArejeaTanzania
Tweet media one
158
245
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTz @TunduALissu amesema ataenda wilayani Chato kufanya mkutano na kwamba ataenda mahali alipolazwa Hayati Dkt John Pombe Magufuli na kumuombea na kumtaka aamke kuona yale yanayoendelea nchini.
Tweet media one
172
159
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
#CAFCL Leo tumalize kabisa huu ubishi, Kati ya CHAMA na PACOME nani anajua zaidi😀🤷? #CAFCL #EastAfricaTV
Tweet media one
440
93
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#HABARI Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema kwamba nchi hiyo itaendelea kuimarika hata bila ya uwepo wa mikopo, na kusisitiza kwamba hawahitaji shinikizo kutoka kwa mtu yeyote juu ya namna ya kutatua matatizo yaliyopo kwenye jamii yake.
Tweet media one
144
174
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#NUKUU "Mimi na familia yangu tunaendelea kumshukuru sana Mungu, asubuhi ya leo ametujalia kupata mtoto mwingine, amezaliwa kwenye Hospitali ya wazazi Meta Jijini Mbeya na tumempa jina la Freeman, Asanteni" - Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini @IamJongwe__
Tweet media one
95
135
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
6 months
#MICHEZO Mwandishi Mkongwe na Shabiki wa klabu ya Simba SC Salim Kikeke ndiye anatarajiwa kuwa mshereheshaji katika shughuli ya Ufunguzi wa mashindano ya African Footbal League baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Benjamin Mkapa kesho majira ya Saa kumi na Mbili…
Tweet media one
58
113
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS : Rais @MagufuliJP amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, akichukua nafasi ya Mh Aggrey Mwanri ambaye amestaafu.
Tweet media one
158
97
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Ukraine yadai kuua wanajeshi 3,500 wa Urusi :-
Tweet media one
95
73
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
#BURUDANI Mwanamuziki wa Bongofleva Herry Sameer Rajab almaarufu kama #MrBlue amefanya mahojiano na BBC na kufunguka kuwa kuna kipindi alipotea kwenye muziki kutokana na starehe na kujiingiza kwenye dimbwi la matumizi ya dawa za kulevywa huku akimtaja mke wake kuwa ndiye…
Tweet media one
53
88
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#NgaoYaJamii Neno moja kwa Refa wa leo Amina Kyando😃🤷? Game On: Simba 0-0 Singida Fountain Gate #NgaoYaJamii #EastAfricaRadio
Tweet media one
446
79
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
Mjadala wetu juu ya ubora wa nyota hawa (Pacome na Chama) unaruhusiwa kuendelea usiku huu au tuwaache kwanza Simba wamalize kushangilia ? #EastAfricaTV
Tweet media one
317
76
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
"Nimemuona Konde Boy Tembo, na kwa kifua kile kweli ni Tembo,"- Rais @SuluhuSamia #WikiYaUsalamaBarabarani
Tweet media one
217
133
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#HABARI Mahakama ya mwanzo Msimbati, wilaya ya Mtwara imekosa wateja kutokana na kuwapo kwa Mzee Issa Mkumba (60), ambaye anaaminiwa na jamii yake kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutatua migogoro licha ya kutokuwa na taaluma ya sheria #EastAfricaTV
Tweet media one
115
143
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS: Askofu Gertrude Rwakatare wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) amefariki dunia Alfajiri ya leo.
