Mwanahamisi Singano Profile Banner
Mwanahamisi Singano Profile
Mwanahamisi Singano

@MSalimu

69,903
Followers
3,724
Following
3,662
Media
45,319
Statuses

Global Citizen PanAfrican Feminist. Informed and Concerned Citizen. Gender, Governance and Climate Justice Expert. Opinionated woman & mother of 3

Tanzania
Joined December 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Wanasiasa na viongozi wanapoamua kutunushiana misuli inayoumia ni demokrasia na sisi wananchi. Tujifunze kuachiana nafasi kila mtu afanye yake. Sisi watanzania, hatutaki kurudi kule tulikotoka. Tunatamani, tuishi kwa amani na uhuru wa kufanya yale tuliyo na haki nayo.
12
24
221
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mh @umwalimu jana binamu yangu amefariki. (Allah amrehemu) Aliumwa akalazwa muhimbili, week ago, akapata afueni akaruhusiwa, kurudi nyumbani akazidiwa. Wakamrudisha Muhimbili wakakataa kumpokea, wakampeleka TMJ, Hindu Mandari, Regence, mpaka Amana wamemkataa akafariki njiani.
357
186
2K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Mh Rais @SuluhuSamia umekiri kuwa hali ya kiuchumi si nzuri sana. Nikuombe sana, punguzeni sherehe za serikali. Kila siku aidha kuna uzinduzi, mkutano, etc. Mnapotwambia hali ni ngumu tuanze kuiona na kwenu. Hizi flash and shiny events zipunguzwe ili mtupunzuzie mzigo wa kodi.
153
203
2K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Makamu mwenyekiti @TunduALissu tunaomba kesho ukatununulie samaki soko la feri..
33
92
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
They broke his body but NEVER his spirit. Son of the soil... he is back where he belong, home. #Tanzania #TunduLissuHomeComing
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
150
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kwakuwa mgombea uraisi wa chama tawala amesema kuwa majimbo yatakayochagua upinzani hayataletewa maendeleo. Basi wananchi wa majimbo hayo wasitozwe kodi yoyote, au kodi zao zisipelekwe serikali kuu - wajiletee maendeleo yao. Kuwatoza kodi na kutowaletea maendeleo ni unyanganyi.
70
155
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Alhamadulilah ….
Tweet media one
89
26
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Anasema "Shida yangu raisi. Nampenda @TunduALissu Niongee tu ukweli" Good morning Tanzania
60
176
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Hivi hii story ya kwamba wanaume wa peponi kila mtu anakuwa na wake 70 ni kweli?
317
53
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
So... Muheza, shughuli inaanza?
68
60
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
Leo nimeamka na mzuka wa kufollow watu... Please let me know you hapa kwenye reply, the nikufollow..
419
43
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Siku nikipotea semeni tu twamtafuta mdada mwenye pua yake private...
Tweet media one
266
32
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Sie wenye pua zetu zilizojaa uso mzima....
Tweet media one
234
16
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mwenyekiti @MagufuliJP kura za maoni zimeonyesha dhahiri kuwa wana CCM wenzio hawakupendezwa na ununuzi wa wabunge wa upinzani, wamehadhirika vibaya. Kimsingi mchakato ndani ya chama ulikuwa wa uwazi, tunatumai utaratibu huu mwema utafanyika pia October 2020 Watanzania waamue.
41
67
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Naona watanzania wa "ground" wako tayari kwa mabadiliko kuliko watanzania wa mitandaoni. Unabisha?
38
62
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Dada yangu @umwalimu tumekulalamiakia weeeeeeeeeee na pengine mpaka kukunanga. Tusamehe mwaya. You know what, take a day off... nami ntakuletea mkate wa kumimina, choroko za maua, samaki wa kupaka na uji wa bada uftarie. Hakuna namna utafanya... we know now.
Tweet media one
93
113
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
1 month
Ndugu zangu mkiamka muangalie hii interview ya Jenerali Mabeyo akisimulia yote yaliyojiri siku Rais Magufuli alivyofariki mpaka Rais Samia alivyopishwa. Nimejifunza mengi sana.
85
289
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mtu kakuzimia mitandao yote halafu anategemea umpe kura kesho... Na kwa akili zako utampa si ndio?
