Webiro Wakazi Wassira #TheLeader Profile Banner
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader Profile
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader

@Wakazi

248,658
Followers
7,064
Following
7,856
Media
127,806
Statuses

Artist | Activist | Actor | Hip Hop Connoisseur | Content Creator | Politician | Workethic | 1/4 of SSK | wakaziwavina @gmail .com | Link:

Dar 🇹🇿 | Chicago 🇺🇲 | 🌍
Joined January 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 months
Tulianza kama Fans wa each other, tukajakuwa Collaborators, and became Friends later. Tukapishana kauli, then tukaonekana wore haters. Ila mazuri baina yetu yalikuwa mengi zaidi kuliko mabaya, we got cool again and vowed to do big things together again… Haupo nasi tena, ila
91
142
571
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Huyu jamaa ndio maana kuna Watu walitaka kumuua... HE KNOWS TOO MUCH! They dont like that...! Nooo
Tweet media one
95
219
3K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Wimbo wa jamaa yenu sio my cup of tea ila i guess anajua intellect level ya fans wake, nakujua awape nini. Title haiendani na Chorus, Chorus haiendani na Content za verse, na Content za verse zipo all over the place. What are you sayin? 🤷🏾‍♂️ 7 mins long, shows hajui BIASHARA😎
Tweet media one
2K
161
3K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Uhuru Kenyatta... what a CLASS ACT 👏🏾👏🏾 Wow !!
35
141
3K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Bon Voyage Comrade!!! Nimebahatika kumuaga mpambanaji @TunduALissu mchana huu akielekea Belgium. Mungu akutangulie na akulinde... The fight for democracy, justice and equality is ongoing but safety comes first. Aluta Continua
Tweet media one
50
150
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Muacheni msanii aondoke if he wants to leave, hizo technicalities na fines ni kukomoana tu… SIO SAWA! Yes i’m talking about WASAFI
459
114
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Nay Wa Mitego is the most Gangsta artist in TZ... !!! Level yake ya kujielewa ni ya Juu mno, na he's arguably more Hip Hop than most. And by Gangsta I mean Smart & Conscious.
91
188
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Who did this 🤣🤣🤣 its funny must say
Tweet media one
293
171
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
TUZO hazitofikia kiwango chenye ubora, kama tutaendelea kuwapa Wasanii badala ya Sanaa (Muziki). Uki-award Muziki, utazingatia QUALITY na IMPACT. Uki-award Wasanii, utalazimika kuangalia MAJINA na pia kuleta SIASA za ku-BALANCE na KURIDHISHANA. “Music suffers, History altered”
Tweet media one
389
155
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
I stand with THE PEOPLE!!
Tweet media one
49
269
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
9 months
Mkisikia nimeslimu msishangae… I have witnessed the most heart melting thing in my life today. This taxi/uber driver amechelewa kwenda masjid, na Asr ikamkutia njiani, ametoa mkeka na kuswali kwenye jua la 5pm in Houston. what?! I have never witnessed faith ya level hii ❤️
243
156
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Condolences to the Zorro family, rest well sister Maunda. 🕊
Tweet media one
78
123
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 months
Rest In Peace Anne Rwigara, a true revolutionary and daughter of the soil. Sad news from RW 🇷🇼 Damn 🕊️🕊️
Tweet media one
62
124
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Diamond ali-breakthrough internationally after collabo yake na Davido (Number One Remix) na kwa support yenu Wananchi. Huyu hapa @daynanyange ana wimbo na Davido pia, na yeye hana shutuma mbaya, hebu TUMUINUE basi Wakuu. Dayna Nyange ft Davido - Elo:
Tweet media one
63
192
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nimeteuliwa rasmi na Tume Ya Uchaguzi (NEC) as mgombea wa ubunge kupitia @actwazalendo I'm honored & pleased. Asante wote mlioni-support hadi sasa, ila Safari rasmi ndio inaanza and we up for the challenge...NAAMINI MIMI NI MGOMBEA WA WATU hivyo nitawashirikisha kila hatua 💜🤚🏾
Tweet media one
92
152
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 months
Waziri wa Fedha anapima hali ya uchumi wa nchi ya watu Million 60, kwa idadi ya Magari ya Namba E… Welcome to this Circus Nation called Tanzania.