Tweet media one
505
194
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Mdogo wangu Lema amerudi, aliniambia anataka kurudi nikamwambia rudi, kasema mama nina kesi, nikasema nazifuta rudi" - Rais @SuluhuSamia #RaisSamiaUsaRiver #EastAfricaTv
Tweet media one
245
127
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#MICHEZO Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Cedric Kaze amesema kuwa mchezo wa leo wa fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup ni mechi yao ya mwisho kama benchi la ufundi la Yanga kwa msimu huu,
Tweet media one
65
57
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 months
#MAPINDUZICUP Hebu tuambie maoni yako kwa refa wa mchezo leo umemuonaje😀🤷? #MapinduziCup #EastAfricaTV
Tweet media one
553
72
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Serikali itatoa ndege (kwa Yanga) kuwapeleka katika mchezo wa fainali, ndege hiyo itabeba wachezaji, itabeba mashabiki na naomba sana wale viongozi wa TFF muwape moyo kama serikali tunavyofanya. Muwasemee vizuri ili wakapate ushindi" _ @SuluhuSamia
Tweet media one
79
122
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Mimi nina hamu kubwa sana ya kurejea nyumbani Tanzania na kuja kusaidia Taifa langu na sekta nzima ya uandishi wa habari, uzoefu nilioupata natamani sana kuja kufanya kazi na wanahabari wachanga na waliopo kazini sasa hivi na tukabadilishana mawazo na kuelekezana,"- @Salym
Tweet media one
105
91
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
Hebu tumalize hapa yupi anastahili kuwa Nyota wa Mchezo kati ya A, B na C? #Chama #Baleke #Kanoute #CAFCL #SimbaSC #HorotaAC #Michezo #EastAfricaTV
Tweet media one
293
70
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#BURUDANI CEO wa Next Level Music @Rayvanny amekutana na mama mzazi na meneja wa staa wa muziki Africa Burna Boy ‘Bose Ogulu’ katika utolewaji wa tuzo za Grammy 2024 Los Angeles Marekani. Rayvanny ameshea picha hii kwenye Insta Story yake akiandika 👇 “Mama ni mama, sikujua…
Tweet media one
45
69
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#NBCPL Una lipi la kusema kwa refa wa leo Ramadhani Kayoko? #NBCPL #EastAfricaTV
Tweet media one
421
80
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
10 months
#UPDATES Mwanafunzi Ester Noah Mwanyilu, amepatikana katika chumba cha kupanga cha Mama Abdul kilichopo maeneo ya Ifisi Mbalizi, na kwamba alipelekwa hapo na muuza mkaa aitwaye Baba Jose na kusema ni mke wake hivyo anaomba hifadhi baada ya siku mbili angemchukua ili wakaishi wote
Tweet media one
344
105
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Hivi kwanini bando lina-expire? simu ni ya kwangu, nimenunua bando kwa fedha yangu halafu unanilazimisha nitumie kwa muda unaoutaka wewe ni kwanini? kama ni sheria iletwe tuibadilishe, tunawaibia wananchi," - Francis Mtinga #Bungeni #EastAfricaTV
Tweet media one
208
185
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#HABARI Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020, na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa na hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.
Tweet media one
Tweet media two
307
231
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#MICHEZO Katika hali ya kushangaza, inaelezwa aliyekuwa mke wa mchezaji wa klabu ya PSG, Achraf Hakimi ajulikanaye kwa jina la Hiba Abouk alifungua faili la talaka akitaka wagawane mali, samani na vitu vingine lakini baada ya kwenda Mahakamani ilionekana Hakimi hana kitu, kwani
Tweet media one
128
91
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#HABARI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ni aibu kumsumbua Waziri Mkuu kuja kusikiliza kero za wafanyabiashara wakati yeye Mkuu wa mkoa yupo na kuahidi sasa itakuwa ni mwisho kutokea jambo hilo #EastAfricaTV
Tweet media one
132
84
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Leo TRA Rais amesema kodi za miaka mitano huko nyuma mziache, nyie mnadai barua kwa watu wa Kariakoo, hivi mtu wa Kariakoo ataipata wapi barua ya Rais? halafu unamuambia mfanyabiashara kwamba hilo ni agizo tu la kisiasa lilitamkwa na Rais wako,"- Waziri Mkuu
Tweet media one
173
131
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
#MICHEZO Rais wa klabu ya Yanga SC akiwa katika mahojiano na Televisheni ya Al Ahly amesema "binafsi naamini fainali ya CAF Champions League msimu huu ni baina ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Sundowns”, Al Ahly na Mamelodi ni timu zenye mikakati na ubora wa hali ya juu kwasasa…
Tweet media one
193
93
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Na leo tuna ratiba ya mkoa wa Kilimanjaro na baada ya hapo kutakuwa na mapumziko mafupi kabla ya kuanza round ya mwisho ya kampeni kuanzia Oktoba 4, katika kampeni hizi tumeona mambo mengi na Watanzania wako tayari kufanya mabadiliko"- @TunduALissu #LissuPress #OktobaTutawezana
Tweet media one
24
190
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
"Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu…
Tweet media one
218
107
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#NBCPL Full Time: Geita Gold 0-1 Simba SC Kafungwa GEITA ila yanayoteseka ni MAJINI😀 #NBCPL #EastAfricaTV
Tweet media one
204
143
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
6 months
#MICHEZO Mkufunzi wa zamani wa Arsenal FC Mfaransa Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Pierluigi Collina ni miongoni mwa ujumbe uliombatana na Rais wa FIFA Gianni Infantino Kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa African Football League 2023 baina ya Simba Sc dhidi ya Al Ahly ya…
Tweet media one
34
108
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Steve Nyerere aitwa usemaji wa Muziki Kenya: -
Tweet media one
158
64
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
10 months
#MICHEZO Augustine Okocha almaarufu Jay Jay Okocha , 46, ameteuliwa kuwa Waziri wa Michezo, Vijana na Maendeleo na Rais mpya wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria, Bola Tinubu.
