๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ Profile Banner
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ Profile
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ

@LudoFredrick

5,261
Followers
3,258
Following
2,833
Media
22,876
Statuses

Radiation Oncology, Radiotherapy | MUHAS ALUMNI| Writer| Analyst. โ€œI love footballโ€ | Instagram: ludotz_

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
SARATANI ZA MAENEO YA KINYWA (ORAL CANCERS) 1/5 Hizi ni saratani zinazoweza kutokea kwenye lips za mdomo, ulimi, mashavu, kuta za mdomo (juu na chini), taya na maungio ya nyuma ya kinywa. Vichochezi vyake hasa ni kutokana na mitindo ya maisha.
10
43
99
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
#CR7IsBack Rโšฝ๏ธNALDโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธโšฝ๏ธ
Tweet media one
17
119
2K
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
Msanii/mbunifu wa maudhui mitandaoni na mchekeshaji maarufu kwa jina la Mwaisa/Nyonyoma ameonesha kutofurahishwa na club ya @SimbaSCTanzania kutumia ubunifu wake kwenye kaulimbiu ya #unyamamwingi bila idhini yake/kushirikishwa kwa kuandaa maudhui ya namna hiyo kwenye post yake.
Tweet media one
217
75
2K
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Kwa kulinda hadhi ya soccer, tunaomba uchambuzi wa michezo unaohusisha club ya @yangasc1935 ufanyike kwa kibali maalumu kutoka wizara ya michezo. Kama mchambuzi hana kibali asiizungumzie Yanga.
Tweet media one
15
30
624
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Hii week ilikuwa ni ya Haji Manara, wala kusingehitajika vikundi vya ngoma, vispika, joggings au nguvu ya dola; lakini Jmos &Jpili Mkapa Stadium ingetapika na hamasa ingekuwa kubwa sana. Kuna namna wenye dola ya soccer walipaswa kuwaza soccer zaidi kuliko persona
Tweet media one
Tweet media two
90
20
521
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Here is the new anthem for ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ป๐˜€ from Yanga die-hard fans. #wakimataifa @yangasc1935 ndani ya #LigiKuu @CAFCLCC #DaimaMbeleNyumaMwiko
35
120
501
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Ukipata muda angalia hii series naona kama wanapita mulemule na Corona yao.
Tweet media one
58
19
411
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Senior Magoti my brother and a friend; very loyal and patriotic.
Tweet media one
24
9
397
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 month
Nimekutana na watu wawili wanabishana juu ya masuala ya afya na lishe, nikasikia mmoja akisema โ€œProf Janabi muongoโ€. Kauli hiyo imeniuma sana ikabidi niingilie. Nikamuomba biography yake (ana elimu ya shahada moja) kisha nikamuuliza unaelewa gharama ya kuitwa โ€œProfessorโ€ kwenye
Tweet media one
110
47
401
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
Mama Mkwe! ๐Ÿค” Je, Bwana harusi alipswa kufanya nini?
69
81
351
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Kila 17th Oktoba ni kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu. Sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na baraka zake, kumuomba uzima niyaishi mapenzi yake.
Tweet media one
53
9
342
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Daladala za Posta-Makumbusho (Ali Hassan Mwinyi road) ndio zinaongoza kwa makondakta na abiria wastaarabu kuliko zote Dar es Salaam.
24
10
318
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
5 months
Blennder ya 30K unauziwa kwa 120K, ametokea MZALENDO mmoja akajiongeza yeye anahitaji 45K, Mabepari wanamjia juu kwa sababu wao ndio wenye haki ya kuwanyonya wateja pekee. Uchumi wa ubepari ni wa kinyonyaji sana!๐Ÿ˜‚
65
41
317
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Vijana chanjo hamjachoma, kuoa/kuolewa mmegoma, Jumuiya kusali hamuendi mna shida gani?
