Gellen Ana Profile
Gellen Ana

@AnaGellen55180

1,211
Followers
2,969
Following
360
Media
4,531
Statuses

Joined December 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@Jambotv_ Atakua kaishapata kadili kengine huyo ni Mzee wa vidili Dili sana aiseee msimuamini sana 🤣🤣
Tweet media one
9
1
38
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ze_mandevu Ndugu wakili tumepewa challenge hapa ya kumtaja mtu unasemaje nimtaje au kwasasa hapana 🥹
Tweet media one
4
1
30
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@georgerugambwa Hapa ni igoma tu mda unakuja mkuu mm Sina chama #chadema ila naunga mkono hoja zao 💪🇹🇿
Tweet media one
1
0
29
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@FKihamu Tunasubiria apigwe hapa🇹🇿🇹🇿💪
Tweet media one
1
0
26
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@Jambotv_ Hatununui ugomvi wa mtu Mh. Mbowe uko sawa mkuu Kila mtu abakie na misimamo yake tutakutana kwenye ajenda za chama 🇹🇿💪
0
0
24
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@MwanaFA Mh. Bhana unajua hata kunyoa nilikuiga bhana ✋😁 sahv naona unafuga nyele tena
1
3
21
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@ayubu_madenge Mwamba alikua mtata Hadi hospital bhana 😁🤣✋🥹
0
0
21
@AnaGellen55180
Gellen Ana
21 days
Dube alikua sahh Kuna watu wanacheka matokeo kama haya + jumlisha na maneno ya kiemba pia kwenye mechi za timu zingine dhidi ya Yanga utaelewa 🤣🤣🤣
Tweet media one
2
5
20
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@ayubu_madenge Hahaha 🤣🤣 mwamba kafanya nicheke kwa sauti peke yangu bana 🤣🤣 serikali isaidie tu huyu mtu apate haki yake
0
0
19
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ayubu_madenge Mungu mkubwa alafu Kuna mtu anajiua kwakudaiwa laki tatu kijana kabisa aiseee 🙄🥹 Mungu nijalie hekima na uwezo wakukuabudu na kusifu na kunikumbusha wajibu wangu Kila mara kua ninaweza 🙏
0
0
18
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@IAMartin_ Kwasababu ya mudathiri yahaya abasi naomba wale wote tuliokua tunaupinga muungano tuache hoja zetu kwasasa na tukubali muungano kwa mikono miwili maana unafaida sana 🤣🤣💚💛🖤🇹🇿🎵💪
3
0
17
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@prossoff Ukipenda sana wanawake wanojiweza kwenye ngono jua utao Malaya mke sahh hawezi kuwa na hizo sifa niamini kajifunza wapi huo upuuzi 🙄🤣 na aje nao kwako labda umfundishe wewe. Na wanawake wengi wanaojiamini kwenye ngono sana sio wanyenyekevu kabisa 🤣 wanaamini ndio siraha yao
3
1
17
@AnaGellen55180
Gellen Ana
17 days
Yanga bingwaa 💚💛🖤🇹🇿💪
Tweet media one
0
1
17
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@Malengoo Huyu anaweza kua anajijeshimu afungwe 3-0 😁💚💛🖤🎵💪🇹🇿
0
0
17
@AnaGellen55180
Gellen Ana
12 days
@Cheka___tz Waje waje Niko chap sana FB Kila mtu
0
1
16
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
0
0
16
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@anuskills3 Watu mna maneno jamani 🤣🤣
Tweet media one
3
0
16
@AnaGellen55180
Gellen Ana
17 days
Mda wa mahubiri sasa tune hope Chanel Tanzania ufuatilie mafundisho yenye uzima 🇹🇿🙏
Tweet media one
2
2
15
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@bonichengula Ukweli kabisa Kuna site yangu nilikua nafikiria kuiachia ikawa ngumu sana siku Moja kaleta mteja alafu nikawa kama nimehairisha jamaa ananiambia haujui tu vile nimeihangaikia Hadi huyu mtu kuja aiseee 🤣🤣🤣 et amekesha kwa mtaalam wiki alaaaa
3
0
15
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@JamiiForums Eheeee hapo sasa mm naendelea tu kuwalea hamna namna kwakweli 😁🤣
6
1
15
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@MickyJnr__ Tunza hii comment
Tweet media one
1
0
14
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@FKihamu Umeamua kuwa mkweli sana Leo na ngoja ihefu ipigwe 7 Leo waanze kuweka picha za mwigulu hapa 🤣😁😁
3
0
14
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@EA_C77 Yes karibuni wote 💪