Tweet media one
20
89
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
10 months
#HABARI Kitabu kiitwacho Africa Magufuli na Badiliko kilichoandikwa na Profesa Malango Chinthenga wa Malawi kimetajwa kuvutia nchi nyingi za Afrika Mashariki zikiwamo Tanzania na Kenya huku Watanzania wakiwa tayari kukitafsiri kwa Kiswahili.
Tweet media one
98
138
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#MICHEZO Unaambiwa Samuel Eto'o amewachana wachezaji wa Cameroon waliozaliwa ulaya👇 Wadogo zangu wapendwa naelewa, wengi miongoni mwenu hamjazaliwa Cameroon wala hamjawahi kucheza vilabu vya Cameroon. Nyie mlizaliwa ulaya huko mna haki juu ya viongozi. Mimi Cameroon…
Tweet media one
163
153
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#MICHEZO Mama Mzazi wa Kylian Mbappe ambae ni wakala wake amewaambia Real Madrid kuwa kwa sasa wanajaribu kupunguza ada ya €M250 iliyowekwa na PSG.
Tweet media one
3
52
3K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
"Simba tukifungwa na Yanga Siimbi tena" - Tundaman
Tweet media one
149
82
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
#BURUDANI Muigizaji wa filamu nchini, Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa ameeleza hali anayopitia kwa sasa wakati mtoto wake yupo nchini Ukraine kwa masomo. "Tumbo linanicheza kama mzazi. Ukraine! Hakuna ndege, nampataje mwanangu? Mungu wasimamie watoto wetu.''
Tweet media one
273
69
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#HABARI Rais wa Rwanda Paul Kagame amewafuta kazi Meja Jenerali Aloys Muganga, Brigedia Jenerali Francis Mutiganda na maafisa 14 wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). #EastAfricaTV
Tweet media one
139
77
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#HABARI Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, William Mkonda amekanusha uvumi kuwa msafara wa mgombea Urais kupitia @ChademaTz @TunduALissu umepigwa mabomu eneo la Nyamongo, amesema mabomu yalipigwa kutawanya wafuasi waliokuwa wakiwashambulia askari wa jeshi hilo.
Tweet media one
Tweet media two
333
131
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Ndugu zangu wa Babati zimebaki siku kumi mtapiga kura katika mazingira haya haya na tutaishinda CCM mwaka huu"- @TunduALissu #CHADEMAKampeniBabati #OkotobaTutawezana
Tweet media one
27
230
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#NBCPL Tunaujadili saa ngapi muonekano mpya wa Okrah😀🤷? #NBCPL #EastAfricaTV
Tweet media one
243
72
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Yapime macho yako asubuhi hii hapa.
Tweet media one
2K
146
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#HABARI : Kijana mmoja ambaye jina lake halijafahamika, akikadiriwa kuwa na umri wa miaka 32-35, amefariki, baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya 15, katika jengo la Derm lililopo Makumbusho mkoani Dar es Salaam #EastAfricaTV
Tweet media one
202
109
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#MICHEZO Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania @Tanfootball Wallace Karia ametangaza kuwa mabeki wa @SimbaSCTanzania Shomari Kapombe Na Mohamed Hussein 'Tshabalala' wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa 'Taifa Stars' ambacho kinajiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda.