118
116
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 months
Huwa nina kawaida ya kununua umeme kila mwezi kwa kiwango kile kile bila kujali umekwisha au la na kuwapa watoto waweke. Leo nachungulia muamala wa unit, kumbe niko sorted kwa miezi kadhaa. Somo, usisubiri umeme ukatike ndio ununue, wewe nunua tu, hauchachi!
Tweet media one
199
38
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 months
Nimekuwa natamani sana kuuliza hili swali ila nasita, leo ngojea niulize. Eti Hospital ya Mzena iko wapi? Na Je ni kwa ajili ya viongozi tu au hata sie Twaweza kutibiwa?
93
75
1K
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Labda sasa ni muda muafaka kujadili hili swala la harusi! Mie naona maharusi wawajibike kugharamia harusi zao kwa uwezo wao. Michango ife. Pili haya mashindano ya nani kafanya Harusi ya mamilioni mangapi, yanaleta stress na umaskini kwa fahari ya muda mfupi.
165
117
984
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Eti mtama kwa kingereza unaitwaje?
237
14
955
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
I love ACT Wazalendo @ACTwazalendo I will vote for @TunduALissu
23
102
979
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
I can tell you for free, more young men are chasing older women than the other way around.
135
52
966
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nilipokuwa mdada, nilikuwa nalipa on first date kwa sababu 1. Nichague eneo na muda - kwa usalama wangu 2. Niwe na uhuru wa kuwa mimi 3. Niwe na control ya maongezi 4. Niondoke muda ninaotaka mimi. 5. Tusichukuliane poa
148
75
951
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Naona leo kila mtu anaringishia picha yake na @fatma_karume ... na mie ninayo jamani.... Happy birthday, shangazi wa taifa
Tweet media one
21
24
952
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Eid Mubarak from my family to yours
Tweet media one
Tweet media two
63
43
940
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
"Maendeleo hayana chama, ila mkileta viongozi wa upinzani sileti maendeleo" Wewe umeelewaje?
136
63
927
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kwa niaba ya watanzania, ukiniondoa Mtanzania mimi.....
@MagufuliJP
Dr John Magufuli
4 years
Nimeshtushwa na taarifa za kifo cha Rais wa Burundi, Mhe. Pierre Nkurunziza. Nitamkumbuka kwa uongozi wake imara na juhudi zake za kupigania amani, maendeleo na kuruhusu demokrasia. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania nawapa pole familia na Warundi wote. Mungu amweke mahali pema.
2K
1K
12K
157
48
890
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kura 9,953 zimepigwa na chama tawala kimeibua na ushindi wa asilimia 73 (73%). Nawapongeza sana. Nahisi hii ni poll pekee ya twitter walioshindwa kwa kishindo.
Tweet media one
86
84
890
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Hii picha ni👌 …. contrast sio ya dunia hii! Myth busting!
Tweet media one
52
68
889
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Hali ya vivukio aka flyover - kibongobongo Dizaini kama Sir God yuko upande wetu hivi! Mana huu ufunuo wa leo lazima utuletee uzima wa milele. #PigaKura #KuraYakoMaishaYako
Tweet media one
Tweet media two
97
85
885
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mzee baba kakabidhi ofisi akiwa na Kanzu na kibarakashia.. you got to love this man...
Tweet media one
55
46
861
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kenya imefunga mipaka yake yote na Tanzania, itaruhusu tu mizigo kupita, na wanaopitisha mizigo wataruhusiwa tu pale ambapo vipimo vyao vya korona vitakuwa hasi (negative) Tusipojifungia Tutafungiwa.
Tweet media one
60
51
854
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Leo nimeenda kule nilikoanzia maisha, hizi ndio biashara zangu za kwa kwanza nilipokuja Dar -Mbagala (saloon na duka la mangi) Nilipokuwa Kilwa nilikuwa na goli la mitumba. Maisha ni hatua, Maisha ni safari
Tweet media one
40
41
835
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Kwakuwa Ikulu ya DSM sasa haitumiki kwa shughuli za kiserikali, na kwa kuwa siku za hivi karibuni iliongezewa wanyama wa aina mbalimbali. Napendekeza, Wasanii waruhusiwe kukodi na kutumia jumba hilo kwa shughuli zao za sanaa au liwekwe kwenye Airbnb. Tutapata mapato yakutosha.
51
57
832
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Ukimpenda mtu mwambie. Tena mwambie with all honesty. Mwambie bila woga ila usimvunjie heshima.
