Faustine Ndugulile Profile Banner
Faustine Ndugulile Profile
Faustine Ndugulile

@DocFaustine

333,499
Followers
1,161
Following
651
Media
12,265
Statuses

Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global Health

Tanzania
Joined March 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 months
Countries should invest in policies and legislations that promote affordability, accessibility and quality of care, which are essential pillars of the #UniversalHealthCoverage #HealthForAll #UHCDay
2
5
15
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Nimepokea uamuzi wa Mhe Rais kwa unyenyekevu mkubwa. Ninamshukuru sana JPM kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake. Nawashukuru sana @umwalimu na watendaji wote kwa ushirikiano walionipatia. Mafanikio ya sekta ni makubwa sana. Namtakia kila la kheri NW ajaye Dkt Mollel.
863
428
7K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Namshukuru sana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunipa fursa ya kuhudumu katika Serikali yake. Nawashukuru Wizara na Taasisi zake kwa ushirikiano walionipa. Nashukuru wadau wa TEHAMA kwa ushirikiano mlionipa. Hongera sana Mhe Dkt Ashatu Kijaji kwa kuteuliwa. Kazi Iendelee
489
311
5K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Finally! A LL.B in town.
Tweet media one
251
141
4K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Tunawashukuru nyote kwa kushirikiana nasi kwa hali na mali tangu msiba wa Baba yetu Gabriel Sengo Ndugulile utokee tarehe 18.07.2020 Kigamboni hadi kuzikwa kwake Nzega tarehe 24.07.2020. Itoshe kusema ASANTENI SANA. Kama familia tumefarijika salama kwa upendo wenu.
Tweet media one
267
121
4K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Nahitaji posters na flyers kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Nawakaribisha graphic designers kunitumia sampuli zikiwa na picha, jina langu na kaulimbiu kwa njia ya DM. Nitawasiliana TU kwa maongezi zaidi na wale ambao kazi zao zitakuwa za viwango na ubunifu wa juu. Karibuni.
299
316
4K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Tanzania bado tuko nyuma sana katika biashara mtandao. Tunahitaji kukuza na kuilea e-commerce. Vijana wengi wamejiajiri kupitia mfumo huu. Kuanza kutoza kodi mapema kutadumaza mfumo huu na kuua ajira nyingi. Nguvu ielekezwe katika kuimarisha usalama na imani kwenye biashara hii.
282
673
3K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
SHUKRANI SANA "WAJUMBE" Kwa unyenyekevu mkubwa napenda kuwashukuru sana WAJUMBE wa Halmashauri Kuu CCM (T), Kamati Kuu na Kamati za Siasa waliojadili na kupitisha jina langu kuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la…
196
134
3K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Leo nimepata fursa ya kukabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Waziri wa Afya. Nimpongeza Dkt Mollel kwa kuteuliwa na kumshukuru sana Mhe Waziri Ummy kwa ushirikiano alionipa. Nimemshukuru Rais Dkt Magufuli kwa imani yake kwangu katika kipindi chote nilichohudumu kwenye nafasi hii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
268
116
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Eid Mubarak kwako na familia yako. Tusherekee kwa amani na utulivu huku tukichukua tahadhari zote tunazoshauriwa na wataalamu wa afya kuhusu ugonjwa wa Covid-19. Nawatakia sikukuu njema. #eidmubarak #Eid2020
Tweet media one
135
106
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Suala la taa kuzima Uwanja wa Benjamin Mkapa ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Maswali ya kujiuliza: 1. Je hatufanyi ukaguzi wa mifumo kabla ya mechi? 2. Je, hatuna mifumo ya dharura yanapotokea majanga? 3. Fedha za mgao wa uwanja zinaenda wapi?
455
291
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mengi yamesemwa kuhusu Hayati Benjamin Mkapa, nami niseme moja. mwaka 2004 nikiwa Ofisa ndani ya Wizara ya Afya tuliazimia kuanzisha mpango wa kutoa dawa za kurefusha maisha kwa watu wanaoishi na VVU nchini (ARVs).…
64
125
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Kuna taharuki kubwa kuhusu uhaba wa vidonge vya Vitamin C kwa baadhi ya maeneo hapa nchini. Sisi kama wataalamu wa afya, tunashauri zaidi watu watumie matunda kama machungwa, malimao, ndimu, mananasi na mapapai nk. Vidonge ni mbadala pale hakuna matunda na mboga zenye Vit C.