Tweet media one
93
59
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
''Tumemshauri mgombea wetu asiendelee na kampeni, tunapenda kuwataarifu kuwa @TunduALissu sio mgombea tu ni makamu M/Kiti wa chama chetu na chama kina kazi nyingi za kufanya ikiwemo za kijamii kwa hivyo hatakosa kazi za kufanya'' - @freemanmbowetz #MbowePress #Uchaguzi2020
Tweet media one
70
145
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
8 months
#ENT : Baada ya Papa Jones @khaligraph_jones kuandika kupitia Instagram page yake ''Naskia Tanzania Ma Rapper wameshika Moto, Yall have 24 hrs to go to the the studio and Record, na msiniletee amapiano, Ingieni kwa Kiwanja tupimane nguvu, You will respect The OG..'' Tazama 👇🏾
Tweet media one
105
76
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 months
#MICHEZO Unaambiwa endapo Klabu mojawapo kati ya Simba au Yanga ikifanikiwa kufuzu kucheza kombe la Dunia la klabu kwa mwaka 2025 basi itakabidhiwa kitita cha Euro Millioni 50+ ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania Bilioni 153+ kwaajili ya kufanya maandalizi binafsi. Pesa…
Tweet media one
87
74
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 months
#MICHEZO Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa la Ivory Coast, Jean-Luiz Gasset amemuita Kikosini mchezaji wa Young Africans, Pacome Peodoh Zouzoua kwaajili ya maandalizi ya michezo ya AFCON 2024. Wachezaji wengine walioitwa ndani ya Kikosi cha Taifa la Ivory Coast ni pamoja na Amad Dialo…
Tweet media one
38
53
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#HABARI Mwalimu Emmanuel Chacha maarufu kama Dizzo, (Pichani) amefariki kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzie Samweli Subi akiwa katika usimamizi wa mitihani ya KKK ya darasa la kwanza katika shule ya msingi Igaka nkoani Geita
Tweet media one
233
102
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#MICHEZO Kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali ya mashabiki wake. "Ninapendelea kupangwa na Al Ahly au JS Kabylie hatua ya Robo Fainali ya CAFCL, kwa sababu ya ukaribu wa umbali.
Tweet media one
123
60
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
"Kuna nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa nikaona mwaka huu tuzirudishe, kwahiyo wafanyakazi wote mwaka huu kuna nyongheza za mishahara za kila mwaka, tunaanza mwaka huu na tutakwenda kila mwaka kama ilivyokuwa zamani"
Tweet media one
92
70
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#HABARI Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro , Mama Anna Mghwira amesema kuwa amepimwa na kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Mama Mghwira anasema kuwa hajui amepata wapi na lini maambukizi hayo. Lakini amesema kuwa hana dalili zozote na aliamua tu kupima kujua afya yake.
Tweet media one
173
140
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
#MICHEZO Katika hii picha ya kikosi cha AS FAR RABAT kuna wachezaji 3 ambao hivi sasa wanachezea katika timu 3 toauti za ligi kuu ya NBC......Wataje wachezaji hao na timu wanazochezea🤷? #Asfar #EastAfricaTV
Tweet media one
170
69
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#HABARI Mabasi ya Mikoani yameruhusiwa kuanza safari zake saa tisa usiku ambapo Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeagiza Wamiliki wa Mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wafike katika Ofisi zao kuomba leseni #EastAfricaTV
Tweet media one
114
81
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa kumuoa mnamuangalia tu, ndiyo shida ya Wazaramo saa zingine mnashindwa mambo" -Rais @MagufuliJP #JPMMradiWaMajiKisarawe
Tweet media one
Tweet media two
182
80
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 months
Mwanamuziki #VanessaMdee ameshea video kwenye ‘Insta Story’ yake akiwa Julius Nyerere International Airport akirudi zake Marekani baada ya kuja Tanzania kwa muda mfupi. Kupitia video hiyo Vanessa Mdee ameandika ‘Asanteni. Can’t wait to see my babies’. #VanessaMdee #Rotimi
Tweet media one
46
50
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Niwape pole wanachama wa @ccm_tanzania kwa kuondokewa na M/Kiti wao wa zamani, huu msiba ni wetu sote, siyo wa Rais @MagufuliJP pekee na kwa sababu ni msiba wetu sote, kesho Mungu akijalia basi tusindikizane tukampe Mkapa heshima yake " - @TunduALissu #LissuArejeaTanzania
Tweet media one
Tweet media two
44
122
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#UPDATES Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, amesema hakuwahi kuiomba serikali impatie ulinzi wa aina yoyote na kama wameamua kuwachukua wawachukue tu kwani yeye yuko tayari kuilinda familia yake pamoja na mali zake kama walivyo Wakenya wengine na kwamba heshima yake wampatie
Tweet media one
39
74
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
"Haki haiwezi kupotea hivi hivi, hizo siku saba nilizopewa tayari mmeona mvua zimeanza kunyesha Dar es Salaam, hivyo wote hatufanyi kampeni" - @halimamdee #MdeePress #OktobaTutawezana
Tweet media one
83
143
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#HABARI Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema nchi yake itaendelea kutoa ushirikiano mkubwa kwa mataifa ya Afrika huku akisisitiza kuwa hicho ndio kipaumbele chake ambapo amesema anaendelea kutafuta washirika wa kimataifa kukabiliana na vikwazo vya Magharibi #EastAfricaTV
