Mbeya City Fc Profile Banner
Mbeya City Fc Profile
Mbeya City Fc

@Mbeyacitycf

45,770
Followers
317
Following
3,978
Media
14,345
Statuses

-unoffcial Account🥱 -No content.✍️ WANA KOMA KUMWANYA💜🤍

Mbeya, Tanzania
Joined June 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
3 months
Simba wakipata goli hata moja mniite amina kadala.
41
13
176
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Ndo hii team inaenda kuwawakilisha kimataifa?!🤔🤔
489
246
5K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
KUMEKUCHA: msitupangie chakupost.tunaendeleza tulipoishia Jana✋ #kaziiendelee
Tweet media one
172
154
3K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
‘SIMBA SC THE CLUB ABOVE ALL’ mwisho wakunukuu✍️
34
112
3K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Here we go🚨
Tweet media one
35
39
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Nimechoka ata kutweet Okay anyway..Tunapata bao lapili 😁😁 Sisi 2-0 HARMONIZE
Tweet media one
95
80
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Our third kit😻
Tweet media one
77
53
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
M A T C H D A Y⚽️
Tweet media one
33
53
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Kila nikikumbuka niliamshwa saa sita usiku nakosa nguvu kabisa🥺
Tweet media one
95
79
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Kama ulivyo sikia...skuizi wanajipigia tu😁
Tweet media one
86
24
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
B R E A K F A S T ☕️🫖
Tweet media one
40
20
2K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Bayern munich ya zamani🟣⚪
Tweet media one
19
21
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Comment unachojiskia...
Tweet media one
65
26
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
🥶🥶 @yangasc1935 mliwezaje kukaa uku juu mwanzo adi mwisho wa msimu!?! Tuleteeni masweta 🥶🧥
Tweet media one
109
48
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
I can feel it.
Tweet media one
11
28
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
🚨𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🚨 🆚 𝒀𝒂𝒏𝒈𝒂 🏆 #NBCPremierLeague 🏟️ 𝑺𝒐𝒌𝒐𝒊𝒏𝒆 𝑺𝒕𝒂𝒅𝒊𝒖𝒎 ⏰ 𝟺:𝟶𝟶 𝚙𝚖 #mbeyacityfc #parimatchtz #objectivetowin
Tweet media one
130
63
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
7 months
Team yangu ya utotoni leo inacheza☺
Tweet media one
9
31
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Unaagiza Pitso motsmane Kikuu wanakuletea juma mgunda 😂🙌🏻 Aya mambo aya😤
74
44
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Jamani @SimbaSCTanzania Mbona ghafla ivi!?! Sisi tulikua tunatania tu🥺🥺 #parimatchtz #nbcpremierleague
Tweet media one
90
53
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Nimeshindwa kuvumilia😂😆
Tweet media one
44
32
1K
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
😳🥹 SOKOINE hatoki mtu. #mbeyacity #objectivetowin
Tweet media one
57
31
913
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Uyu jamaa kabadilisha mganga... aiseee tutakoma mbona.😤😤
Tweet media one
33
21
884
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Mbeya city ni Mbeya city tu😂😂😆😆😆 unakumbuka ili tukio?!? Mlinzi wa Rayvanny alipigwa kabari na shabiki😆😂😆💔💔
Tweet media one
32
19
892
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
3 months
Kama hii tu ni Sai.. Je Mbowe akipita kuanzia Mwanjelwa-Kabwe itakuaje icho kijiji chake 🙌🙌✌✌
Tweet media one
17
96
903
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Tweet media one
62
14
883
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
7 months
Madereva Bajaji wa kabwe wameamua kuzichapa leo🥊 Video ipo kwenye Comment👇😂
Tweet media one
113
45
849
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
🦁🇹🇿
Tweet media one
16
30
824
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
5 months
Ila hiki kichwa hapana kmmke😂😂😂🙌🙌🙌
Tweet media one
53
30
804
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
FULL TIME 😤 (matokeo mnayo)
55
9
776
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Ukiachana na huu ushangiliaji ni tukio gani lingine utalikumbuka toka kwetu?? #mbeyacity
Tweet media one
197
18
733
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Nafkiri mnaelewa sasa kwanini Kibu ni chaguo lakwanza la Robertinho.