276
277
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Tupuuze taarifa za uzushi zinazosambazwa kuhusu afya yangu. Niko mzima kabisa na ninaendelea na majukumu yangu. Pole nyingi kwa walioguswa na taarifa za uzushi. Disregard the FAKE NEWS circulating that I am unwell. I am Ok and busy with my usual routine. Keep well and safe
200
115
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 months
Kila la kheri Yanga. Nashukuru kwa kuchagua Kigamboni kuwa sehemu ya kuweka kambi yenu.
Tweet media one
17
55
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
It is my opinion that Typhoid and UTI are over-diagnosed in Tanzania. There is a need to conduct studies on prevailing causes of fevers in the country. Antiobiotic use in treating wrongly diagnosed cases of Typhoid and UTI is escalating the antimicrobial resistance problem.
206
371
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Elimu ya Corona: Dawa ya Chloroquine inapunguza ukali wa homa ya mapafu (pneumonia) na pia kufupisha muda wa kuugua homa hiyo kwa wagonjwa wa Corona. Hivyo dawa hii haiponyi bali inapunguza makali ya ugonjwa. Tuendelee kuchukua tahadhari ya kujikinga na Corona. #covid19Tanzania
108
232
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mama mwenye maambukizi ya Covid-19 anapaswa kuendelea kunyonyesha mtoto wake. Hakuna ushahidi kuwa maziwa yanaambukiza Corona. Zingatia: 1. Kuvaa barakoa kipindi chote cha unyonyeshaji. 2. Usafi wa mwili kabla ya kunyonyesha 3. Usafi wa matiti na mikono kabla ya kunyonyesha.
127
217
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Emirates was great. Angola was more gratifying!
Tweet media one
33
58
2K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Msimu wa #Arsenal umeisha kabla ya hata ligi haijaanza kuchanganya. Kama Arteta atabaki kuwa kocha hadi mwisho wa msimu, atakuwa na bahati sana.
169
52
1K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Kilio cha ubovu wa vivuko ni cha muda mrefu. Hatua za haraka zinahitajika kunusuru hali hii. Tusisubiri maafa halafu tuunde Tume. Kama TEMESA imeshindwa, huduma hii ibinafsishwe. Wana Kigamboni wanastahili huduma bora, salama na ya uhakika ya vivuko. Ni haki na sio hisani.
Tweet media one
Tweet media two
168
154
1K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Natafuta duka linalouza chaja za laptop aina ya Lenovo. Hii imeharibika kichwa chake.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
195
63
1K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Maji tiririka na sabuni ni bora zaidi kuliko matumizi ya vitakasa (sanitizers). Usiwe na wasi wasi kuhusu kutopata au kutomudu sanitizers, tumia maji tiririka na sabuni. #covid19Tanzania #Covid19TZ #CoronavirusTZ
69
207
1K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Kama sehemu ya mkakati wa kudhibiti uhalifu wa mitandao, kuanzia sasa namba 100 pekee itatumika katika mawasiliano kati ya wateja na makampuni ya simu na sio namba za kawaida. Wananchi tuepuke kutoa ushirikiano kwa simu za huduma kwa wateja kupitia namba za kawaida @TCRA_Tz
110
140
992
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Haaland is in the league of his own
41
40
981
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Will be having a conversation about Blockchain Technology in the coming days. I welcome ideas on the way forward from experts and users Nitakuwa na mjadala kuhusu matumizi ya Blockchain Technology nchini. Nakaribisha mawazo ya wataalamu na watumiaji kuhusu teknolojia hii DM me
99
189
983
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
8 months
This is the kind of investment we need in our region. The future is in ICT. Kudos to Kenya for taking the right steps in the right direction.