0
0
14
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@YoungAfricansSC Mh. Heris haya matokeo tulikuaga omba omba lunyamila akafanga mambo sasa sahv hatuna udhuru kwakweli we are 💚💛🖤🇹🇿🎵💪
Tweet media one
0
1
14
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
Tweet media one
1
1
13
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ihefufc Naam Naam 💚💛🖤🇹🇿💪 siku nyingine msije kurudia sawa
Tweet media one
0
0
14
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, nisije nikakutenda dhambi . Zaburi 119:9 Poleni na mihangaiko ndugu zangu tusisahau kuomba 🇹🇿🙏
Tweet media one
0
4
13
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@MarekaMalili Bado mechi nne yanga bingwaa mkuu 😄
0
1
13
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@fatma_karume Hebu tusaidie shangazi unaishi ishije vile 🙄
3
4
13
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
Bwana ni nani atakae Kaa katika hema Yako? Ni nani atakae fanya maskani yake katika kilima chako kitakatifu? Zaburi 15:1 Good morning 🇹🇿💪
Tweet media one
1
1
13
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@honoreen34 Una mawazo mazuri ila umeongozwaa na fikra za kimalaya kuwasilisha wazo halisi mbwaaa wewe 😁🤣
1
0
12
@AnaGellen55180
Gellen Ana
22 days
@azamtvtz Ukiwa na akili timamu ukarudia kuangalia hii mechi ya Yanga utagundua yafuatayo 1. Marefa walikua na mpango wa hii mechi kuwa Drow 2. Maamzi mabovu sana 3. Mpango wa Yanga kipindi Cha kwanza haukua na muelekeo sahh🤣🤣
0
1
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
7 days
@fumbokhanJr Kwani uliwahi kuwa na pared lini mkuu 😄🤣
2
0
12
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@prossoff Nipo namanyele usikuu huu mkuu nipe maelekezo ni uelekeo gani nikapaone kesho ni kwenda sumbawanga au kurudi kibaoni
2
1
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
7 days
@PCatnho Waje waje 💪 wananchiii 💚💛🖤🇹🇿
Tweet media one
0
1
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@Bepari__ Hawa walikuwepo zamani kwetu ila sahv sidhani walikua wakifunga njia kabisa et 🙄
4
0
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
25 days
"Kwamaana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu", Yohana 3:16 Good morning 🇹🇿🙏
Tweet media one
2
1
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
24 days
@FKihamu Hahahahah 😁🤣🤣🤣 hakuna kitu kinanipotezea imani kama hayo maelekezo aiseeee 🤣 huwa nakumbuka Ally's Star huo huo mda
1
1
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ayubu_madenge Sio jambo dogo hili samahani sana Heris said 🙏
Tweet media one
0
0
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
21 days
@fumbokhanJr Akaibe kombwe hapo makao makuu ya Bank NBC hakuna njia nyingine mkuu 🤣🤣
0
0
11
@AnaGellen55180
Gellen Ana
25 days
Mkawe na mtihani mwema kidato Cha sita wote nchini 🙏🙏🇹🇿
Tweet media one
0
2
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
12 days
@PCatnho Waje waje 💪
Tweet media one
0
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@ze_mandevu Nishaaga mie
Tweet media one
0
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@jemedarisaid Unakiherehere sana mkuu kwanini uanze na Yanga wakati tarehe yakuanza inakua ni Simba 🙄
0
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@ercurry_Tz Hahaha 🤣 tuko pamoja mkuu
2
1
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@millardayo Prison Hawa 😁🤣
Tweet media one
0
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
21 days
@ze_mandevu Kwani wameshinda wanaenda wapi hao Kwan mbona naona wanashangilia sana 🤣🤣
1
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@charlsbick @dictatorbin Unaijua milion 50 kweli mkuu 😄 au haulielewi na kuwa na Hilo gari sifa yake ni nn kwamfano toa sababu ya kuwa nalo
0
0
10
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@FKihamu Unajisikiaje mkuu kwakufungwa Leo 🤣😁
