Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Profile Banner
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Profile
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

@TumeUchaguziTZ

37,342
Followers
20
Following
2,068
Media
3,422
Statuses

Kusimamia na Kuratibu Uendeshaji wa chaguzi kwa mujibu wa Sheria ili kulinda demokrasia kwa manufaa ya wananchi, vyama vya siasa na wagombea.

Dodoma, Tanzania
Joined May 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 day
Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Unguja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
14
150
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya Chadem, Bw. Tundu Lissu na Bw. Salumu Mwalimu. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa fursa kwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
81
111
1K
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
2 years
TAARIFA KWA UMMA!
Tweet media one
565
129
974
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
MARIDHIANO TBC, CHADEMA! Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles leo Septemba 04, 2020 ameongoza kikao cha Maridhiano kati ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu ushiriki wa TBC
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
130
86
913
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
21 days
Tweet media one
88
83
851
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata kuwepo kwenye ofisi zao kesho tarehe 25 Agosti, 2020 wakati wote wa kupokea fomu za uteuzi kutoka kwa wagombea ubunge na udiwani kuanzia saa 1:00
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
64
109
791
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
TAARIFA KWA UMMA!
Tweet media one
Tweet media two
343
55
764
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TIMU ZA KAMPENI Timu ya kampeni ni kundi la watu lililoundwa na mgombea wakati wa mchakato wa uteuzi au uchaguzi kwa lengo la kumnadi na kumsaidia mgombea huyo katika kampeni za uchaguzi (Kifungu 7(3)).
166
38
732
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mgombea mwenza wa CHADEMA, Bw. Salumu Mwalimu akishuhudia zoezi la uhakiki wa fomu za uteuzi za chama hicho. Zoezi hilo linaendelea Ofisi za Tume, Njedengwa, Jijini Dodoma. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #nendakapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
64
57
688
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Tweet media one
319
27
661
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
470
82
624
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Tume ya Taifa ya Uchaguzi Gerald Mwanilwa, leo amekabidhi magari saba kwa Viongozi wa Idara mbalimbali za Tume ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya upokeaji wa vifaa vitakavyotumika kwenye shughuli za Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
94
52
539
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Zoezi la kubandika majina ya walioteuliwa kugombea kiti cha Rais na Makamu wa Rais linaendelea nje ya Ofisi za Tume eneo la Njedengwa Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa fursa kwa watu walioruhusiwa kisheria kuweka pingamizi dhidi ya wagombea hao kuweka pingamizi zao. Mwisho wa
Tweet media one
71
35
511
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya pili ni mgombea kwa tiketi ya CCM, Bw. Andrea Maseleka akirejesha fomu za uteuzi
Tweet media one
Tweet media two
302
25
441
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
105
83
434
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
37
44
406
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU PINGAMIZI DHIDI YA WAGOMBEA WA KITI CHA RAIS KWA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
98
50
395
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020 (Kifungu cha 124A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343) 5.2.2 Kamati ya Kitaifa Itakuwa na mamlaka ya kusikiliza malalamiko ya ukiukwaji wa maadili kwenye uchaguzi wa Rais na Rufaa kutoka Kamati ya Jimbo.
102
33
285
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa Vyama vya Siasa ambao wamejipanga kuharibu taswira ya Uchaguzi Mkuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
104
24
250
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
73
24
248
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
164
12
249
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bw. Bernard Membe na Prof. Omar Faki Hamad. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
24
228
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Katibu wa Kamati ya Maadili ya Taifa, Bw. Emmanuel Kawishe akisoma taarifa kwa umma mbele ya Waandishi wa Habari inayofafanua adhabu ya Mgombea wa kiti cha Rais kwa tiketi ya CHADEMA, leo Oktoba 3, 2020 Jijini Dar es Salaam. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
90
19
215
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI! #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
56
37
198
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
41
53
201
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
20 days
Tweet media one
5
13
193
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
102
30
184
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage ametangaza matokeo ya awali ya kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka majimbo 12 ya Njombe Mjini, Nsimbo, Misungwi, Sengerema, Mpanda Mjini, Babati Mjini, Donge, Musoma Mjini, Mahonda, Bumbwini,
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
32
11
167
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
5 days
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 ikiwa ni hatua muhimu katika kuzitafsiri sheria zilizotungwa na Bunge hivi karibuni. Sheria zilizotungwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
60
28
245
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma. Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
153
4
142
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst), Mbarouk Salim Mbarouk akisoma hotuba ya ufunguzi wa kikao cha tathmini ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 baina ya Tume na waratibu wa uchaguzi nchi mzima. Kikao hicho kimefanyika Jijini Dodoma leo Novemba 20,2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
104
7
140
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
wagombea walioteuliwa kuanza kampeni kesho tarehe 26 Agosti 2020 hadi tarehe 27 Oktoba 2020. Uchaguzi Mkuu utafanyika tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #nendakapigekura #28oktoba2020
2
16
126
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
14 days
NAFASI ZA KAZI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
16
137
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mfano wa karatasi itakayotumika kupigia kura kwa nafasi ya Kiti cha Rais kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
58
25
127
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
71
10
129
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2021. Mgombea huyo amepata kura 2391kati ya kura halali 3338
Tweet media one
Tweet media two
49
14
123
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
asubuhi hadi saa 10:00 jioni na iwapo hawatakuwepo ofisini kwa muda huo Tume itachukua hatua kali dhidi yao. Hayo yamesemwa leo tarehe 24 Agosti, 2020 na Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Rufaa (Mst.) Semistocles Kaijage wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma
8
24
123
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 month