103
243
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Labda mseme jamaa sio mfuatiliaji wa mambo ila sio kwamba hajasoma Civics. Mfano, Bendera ya EAC ni ya 2008. Hata mimi hapo nipo Chuo Ughaibuni tayari. So sio ajabu mtu kutoifahamu. Kuuliza sio ujinga, ila ukimcheka we ndio utakuwa mjinga (maana ni kama hujui generational gap)
Tweet media one
436
46
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 months
Mtu yeyote atakayeamua kuandamana kwa chochote kile anachokiamini na kukisimamia, anastahili pongezi. Wanaoandamana kwa maslahi mapana ya taifa, wanastahili pongezi zaidi maana wameamua kujitoa kwa niaba ya wengine. Kuwakejeli kwa kiwango chochote, ni dalili za ufinyu wa
141
340
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 months
Wanajeshi tunapaswa kuwa-admire, heshimu na kuwashukuru… SIO KUWAOGOPA! Ndio maana nilisema hata swala la kuzuia raia kuvaa nguo zenye mfanano wa uniform zao ni ushamba. “Imitation is the sincerest form of flattery” 🤷🏾‍♂️ Pia kisheria, Wanajeshi hawapaswi kufanya operation
Tweet media one
Tweet media two
148
176
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Wiki hii watu wengi waliongelea issue za mimi kuwa Chicago. Inaonyesha mnapenda hizo story, so ngoja niwape hii Throwback kidogo Me & Wiz Khalifa in Memphis. Aliyepiga picha ni Kevin Durant, maana ni mwanae sana Hasheem Thabeet so Tolu alini introduce nikawa nazurura nae tu 😎
Tweet media one
236
67
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Wanasema Ukweli unauma… Hii imeuma sana inaonyesha, hadi napigiwa simu za vitisho?! 😆😆
232
43
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Mwamba huyu hapa… Mimi na Wanangu kibao haujatukwaza wala nini.
Tweet media one
32
91
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 months
Nimekutana na Mchungaji Hananja mamtoni… He is my favorite! 😁 Nimemwambia akifungua kanisa lake nitajiunga.
Tweet media one
25
48
2K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Nice outfit... It's Showbiz so you have to show up and show out!!! And what better way than showing up in a TZ traditional attire 🔥🙌🏾 As for the awards, you either Win or LEARN; never Lose. Kudos @diamondplatnumz
Tweet media one
52
116
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Mh Waziri H. Mwakyembe, ugonile... Sikubaliani na kauli yako kuwa mpaka mtu awe na ELIMU ndio aweze kufanya SANAA kwa njia ya kukosoa. Basis ya kukosoa ni MORALITY, LAWS, KATIBA, DHAMIRA, ETHICS. Sio ACADEMIC ACHIEVEMENTS Kama mmeruhusu kusifiwa basi expect kukosolewa. Ndaga
109
189
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
When Jokate became the DC (Kisarawe) many people criticized the appointment, question ing if it was merited. She's moved to Temeke and I'm sure Kisarawe are saddened by it. She's left a mark there that will live forever.