33
24
282
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 month
Mseminari kutoka Maua seminary kuanzia kidato cha 1-4, kisha sekondari ya upili akajiunga Mtakatifu Anthony High School kwa mchepuo wa sayansi PCM. Baadae aliendelea na chuo kikuu cha teknolojia DIT shahada ya uandisi wa umeme wakati akifanya kazi kama mkutubi Makumbusho ya
@ayubu_madenge
Ayubu Madenge
1 month
Nina furaha kubwa kuchaguliwa kushiriki Program ya Uongozi ya YALI, inayohusisha vijana wa nchi 14 za Afrika na inayofanyikia Nairobi Kenya. Program hii iko chini ya Serikali ya Marekani na ilianzishwa na Rais Obama. Maarifa nitakayo yapata nitayatumia kwa Manufaaa ya Tanzania.
Tweet media one
192
114
2K
50
13
282
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 month
Ukiacha furaha niliyo nayo juu ya mashabiki wa TP Mazembe waliofika uwanjani The Estรกdio 11 de Novembro Stadium Talatona Luanda, bado nawaza maisha ya goalkeeper Hugo Marques ndani ya Petro kutokana na maamuzi yake ya kwenda kushambulia.
48
30
266
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 months
Maandamano KENYA๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชvs TANZANIA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
32
37
241
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
@davido ft. Chris Brown, Young Thug - Shopping Spree ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
3
54
181
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Young Africans @yangasc1935 wameendelea kutoa somo kwa vilabu vya Tanzania, somo la leo ni namna ya kucheza na Waarabu
Tweet media one
3
6
198
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
It was a pleasure and honor to be back to MUHAS today for a seminar on Breast cancer screening as a moderator. Cancer rise among NCDโ€™s is consistent and significant. I pledged my support and would like to urge everyone to support initiatives on health promotions and preventions.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
15
25
176
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Hakuna jambo jepesi kama kulaumu. Lakini bila amani na utulivu hata nafasi na muda wa lawama unaweza usiwepo. Appreciation tweet to this man IGP Sirro.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
16
18
169
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
He was a first-world-brain-man in Tanzania. RIP Sir IPP Automobiles Ltd IPP Pharmaceutical Ltd IPP Agro Ltd IPP Cement Ltd IPP Touchmate Ltd IPP Infocom Technologies Ltd IPP Energy Ltd IPP Resources Ltd Independent Television Ltd East Africa Television Ltd The Guardian Ltd
Tweet media one
11
15
165
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
8 months
Am sure baada ya hapa bwana Zakayo alijipa likizo ya week nzima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
24
43
150
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Name the Artist ๐Ÿ”Š๐ŸŽต
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
8
120
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
@mzeewakaliua Walioindoka Yanga. 1. Cainhos 2. Niyonzima 3. Makapu 4. Lamine 5. Kisinda 6. Metacha 7. Shikalo 8. Fiston 9. (Sarpong )
9
5
127
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 months
Kamati ya masaa 72 inapata shida sana hasa kufanya review ya game za @YoungAfricansSC
10
21
130
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Still pondering to vamoose European leagues for #LigiKuu ? Damn! Here is Park Ji-Sung, Son Heung Min & Shinji Kagawa in one pack.
Tweet media one
2
9
118
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Ila Manara masta sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
21
17
118
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Shangazi anatamani kusema hii sio Zanzbar na huu umati wamenunuliwa.
18
8
110
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
@darmpya_ Team aliyoijenga Patric Ausem (Uchebe) ndio kizazi kinachoibeba Simba. Ni project ambayo kama utakosa muendelezo Simba itaanguka kwa miaka 5 kujijenga. Kikosi cha Manula, Kapombe, Hussein, Wawa, Nyoni, Chama, Bocco, Kagere.
3
2
107
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Alifanya vyema sana wizara ya afya kama Naibu waziri, huyu ndiye Dr. Faustine Ndugulile daktari kutoka Chuo kikuu Dar es salaam (MUHAS) shahada ya pili Mmed Microbiology and Immunology na baadae MPH Western Cape RSA. Pia amewahi kuwa mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa magonjwa MOH
Tweet media one
5
9
97
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Parokia gani leo wameimba Halleluyah kuu kitaalamu zaidi? St. Peters Oysterbay, kuna muda sauti ya kwanza walipanda mpaka nikajiona nipo mawinguni na Yesu.