41
65
822
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Kaka zangu na dada zangu naomba kujifunza kutoka kwenu. Husband material ana sifa gani? Kwa lugha nyingine nitajuaje kuwa mtu wangu ni husband material?
230
33
775
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Ila hii nchi ina mashangazi balaa
58
67
757
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Wapinzani wanafanya siasa katika mazingira magumu sana. Ni wajibu wetu kuwachingia na kuwatia moyo. Mimi nawachangia wagombea wanawake wa upinzani, hasa wale wanaogombea kwa mara ya kwanza, siwezi nikawa nahubiri ushiriki wa wanawake na sifanyi wajibu wangu #Changia hata 500
16
108
735
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
🤲🏾🤲🏾🤲🏾
Tweet media one
51
26
736
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nisiposema hili sitalala vema So you know maumbile ya kike ni elastic, sasa huko kukejeli kwenu speaks more about maumbile yenu and not the other way around. Vijana jifunzeni staha na kuheshimu njia mliyopita. Mgebanwa on the process msingekuwa Twitter leo kuleta haya madharau
112
45
711
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
#Tanzania is trending in Kenya.... Sababu? Tanzania hatukipigia #Kenya kura kwenye baraza la usalama la UN, badala yake tuliipigia #Djibouti Kwa hakika, hali ya jumuia si nzuri...
90
68
709
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Mheshimiwa @SuluhuSamia si ulituahidi 50/50 Sasa mbona hata hatujafika ile minumum ya 30%? Je tuanze kutoamini kauli zako?
155
37
686
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
I am shocked and saddened by president @MagufuliJP comments calling "men to direct their anger to their wives" as opposed to burning public goods. No woman should be recipient of men's anger. It's appalling for a president to promote violence against in any form or shape.
Tweet media one
144
244
687
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kwa kuwa Mheshima Rais alitoa muongozo "Wote wenye kesi za uhujumu uchumi, walipe hela wanazodaiwa na wataachiwa huru" #DPP I am sure waTanzania tuko tayari kuchanga na tutalipa hizo 17m kabla ya jua kuzama ili @TitoMagoti na @TheoGiyan wakale xmas na familia zao #FreeTito
40
70
682
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Dah... Kweli mnataka mbunge mwenzenu auwawe tena mnatamka hadharani... @WorldBank this is how deep this shit is... Mwami @zittokabwe stay strong
207
80
686
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nimeamka na roho ya kufollow watu... tayari shared follow kama 200 hivi asubuhi hii
110
36
683
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
229
84
679
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Ila wanaume kwanini msikae kama kamati mkaongea na mwanaume mwenzenu. Ama kweli wanaume hampendani
98
35
676
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mwenyekiti kannena...
@IsmailJussa
Ismail Jussa
4 years
Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni @TunduALissu , ametamka leo Maalim @SeifSharifHamad katika Mkutano wake wa Kampeni huko #Mahonda , Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Tweet media one
65
205
3K
15
49
682
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Niliongea na Mwenyekiti wetu wa SADC Rais @MagufuliJP kuhusu kuitisha mkutano wa jumuia, yeye akashauri maoni yatumwe kwa kuandika tu- Mimi bado nikaona haja ya kuitisha mkutano huu, hasa kwa nchi za kusini mwa Afrika - Rais @CyrilRamaphosa @PresidencyZA
99
161
670
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Another day, another loss... nasemaje na moyo wangu uzoee kuondokewa? Lala kwa amani aunt.
120
26
656
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Alhamadulilah today I hosted my friends @wanazuoni family for #EidUlFitr breakfast. Eid Mubarak everyone
Tweet media one
Tweet media two
70
45
645
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Kuna siku utasahau kufuta messages na utashikwa
89
23
635
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Feminist!
Tweet media one
42
30
635
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Miaka 59 baada ya kupata uhuru tumesahau kwanini tulitafuta uhuru wetu. Kama issue ilikuwa madege na mabarabara, tungewaachia tu wakoloni wamalize - Dr Lwaitama @lwaitama1
24
131
636
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Yani kakasirika kabisa..... Halafu mbona kama kikohozi kimemstua Mwigulu
101
59
635
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
2021 tenda muujiza hii pua inywee jamani...
Tweet media one
142
12
635
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
They have endured the worse, but they are still standing firm. A daughter and son of the Soil. #Africa stands with you. #WeAreRemovingADictator
Tweet media one
10
49
633
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Mh Rais @SuluhuSamia najua mimi si mjuzi wa uongozi, ila nafikiri, ni muda muafaka upunguze mikutano (public facing events) na kukaa ofisini na timu yako kusoma mafile, kufanya uchambuzi yakinifu na kuongoza mapambano ya kuokoa maisha ya watanzania dhidi ya korona.