91
88
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Wanasema hakuna excuse for being ignorant, Ila still sitaki kumhukumu Diamond for this.. aka edit video if really wishes to keep/penetrate US market maana Confederate Flag kwenye “Gidi” italeta ukakasi mno, labda wasiuzingatie tu wimbo. His team should research better too
Tweet media one
214
89
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Oyaa vipi wapwa… nije tena au bado makasiriko hayajapoa?! #BEBERU 🐐
Tweet media one
419
35
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Unamuombaje radhi Rais wa nchi kwa kufungwa?! Kwani hii ni team yake au team ya Taifa... Na hata kama ingekuwa team yake (it's not) huombi radhi just because umezidiwa kimchezo, na pia wewe sio mchezaji wala kocha ambae directly umehusika na kufungwa. What the hell man?! Smh 😔
163
153
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Kuhusu Tweet ya Sallam, sidhani kama alikuwa ananiongelea mimi wala kama ni response ya Post yangu. Sallam anajiamini vya kutosha kuni address mimi directly Besides, I only call privately Women I adore na Watu naowadai hela. Kama hayupi kwenye hayo makundi, ni MUONGO sijampigia
Tweet media one
164
62
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Interesting times… put in work, until they see your worth, and then put you to work. Natumai moves za anko wenu @rollymsouth zimewa-inspire wapwa!! Mpeni support sasa kwa kusikiliza religiously… maana better ratings & listen-ship ndio ushindi wake. #SupportYourOwn
Tweet media one
42
65
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Kuna mpwa kasema "Twitter kama hauna followers, unajiongelesha tu" Yes, it's designed hivyo, but eventually like-minded people watakuongelesha. Thamani yako haipo kwenye idadi ya followers bali quality ya Maudhui. Kuna watu wana few followers ila I have them on notification. 🤷🏾‍♂️
70
108
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
I wanted him to lose, to be humbled kidogo… come back to earth! You know 😁
222
39
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Happy Birthday MOM... I love you so much ❤️ #Rachel
Tweet media one
56
46
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nimeshtukia Wapwa wengi wakini-tweet sioni tweet zao, mpaka ni search "Wakazi". Sipendi mtu aniulize kitu cha maana alafu nishindwe kujibu kisa simfollow. So, solution ni moja tu... Weka handle yako hapa kwenye reply ili niku FOLLOW, maisha yaendelee #WapwaTuinuane
709
91
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
The Brand | The Owner
Tweet media one
Tweet media two
195
271
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
We perpetuate CHUKI badala ya kuja na "Way Forward" that's inclusive na zenye manufaa ya wote. Kutompigia Kura Diamond kisa ali-support CCM, huna tofauti na wanaomnyima Wakazi opportunity sasa hivi kisa alikuwa Upinzani. Ningewaona bora basi mngetu-support sisi basi 🤷🏿‍♂️
345
127
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Kuna tofauti kati ya UMAARUFU na UBORA wa Musicians. Being popular doesn’t necessarily translates to being The Best. That being said, nakubali kuwa Diamond Platnumz is Top 3 in popularity, ila kwa Ubora (artistry) that is a reach… Kuna watu wanaupiga mwingi zaidi yake.
321
99
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nimesikia COSOTA inahamishiwa Wizara nyingine, na tamko hilo lilivyotoka Wasanii wakashangilia sana. Ni dhahiri kuwa hawajui hata wanachokishangilia. Tatizo sio nini kipo chini ya nini, bali huko huko kilipo je, kinawezeshwa kwa kiwango kipi?! Hebu ngoja tuwekane sawa kidogo...
98
202
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Wajerumani hawanaga shughuli ndogo... Jana ndio nime confirm kabisaaaaa!! 🙌🏾
41
68
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Majamaa waliomba ku-host World Cup ya nini, kama walijuwa hawatokuwa welcoming to the rest of the world’s culture & norms.
313
44
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Arguably album of the year thus far! Harmonize’s MADE FOR US is a sweet project, bit personal but overall relatable. Uandishi makini, na pia ame-push his creativity kwenye uimbaji na uwasilishaji. Album ya 3 ndani ya miaka minne… Mmakonde anaweka historia taratibu! kudos 🙌🏽
Tweet media one
82
86
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Wakati nipo ughaibuni, nilikuwa sielewi pain ya Martin Maranja everytime alikuwa ana tweet, “Kipara rudisha Umeme” (felt like a joke/troll) Since nimerudi kwa glaundi, I feel every syllable on that sentence! It is frustrating & goes without saying COSTLY. 😔
61
96
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
10 months
Oyaaaa HII IMEENDA! 🔥🔥🔥
Tweet media one
39
65
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Ohio, USA 2012 Dar, TZ 2020
Tweet media one
Tweet media two
60
48
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
10 months
In two weeks time Konde Boy has released 4 songs (3 in one day) and two with videos. Can’t help but admire his work ethic… Nyimbo zote nzuri (haja tupunja quality), pen game on point. Digital era inataka quantity, ila on a consistent basis… if he can keep up, Balaa tunayo!
