Nimejikuta kama mwl ninawaza hivi. Vijana walio mwaka wa mwisho vyuoni hasa kozi za biochem, biotech engineering ama material science wasitafutwe wale ambao wako innovative kisha washirikiane na
#nimr
kufanya tafit kuhusu dawa, chanjo, vipimo na ventilators?+