Sammy Awami Profile Banner
Sammy Awami Profile
Sammy Awami

@awamisammy

15,757
Followers
874
Following
717
Media
12,951
Statuses

Multimedia Journalist

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@awamisammy
Sammy Awami
1 month
Leo nimegonga 38, na sijapata uteuzi bado! 😤 Kuna matumaini kweli, au niachane tu na masuti haya? 😏
Tweet media one
297
91
2K
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Mbona mi nilipoacha BBC sikupata salama nyingi hivi kama zako @venusnyota ? 😡 Imeniuma!
Tweet media one
205
100
4K
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Madarakani miaka 60 lakini bado unaogopa mshindani wako. Kwamba huna cha kuonyesha wapiga kura? 🚮
60
287
2K
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
36 feels not too bad 😉
Tweet media one
67
34
2K
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Who wore it best? 😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
57
27
1K
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
January 2016, kwenye korido za Makao Makuu ya AU, Addis Ababa Ethiopia - imebandikwa picha hii ya Dr Salim kati ya viongozi mashuhuru wa AU! #DearDrSalim
Tweet media one
13
86
1K
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
😞
118
154
906
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
January 2016 Addis Ababa Ethiopia baada ya interview mara tu baada ya kuwa ameteuliwa kuwa Global Ambassador for Immunization! Nyakati zaweza kubadilika kwa kasi sana!
Tweet media one
18
46
827
@awamisammy
Sammy Awami
11 months
Eti, hapa uteuzi sipati kweli?
Tweet media one
Tweet media two
64
25
784
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Ila watu wana frustrations jamani, khaa! Nilimpigia simu Rais wa MAT leo kuomba kufanya nae interview, alinivyonifokea - sikuamini! Mwanzoni alinikera, ila nilipotulia na kutafajari, nilimwelewa. Tuvumiliane tu jamani, tuvumiliane!
38
58
738
@awamisammy
Sammy Awami
1 month
Mwenyewe niliposkia mara ya kwanza nilibisha, nikaona maigizo. Lakini ni kweli, ila tu ni kitu kinachohitaji ufafanuzi; Pale Mabibo EPZ kuna viwanda vinatengeneza jeans na tshirts mule ndani. In fact kuna LEVI zinatengenezwa mule na brand nyingine inayouzwa kwenye chain ya
@christo45899459
Mastermind 🇰🇪🇱🇷
1 month
😂😂😂🚮 bhas tuseme bi mkubwa kaamua kuwa comedian kwa leo
Tweet media one
171
60
434
90
153
693
@awamisammy
Sammy Awami
1 month
Kilimo cha Mshahara Hiki Mimi nakiita kilimo cha simu; Unaishi mjini unakofanya kazi halafu unatuma pesa kijijini watu wanakufanyia kazi. Hichi ndio nakifanya hadi leo hii - balaa lililopo huku nako.... 😂 In 2021 nilinunua kijishamba Kijiji cha Mkutani, Kongwa Dodoma huko.
123
188
680
@awamisammy
Sammy Awami
1 year
Hapo vipi?
Tweet media one
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
Please quote with any sky pictures in your phone. Don’t air me. 🤲🏾🥹
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
38
20
156
1
15
623
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
4th Nov 2016: My question to #Tanzania Pres. John Magufuli on using development as an excuse to suppress democracy.
47
135
579
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Funny how watawala wanasahau kwamba nchi hii, bara hili liliwahi kuwa chini ya wakoloni! Waka-design polisi, waka-design magereza na makolokolo yooote waliyoweza kuhakikisha wanaendelea kutawala! Hawa kina Mwl tunaowaenzi leo hii, walikuwa WANAHARAKATI!
21
85
565
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Mheshimiwa, unaonaje tukaanza na hizi mbili kwanza labda; 1) Mpunguziwe mishahara na posho zenu 2) Halafu tuwakate kodi 🤷🏾‍♂️
@Mwanahalisitz
MwanaHALISI Digital
3 years
Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewataka watu wanaopinga tozo ya miamala ya simu, “tupe njia mbadala tutapata wapi fedha. Maamuzi haya tumeyapitisha kwa nia njema, tuwe na Taifa ambalo ni tofauti ili fedha zitakazopatikana zitaenda katika mfuko maalumu utakaowasaidia wananchi.”