9
5
97
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Nimesikia huyu ndio baba yake Prisca Kishamba, kuna ukweli wowote? #KariakooDerby
Tweet media one
1
3
96
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Kama huioni team yako hapo endelea kufuata maelekezo ya wataalamu. Nawa mikono mara kwa mara na kutumia vitakasa mikono
Tweet media one
9
7
91
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
Huyu kwa umri wake angekuwa Bongo muda huu angekuwa UVCCM, BAVICHA au lile baraza la kina Abdul Nondo ACT, ila kwa sasa ni Rais
Tweet media one
12
7
88
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Hii suit huwa inanipa confidence japo wataalamu wamenishauri leo nivae navy blue with blue tie kwa sababu ni kikao cha kimataifa
Tweet media one
15
3
89
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 months
Ally Salum Happi msomi mwanasheria kutoka @UdsmOfficial aliyepikwa katika nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia chuo kikuu na ndani ya chama chake CCM kwa sasa ni mkulima na mjasiriamali. Alifika hatua ya RC kwa mikoa tofauti katika umri mdogo. Bado ana deni kubwa kwenye siasa
Tweet media one
49
5
87
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
@IAMartin_ @SimbaSCTanzania @Nyonyoma1 @mzeewakaliua @ayubu_madenge @ndembo255 Hili ni swali muhimu. Japo ni changamoto kuweza kusajili/kumiliki โ€œrejestaโ€ au โ€œmisimuโ€ kwa hatua hii ingetosha Mwaisa akawa sehemu ya tukio hili ioneshe kutambua ubunifu wake
7
2
84
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Watumishi wa umma utadhani nchi ndio imepata uhuru leo, sio kwa shangwe hili! ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
9
3
82
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Sema Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ without writing Tanzania. Me: ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
Tweet media one
1
2
81
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Happy birthday @Football_Senzo mwanamapinduzi wa soccer la Africa. Umeweka alama kubwa Tanzania, historia itakukumbuka.
Tweet media one
1
5
79
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
PM anatoa maagizo kwa wizara ya michezo itoe haraka taarifa ya lini mchezo huo utachezwa, hivi mnawajua FIFA vizuri kweli? Haya ngoja na yeye aje asikitike FIFA wakishusha rungu lao kwa serikali kuingilia TFF
4
5
77
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
6 months
Taa Nesko wakiona mvua tuโ€ฆโ€ฆ!
8
7
76
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 years
P.I.O @YusuphMbilinyi8 we have another suspect under control...I repeat, we have another suspect under control, over!
14
3
69
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
NI KWELI AU MANARA ANADANGANYA? Haji Manara amefafanua michuano ambayo ilihusisha team ya Tanzania (Simba) 1993, ilikuwa ni michuano ya iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mashood Abiola (kama bonanza) na sio CAF CHAMPIONS LEAGUE.
Tweet media one
10
10
75
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Son if you want to marry, always think of teachers/nurses they make good mothers of your home, think of lawyers they make you a reputable man, mary a doctor makes you a responsible father, marry a business woman to build your family and finally donโ€™t marry the CAREER!
5
12
76
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
11 months
Nimekuwa na team ya marafiki kutoka Ipswich, England kwa ajili ya mafunzo ya matibabu ya Cancer hapa #ORCI na baada ya mafunzo yao niliwapatia zawadi. Katika zote mojawapo ilikuwa jersey ya @YoungAfricansSC
8
12
76
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Nini maoni yako?
33
28
73
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Young Africans inatengeza jersey nzuri sana! @claramogul this Saturday mimi ni mgeni wako.
Tweet media one
3
2
73
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Graduation gowns za @muhimbiliuniver ni nzuri kuliko vyuo vyote Tanzania.
13
4
71
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Congratulations to Prof. Abel Makubi for the incredible work at the ministry for the time as a Permanent secretary MOH. Your achievement will be celebrated and perpetuated.