Tweet media one
130
91
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 month
#Michezo : Kikosi cha Mamelodi Sundowns F.C. kinatarajiwa kuwasili nchini Tanzania Machi 28 ,2024 mwaka huu kwaajili ya mchezo wao wa mkondo wa kwanza wa robo fainali Ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Yanga SC utaopigwa majira ya saa tatu usiku katika uwanja wa Benjamin…
Tweet media one
301
94
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 months
“Si rahisi kuwa kama Mzee Mwinyi, Mzee alitoa usia alituita siku moja akatuambia nyinyi vijana wangu, siku zilizobaki kwangu si nyingi, kwa hivyo nakuombeni muunge udugu na akanitaka mimi kwa jina, kasema Hussein nakuagiza, wewe utakuwa msaidizi wa familia, sio kwa sababu wewe…
Tweet media one
66
79
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#HABARI Mbunifu na mshonaji @beatrice_only1 aliyeomba cherehani kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wa Instagram wa @SuluhuSamia amethibitisha kupokea cherehani nne Beatrice alitoa ombi hilo wakati Rais Samia akiwa safarini nchini Indonesia kwaajili ya ziara ya…
Tweet media one
101
72
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 years
“CUF tunawaomba watanzania wote wapenda haki kuungana na sisi katika ibaada siku ya Alhamis, ambapo tutafunga kwa kutokula mchana na tufanye dua na maombi kila mmoja kwa imani yake ili kuomba hukumu ya haki kutokana na kile kilichofanyika”- Prof. Lipumba.
Tweet media one
183
88
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Mkoa gani Tanzania una gharama nafuu za kuishi?
Tweet media one
831
111
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
Kwa uchungu Shilole amwaga machozi kuvunjiwa Shishi Food :-
Tweet media one
163
64
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#NBCPL Unadhani alichokifanya Mzize kimesaidia Yanga kushinda leo😀🤷? #NBCPL #EastAfricaTV
Tweet media one
103
46
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Twende sasa!
Tweet media one
828
67
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
Mgombea @zittokabwe atangaza kumpigia kura ya Urais @TunduALissu :-
Tweet media one
Tweet media two
26
162
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS: Waziri wa Katiba na Sheria , Mh. Balozi Dkt. Augustine Mahiga, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jijini Dodoma.
Tweet media one
165
107
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#NUKUU "Nimevamiwa studio na kupigwa, kufanyiwa uharibufu wa studio nzima, kuvunjiwa vifaaa na wanaodai wao ni walinzi shirikishi, nimesikitishwa na nimekatishwa tamaa mimi kama kijana ninayetafuta riziki, tunahangaika mwisho wa siku tunavunjwa moyo" - Producer @S2KizzyOfficial
Tweet media one
176
134
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 months
#UPDATE Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia leo Februari 10, 2024 kufuatia kifo cha Wziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa. #EastAfricaTv #RIPLowassa
Tweet media one
31
82
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
BREAKING NEWS: Rais wa Burundi aliyemaliza muda wake, Pierre Nkurunziza amefariki dunia.
Tweet media one
168
91
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
3 years
#HABARI Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @jjmnyika amesema chama hicho hakijafanya uteuzi wa wabunge wa Viti Maalum, hivyo hakuna orodha kutoka @ChademaTz iliyopelekwa kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Tweet media one
101
143
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
10 months
"Wakati sisi tunalumbana bandari apewe nani iende isiende, ikae, ivue isivue, wenzetu kwa kuona malumbano yetu wame-jump wamekwenda kulekule, lile lile jumba lilowekwa bendera ya Tanzania limewekwa bendera ya jirani, sasa Tanzania tumeuza wale jirani wamekimbilia kule kufanya…
Tweet media one
441
80
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#FAHAMU Rubani Mwanadada Neema Swai ndio amepewa dhamana ya kuirusha ndege ya mizigo mpya aina ya BOEING 767-300F AIR TANZANIA CARGO toka Marekani hadi Tanzania na muda huu yuko angani akiiongoza ndege hiyo kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere. #EastAfricaTV
Tweet media one
57
74
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#MICHEZO Baada ya tukio la shabiki wa Yanga, William Ernest kupoteza maisha katika jitihada za kuingia Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa fainali kati ya Yanga na USM Alger, mtoto wake aitwaye Dorrah William ameomba msaada kwa watu kusaidia shughuli ya mazishi ya baba yake,
Tweet media one
61
65
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
Ndoa Dar zavurugwa na wanaume kuomba kinyume na maumbile :-
Tweet media one
256
120
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
"Bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mtu asiye sahihi" - Kajala
Tweet media one
53
53
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
8 months
#FAHAMU : Moja kati ya siri kubwa ambayo imefichwa na Cristiano Ronaldo ni kuhusiana na ukweli kuhusu mtoto wake anayefahamika kama Cristiano Ronaldo Jr, mpaka leo watu wengi hajapata kufahamu ni nani haswa Mama mzazi wa Cristiano Ronaldo Jr. Uzi mfupi shuka nao..