Tweet media one
5
4
687
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Swali unalojiuliza namimi najiuliza hivohivo.! 😂
Tweet media one
34
19
626
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Utofauti ni kwamba mmoja ashafeli mtihani wake wa Form Four,..na mwingine bado anasubiri matokeo yake ya Form two🤞
Tweet media one
Tweet media two
33
25
623
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
𝐰𝐞 𝐰𝐢𝐥𝐥 𝐜𝐨𝐦𝐞 𝐛𝐚𝐜𝐤 𝐬𝐭𝐫𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫 🟣⚪ #mbeycity #objectivetowin #parimatch
Tweet media one
80
14
601
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Portugal, waafrika wote tupo nyuma yako.❤
Tweet media one
55
15
597
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Kashindikana uyu mwamba 🙌😤
Tweet media one
7
7
594
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
HAPPY BORN DAY KWAKO BABA PAROKO (PAUL NONGA) 🎂🎂🍾🍾
Tweet media one
8
12
579
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Ni siku nyingine tena VS #Yanga Unbeaten run tunaenda kuikata leo. #nbcpremierleague #parimatch
Tweet media one
63
7
559
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Mlisema hii namba ya jezi yake ndo umri wake?!?😃🤔🧐
Tweet media one
7
8
554
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Leo si ndo today eh 😅 🦁 VS 💜
Tweet media one
31
13
523
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Uyu refaree wa hii game ya simba🙌😌
15
13
526
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
@rollymsouth Acheni utani na ili tangazo jamani
55
102
533
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Mbona kila kitu kinatisha uko sudan...!!?!??!😳😂😆
Tweet media one
9
8
520
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Kinachoniumiza ni kwanini ateteme kama Mayele.🥹
Tweet media one
26
18
527
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Awa adi akili iwakae sawa.😁
Tweet media one
31
11
486
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
“Amelowa, amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua” 🎤🎶🎼🎵
Tweet media one
35
17
469
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
G R E E N🟢
Tweet media one
13
14
466
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Maana halisi ya 𝐆𝐑𝐄𝐄𝐍 𝐂𝐈𝐓𝐘 💜
Tweet media one
10
17
449
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
WAWAKILISHI HALALI WA TANZANIA🇹🇿 wanacheza leo. Kila lakheri @SimbaSCTanzania mkatuoneshe namna yakucheza hii michuano mikubwa.
20
22
447
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Taarifa za chini-chini Zinasema bwana Tariq kaamka salama na ni mzima wa afya na ATAKUWEPO LEO😁 alooh..!!🙌🙌 "Ivi hamuogopi??!" #parimatch
Tweet media one
59
4
431
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Tanzania inawaza nini juu ya uyu kijana🤔?!? Amahl Pellegrino 🇹🇿/🇸🇯
Tweet media one
Tweet media two
21
14
439
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Anaelekea Mafiat mataa 😁
Tweet media one
30
28
432
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
10 months
aahh kumbe familiaa 😎
Tweet media one
3
5
400
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
𝐎𝐛𝐣𝐞𝐜𝐭𝐢𝐯𝐞 𝐭𝐨 𝐰𝐢𝐧🟣⚪ #mbeyacity #parimatchtz
Tweet media one
16
3
397
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Away kit🥰 #parimatch
Tweet media one
23
8
388
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Sisi ao...!!!!💜🤍
Tweet media one
23
5
376
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
tuseme tu ukweri, Izi sio jezi ni kituko wallah
Tweet media one
30
15
370
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 months
Aliyetengeneza hii Logo ya @eastafricatv alikua mbele ya muda sanaa🙌🙌. Ana mauwa yake.
Tweet media one
17
16
372
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Hii channel ina movie zakichina za uongo kinyamaaa😂🤣😆😆🙌🙌🙌
Tweet media one
42
5
356
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Tweet media one
8
10
357
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Sema vunja bei ni mvivu sana aisee🚮
17
7
361
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Wanaandaa mabango yao apa ila sisi hatuna habari
Tweet media one
14
2
356
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
"dablyu si-bii" 😂💔
Tweet media one
9
12
353
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Wakipata goli mniitee....... nipo paleee👉👉👉
39
5
346
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Wasipokuwa makini leo wataeleza walipataje kale kagoli kamoja pale kaitaba
21
4
346
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Nawakumbusheni tu jamani kuwa leo tumeshinda 1-3
Tweet media one
13
15
328
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Akisema Hana bundle we mu-hotspot ili ajionee jinsi TL ilivyo ngumu Leo😁
Tweet media one
8
19
334
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Naombeni nione picha ya KATIBU wa kanisa la Feel Free Chachy jamani...!!! Ahsanteni..!!