Tweet media one
1
4
70
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Ngoja nimpigie @privaldinho nimwambie Christmas hii asisahau kupiga ule wambo wa Burna Boy unaoimba โ€œShayooooooโ€
Tweet media one
3
2
68
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Muda wanaotumia wabunge aina ya kina Sanga na Mtaalamu wa โ€œBuilding n financeโ€ speaker aone busara wapewe kina Mwijage waishauri serikali mambo ya msingi juu ya uchumi na viwanda, wao wasubiri kupiga makofi inatosha
Tweet media one
8
6
63
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 years
September 28, 2018. Niliandika kumpatia tuzo Mhe. @umwalimu tuzo ya Waziri bora katika baraza la mawaziri SJMT ya @MagufuliJP Naomba kusema, tuzo ile sio tena ya mwezi bali ndiye Waziri bora wa muda wote katika awamu ya kwanza ya JPM. Kila kheri mama, endelea vyema.
Tweet media one
Tweet media two
8
6
64
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
First electric car made in Tanzania.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #KayPeeMotors @masoudkipanya
Tweet media one
2
7
62
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
11 months
Mwijaku anatafuta hela kwa namna yoyote aipate kwa ajili ya familia yake. Labda watoto wake wakikua wanaweza wakamjadili baba yao, wengine tukubali na kuheshimu maamuzi ya mtu katika utafutaji.
@Adventure_36
Adventure-360
11 months
Mwijaku alianza kuitwa na Abood, Baadae Shabiby, Baadae Mbunge Msukuma , Leo zamu ya Mkurugenzi wa Mabasi ya Al Saedy ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ.
410
175
2K
10
6
67
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Caption pleaseโ€ฆ
13
21
66
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
6 months
Imekuwa faraja sana kwa wagonjwa, watumishi wa ORCI na mashujaa wa Saratani nchini kusheherekea birthday ya Mr. GSM kwa hafla ya kukabidhi mchango wake wa vifaa vya Tsh. 137M kwa ORCI. Pongezi za kipekee kwa @Caamil8 na management yote ya @YoungAfricansSC #HappybirthdayGSM
Tweet media one
6
6
65
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
11 months
Leo katika historia, Jersey ya club ya @YoungAfricansSC kwa msimu wa 2023/2024 imezinduliwa na marais wa nchi mbili Tanzania na Malawi. #DaimaMbeleNyumaMwiko
4
10
66
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Unaambiwa toka nizaliwe, sijawahi kuona watanzania wengi namna hii wam-engage โ€œspaceโ€ kama hii ya Waziri mawasiliano, teknolojia na habari Dkt Faustine Ndugulile. Watu wanachangia kistaarabu, hoja za msingi mno halafu waziri anajibu kisomi.
11
4
62
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 months
Nampongeza ndugu @HajiManara kwa kutumia siku hii ya wapendanao yeye pamoja na familia yake kuonesha upendo kwa wagonjwa wanaotibiwa Saratani, ORCI kwa kuwatembelea na kula nao chakula cha mchana. Wagonjwa wanahitaji Upendo, faraja #happyvalentinesday โค๏ธ
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
13
62
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
The Champez Mwakinyo simuwezi ila wengine ntawapiga kipigo kama kile cha awamu ya 5!
Tweet media one
13
0
62
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Apprecition tweet kwa hustlers wote walio/wanaoanza from zero with no family support. ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ๐Ÿฅ‚
4
7
60
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
@Kilastborn Assignment tu unalia? Kuna nurse jana aliingia night shift, asubuhi ameamkia nyumbani ana watoto wadogo na mzee nae anataka haki yake.
12
1
58
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Kifo cha Hayati Rais Magufuli ni fumbo gumu sana na kitabaki kuwa historia yenye masikitiko kwa Watanzania na Africa kwa miaka yote
Tweet media one
17
0
59
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
The government of people for the people and by the people. Onesha upendo kwa Mama, kama vile yeye anavyotupenda. #Mamakasema #TanzaniaYetu
Tweet media one
1
9
61
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Listerning to Harmonizeโ€™s story right now.๐Ÿ˜ญ Am speechless!
