@LudoFredrick
π— π—§π—”π—”π—Ÿπ—”π— π—¨πŸŒ
2 years
Watumishi wa umma utadhani nchi ndio imepata uhuru leo, sio kwa shangwe hili! πŸ™ŒπŸΌ
9
3
82

Replies

@OneMroki
O N E MROKI
2 years
@LudoFredrick πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ Oya.
1
0
1
@LudoFredrick
π— π—§π—”π—”π—Ÿπ—”π— π—¨πŸŒ
2 years
@OneMroki Kuna Mzee anayarudi amapiano mno! kapanda juu ya meza hapa anasema mara ya mwisho kuona nyongeza ilikuwa miaka 12 iliyopitaπŸ˜‚
1
0
1
@FrankFedric
riico
2 years
@LudoFredrick Shangwe la 30k?
1
0
0
@LudoFredrick
π— π—§π—”π—”π—Ÿπ—”π— π—¨πŸŒ
2 years
@FrankFedric Mdau hapa anapiga simu kutoa maelekezo ya nyama kilo 20 na samaki kilo 10 buchani kesho sasa cjui amepokea kiasi gani.
0
0
1
@mwita13_samuel
Spy1.
2 years
1
0
1
@LudoFredrick
π— π—§π—”π—”π—Ÿπ—”π— π—¨πŸŒ
2 years
@mwita13_samuel Hongera sana mtaalamu
0
0
1
@arodisiraji
Mstaarabu(SAY)🌍
2 years
0
0
1
@SirFerrary
Teacher πŸ“–
2 years
@LudoFredrick @Eric_Bernard94 Oya shangwe gani unaloliongelea hapa
0
0
2
@Ngawesa1
Ngawesa
2 years
@LudoFredrick Acha uongo basi kwa lipi?
0
0
1
@Chandafa32
Greyson
2 years
0
0
1
@HilaryMajimbe1
Hilary Majimbe
2 years
@LudoFredrick @Eric_Bernard94 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
0
0
1