Tweet media one
712
63
991
50
98
530
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
MANENO vs MAGEREZA Watawala wana mabunduki na magereza, na huwa hodari sana kuyatumia kila inapokuwa convenient kwao! Wanyonge wao wana MANENO tu! Lakini hawaruhusiwi kuyatumia. Wanafundishwa na kuamrishwa wachague yenye staha tu! 🤷🏾‍♂️
7
78
516
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Mtu anakamatwa, kuwekwa chini ya ulinzi hivi, kwa sababu ya kubeba bango tu?? Hivi unajiskiaje kuwa mtawala au kutumikia utawala wenye dhulma ya kiasi hiki?!
@BobWangwe
Bob Chacha Wangwe
3 years
Neno la tumaini na la kishujaa kutoka kwa shujaa!
95
259
2K
37
95
501
@awamisammy
Sammy Awami
1 month
Brother Kigwangalla, Nimelima sana mpunga Lwanzari, njia ya kwenda Kipalala Tabora Nimelima sana mpunga, mahindi, muhogo (wa baridi na wa udaga), karanga na maharage- Ngemo hii uelekeo wa Kigwa Tabora Kilimo cha jembe la mkono, tukiwa watatu, mkipambana saana ni heka tano.
@HKigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla
1 month
Ushawahi kulima Sammy? Mimi nimelima na kufuga maisha yangu yote. Iko hivi: tunalima mpunga kwenye mbuga…say kipindi cha Nov - June. Dengu kwenye ardhi hiyo hiyo June - Sept. Huku ni mbugani. Tunakuwa na mashamba ya juu tunalima mahindi, pamba, alizeti, karanga, maharage etc.
39
12
195
79
120
504
@awamisammy
Sammy Awami
1 year
Nazeeka.. 🙆🏾‍♂️
Tweet media one
49
11
495
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
World Bank has approved a combined financing of $875 million for three new projects in Tanzania: 1) Digital Tanzania Project - $150M 2)Higher Education for Economic Transformation Project - $425M 3) Roads to Inclusion and Socioeconomic Opportunities (RISE) Project - $300M
13
161
454
@awamisammy
Sammy Awami
24 days
Hoteli ya Pizzeria Leone L'Africano, Dodoma; Muhudumu kaja katupa menu na kututangazia kabisa "saivi (3pm) tunatoa piza tu, vyakula vingine ni hadi after 5pm" Wazungu wamekuja like 10 minutes later, wameoda tambi sijui na makorokocho gani mengine, wameletewa vizuri tu! Huu
117
68
458
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Kuna MAKATO mengine tena? 😳
Tweet media one
92
41
436
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Buriani Mama Erick...
16
63
390
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Jana nilikuwa na-cover huu mkutano wa chama cha upunzani Malawi - MDC. Energy iliyokuwepo hapo, ile sense kwamba watu (haijalishi chama chao) wako huru kukutana, kufanya mkutano kama huu, hali ya matumaini inayotokana na mkusanyiko huu...... hadi unaskia kusisimka yaani!
7
48
391
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.
@Mwebantu
Mwebantu
4 years
UPDATE: Nakonde Boarder to temporarily close from tomorrow, Monday May 11, 2020- MOH #Zambia
Tweet media one
50
98
684
22
44
383
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
SHEIKH PONDA Aachiwa kwa Dhamana _Assalaam alaykum warahmatullaahi wabarakaatuhu_ Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tz, Sheikh Ponda Issa Ponda ameachiwa leo tarehe 20 July, 2020 kwa dhamana ya Polisi. Sheikh Ponda Issa Ponda alikamatwa na Polisi tarehe 11 July, 2020....
18
40
382
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Nilimfatilia kidogo Chakwera kabla hajaingia madarakani, na siku chache kabla hajachaguliwa kuwa rais nilifanya nae mahojiano ya kina - alichokuwa akisema anakiamini na kuahidi kufanya akiingia madarakani na kinachoendelea sasa tofauti kabisa! Very sad.