Tweet media one
4
0
60
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Kama mchambuzi, nilipata wakati mgumu kumuelezea Hayati Dkt.Magufuli J.P kwa muda mfupi. Fuatilia kipindi hiki kupitia
4
11
61
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 month
@superjourno @msafiriulimal No wonder there are many reported cases of robbery in South Africa.๐Ÿ˜‚
11
4
57
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Hatimaye mtoto wa Mashood Abiola aitwa Mahmood Abiola ametangaza kurejesha michuano aliyoiasisi baba yake ya Mashood Abiola CAF Cup itakayoshirikisha team 12 kutoka Africa. Kila la kheri #mnyama
Tweet media one
4
4
57
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 years
#NipeDili Hii ni ultrasound machine for Gynaecology, Obstretics, Abdominalpelvic, Cardiac and small parts scan. LOGIQ C5 refubished bei nzuri sana. DM for business
Tweet media one
Tweet media two
3
17
55
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Its okay to campaign but to implicate children in political movements out of their consciousness is unfair and against childrensโ€™ rights (no.36) โ€œchildren have the right to be protected from all kinds of exploitation (being taken advantage of) even ifโ€ฆ.
@MayorIringa
Alex kimbe(Mayor 2015-2020)iringa
3 years
Hapa ni mafinga mjini watoto wanasema @mbowe siyo gaidi
Tweet media one
80
92
646
3
6
55
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Nimepitia tweets zaidi ya 500 kwa leo; kwa ufupi sana, na kwa maneno machache mno, nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu yeyote niseme kwamba โ€œKatibu @Eric_Bernard94 miโœ‹๐Ÿพ tena.โ€
2
2
52
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
@mackphason Huyo jamaa ni Aziz Ki mtupu!๐Ÿ˜‚
1
0
56
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Yani DJ ndio anapiga huu wimbo sahivi, alijua tutaondoka!๐Ÿ˜‚ โ€œMayele Mayele Mayeleโ€ฆ.aaaah ndio huyo huyoโ€
Tweet media one
2
8
53
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Hii nchi kuna watu wakiamka wanawaza malalamiko tu! Mnataka idadi sawa katika kila teuzi! Walianza kulalamika Wazee, bado vijana wanasaga kunguni utasikia na Misimbe nao wataanza kelele. Kinachohitajika ni Equality and Not Equity.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
2
53
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Finally @NuhuAdams_ has completed the signing of Fiston Mayele to @KaizerChiefs and Prof. Nabi to @WACofficiel #beautybeauty back to biz for unother unbeaten records hunts
10
13
54
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Sisi ndo TAIVA STAZ enzi izo SANDE MANARA anacheza URAYA
Tweet media one
1
2
49
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Yanga ni kama msela flani hivi Advance school, mshamba af mchafumchafu hana time na pisi lkn kila pepa anapiga banda!
1
1
53
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Ukiacha Young Africans hawa jamaa nao wana uzi mkali sana. Halafu wazungu wao wanalijua boli kweli! Haya ndio mambo ya #LigiKuu
Tweet media one
2
4
52
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 years
Leo mchongo ni birthday ya Mjukuu wa "BABA WA TAIFA" Mwl. JK Nyerere @Julianyerere . Kama wapwa naomba zawadi iwe moja tu! RT za kutosha, haiwezekani mjukuu wa Taifa hajafikisha 100K followers mpaka Leo. Tufanye jambo tafadhali! #WapwaTuinuane @abdulazackabdul @YusuphMbilinyi8
Tweet media one
Tweet media two
15
5
50
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
Tuna kila sababu ya kuonesha upendo kwa Dr. Abdul Mogela. Anapambana arejee kwenye afya yake aendelee kuokoa afya za Watanzania. Naomba tuungane kwa pamoja tumpe sababu ya kuendeleza upendo wake kwetu. Pls RETWEET ๐Ÿ™๐Ÿฝ #LoveLife #fightcancer
Tweet media one
1
44
53
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Here we go only for Dar Young African fans kama wewe ni #Kolo usi like hii post๐Ÿ˜‚ #DaimaMbeleNyumaMwiko
Tweet media one
4
4
52
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Nikki wa 2 leo amefananisha kiti cha urais na iphone!