@ayubu_madenge
Ayubu Madenge
8 months
Rais Ruto huko Marekani amealika; 1.Kampuni ya Apple kuwekeza Kenya 2.Tuzo za Grammy za Afrika ziwe zinafanyikia Kenya 3.Kampuni ya Starlink ijenge Centre kubwa ya Afrka nchini Kenya 4.Pia amealika Makampuni ya Google, Microsoft, Intel, Nike na Levi kwenda kuwekeza zaidi Kenya
Tweet media one
182
143
2K
178
155
1K
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Looking for a website designer. He/she should: 1. Have good graphic and language skills 2. Be based in Dar es Salaam Potential designers should share links of their 3 previous works, expected renumeration and contact details via DM. Only the successful bidder will be contacted.
137
170
976
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Tanzania to receive USD 150 Million from @WBTanzania for Digital Tanzania Project which complement the GoT's efforts towards Digital Transformation.
116
150
956
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
I am saddened by the death of Dr @mwelentuli earlier today. She was a sister, friend and confidant. Mwele was always on top of things. She played a critical role in my first Parliamentary campaign in 2010. I'll remember her for her kindness. May her soul rest in eternal peace.
Tweet media one
25
85
906
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Ni muhimu sana kuwa makini kwenye kodi za kidigitali. Mjadala uwe ni jinsi gani tunaweza kupata kodi toka kwa makampuni makubwa ya nje yanayofanya biashara mitandaoni pasipo kuleta athari kwa mteja wa mwisho ambao hutumia mitandao hii katika ubunifu, kujifunza na biashara.
51
177
893
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Hongera sana @MuhimbiliTaifa kwa kubuni vazi la kuwalinda watumishi wa afya (PPE). Ubunifu kama huu ni muhimu sana katika kipindi hiki tunapambana na ugonjwa huu wa Covid-19. Watumishi wa afya ni muhimu kulindwa kwa gharama zote ili kuwakinga na ugonjwa huu.
Tweet media one
67
91
867
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Nimepokea kwa masikitiko kifo cha @makongoally . Alikuwa ni kijana mwenye kipaji na ndoto kubwa katika sekta ya TEHAMA. Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa. Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen @Afruturist @VenturesSahara @TanzaniaSA
Tweet media one
55
77
849
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Ningependa kukutana na vijana hawa wabunifu. Mwenye contacts zao awajulishe ili waje kuniona.
@iMbise__
JustMbise
4 years
Please help me retweet innovation hii iwafikie wizara ya afya na wahusika. Njia salama ya kusafisha mikono. Maji yanayotiririka. @Nkololotz @Abbymexahnk @umwalimu @DocFaustine @JMakamba @FaithSprings29 @iamthatfemale @franklin_tissa
70
455
1K
54
166
830
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 years
Mtanzania Dkt Askwar Hilonga wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Arusha amepokea zawadi ya Shirika la Afya Duniani kwa ubunifu wa njia ya kusafisha maji kwa kutumia nanotechnology katika mkutano wa masuala ya Duniani unaoendelea Jijini Geneva. Anastahili pongezi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
43
159
805
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Leo nimefika Ofisi za Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Wilaya ya Kigamboni na kuchukua fomu ya uteuzi wa Mgombea wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi. Ninamshukuru Mwenyekiti Dkt John Pombe Magufuli na wajumbe wa…
51
29
803
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Tumia siku ya leo kutoa zawadi ya upendo. Changia damu. Okoa maisha. #Sikuyawachangiadamuduniani #WorldBloodDonorDay
Tweet media one
24
95
784
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Tweet media one
76
228
805
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
I am glad Tanzanian scientists are now generating scientific evidences that can help to shape up the Covid-19 response in the country. I urged @NIMRHQS and other scientists to do more researches in all aspect of this disease.
@Aisa_Muya
Aisa Nkya Muya
4 years
@DocFaustine Link ni hii hapa mheshimiwa @DocFaustine
8
10
64
47
84
789
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
7 years
Nifuatilie kupitia Facebook: Faustine Ndugulile's Baraza Twitter: @docfaustine Insta: @dr_faustine_ndugulile YouTube: Faustine Ndugulile
177
55
776
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
*UFAFANUZI KUHUSU BARAKOA NA MATUMIZI YAKE* Kuna clip inazunguka mitandaoni nikiongelea kuhusu barakoa za kitambaa. Napenda kutoa ufafanuzi ufuatavyo: 1. Barakoa za N95 zinapaswa kutumika na watoa huduma wa afya…
82
144
765
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Serikali imefanya mapitio na kupunguza tozo za daraja la Nyerere. Serikali pia imekuja na utaratibu wa tozo za safari moja, siku, wiki na mwezi. Pamoja na pongezi, kilio cha Wana Kigamboni ni KUONDOLEWA kabisa kwa tozo za Daraja. Natumai Serikali itaendelea kulifanyia kazi.