MABADILIKO YA JINA LA TUME
Tweet media one
64
20
124
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
2 years
Tweet media one
6
7
120
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
34
20
117
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Tweet media one
63
3
119
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata. Hadi hivi leo, wagombea wa vyama vya siasa 17 vyenye usajili wa kudumu wamechukua fomu za uteuzi wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais.
5
20
114
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Tweet media one
61
11
110
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
2 years
Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
112
5
105
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
kuhusu maandalizi ya kupokea fomu za uteuzi na uteuzi wa wagombea kesho tarehe 25 Agosti 2020. Jaji Kaijage amesema kesho tarehe 25 Agosti, 2020, Tume itafanya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani nchi
5
25
106
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akiwa ziarani Kaliua, Mkoani Tabora. Mkurugenzi yupo kwenye muoendelezo wa ziara ya kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020.
Tweet media one
Tweet media two
46
13
101
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
USHIRIKISHAJI WA WADAU: Mkurugenzi wa Uendeshaji Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bi. Clothilde Komba akiongoza kikao cha Kamati ya Kuratibu Ratiba ya Kampeni za Wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais, kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo tarehe 31 Agosti 2020.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
25
12
100
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
2 years
Tweet media one
18
12
97
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
nzima. Amesema uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais utafanyika katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma na uteuzi wa wagombea ubunge utafanyika katika ofisi za wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na udiwani katika ofisi za wasimamizi
3
20
97
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
60
14
93
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
3 years
Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakitoa Elimu ya Mpiga Kura kwa Wanawake wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Uweso kilichopo Kijiji cha Nyamilangano Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
4
89
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya Demokrasia Makini, Bi. Cecilia Augustiono Mwanga na Tabu Mussa Juma. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
7
92
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA RUFAA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI! #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
27
12
87
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Tweet media one
20
3
84
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
20
85
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera Charles (kulia)akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma leo 25 Oktoba 2020, kuhusiana na madai ya uwepo wa vituo na wapiga kura hewa katika maeneo mbalimbali nchini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
23
7
82
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mfano wa Tactile ballot 🗳 folder 📂 (Jalada la nukta nundu) litakalotumiwa na watu wasioona kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani tarehe 28 Oktoba 2020. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
19
15
79
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst.) Semistocles Kaijage, leo Oktoba 26, 2020 amekutana na Ujumbe wa Watazamaji wa Uchaguzi kutoka Shirika la EISA - Electoral Institute for Sustainable Democracy in Africa wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
6
78
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
katika kuripoti kampeni za uchaguzi mkuu kwa wagombea wa CHADEMA. Kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi za Tume Jijini Dar es Salaam, kimehudhuriwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Rioba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na
4
10
80
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mgombea atakayekuwa na timu ya kampeni anapaswa kuwasilisha majina ya watu wanaounda timu yake ya kampeni siku mbili kabla ya kuanza kwa mchakato wa uteuzi au siku saba baada ya uteuzi, kama ifuatavyo:
9
10
74
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
15 days
Tweet media one
4
3
79
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA RUFAA ZA  WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI! #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
11
74
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
19
16
73
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
2 years
Tweet media one
9
10
71
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
DODOMA: Taswira hizi za Mei 11, 2020 zinaonesha majengo ya Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi yanayojengwa kwenye eneo la Njedengwa Jijini Dodoma yakiwa kwenye hatua za mwisho za ujenzi. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
74
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Tweet media one
23
2
71
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Asina Omari leo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Manunuzi na Lojistik kushuhudia vifaa vya Uchaguzi vilivyopokelewa kwenye bohari za Tume. Usambazaji wa vifaa hivyo kwenda majimboni unaendelea.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
13
71
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Mgombea Udiwani Kata ya Mndumbwe iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara kwa tiketi ya CCM, Ndugu. Mumdedu Juma Chibwana ameshinda baada ya kupata kura 1,444 kati ya kura zote 2,277 zilizopigwa na wapiga kura wa kata hiyo. Mgombea wa udiwani kupitia chama cha
Tweet media one
19
5
71
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU PINGAMIZI DHIDI YA WAGOMBEA WA KITI CHA RAIS KWA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
20
11
69
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
15
67
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Kata ya Mwamalili Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga, Ndugu. Aden Isaac amemtangaza Mgombea wa Udiwani wa CCM Bw. James Matinde kuwa mshindi baada ya kupata kura 3,126 dhidi ya mgombea wa ACT Wazalendo Bw. Yunja Joseph Machiya
Tweet media one
15
4
68
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya UPDP, Bw. Twalib Ibrahim Kadege na Bw. Ramadhan AllyAbdallah. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
7
58
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
1 year
Tweet media one
31
4
64
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile. #uchaguzimkuu2020 #kurayakosautiyako #nendaukapigekura #28oktoba2020
7
9
65
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles akiwa ziarani Kakonko, Kibondo na Kasulu Mkoani Kigoma. Mkurugenzi yupo kwenye muoendelezo wa ziara ya kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
4
63
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage ametangaza matokeo mengine ya awali ya Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka majimbo manne (4)
Tweet media one
14
7
59
@TumeUchaguziTZ
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
4 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
46
7
62