43
48
629
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nauona uwezekano wa baadhi ya karatasi kupata hitilafu za uchapishaji na maneno ya chini chini kukatika....
46
52
613
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Wazee wangu wanajua kutunza makabrasha mno…Form 2F Usagara secondary
Tweet media one
126
17
598
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Mh rais wangu mpendwa @SuluhuSamia mimi raia wako nimekuwa nikiota sana hii ndoto ya kusameheana na kusafiana nia. Unaonaje siku ya mwaka mpya mkanywa chai pamoja na viongozi wa upinzani wakiwemo waliomo magerezani na kufungua ukurasa mpya! Hili liko kwenye uwezo wako Mh Rais
95
161
606
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nimeangalia hii picha jinsi walivyojipanga, nikawaza sanaaaaaa, mno yaniii. #RIPMzeeMkapa
Tweet media one
84
36
594
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Comments za kwenye hii picha zimeniudhi mnoo. I should say vijana wengi humu hawana adabu na ni wadhalilishaji wa kijinsia. Sexism all over. Sad
166
45
600
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Rais @SuluhuSamia amemaliza kuongea. Hotuba ilikuwa fupi sana na kuacha mambo mengi ambayo angeyasemea. Sijui kwanini wameamuandikia a very flat speech. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
103
25
586
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
6 years
Hizi ndizo jeneza "sirikali ya wanyonge/maskini" inazikia watu wake wanyonge/maskini. Wakaamua kufunika na tetron ya mita buku. Kama tumeshindwa kuwazika wanyonge (wanaosemwa ndio wenye serikali yao) kwa utu, staha na heshima, yamkini tumejua sirikali ni ya tabaka gani.
Tweet media one
127
68
585
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
“Emancipate yourselves from mental slavery. None but ourselves can free our minds.” -Bob Marley Good morning world...
13
79
588
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Leo pua vipi? Imepungua?
Tweet media one
139
10
575
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Leo niliwapeleka watoto wakajionee maajabu ya @masoudkipanya bahati mbaya hawakupata nafasi ya kuongea nae. Labda kaka Masoud uandae session ya kuongea na vijana wa rika hili. Ila hongera sana. Sisi pia tunaweza kuwekeza kwenye mitigation kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
31
585
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
#CAG WON, He is our national hero and we will celebrate him #IstandWithCAG But do you know who else WON today? "THE CORRUPT" they will now steal without fear. Tanzanian are the main losers, very same people we mandated them to oversee the government they rejected to do so. SAD
29
119
584
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Tuliambiwa Yesu akirudi ndio mwisho wa dunia, sasa kwa kuwa Yesu karudia Tanzania, tuanze Kuaga au? Naomba muongozo!
66
36
581
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
Mimi ni Muislam, tena practising muslim ila vitu kama hivi vinanikwaza mno. Why Muslims try so hard to be in the wrong side of history? Kwani usipooa mtoto wa 9 utachoma? It's about time tuache hizi madness kwa kisingizio cha dini, no where it says, you MUST marry her at age of 9
Tweet media one
238
81
573
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
#KotiLaKuazima Na kwakuwa hukuwa na mbwembwe karibu uraiani tujenge nchi
27
73
578
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Tweet media one
22
21
562
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kwahiyo wabunge washauvua uheshimiwa wamerudi kitaa unemployed?
48
11
571
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mbona hamniwishi..."Happy Menstrual Day?: Mnakwama wapi? Nasubiri na zawadi za menstrual products.
77
5
567
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Ila watanzania kweli hatujui kuwa tuna satellite schools? Jamani hii nchi ni kubwa mno na hizi shule ni za muhimu sana hasa kwa watoto wadogo kwenye jamii za pembezoni.
65
33
555
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 months
Jamani mimi naomba niulize hili swali ili nijifunze, @yangasc1935 watapoteza nini wakimuacha Fei aende? kama kesi wameshashinda, wameshawaonyesha wachezaji wengine kuwa si rahisi kupambana na mamlaka, mechi wanashinda bila yeye nk. Kitu gani kingine Yanga wanataka kuprove?