Tweet media one
92
59
746
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Serikali imeamua kuanzia sasa wasafiri kutoka nje ya nchi watawekwa karantini ya siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli. Lengo ni kudhibiti mienendo ya wasafiri hawa chini…
121
74
704
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
What happened to Liverpool?
123
16
693
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
6 months
Leo nimebahatika kukutana na Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa. Nimempongeza kwa kuchaguliwa kuwa Kardinali na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora. Nimemtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ndani ya Kanisa Katoliki.
Tweet media one
8
27
714
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mtu mwenye magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu, pumu, ugonjwa wa moyo na unene uliopitiliza huathirika zaidi na Covid-19 na huweza kupoteza maisha. Tupime afya zetu na kuzingatia ushauri wa kitaalamu juu ya magonjwa haya. #COVID19Tanzania #Covid19TZA #Covid19TZ
37
107
688
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mei Mosi ya leo tuwaenzi na kuwapongeza watumishi wa afya ambao wako mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini Tanzania. Tuwape moyo kwa uzalendo wao na kujitoa kwao kwenye…
92
78
678
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
We have established this is a fake doctor. He has no medical training. Please disregard everything he has said.
@buguzi
Dr.Buguzi
4 years
Confused confuser confuses the confuser who confuses the confused.
176
86
601
168
141
664
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Soko jipya la Kibada, Kigamboni
Tweet media one
55
29
635
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Mwendo tumeumaliza, heshima tumeilinda! #Simba #SimbaSC #CAFCL
Tweet media one
42
28
637
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
The Parliament of Tanzania has today passed a Bill to allow HIV self testing and lowering the age of HIV testing without parental consent to 15 years. These amendments will significantly accelerate our intentions to meet the 90-90-90 goals.
62
156
624
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Remember the 3 Cs: 1. Cover mouth and nose (Use mask) 2. Clean hands (Wash or sanitize) 3. Crowd avoidance (Keep social distance or avoid large gathering). Learn more about the 3rd wave, Delta variant and be a part to flatten the curve.
33
163
604
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
The 2nd, 3rd, 4th and 5th presidents of Tanzania. Peaceful transition and seamless handover of power. Priceless photo.
Tweet media one
29
67
596
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
It started with Man United and it is now happening to Liverpool. It seems that the tables are turned.
36
15
573
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Gabriel Jesus! Take note of this man this season
38
40
559
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 months
Leo nimetembelea Mbutu Block E na kubahatika kukutana na mdau wa eneo hili Bw @YerickoNyerereT Tumeongea mengi kuhusu maendeleo ya Mtaa wao pamoja Kigamboni kwa ujumla. Aidha, nimepongeza kwa kushinda tuzo ya uandishi wa vitabu huko Zambia hivi karibuni.
Tweet media one
20
33
578
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Kudos to Dar RC and the Police for taking swift measures against petty criminals "panya road". Permanent solution needs to be multi-sectoral and address the following issues 1. Youth unemployment 2. Rural-Urban migration 3. Upbringing and broken homes 4. Rapid population growth
75
90
560
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Nashukuru @rollymsouth kwa compliment. Nami nakuona unaupiga mwingi 🤣🤣🤣
@rollymsouth
Madenge
3 years
@DocFaustine @mafolebaraka @TCRA_Tz Sema bro at least hata wewe unajitahidi kuupiga,sio mwingi ila unaupiga..keep it up
13
5
262
28
26
541
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
6 years
Nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kuunga mkono juhudi za Man City katika kusaka ubingwa wa EPL msimu huu. Hii ni baada ya kuchoshwa na utendaji usioridhisha wa Gunners 🤔🤔🤔
106
56
516
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
It was a pleasure to meet two music icons @AyTanzania and @Realjmartins yesterday. I am a big fan of their music. It was an honour to meet these legends.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
16
490
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Nimesikiliza hotuba za Mhe @freemanmbowetz na Mhe Rais @SuluhuSamia katika maadhimisho ya siku wa wanawake Duniani. Tukio la Rais kushiriki Baraza la Bawacha na kauli za leo ni hatua muhimu katika kuleta maridhiano ya Taifa. Wahenga walisema, "waongeao ndio wapatanao".