Tweet media one
49
57
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
11 months
#HABARI Wamiliki wa baa na hoteli jijini Mwanza wamesema wataanzisha mgomo kuanzia kesho kutokana na baraza la Taifa la mazingira NEMC kufunga baa na hoteli zao huku nyingine zikipigwa faini kubwa kwa madai kuwa wanapiga muziki kupita kiasi.
Tweet media one
221
80
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
7 months
#MICHEZO : Mshambuliaji Pyramids Fiston Mayele ametembelea kikosi cha Singida BS kuelekea mchezo wa leo wa marejeano dhidi ya Future Fc utakaochezwa Saa 12:00 Jioni mjini Cairo nchini Misri #EastAfricaTv #Mayele #Michezo
Tweet media one
11
48
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
2 years
#tbt Beat ya wimbo gani wa kitambo wa bongo fleva mpaka leo bado ni 🔥 ikitumika tena?
Tweet media one
221
58
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
Roberto Firmino alijiunga na Liverpool akitokea timu gani? Dondosha comment yako hapa chini 👇 twende sawa kwenye #Firmino #Liverpool
Tweet media one
333
77
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#MICHEZO Taifa la Morocco linazidi kuandika historia kwenye michuano mikubwa duniani hasa michuano ya Kombe la dunia, ambapo mara baada ya timu ya taifa ya wanaume kuushangaza ulimwengu huko Qatar mwaka jana, hivi sasa nia zamu timu ya taifa ya wanawake,
Tweet media one
17
51
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
Kutana na kijana aliyebeti na kupoteza milioni 233:-
Tweet media one
96
52
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
1 year
#FAHAMU Producer Mr T Touch amesema ikitokea amepata tatizo lolote la kiusalama mhusikia Chidi Benz na genge lake kwa sababu wanamtafuta kumfanyia fujo na kumpiga chanzo ikiwa kutoleana maneno kwenye show ya Zuchu baada ya Chidi Benz kumuomba Tsh 50,000 na Touch kugoma kumpa.
Tweet media one
150
60
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#Uchaguzi2020 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz @jjmnyika ameiomba @TumeUchaguziTZ kuitaja kampuni iliyoshinda zabuni ya uchapaji wa karatasi za kupigia kura na pia kuelezea mfumo uliotumika kupata kampuni hiyo.
Tweet media one
63
176
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#Uchaguzi2020 Kura za maoni CCM katika jimbo la Kyela. Ally Mlagila Kinanasi ana kura 502 Hunter Mwakifuna kura 288 Harrison Mwakyembe kura 252
Tweet media one
Tweet media two
107
83
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
10 days
#MICHEZO : Miamba ya DR Congo,TP Mazembe wakiongozwa na mmiliki wao Moise Katumbi wamehudhuria tena kanisani kwenye ibada maalumu kuelekea mchezo wao wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya klabu ya Al Ahly hii leo. Ikumbukwe TP Mazembe wamekuwa na utaratibu…
Tweet media one
20
52
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
9 months
#TBT Unaukumbuka huu msafara ulikua unaelekea wapi na Mwaka gani? #TBT
Tweet media one
495
92
2K
@eastafricatv
EastAfricaTV
4 years
#HABARI Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muhambwe Mkoani Kigoma kupitia chama Cha @nccrmageuzihq Felix Mkosamali, amekihama chama cha NCCR-Mageuzi na kuhamia @ChademaTz ambapo pia ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Muhambwe kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
Tweet media one
61
77
2K