55
40
370
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Naambiwa Bobi Wine amejibu mapigo 😂
36
28
364
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
BREAKING: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemnyima Erick Kabendera fursa ya kwenda kumuaga marehemu mama yake mzazi. Mahakama imesema haina mamlaka ya kutoa ruhusa hiyo.
27
48
347
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
‘Upo uwezekano wa baadhi ya serikali Afrika, kutumia mwanya huu wa lockdowns za #Coronavirus kuweka hali ya kipolisi/kijeshi nchi mwao, wakaminya uhuru wa watu na kuiacha hali hiyo kubaki hivyo hivyo hata baada ya janga ya #Coronavirus kupita!’
26
35
338
@awamisammy
Sammy Awami
2 months
Kwamba huyo binti mdogo hivyo tayari ana maadui wanaotaka kumdhuru! Kwamba hilo eneo alipo si salama, anahitaji ulinzi wa watu wawili!! Bila sababu yoyote ile, wanatengeneza kizazi cha paranoid politicians watakaokuja kuumiza watu kwa imaginations zao tu kwamba wanataka
@CloudsMediaLive
Clouds Media
2 months
Kayla Nurdin, Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa UVCCM ni picha halisi ya Malkia ajae! Makubwa anayoyafanya katika umri wake, ndoto kubwa anayoibeba ya kulipngoza Taifa kama Malkia namba 1 @SuluhuSamia ni vielelezo tosha kuishi katika misingi ya malkia ajae! 🙌🏿 • #MalkiaWaNguvu
291
51
732
78
58
338
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Scripts kama zimepishana vile…😁
Tweet media one
64
30
314
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Pumzika kwa amani Mama Erick, pumzika mama. 😞
Tweet media one
4
34
307
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Chama tawala au upinzani, kuna mazungumzo elimishi sana yanaendelea Maria Spaces - Kama una nafasi, fanya kujiunga usikilize!
7
22
302
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Why is this not common sense to many? 🤷🏾‍♂️ Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge-Ngara, Séverine Niwemugizi, asimamisha ibaada makanisani katika jimbo hilo kwa muda wa mwezi mmoja! “Tusifanye mzaha na ugonjwa huu.....Tuendelee kusali kila mmoja wetu pale nyumbani”
Tweet media one
30
41
296
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Viongozi na Taasisi za nchi, na wananchi wote wanapotimiza haki na wajibu wao KIKATIBA, wanapokoma kutegemea urahim/kudra za mtu mmoja 👇🏾 Zuma has been sentenced to 15 months by the highest court in the country.
10
41
293
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Aisee....
86
43
289
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Saa nne hii na hiki ni kituo cha kupigia kura Mwananyamala Mchangani- hakuna vifaa vya kupigia kura, hakuna maofisa wa usimamizi wa zoezi hili! Moja ya mitaa miwili tu iliyotarajiwa kupiga kura leo Dar! Tumewakuta wapiga kura watatu, wote wameondoka baada ya kuchoka kusubiri!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
31
54
290
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Isn’t this just beautiful, when people are let to be free in their own country?!
@HildaNewton21
Hilda Newton
3 years
Mbeya mjini kwa @IamJongwe__ 💪
44
90
800
9
29
294
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Mahari, ndoa, dini, mali - CHOCHOTE kile - kamwe havimfanyi mwanaume kuwa mmiliki wa mwanamke! Mmeshindwana, achaneni - kila mtu aendelee na maisha yake!
39
38
292
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Ukipata fursa, hebu fanya kumshkuru na kumtia moyo champion huyu wa uhuru wa wanahabari, vyombo vya habari na kujieleza kwa ujumla Tanzania! @Advocate_Jebra Jebra, binafsi nakushukuru sana kaka kwa ujasiri wako na jitihada zako katika kupigania uhuru wa habari Tanzania!
Tweet media one
13
47
274
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Ugaidi?! 😞 Mahala pengine, watu kadhaa wakapigwa kisu, au hata bomu likalipuka, mamlaka hazijurupuki tu kutangaza ugaidi! Panakuwa na uzito wa kulihalalisha neno au dhana hiyo! Mbowe?? Tumefikaje hapa??
@ChademaTz
CHADEMA Tanzania
3 years
Mwenyekiti Taifa Mhe. Freeman Mbowe afikishwa Mahakama ya Kisutu.