28
54
500
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
My remembrance of being up close and personal with Mwl Nyerere during my formative years. In this picture, I was the choirmaster and discipline master of Ujamaa House kids. Ujamaa House is the name of the building housing Tanzania Embassy in Harare. HAPPY NYERERE DAY
Tweet media one
24
39
480
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Kwa dhati ya moyo wangu napenda kuwashukuru sana Wana Kigamboni kwa imani na ushirikiano mlionipatia kwenye safari ya miaka mitano. Katika miaka mitano tumepata mafanikio makubwa sana. 1. Tumeweza kuanzisha Wilaya…
41
25
467
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Hongera sana Dkt Hussein Mwinyi kwa kupitishwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.
Tweet media one
10
33
458
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
To stop further humiliation to #Arsenal the match should end now. #ManCity has already made a point.
47
18
441
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
6 years
Nimepita kumtembelea @HKigwangalla Muhimbili. Amefanya vipimo na anaendelea vizuri na matibabu chini ya wataalamu wetu wa afya. Natoa pole nyingi kwake na wahanga wengine ajali hii. Aidha, salamu za rambi rambi ziende kwa familia ya Ndugu Temba aliyefariki kwenye ajali.
41
29
438
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Nigeria is about to unveil its Central Bank Digital Currency known as eNaira.
Tweet media one
32
69
415
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Studies in Tanzania have shown: In children, 70% of fevers are viral origin. Malaria cases were 10.5%, UTI 5.9% and Typhoid 3.7%. In adults, 61% were of viral origin. Malaria, UTI and Typhoid were 4.7%, 4.0% and 4.4% respectively. More proof to over-duagnosis of Typhoid and UTI.
44
81
411
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 years
Benjamin Mkapa hospital today conducted another successful renal transplant Op which was done by Tanzanians with assistance from a Japanese team. This a fifth Op for this hospital. Two more are scheduled tomorrow. @wizara_afyatz @umwalimu #Tunasonga #Tunaboreshaafya
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
66
375
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Let us talk about Digital Transformation in Tanzania tomorrow 18th of August starting at 2100 hours
47
92
371
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Kuna fursa kwa wabunifu kutengeneza mifumo ya elimu kwa masafa bila ya kuwa na mikusanyo ya wanafunzi katika kipindi hiki cha Covid-19. Tuitumie. There is an opportunity to innovators to create e-learning platforms to students currently at home due to Covid-19 outbreak. Innovate
Tweet media one
46
56
370
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Jimboni: Uongozi ni Utumishi wa watu. Kuonana na kuongea na watu ni sehemu ya kuelewa masuala yanayohusu jamii husika na husaidia katika utatuzi wa changamoto zao. #Kigamboni #Kigambonimpya #Jimboni #Ndugulile
40
26
368
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Covid-19 stats at a glance as of 04.04.2020
Tweet media one
32
75
366
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Siku ya tarehe 17 Septemba @wizaraMTH imeandaa mkutano wa wawekezaji wa ndani katika sekta ya TEHAMA kwa kushirikiana na @NationalTnbc , @ict_commission na @tpsftz . Nitakuwa Mgeni Rasmi. Lengo ni kuwajulisha wadau mwelekeo wa Serikali na fursa zilizopo katika TEHAMA. Karibuni.
Tweet media one
Tweet media two
77
44
368
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Natafuta kampuni inayotoa huduma ya Bulk SMS Dar es Salaam. Wasiliana nami kupitia DM ukiainisha anuani yako na gharama zako. Looking for a bulk sms provider based in Dar es Salaam. Kindly share with me your contact details, terms and conditions of the services through DM.