Tweet media one
12
3
50
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Tweet media one
3
4
52
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
4 years
Kupoteza hamu ya kula, kutotambua ladha ya chakula na hata harufu, kuwa na uchovu na wakati mwingine misuli na viungo kuuma. Hakuna mafua, kikohozi wala homa. What's really going on in DSM? @DocFaustine @ElishaOsati @petersonchris_ @NormanJonasMD @YusuphMbilinyi8 @TJTanzania
20
7
51
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
@RCAofficiel @SimbaSCTanzania Mshabiki tupo, njooni ma wachezaji tu!๐Ÿ˜‚
9
0
50
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
The president of the United Republic of Tanzania. #POTURT HE. @SuluhuSamia #Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3
14
50
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
@ReganTesha_ Huu sio mkutano wa nchi za Africa, USA anajenga mahusiano na nchi za Africa hivyo anaandaa summit kuwaalika viongozi wa Africa kujadiliana na kukubaliana juu ya fursa mbalimbali za maendeleo na kuimarisha ushirikiano kama ilivyo kwa China.
4
1
49
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
Kuna yule mwana alikuwa ndio reference yao ya journalists na pundit wa soka la Afrika alikuwa ameandaa posts zake zipo kwenye โ€œdraftโ€ muda huu anateseka mno!๐Ÿ˜‚
Tweet media one
4
6
49
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Wanangu wa mambo ya kodi, TRA wamemwaga mchele tayari pitia CV yako(update) chap-chap nenda ajira portal kuna nafasi 450!
3
8
46
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
7 days
Mwanetu awe anafanya hivi
1
7
50
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Dear @MagufuliJP you have fought the good fight, fineshed the race and kept the faith. Weโ€™ll celebrate your legacy. I am sypathetically extending my sorrowful condolence to Her Excellence Madame @SuluhuSamia for the loss of the former President May his soul R.I.P
Tweet media one
0
14
47
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Nimemsikia mwandhishi wa habari @azamtvtz akimuhoji Afisa habari wa Simba baada ya game jana, anasema timu 2 za Tanzania zimepoteza akilenga Azam na Yanga. Je, ni kweli Yanga alipoteza mchezo au tuna shida kwenye tasnia ya uandishi wa habari?
26
5
48
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
Hii taaluma sasa tuitumie kulinda fedha za uma, CAG report ikikamilika tuwakabidhi wataalamu.
@swahilitimes
Swahili Times
2 years
Watuhumiwa wa wizi wa ng'ombe nchini Kenya wamesijalimisha kituo cha polisi wakiwa na lundo la nyuki kwenye viganja vyao. Baada ya kujisalimisha mganga wa kienyeji aliwaondoa nyuki hao.
136
220
853
8
2
47
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
2 years
I wonder why some of you guys donโ€™t have respect to nurses. Remember when you leave the ward she/heโ€™s the one caring for your relative
2
8
46
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
1 year
CAF CONFEDERARION CUP STATS 2022/2023. Top scorer #CAFCC 1. Fiston Mayele (Young Africans)- 6 2. Kouame Kramo (Asec Mimosa)-4 3. Paul Acquah (Rivers) - 4
Tweet media one
0
5
45
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
5 months
@CAFCLCC Congratulations to the referees for win against @YoungAfricansSC today. Weโ€™re getting used to them now that for every game our players should realize theyโ€™re playing against 12 players in the pitch.
0
3
47
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
10 months
4
0
47
@LudoFredrick
๐— ๐—ง๐—”๐—”๐—Ÿ๐—”๐— ๐—จ๐ŸŒ
3 years
Top5 best new football kits in East African clubs for 2021/2022 This includes all team from Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi (premier leagues) 5. Simba Sc (Tanzania)- Third Kit
Tweet media one
4
6
46