Tweet media one
15
10
319
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Unahisi hii team ingeshinda ngapi kwenye ili kombe la "Maloosers" ???🤔
Tweet media one
53
10
317
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Ndo awa!?! 😂
Tweet media one
24
5
310
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
😳 kumbe.
Tweet media one
29
3
307
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
FULL TIME: Mbeya City 2-1 Namungo. Tunapanda adi nafasi ya nne na kurejea kwenye mbio za ubingwa.💪
Tweet media one
23
7
293
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Za ndanii kabisa inasemekana Kikosi chao chote hakuna mchezaji aliyefika 60KG.
Tweet media one
16
3
289
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Ukimtoa chikumbalaga tunabaki na nini?!? 😄
Tweet media one
Tweet media two
13
7
292
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Ila chama analijua sana gozi🙌
11
10
279
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Viongozi wa Club Africain right now baada ya tukio zima kwenye dressing room.
Tweet media one
9
2
270
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
3 years
Tweet media one
12
7
267
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Msiniguse
Tweet media one
16
11
270
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Tunawapongeza Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/22. #objectivetowin
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
12
256
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
10 months
Nilisimama wapi wakati napiga hii picha?!?😎
Tweet media one
41
8
266
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Kwani lazima watukane matusi ili nguzo zipande!?!?🤔🤔
Tweet media one
28
4
250
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Simba sc hawakawii kuchukua hii picha na kuweka sura za akina kapombe,onyango na mkude 😂😂
Tweet media one
25
5
253
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Manula 🙌
Tweet media one
9
7
257
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Usipokuwa makini apa kabwe unaweza hisi kuna ukungu kumbe ni moshi wa mishikaki😂😆
15
7
255
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
Mpira umeisha Rasmi sasa tutacheza playoff🟣⚪
Tweet media one
28
10
252
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Kwaiyo graphic designer wa simba kaparamia kazi ama?!?!😂😂😆😆🙌🙌😆
Tweet media one
29
12
249
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Imeandikwa “msifadhaike mioyoni mwenu mwaminini Sabilo, namimi admini wenu pia” ✍️📝 The man is here.
Tweet media one
9
7
250
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
-Yanga ipo Mbeya. -Simba ipo Mbeya. -Marioo yupo Mbeya -G nako yupo mbeya Kiufupi weekend imeangukia mbeya Asa Wana Mbeya mnatoa wapi stress?!?!?😅😅
16
6
247
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Naona Jamaa kashamaliza chuo sasa karudi kwao😅
23
6
245
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
FULL TIME. 🥹🥹
Tweet media one
Tweet media two
28
1
248
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
HABARI ZA ASUBUHI...!?!? Sawa Binadamu tumeumbiwa kusahau ila nawakumbusha tu kuwa jana tumeshinda 1-3 na tupo nafasi yapili kwenye msimamo.✊#” #parimatchtz #NBCPremierLeague
Tweet media one
9
6
237
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Refa maliza mpira, SAULI inatusubiri nje ya Mkapa🥺🥺
Tweet media one
18
6
236
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Kwa huu ushindi Nijipongeze na mmalawi sasa😌
Tweet media one
Tweet media two
14
5
236
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
11 months
𝐀𝐡𝐬𝐚𝐧𝐭𝐞 𝐌𝐛𝐞𝐲𝐚 𝐣𝐢𝐣𝐢 🟣⚪
Tweet media one
17
7
233
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
7 months
Showshow tu..kila mtu hana habari😂😆
29
20
237
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Kumbe ile account imerudi na hamsemi..!! Sijapenda wallah.
Tweet media one
12
2
232
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Nielekee msibani sasa 🇳🇬 🇺🇸
Tweet media one
11
1
231
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Mnasema mnaandaa team yakucheza champions league kumbe mnasuka kikosi chakumfunga mtani wenu smh.🚮😤
11
5
229
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Sixtus Sabilo makes two. Jiji la mchongo 1-2 jiji halisi. #NBCPremierLeague #parimatchtz
Tweet media one
14
6
227
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
1 year
Mtaalamu yeyote naomba avalishe jezi za 🦁 awa watu.
Tweet media one
18
2
227
@Mbeyacitycf
Mbeya City Fc
2 years
Retweet bila sababu💜 SISI 3-1 WAO #mbeyacity #nbcpremierleague #parimatchtz
Tweet media one
Tweet media two
13
22
223