220
27
552
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mbona hamjiamini? Kama kweli nyinyi ni bora, si mje uwanjani mpimane uwezo. Kutekana, kupigana, kunyanganyana fomu, kunasema jambo moja tu... kuwa mnajua kuwa nyinyi ni dhaifu.
22
58
541
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Chama gani ambacho HUKIPENDI kutoka moyoni na hutaki hata kukisikia?
ACT
287
CCM
7296
CHADEMA
1380
CUF
990
141
85
534
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Watanzania wenzangu, ukikutana na aliyekuwa mbunge, kwanza mwambie akuamkie- haijalishi kama ni mkubwa au mdogo, pili muombe hela.Tuna miezi 4 tu ya kuwaonyesha kuwa sisi ndio mabosi wao, itumeni vizuri, ila ikifika kwenye kupiga kura 2020, fanya mabadiliko ya kweli. Tuanze upya
38
44
538
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
2 years
Ila pua nimejaliwa si haba. Hapa ndio nilikuwa namdai Mwaipaya hela zetu za uchaguzi
Tweet media one
91
15
533
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Mungu anipe afya njema nikapige kampeni, nyumba kwa nyumba Ukonga kwa @Wakazi na Muheza kwa Josephine.
10
42
532
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Easter kwa pope... na Easter kwetu. Mungu wetu ni mwaminifu zaidi ya mungu wao.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
82
56
524
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Comments ziwe fupi
132
72
505
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Makubaliano ya Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tanzania haikuwakilisha...
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
51
66
509
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Bismillah..
Tweet media one
74
14
512
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Ni mimi tu, ninayeona kampeni ya vegetable zimepwaya? No content, no strategy... au kwao uchaguzi umeisha, wanachukulia poa? Au wakongwe wamekaa kando na ujuzi wao. Kwa mwendo huu, upinzani wakijipanga poa, wanatoboa mchana kabisa.
57
40
509
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Miaka 59 baada ya uhuru bado tunapiga kura chini ya miembe. Halafu chama kile kile kinataka tena ridhaa ya kuongoza watanzania. Kweli?
25
57
510
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Duniani kuna mashujaa halafu kuna @TunduALissu ambae yuko kwenye daraja la peke yake. Sijawahi na sijui kama nitakuja kuona mtu mwenye ujasiri na ushujaa kama wake. Kama wewe hata kutweet tu unaogopa #TunduLissuHomeComing ikufunze kitu. Karibu nyumbani
@TunduALissu
Tundu Antiphas Lissu
4 years
Landed at Bole International Airport Addis Ababa!!! Proceeding to transit lounge now. Will report from there with pics.
309
425
5K
15
89
510
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Who is the boss now? Kila goti litapigwa... #uchaguzi2020 Mbona kama anataka kulia?
128
91
500
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
11 months
Naona Teuzi Dume zimeshika kasi! 8/8 Girl child safari bado ni ndefu sana endelea kupambana
@ikulumawasliano
ikulu_Tanzania
11 months
UTEUZI
Tweet media one
90
162
1K
237
26
514
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Kitendawiliiiiiiiii????? Anayetoa dawa na anayepokea dawa, wote wamevaa masks! Jibu ni................. Hii inatufundisha nini?
Tweet media one
152
36
501
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
Hata nikifa nitatawala tena... Nimemkumbuka Bashite
91
40
501
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
4 years
Nahisi kuna wananchi wa singida hapo wanajiuliza.... anaongelea nini?
44
29
492
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
3 years
So no more kelele za kodi za miamala?! Watu tuko busy na Mwenyekiti, Manara na Bata la Kigoma. Say anything about watawala, ila tuwape heshima yao kwenye politicking! Tunapigwa matukio mpaka akili zinakaa sawa!
69
36
483
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
6 years
This is #Tanzania where a convoy of men shows up in restaurant and measure the height of cooked fish. If the #fish happen to be 2 centimeters less you will be fined. How should we call this? I need creative ideas! #Africa #Weired #ToT #KoT #ChangeTanzania #Government #Odd
Tweet media one
Tweet media two
132
365
478
@MSalimu
Mwanahamisi Singano
5 years
Hivi CCM si kuna umoja wa wanawake? Na serikali si ina waziri wa "wanawake"? Wale wabunge wa viti maalum si bado wapo? Wanaachaje wanawake wanatukanwa na kudhalilishwa kila siku? You know what!? Tukutane 2020... Walai tutawafundisha siasa za wanawake, na mtajuta kutusaliti
40
41
479