Tweet media one
0
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@Salym Yanga bingwaa Nina FB Kila mtu anaekuja Leo 🤣🤣
Tweet media one
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
5 months
@jobdick05 Mwamba kakosa magoli mawili ya wazi kabisa 🤣🤣
0
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@ayubu_madenge Kwahyo hakutaka upinzani au 😁😁
1
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@fbuyobe Hahahahah 🤣🤣 hamna bhana yule anakitambi acha kutudanganya huyu ni mwalimu mra 😁🤣
0
1
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@ExMayorUbungo Yanga bingwaa
Tweet media one
0
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
14 days
@Njamasi__ Waje waje 💪
2
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
Mpanda >Dar mwamba kaamua sana sahv aiseee
Tweet media one
0
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ayubu_madenge Mfumo huu wakijinga sana aiseee ila ngoja tuwaangalie ikiwa umechagua kuwa mjinga bila kujishugulisha kutafuta maarifa utaendelea kuamini ujinga 🙄✋🤣hata sijui nilichotaka kusem hapa
0
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
Mwakani mtakuja na team zenu hizo tunawangojea 💪🇹🇿
Tweet media one
2
1
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@fumbokhanJr Nauliza tena hili ni goli au sio goli 🙄
Tweet media one
1
0
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
24 days
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya maji ya utulivu uniongoza. Zaburi 23:2 Good morning 🇹🇿🙏
Tweet media one
2
2
9
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@IamEzekia @alikomaster @mFAtAjR @mbalwa_yona_ @Ligawise23 @HennessyNiccur9 @Don_Mtimbi @dmmev @CFC_smart @Calvjuls13 @__abdulazack Hawajui wanachokifanya ila pia ninahisi mfumo wa nchi unawalazimisha kuwa hvyo na hata walioupinzani wanawekwa tu kwa makusudi maalumu iko hvyo pia kwa wanasiasa wenyewe navyoina mm katika hili 😂😂😄✋
0
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@mzeewakaliua Kwani imekuaje tena 🤣🤣
Tweet media one
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
5 months
@privaldinho @TroniMotors Huyu dogo hatari sana
Tweet media one
0
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
Maombi yangu yafike mbele zako, uutege ukelele wangu sikio lako. Zaburi 88:2. Good morning 🇹🇿🙏
Tweet media one
1
2
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@MASHUJAA_FC Angalia hapo chini mkuu 😄💚💛🖤💪🇹🇿Nina FB Kila mtu anaekuja kwangu
Tweet media one
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@prossoff Hahaha 🤣🤣 kwamba mjinga akipomgezwa alaaaaaa
Tweet media one
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
16 days
Yatosha jangwani.👉 Mungu ametuwekea Ratiba Kila mmoja kwaajili ya mema yetu na haiwezi kupita. Mwanzo 15:13 ni udhihilisho wa Ratiba sahh ya Mungu
0
3
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@MASHUJAA_FC Anza kuwa una Post na wachezaji unachanganya na huyo sokwe wako sasa maana itakua tabu sasa 😄
2
1
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@MarekaMalili Kinachonifirahisha et Bado wanamuita mkandaji sasa huwa anakanda nn majipu au 😁🤣🤣 ila 🇹🇿
4
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@ayubu_madenge Huyu jeshi haliksaidia kupungua eheeee 🙄🙄
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@Julius_MZA Et ndugu #julius hata kama ni wewe 😂
Tweet media one
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@millardayo Naunga mkono hoja mradi isiwe jumamos tu mkuu 💪🇹🇿🥹
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
5 months
@ayubu_madenge Hilo halihitaji upande wake ila ukweli waumini wa hayo makanisa wakuulize wenyewe Kuna ujinga mwingi sana huko ila ukitaka ukosane nao jaribu kuwaeleza jambo Hilo mtakosana 🤣🤣
0
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
17 days
