Ratiba ya Makundi ndio hii mechi zote 51 zitakuwa live kupitia Kisimbuzi cha DSTV Kwa nguvu ya Buku teni tuu..!!
Lipia sasa kifurushi chako mapema usipitwe na burudani hii.
#MfalmeWaBoma
Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona.
Ulishawahi kuona wapi Rais wa Simba, Mamelord, Manchester united na City, Real Madrid, Barca wakizunguka na team kila kona??
Haji Manara anatumia vibaya pesa za GSM katoka Tanzania hadi Marekani kwenda kupiga picha na Mchezaji wa Kwanza wa kitanzania kupiga picha na Lionel Messi.😭
Mwamba alie Mzidi Chama kura ndio Huyu, Hajaomba watu wampigie Kura wala AL-Ahly hawaja post.
Hii ni aibu ya Kwenda Aisee, Sema Yanga always ndio Mchawi wetu Simba.
Revolution ya Mpira wa Yanga ulianzia kwa Engineer Hersi, Huu ubora tunao Uona Kwa Yanga ni kazi Kubwa ya Hersi.
Kujifunza kitu sio zambi wala hakuna kaburi la mtu anae jifunza kwa Mtani wake, leo Kaandika Historia Kubwa Katika Club Ya Yanga Kuipeleka Robo fainali.
Naomba
Huu wanao fanya Yanga ni Ushamba na Utoto Huwezi Kuweka Mechi siku Ya Simba day, Hii mechi haitapata watu naamini Kila Mwana Yanga anapenda kuona Utambulisho wa wachezaji wa Simba.