Tweet media one
31
128
848
11
58
281
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
“Taarifa hiyo imeeleza kwamba tukio hilo lilitanguliwa na tukio la kukamatwa kwa mume wake kwa madai kuwa angeachiwa pale ambapo mke wake angepatikana.” How? Polisi yathibitisha kumshikilia Mwenyekiti Bawacha Temeke | Mwananchi
5
44
260
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Africa disease control body rejects Tanzania assertion that coronavirus tests are faulty
14
37
258
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
“Tanzanian authorities must stop targeting the opposition and trying to narrow the space they are able to operate in. These arbitrary arrests and detentions show Tanzanian authorities’ flagrant disregard for the rule of law, and human rights”
3
65
258
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
....
Tweet media one
18
54
249
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Vifo hivi vinasikitisha sana! Anthony Chuwa alikuwa classmate wangu SAUT, mtu mwema sana! Pumzikeni kwa amani ndugu. 😢
@HecheJohn
John Heche
2 years
Maisha hapa duniani ni fumbo gumu sana. Pumzike kwa amani ndugu zetu.
Tweet media one
101
99
2K
14
15
255
@awamisammy
Sammy Awami
27 days
Mi STM na STL inayowaijia watu airport ya Dodoma 🙆🏾‍♂️ makes you wonder; kina nani hawa? Na wanazalisha kiasi gani kustahili midude hii? Au ndo tuache wivu....
35
28
262
@awamisammy
Sammy Awami
1 year
Mwaka 2017 program moja ya watoto ya BBC ilinituma kuzungumza na Mzee Mpemba juu ya nadharia yake! Alifarijika kwamba dunia bado inamkumbuka kwa mchango wake huo wa kisayansi, lakini alisikitika kwamba hadhani hapa nyumbani alitambuliwa vya kutosha! Pumzika kwa amani Mr Mpemba!
Tweet media one
10
16
257
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
KATIBA MPYA; Nini kimelainisha shingo na moyo wa CCM? a) Pressure ya Chadema b) Mazungumzo ya ACT c) Uungwana wa Mama na CCM d) Vyote kwa mpigo
109
16
243
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Unless you are Barack Obama or Mia Mottley, people don’t care about your speech - so make it as brief as possible - or just don’t speak at all! Asante
25
36
245
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Check tweets za mabalozi wa kigeni waliozungumzia kufungiwa kwa @TheCitizenTZ - jumbe zao zote za kukemea hili imebidi zifanane. Maybe its simply a coincidence, maybe - lakini kwa namna moja au nyingine that should tell you exactly the state of freedom of speech in our country!
7
29
233
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
Tweet media one
24
20
231
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Pale unapopata fursa adhim ya kupiga picha na supa staa wa BBC ⁦ @venusnyota ⁩ ☺️
Tweet media one
13
10
225
@awamisammy
Sammy Awami
2 months
This is why hadi leo huwa sielewi kwanini tulikaa nyuma sana kuisaidia Msumbuji wakati Al Shabaab walipoingia na kuanza kuwasumbua. Ndugu zetu hawa wa Msumbiji tumetoka nao mbali sana. Mara nyingi huwa tunaskia juu ya Tanzania kuwasaidia kwenye ukombozi wao, lakini kumbe nao
Tweet media one
Tweet media two
42
46
236
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Lake Tanganyika.
Tweet media one
13
20
231
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
VIDEO: “Zamani tuliona nchi hii ina udikteka uchwara, sasa tunaona ina udikteta kamili” Freeman Mbowe, M/Kiti wa #Chadema baada ya kuachiwa na wenzake kwa dhamana.
18
48
221
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Kodi ya Salio: Mtu akiweka kuanzia Sh. 1000 hadi Sh. 2500, atatozwa shilingi 10, shilingi 2500 hadi 5000 atatozwa Sh. 21, shilingi 50,000 hadi 100,000 atatozwa shilingi 186 na shilingi 100,000 kwenda juu anatozwa shilingi 200 na sio kila siku ni pale anapoweka muda wa maongezi.