Tweet media one
39
87
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
6 months
Ila Harmonize smh !! 🙌🏽 Hii “Tabulele” itakuwa shida mjini Yanga sasa hivi inaongozwa na Wajanja sana. Super Proud @Yanga1935
Tweet media one
29
62
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
6 years
Aliyemteka Mo Dewji either anajiamini sana au sio mwenye akili timamu. Yaani anamteka mtu karibu na kwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Headquarters za Usalama wa Taifa. Alafu ana mtupa karibu na Ikulu. BILA UOGA KABISA!! We need to revise our security systems kama nchi.
72
260
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nikki my friend, you fighting a battle that you can't win. It's true WASANII TUNA NJAA, but also you can't change opinion or rather expectations za wananchi kutoka kwa Wasanii especially when we don't do enough (if at all) in playing our role as KIOO CHA JAMII. Those are FACTS!
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Unaweza kusema eti yule anaendekeza njaaa, kumbe na wewe ni njaa tu ndio inakupa hasira za kusema hivyo
372
76
1K
97
169
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Kiongozi wetu wa Chama cha @ACTwazalendo ndugu @zittokabwe Pamoja na baadhi ya viongozi wengine muda huu wamekatwa na Polisi wakati wakiwa wanaendesha kikao cha ndani cha kukaribisha Madiwani wapya.
Tweet media one
74
86
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
If "Cha Arusha" was a person 😁😁
Tweet media one
44
31
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Sallam SK is out of pocket with that comment kwa P Funk, kwamba eti ameifanyia nini Music Industry? Duh Kila mtu ana mapungufu yake, ila heshima lazima ifuate mkondo wake. P is a whole legend and then some… Sallam is wrong.
104
75
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Niambieni ni msanii gani gangsta zaidi ya huyu pichani... nitasubiri. @idrissultan welcome home shemeji, Eid yetu tutaisherehekea weekend. Ila hakikisha umesajiri laini ya simu 😁🙌🏾
Tweet media one
53
50
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Happy Birthday Mr West... was a pleasure to meet you back then. @kanyewest #ChitownWhatsGoingOn
Tweet media one
119
53
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
We need to protect G NAKO at all costs !!!
92
86
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Leo ni Leo…!! 💛💚🖤 @yangasc1935
Tweet media one
40
28
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Congrats @diamondplatnumz !! Wish you the best huko. #SupportYourOwn
Tweet media one
23
101
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Inawezekana nisiwe Mvuta Bangi ingawa nitakuwa muongo nikisema sijawahi kuvuta, ila hakuna aspect yeyote ya Mmea ule inaweza nifanya nione ni sawa kuwa Kosa la Jinai, ukizingatia Duniani kote ni kwa sasa ni ruksa for Medicinal & Recreational use. TZ where are your priorities?
110
112
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Asanteni wote mlionipigia Kura kwenye kipengele cha Album bora. Unfortunately hatujashinda, ila we are still winners for making it thus far. Hongera kwa Ali Kiba; it was a tough category but King Kiba is a deserved winner. 👏🏾 Shoutout to Marco Chali, Harmonize & Weusi too.
Tweet media one
91
58
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Mwambieni "Professional Boxer" wenu Hassan Mwakinyo, sisi Wananchi Wakawaida na Wanyonge tupo upande wa Bondia wetu Twaha Kiduku... Alipo tupo! 🥊🥊
112
43
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nimekula ugali samaki jana pale Shishi food mida kama ya saa kumi jioni hivi, hadi leo muda huu bado nimeshiba.