24
68
359
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 years
Simba bado sana katika mashindano ya kimataifa
100
20
350
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Eid Mubarak to you and your family. May Allah grant you and your family his blessings in abundance. #EidMubarak #EidAladha2020 #EidalAdha
Tweet media one
18
14
363
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Leo nimewaasa madereva wa Bajaj na Bodaboda Wilaya ya Kigamboni kukata bima ya afya kupitia kifurushi cha Bodaboda Afya kwa lengo kupata matibabu kwa haraka na kwa ukamilifu endapo wataugua au kupata ajali. Huduma hii upatikana kupitia vikundi vya bodaboda. @nhiftz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
20
361
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 months
Nawashukuru sana @JamiiForums kwa taarifa hii. Tumeipokea. Naahidi suala hili kufanyiwa kazi kwa haraka. Lengo letu ni wananchi kupata huduma nzuri na kwenye mazingira safi na salama.
@JamiiForums
Jamii Forums
5 months
Mdau wa anasema Vyoo vya Hospitali ya #Vijibweni iliyopo #Kigamboni , Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa Miezi Mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na chache zilizopo haziwaki Anadai…
9
12
113
57
52
359
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 years
Tanzania has made some progress in the fight against Malaria. Incidence is down by 62%; Prevalence down by 50% in two years and deaths are down by 75%. We need to intensify efforts towards elimination. No time for complacency #EndMalaria #FightingMalaria
19
75
352
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Tanzania has lifted a long standing discriminatory ban that was preventing girls who have fallen prrgnant from re-integrating back into the formal education system. Congrats to President @SuluhuSamia for a achieving this huge feat. @IPNEducation @UNICEFTanzania @UNFPATanzania
63
73
348
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Heri ya Pasaka. Kaa nyumbani. Epuka mikusanyiko. Jikinge. Wakinge wengine. Happy Easter. Stay at home. Avoid gatherings. Protect yourself. Protect others. #HapppyEaster #coronavirusTanzania #Corona19Tanzania #Ndugulile
Tweet media one
36
43
347
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 months
Growing up in Kigamboni in the 80s, I used to admire Willy Isangura. He was tall, big and yet he was a gentle giant. He represented Tanzania as a heavyweight boxer in 1980 and 1984 Olympics. This Kigambonian has passed on. My condolences to the family and friends. MHSRIEP
Tweet media one
29
28
349
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Kesho Jumanne tarehe 8 September tukutane viwanja vya Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya, Kata ya Mjimwema. Kutakuwa na mkutano wa hadhara wa kampeni, Mgeni Rasmi ni Mgombea Mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu…
14
26
341
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
3 years
Breaking: Facebook has rebranded and named itself Meta
Tweet media one
27
21
325
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Nimestushwa na kifo cha Dr Paulo Marealle. Nikiwa Intern alinipokea na kunifundisha kazi MOI. Alikuwa mcheshi na moyo ya kutoa elimu kwa wengine. Nikiwa Wizara ya Afya tulishirikiana kwa karibu kusukuma ajenda ya mfumo mbadala wa elimu ya ubingwa (fellowship). Kapumzike kwa amani
Tweet media one
10
21
331
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mbunge Kivuli Mhe @YerickoNyerere ! Ni kweli tunajenga Daraja na tunarajia kuikarabati barabara ya Dege-Mbutu iliyoharibiwa kwa mvua na magari mazito. Nikuhakikishie Mhe Mbunge Kivuli kuwa umeme utakufikia ndani ya muda mfupi. Umenituma kazi, natekeleza
@YerickoNyerereT
Yericko Nyerere
4 years
Nimeona mtangulizi wangu @DocFaustine anajenga Daraja, Ninachowaahidi wananchi nikishaapishwa mwezi November baada ya uchaguzi nitaanza na ujenzi wa kiwango cha rami barabara hiyo pia umeme utafikishwa haraka sana Mbarajange na Bandarini. Nipeni ushirikiano
20
4
98
56
22
328
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Motor Traffic Accidents are on the rise in Tanzania. MTAs have become a public health and safety issue. This calls for urgent review of the legal and regulatory measures; quality and standards of our roads and focus on drivers' skills and behaviours.