50
42
226
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
What is going on? 😳
@WateteziTV
WateteziTV
4 years
Kampuni ya magazeti ya @MwananchiNews -MCL leo imevunja mkataba wake na @NevilleMeena , ambaye alikuwa ni mmoja ya wahariri wake waandamizi upande wa gazeti la @MwananchiNews kwa madai ya mwenendo wake katika mitandao ya kijamii, hali inayohatarisha sera ya uhariri wa kampuni hiyo.
Tweet media one
107
82
977
40
18
224
@awamisammy
Sammy Awami
2 months
Happy Birthday Dr @JaneGoodallInst ! Thank you for being such a fantastic inspiration!
Tweet media one
Tweet media two
13
14
229
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
World Bank postpones decision on $500 million loan for Tanzania after pressure from activists over ban on pregnant schoolgirls - CNN
9
33
220
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
Nakuunga mkono Prof @MarkMwandosya ! Harusi niliacha kuchangia siku nyingi sana Naamini harusi si tukio la ghafla/dharura, wanandoa wajipange, wagharamie na wafanye sherehe inayoendana na uwezo wao! Ukitembeza bakuli la ada ya shule, nitakuchangia kwa moyo mkunjufu kabisa!!
@MarkMwandosya
Mark J. Mwandosya
6 years
Rafiki ameniomba msaada.Kijana wake amepata nafasi chuo kikuu anahitaji ada.Nimemuuliza ingekuwaje kijana angekuwa anaoa?Kajibu wangeunda kamati.Nimeshauri wafanye,waorodheshe marafiki,mimi nikiwemo,ili kama ilivyo harusi tuchangie.Kusiwe na kuvunja kamati.Katika hili,Tubadilike.
247
878
4K
13
52
215
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Tanzania confirms its first case of #Coronavirus . The patient is 46 year-old Tanzanian lady, who arrived in the country yesterday from Belgium. She passed by Sweden and Denmark and entered the country via KIlimanjaro International Airport.
Tweet media one
Tweet media two
18
139
213
@awamisammy
Sammy Awami
5 months
Naskia foleni zimerudi Dar?!
Tweet media one
18
9
223
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
Tanzania closes all schools as part of measures to stop the spread of Coronavirus in the country. The move comes a day after the country announces first case of Coronavirus Prime Minister Kassim Majaliwa has also banned all social gatherings.
7
42
211
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Waziri wa Afya anasema hajabadilisha msimamo wake kuhusu Corona. Alikuwa akijibu swali ya mwandishi wa @bbcswahili @Munienoor15
48
24
195
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Tena hawakuwa na Twitter Spaces wala WhatsApp groups - wakakataliwa kuwa waalimu na kupiga harakati - wakachagua uanaharakati! Wakaunganisha watu, wakapandisha joto, uhuru ukapatikana! Hichi kinachofanyika leo sio kipya! Na bila shaka mwisho wake hautakuwa mpya pia - UHURU!
1
40
200
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
🤲🏾
Tweet media one
Tweet media two
16
27
186
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
What a day! Tumekuwa #SOAS hapa kulienzi jabari la Kiswahili Prof Farouk Topan (Mfalme Juha nk)! Inatia faraja sana kuwa miongoni mwa watu wenye mapenzi ya kina na lugha ya #Kiswahili !
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
21
177
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
@AmnestyKenya ⁩ on ⁦ @godbless_lema ⁩ case “Kenya must not violate the internationally recognised principle of non-refoulement. The international principal is upheld by our own national laws....”
