Mchezo wetu unaofuata tunawakaribisha walima Korosho kwenye himaya ya Gombe na Mahale maskani kwa Watanganyika🦍💪
#NextMatch
Mashujaa fc 🆚 Namungo fc
🏆
#NBCPremierLeague
🗓️O2.03.2024
🕓Saa 10 Jioni
🏟️Lake Tanganyika
Nb: Ni wakati wa kurudisha heshima ya Lake Tanganyika,