Nondo kwa vijana. Ikiwa ni wachumba Haina maana mkutane tu Kila siku, maana mnaweza kukosa ajenda na kuruhusu uasherati💪
1
2
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@Mzeewajambia Kaka tunaomba majibu hapa 👇🙄
Tweet media one
1
1
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
1 month
@anuskills3 Nadhania ni mda sahh wakuomba majibu lasivyo wasitulaumu kwakweli 😁💚💛🖤🇹🇿💪
1
0
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
5 months
@Arafat__AH @athanas_pius Makamu mnauhakika hii jamhuri ni team ya mpira kweli 😂😂
0
1
8
@AnaGellen55180
Gellen Ana
2 months
@savajanjaro Sawa mzuka 😂✋
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
Tweet media one
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
15 days
Sababu ya kuvunjika kwa ndoa nyingi namna hii ni zile zile zilizotolewa katika AHADI ya ndoa zao na VIAPO vyao. Na sababu ni zile zile ni msukumo wa mwovu 🇹🇿🙏
0
1
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
24 days
@Mzeewajambia Mmmmmh MVP huwa anaangaliwa kwenye matatizo kumbe Sio kuiwezesha timu kushinda makombe aiseee 🤣🤣🤣
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@fumbokhanJr Hahahahah 🤣🤣🤣 umeziona hizo cross lakini
Tweet media one
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
10 days
Mda wa mahubiri sasa tune hope Chanel Tanzania ufuatilie mafundisho yenye uzima 🇹🇿🙏
Tweet media one
1
1
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@licious_tz Shida unapesa za kurithi ndio ujinga unaokusukuma kuongea bila mipaka 🙄
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
21 days
@eastafricatv Ndugu mwandishi kwaakili timamu kabisa rudia kuangalia mechi hii kipindi Cha kwanza alafu uangalie kipindi chapili. Ukimaliza hapo waende vyumba vyakubadilishia nguo wachukue hewa wapeleke kwa mkemia mkuu wa serikali utakuja kunishukuru😁🤣
3
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
28 days
@TMnyama4_ Waje waje 💪
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
23 days
"Bwana ndie mfalme milele na milele " Zaburi 10:16 Good morning 🙏🇹🇿
Tweet media one
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@CAFCLCC @YoungAfricansSC Mambo Yako hv ndugu mwandishi 😁💚💛🖤🇹🇿🎵💪
Tweet media one
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
30 days
@Njamasi__ Jamani waje buana 🇹🇿💪 kwa sekunde Moja tu hapa Nina FB
3
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu, msaada utakaonekana tele wakati wa mateso. Zaburi 46:1. Good morning 🇹🇿🙏
Tweet media one
1
2
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@fumbokhanJr Uko sawa Kuna mda tusidanganyane kwenye mambo serous
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@Labella_Mafia95 Labda anakaa kama gogoo na hajui chakufanya afike anamlaumu nani kwamfano 🙄🤣
1
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ayubu_madenge Ndio wanaosingizia watu kesi kama hizi wajipime namna wanaharibu maisha ya watu namna hii 🙄🙄
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@ayubu_madenge Ila isije kua ndio ulikua mchongo huo 🤣😂🙏
0
1
6
@AnaGellen55180
Gellen Ana
5 months
@ReganTesha_ Mambo ya kwetu hayo huwa hautakiwi kutingishika usije kuchekwa maishani et 😁🤣 kurwa bana
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
16 days
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwane wa pekee" Yohana 3:16
Tweet media one
0
1
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
4 months
@ReganTesha_ @JMakamba Kuna vitu havieleweki hii nchi Kuna watu wamechagua watu wakuwasema na kuwadharau na nani aheshimiwe Hilo ni janga kabisa 🤣
0
0
6
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
@ze_mandevu Kuna watu hawataki kuambiwa ukweli wanatukana tu upuuzi mkubwa sana huu 🙄
0
0
7
@AnaGellen55180
Gellen Ana
3 months
Haleluya mshukuruni Bwana kwakua ni mwema kwamaana fadhili zake ni zamilele. Zaburi 106:1 msiache kuomba ulinzi wa Mungu kwako na familia Yako majaribu ni mengi sana jamani 🙏
Tweet media one
0
1
7