Tweet media one
2
26
178
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
UPDATE: Polisi Makambako wanasema wanamshikilia Bw.Kibiki kwasababu ana tatizo na Tanesco. NAWAZA: Lundo la polisi, wanavamia nyumba usiku wa manane, wanapekua kwa masaa kadhaa, wanaondoka na Kibiki, kwasababu tu ana shida na Tanesco?? 🤔🤔
@JamiiForums
Jamii Forums
6 years
NJOMBE: Kundi la Polisi limevamia makazi ya Mwandishi wa Raia Mwema, Emmanuel Kibiki na kuondoka naye majira ya saa 9 alfajiri leo > Mke aeleza kuwa Polisi hao walisema wamepata maelekezo toka juu na kosa la mumewe ni kuandika sana mambo ya siasa | #JFLeo
Tweet media one
65
102
401
34
51
169
@awamisammy
Sammy Awami
4 months
Behind the scene 😂
24
18
178
@awamisammy
Sammy Awami
5 months
Sometimes I pop up on screens as journalism trainer 😉
Tweet media one
11
15
175
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
#Zanzibar imepokea mashine (kati ya tatu) ya kupimia COVID-19 “(Mashine hii” inauwezo wa kutoa majibu ndani ya masaa manane kwa vipimo vya watu 96 - hivyo ndani ya masaa 24 inauwezo wa kutoa majibu ya vipimo 288!“
Tweet media one
13
39
171
@awamisammy
Sammy Awami
2 years
Mimi si mtu wa sherehe sana, ila Joho lina utamu wake aisee 😝 #Chevener
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
29
14
169
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
BREAKING: Journalist Erick Kabendera has been freed!
6
22
162
@awamisammy
Sammy Awami
6 years
“Juhudi zote za maendeleo ni lazima ziwe ndani ya utawala wa sheria....na utawala wa Sheria lazima uambatane na haki...” Jaji Mstaafu Barnabas Samatta
3
47
159
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Rule of Law vs Rule by law...
@DavidNdii
David Ndii
3 years
@RasnaWarah rule of law: ye be so high, the law is above you. rule by law: weaponisation of laws for political ends.
Tweet media one
1
15
58
2
15
162
@awamisammy
Sammy Awami
3 years
Aisee….
@UPNDYouthLeague
UPND Youth League
3 years
Pres. @HHichilema has this evening left Lusaka for New York on a passenger commencial airplane with 3 delegates to attend the UN General Assembly. He has left the Presidential Jet previously used by President Lungu behind.
Tweet media one
80
226
1K
15
21
159
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
“Tanzania was until recently a relatively liberal country in a region dotted with tyrannies. Under Mr Magufuli that reputation is in tatters..... Erick Kabendera: John Magufuli is bulldozing Tanzania’s freedoms via @TheEconomist
15
37
154
@awamisammy
Sammy Awami
1 month
😂🤣😂 Daktari, sina shaka kwamba nia yako ni njema katika kutoa ushauri huu, Ila hii hesabu uliyoweka hapa is pretty flawed! - Ina assume kwamba huyu ana shamba, la ukubwa wa kutosha, lenye rutuba ya kutosha kuotosha vitu vyote hivyo - Ina assume kwamba shamba lipo eneo lenye
@HKigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla
1 month
Nenda shambani mwalimu. Jenga mtaji. Lima kutumia mshahara wako, Piga mazao ya chakula, biashara na horticulture. Masika unaanza kununua ng’ombe. Unanenepesha unauza baada ya miezi miwili ama mitatu; ama unapiga artificial insemination unauza ndama wa maziwa ama unafuga ng’ombe
120
41
507
20
45
163
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
#Tanzania confirms 2 more cases of #Coronavirus - one in Zanzibar and one in Dar es Salaam. All patients are foreigners. Now Tanzania has a total of 3 cases of #Coronavirus .
@MwananchiNews
Mwananchi Newspapers
4 years
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar na mmoja Dar es Salaam wote ni raia wa kigeni. Jumla wamefikia watatu #MwananchiUpdates
Tweet media one
128
106
935
5
31
154
@awamisammy
Sammy Awami
4 years
MSAADA: Kuna picha zinazunguka kwenye Whatsapp kuhusu tukio la kiafya linalodaiwa kuendelea/kutokea muda mfupi uliopita mtaa wa Libya, Dar es Salaam Je ni la kweli? Kuna aliye na taarifa zaidi na/au uthibitisho wa uhakika juu ya hili?
15
13
153
@awamisammy
Sammy Awami
5 years
Jana Serikali iliwakata Twaweza kuzungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya waandishi na vyombo vya habari nchini na A.Mashariki kwa ujumla. Aidan amechapisha hapa kwa ufupi kile walichotaka kukisema. "Mission aborted? Not yet!" by @aeyakuze
3
39
148
@awamisammy
Sammy Awami
7 years
Apparently, the ruling party #CCM 's manifesto is in favor of allowing teen mothers to go back to school #Tanzania
Tweet media one
18
81
155