98
26
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
#WCW @fatma_karume 😍😍 I love me some Shangazi. Only weak men, would be intimidated and run scared of a strong black woman. Real men would appreciate & cherish one.
Tweet media one
7
90
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
"SOME PEOPLE ARE SO POOR THE ONLY THING THEY HAVE IS MONEY" Kuwa Masikini, Fukara or having financial woes, hakukuzuii kuhoji, kuwa na hoja, mtazamo au msimamo. Thamani yako ipo kwenye Tabia, Utu na Moyo wako kwenye kusaidia wengine. Fedha ni Majaliwa na Nyongeza.
48
210
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Steve Mengele; • Hakidhi vigezo vya nafasi alizopewa (Spokesperson & Chief Strategist) • Kateuliwa kinyume na Katiba ya Shirikisho • Sio mwanachama wa vyama vya muziki (they forged & forced it) • Hana weledi, juzi, uzoefu wala exposure ya kuwa msemaji wa sekta hii.
135
172
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
FREE GIGY MONEY !! Kuna Wasanii tena wakubwa wanafanya mambo ya ajabu, kinyume na Maadili tuliyoyazoea, wanaachwa HURU, alafu GIGY MONEY ambae alitumia "Ubunifu wa Mavazi" akashutumiwa yupo UCHI na kufungiwa Miezi 6. Gigy ni MAMA na anategemewa na family yake. IT'S NOT FAIR !!
Tweet media one
74
127
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
So alivyojitutumua kusema "I'ma go gerrah" mkamcheka. Sasa hivi kapiga "yes" kama asiyejua, mnacheka tena?!... Sijapenda kwa kweli. Kiingereza ni lugha tu! And news flash, "Y'all laugh, he is moving forward".
Tweet media one
88
77
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Uncle Bernard Membe amekemea na kulaani vitendo vya utekaji wiki iliyopita, guess what, msaidizi wake ametekwa. Naomba nichukue fursa hii kusema, "Watekaji mimi sina tatizo na nyie, endeleeni kuchapa kazi. Hapa Kazi Tu. Akileta mtu shobo, TEKA tu, kwanza inaruhusiwa KIKATIBA" 🌚
115
91
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
8 months
Muziki umenipeleka Malawi, SA, Naija, Kenya, Majimbo 10 ya Marekani. Nimeshirikiana na Wasanii wa Kimataifa zaidi ya 20, Umenipa nomination za Local na Kimataifa, nime-manage Wasanii wakubwa na wadogo, na pia nimekuwa mentored na TZ OGs… Kweli Chapo anaujua kuliko mimi? 🤔🤔
248
53
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Politics as Usual… 😔
80
38
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Captain Leader Legend.... #FAM
Tweet media one
43
96
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Sioni tatizo la hiyo clip ya Fei na wanaompangia cha kusema. He is not media trained, so ni sawa PR manager akim-guide kipi cha kusema na jinsi ya kusema. Pia kama ni Mwanasheria wake, pia ni sawa… always unasema mlichokubaliana. Lets stop with the pettiness…!
120
79
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Rais @MagufuliJP mbona vyombo vya dola vinachezea hela za walipa kodi hivyo? Wamemkamata MCHEKESHAJI @IdrisSultan kwa kucheka akiwa mkabala na hii picha yako uliyovaa suti. I saw the pic kwa mtoto wa Rais Kikwete, I laughed too cause it is hilarious (oversized suit) #FreeIDRIS
Tweet media one
Tweet media two
83
166
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Naona picha yangu na Wiz Khalifa inatumika kama silaha ya vita huko Instagram... Mimi simo!!