54
52
329
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Nikiwa na wanachama wapya wa CCM, David Silinde na Joshua Nassari. #MkutanoMkuuCCM2020 #Dodoma #Ndugulile
Tweet media one
23
12
322
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Ni mafanikio makubwa katika matibabu ya urolithiasis (Mawe kwenye mfumo wa mkojo). Matumizi ya mawimbi mshtuko (extracorporeal shock wave lithotripsy) yatasaidia sana kupunguza muda wa mgonjwa kukaa hospitali & kuokoa gharama za matibabu haya nje ya nchi. Hongereni sana Team Afya
17
33
323
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 months
Nimefuatilia. Ni kweli Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni ilipokea mtoto aliyeumwa na nyoka. Alipewa matibabu ya awali na keshapelekwa Temeke kwa matibabu zaidi. Taarifa kama hizi zinasaidia kuboresha huduma zetu. Tunamshukuru mtoa taarifa. @IAMartin_ @ummymwalimu @derick_2015
@derick_2015
Erick Kaijage 🇹🇿
4 months
@IAMartin_ @ummymwalimu @wizara_afyatz Bila Shaka Mbunge Ndungulile wa Kigamboni akilipata hili swala ni Chapu atalishughulikia Hana kulemba ni mfuatiliaji mzuri. @DocFaustine
2
0
23
37
27
326
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Niko salama salmini. Ninaendelea na utekelezaji wa majukumu yangu Bungeni Dodoma leo tarehe 13.05.2020. Jilinde na kuwakinga wengine dhidi ya Covid-19
36
22
302
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Mwisho wa safari moja ni mwanzo wa safari nyingine. Mengi na makubwa tumeyaona. Tunatarajia makubwa zaidi katika utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025. Kila la kheri @MagufuliJP na Mgombea mwenza @SuluhuSamia katika safari mpya inayoanza leo. #Mitanotena #JPMmitanotena #CCM5tena
Tweet media one
19
27
311
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
Kwa lengo la kupunguza upotoshaji kwenye jamii, Wizara ya Afya imeainisha wataalamu tajwa kwenye kiambatanisho ambao watatoa elimu ya afya kwa umma. Vyombo vya habari viepuke kutumia wataalam ambao hawathibitishwa na Wizara au Mabaraza ya Taaluma. #Covid19TZ #covid19Tanzania
Tweet media one
43
100
314
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
1 year
Leo nimeliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini, kufuatia malalamiko ya mara kwa mara kuhusu ubovu wa vivuko Kigamboni. Aidha, nimeishauri Serikali kufanya mapitio ya zabuni ya ukarabati wa MV Magogoni ambayo inapelekwa nje ya nchi kwa ukarabati.
Tweet media one
76
35
315
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
6 years
Kwetu Kigamboni siasa sio uadui. Tunakaa pamoja na kushindana kwa hoja sio kwa vioja. #kijiwechakahawa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
37
46
307
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 months
Watu wanahusisha kutoka jasho na ubora au mafanikio ya mazoezi ya mwili. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kutoka jasho sana na kuchoma mafuta (burning calories). Unaweza kufanya mazoezi sana na usitoke jasho(mf: kuogelea au sehemu za baridi). Kazi ya jasho ni kupoza mwili
19
55
318
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
4 years
The meet and greet tour.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
23
15
308
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
5 months
Angalia DM. Nimekuachia ujumbe. Kila la kheri
@BabaD_Historian
Masubi Shibitali
5 months
Wapendwa habari! Msaada, kwa yeyote anayemfahamu Dr Makia, alikuwa Daktari Muhimbili. Mama huyu alininusuru na kifo kwa kusimamia upasuaji wangu mwaka 2009. Nilipoteza mawasiliano naye, nafsi yangu haitulii, ninahitaji kumpata japo nimshukuru. Kwa anayemfahamu DM please👏
Tweet media one
36
78
718
5
19
317
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
2 years
Asanteni sana @tunzaaHQ na @KneeNjure kwa kunialika kwenye uzinduzi wa kituo chenu cha huduma kwa wateja wa Tunzaa. Hongereni sana.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
59
298
@DocFaustine
Faustine Ndugulile
6 years
Muhimbili National Hospital has conducted its first renal transplant operation. This is a major milestone towards Government's intention of conducting more specialised surgeries in-country.
21
77
306