61
12
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
7 years
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni... MANGE KIMAMBI I commend you for your efforts za michango ya Tundu Lissu. Salute
42
126
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Baada ya kuteuliwa rasmi na chama cha @actwazalendo kama mgombea wa ubunge jimbo la Ukonga, LEO SAA 4 Asubuhi (10am) nitaenda kuchukua fomu za Tume ya Uchaguzi (NEC). Ni tukio muhimu na la kihistoria kwangu, hivyo wote mnakaribishwa kulishuhudia.
Tweet media one
Tweet media two
32
82
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Tatizo la Roma he is small minded when it comes to Music… anawaza atoe radio hit, iwike, aitwe kwa show!! ku-stay relevant kwake ni kiki za kibongofleva… ndio maana brand yake inakuwa haina value. Anaishia kutokwa povu akiona Wajuba tuna-make Corporate Moves; ali hate hii 😎
Tweet media one
Tweet media two
228
45
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Sijui Dodoma na Mwanza, ila vifo vilitokea Dar kwenye (stampede) kumuaga Rais JPM. Idadi haijulikani; wanadai 100 wanafika. Serikali haijatoa tamko so sidhani kama wamezisaidia familia. Hii familia imepoteza watu 6. TOT Tungewachangia kwa kweli, I'm ready kutoa. #MtuwaFamily 🙏🏾
Tweet media one
66
102
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Nimezunguka Jimbo la Ukonga katika Kata zote 13. Licha ya kupokelewa vizuri, bado kuna mambo yanasikitisha na kuhuzunisha: • Watu wamekata tamaa ya mabadiliko • Watu hawana hamasa ya kupiga Kura • Hali ya Uchumi, Miundombinu na Huduma za Afya ni mbaya sana WE NEED CHANGE !!
Tweet media one
36
97
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Wajuaji mmechonga weee "Oh mtajengaje airport Chato, kuichumi it doesn't make any sense". Stelingi kaenda kujenga "atifisho" National Park. Chukua twiga, sukuma chato, chukua swala sukuma chato, chukua chatu sukuma chato... 😁 Now tutaanza kuchukua DORRAS za WATALII. 🌚
89
101
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 years
Kinyume na popular belief, mimi ndio niliongea machache zaidi kuliko wote hapo. I know you wont believe it but it is a fact! 😁 MwanaFA, Roma, Me & AY
Tweet media one
54
29
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
9 months
Oyaa watani, jezi lenu baya, wachezaji vibonge 😄 ila kwenye Wimbo mmetisha!! Again Marioo had a banger for us, it just didn’t age well. 😀
Tweet media one
40
26
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Tanzania nchi ya ajabu sana. Mawaziri wapo mitandaoni trolling "invisible people". Viongozi wengine wanasoma magazeti redioni, wengine wanarusha vijembe na matusi kwa wananchi waliowachagua. Putting politics & affiliation ahead of Utu na Maendeleo. You are leaders, act like it!!
71
157
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
3 years
Hongereni Wasafi kwa $5 million deal. Ingawa kama mmetuingiza chaka vile. A "Record Deal" or "Publishing Deal" ndio unapewa upfront money, ila "Distribution Deal" huwa ni makubaliano ya % with Distro Co. Watu wanasema ni diversion maana Habari zenu wanazo kutoka kwa CAG. 😁😁
69
68
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
“Nasema sikuachi, nakupenda wewe na huyo bwanaako” 😆 Singeli imeshindikana…
76
39
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
This album is so good… damn!! can’t pick a fave song so far. Kante, Na Money, Feel, Over Dem, Unavailable, For The Road, Away…. 🤯 🔥 After what he went through, let this man rule the world now. #Timeless @davido
Tweet media one
28
173
984
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Eid Mubarak to all muslim brothers & sisters. May Allah (SWT) hear your prayers. Enjoy the festivities and stay safe. The Leader
Tweet media one
121
38
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 months
Nilifurahi sana kukutana na Mr Nice, pia alipiga bonge la show. The Legend still got it… Tuwa embrace Icon wetu, na kuwa appreciate.
Tweet media one
Tweet media two
31
44
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Jana baada ya kupewa nafasi kuwasalimia wanafamilia wa @ACTwazalendo nilitumia fursa hiyo kuweka nia ya kutaka kugombea ubunge katika Jimbo la Ukonga. Msukumo umetoka kwa vijana, mashabiki, wanachama, ila muhimu zaidi ni kiu changu cha kutaka kuona Mabadiliko na Maendeleo. 💜🤚🏾
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
46
86
991
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Naona Wajumbe wa Zambarau wamekuwa wakarimu kwa ndugu yangu Baba Levo. Hongera sana kwa kushinda kura za maoni ya Udiwani (Mwanga Kaskazini). 💜🤚🏾
Tweet media one
8
32
980
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Hili ni tetemeko la Ardhi limetokea hapa Stakishari Ukonga au... who else felt that?! 😳😳
118
14
968
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 months
Lifestyle…
Tweet media one
61
20
1K
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
10 months
NI KWELI… na hii new freestyle Lunya kaonyesha flows galore. BUT lyrically Lunya anasubiri sana kwa Killer. (achilia mbali Killer ana catalog iliyoshiba tayari). Killer anakalisha hata baadhi ya kaka zake… LYRICALLY SPEAKING Ila both are superb young pitbulls. Salute to em
@TillahBlessed
Blessed Tillah (MBARIKIWA)
10 months
Young Lunya anasema Young Killer sio mkali wa Flow! Ni kweli?🤔
Tweet media one
96
30
563
128
50
982
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
4 years
Naona wabongo wanapaza sauti kuhusu injustice juu Back American aliyeuwawa mikononi mwa polisi huko Minneapolis, Minnesota. Ila hapa nchini when injustices are done kwa watu wetu, wote mnapiga Kimya. Tunafurahisha sana wamatumbi sie...
85
127
965
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Nikki Mbishi is doing the damn thing!! Pushing his music na kuipa TZ Hip Hop maisha katika nyakati hizi zilizotawaliwa na Bongofleva. I'm proud of him, na pia I'm honored to be one of his collaborators.
39
99
943
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 months
Nyie madogo hebu tulieni. Najua Kiingereza kuliko wote nyie. Wakati mi naangalia “Wizard of Oz” na “Marry Poppins” wengine hata kuzaliwa mlikuwa bado. Wakati naangalia James Bond, hata TV hamjanunua. Wakati naimba nyimbo za wanyamwezi, nyie mnaangalia Nsyuka na Tausi. 😩
135
45
984
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
RC kwa kutafuta "unnecessary headlines" tu hajambo. Someone tell him afanye majukumu yake kikazi na si kuleta ubabe wa nguvu ya dola. Aache comedians @IdrisSultan wafanye kazi zao Cartoonists wana mchora daily @MagufuliJP wala Presidaa hajawahi ku-mind I wish I was President
Tweet media one
71
93
931
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Happy Birthday Langa…
Tweet media one
24
23
948
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
1 year
Ila speech ya Juma Pinto kwenye msiba wa Lemutuz ilikuwa ya hovyo sana. Kwa mara ya kwanza nimeona mtu anazomewa msibani… smh Jamaa alikuwa anataka maua yake kwenye msiba wa mwingine 🤦🏾‍♂️
70
30
953
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
Rest In Peace King Zillah. (Golden Jacob Mbunda)
Tweet media one
66
131
908
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
2 months
By the way, mngebaki nae kwenye Chama tu maana huko hatuhusu sisi. Ila kumrudisha kwenye uongozi wa Umma sio kuupiga mwingi wala nini. HATUJASAHAU Ni kweli mtoto akikunyea mkononi huukati, ila hupaswi kumpa mkono tena wakati BADO ana tumbo la kuhara! I personally know vijana
Tweet media one
113
121
957
@Wakazi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
5 years
"Nilishanyimwa nauli na walioniambia Maisha safari" - Maarifa 😄😄😄
26
101
897