Nikkwapili Profile Banner
Nikkwapili Profile
Nikkwapili

@nikkwapili

662,623
Followers
767
Following
971
Media
41,764
Statuses

U.R.T Presidents’ Office-District Commissioner Kibaha, Pwani

Tanzania
Joined October 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu, pili Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe, nawashukuru pia wote mlio nitumia salamu za pongezi asanteni sana. Zaburi 121:5
Tweet media one
597
313
6K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Kisangire Kisarawe big day
Tweet media one
281
98
5K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
My all time bodyguard
Tweet media one
119
85
5K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tweet media one
60
55
4K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Leo siku nzima nikiongozana na kamati ya usalama, Mkurugenzi na wakuu wa idara tulikuwa tarafa ya Sungwi, tukipitia miradi ya maji, ujenzi, afya, tehama na uwezeshaji wa vijana.Kujifunza kwa kuona unaelewa haraka zaidi tuanzie field ndio twende kwenye mafaili
Tweet media one
263
149
4K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Timu ni moja..Tanzania, ushindi wetu ni Maendeleo ya Wananchi
Tweet media one
156
137
4K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Wapwa followers ni hella, usimskize anayekubeza ukiwatafuta, cha msingi watafute katika namna iliyo staharabika usidhalilishe wala kushusha utu wa mwingine ili kupata followers...kwa hiyo kauli mbiu iendelee wapwa kuinuana...mm ntawapa michongo wapwa
632
243
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Undugu + Upendo= Weusi
Tweet media one
83
86
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Happy birthday beautiful/queen-maisha yako kwangu ni zawadi
Tweet media one
95
69
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Family ❤️
Tweet media one
87
65
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
7 months
Field work
Tweet media one
26
71
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Best CPAT student-12M- tumepita nayo kiarusha tunasema chap kibingwa 💪💪💪
Tweet media one
89
62
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Nataka nifollow wapwa kumi wasio julikana lakini wanavitu interesting katika TL zao, iwe elimu, ubunifu, ucheshi ama vyovyote lakini exciting....naomba mnitajie hao wapwa niwainue
704
93
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Uzi kama uzi nataka kuinua wapwa wawili niwape uzi- Njoo DM
Tweet media one
143
93
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
9 months
Motivation to my self
Tweet media one
Tweet media two
144
132
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
My weekend pic .....👌👌🎈❤️
Tweet media one
184
45
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Uzi kama uzi nani anasema sio mkali
Tweet media one
316
64
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
6 months
On duty
Tweet media one
54
42
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ruge aliniambia niangalie vijana wazuri kitaani au chuo ninao ona wanafaa niwapeleke, nika mwendea na list nikawa namweleza elimu zao, akasema mbona wanieleza sana elimu zao mimi kuna watu wengi hapa Clouds sijui hata elimu zao, ila nafahamu uwezo na vipawa vyao, sio vyeti
170
132
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
8 months
Happy birthday my BiG/blood brother King @JohMakini Mungu akubariki sana sisi tumekubariki pia
Tweet media one
69
59
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
7 months
Ongeza akili upunguze makasiriko
Tweet media one
123
108
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
8 months
Wanajeshi Asanteni Sanaaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
13
54
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Picha kubwa kuliko.....
Tweet media one
82
68
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
It’s weekend wapwa kula bata na mama life ni fupi
Tweet media one
146
32
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Happy birthday Papa Don Mwamba @JohMakini , GOD Did, Lafamilia 4 Life
Tweet media one
56
56
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Mother’s Day- thanks kwa kunifanya nikuwe kimipango, mawazo na mishe
Tweet media one
52
39
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tweet media one
93
35
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Big boys
Tweet media one
69
44
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tweet media one
38
44
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
❤️
Tweet media one
Tweet media two
78
63
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Hivi dini ya ukweli ni dini gani??
1K
87
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Upinzani wetu ndio umoja wetu Yanga vs Simba =Tanzania yenye upendo
Tweet media one
103
87
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Mwanaume shujaaa ni yule mwenye pesa alafu hana michepuko
311
94
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Ronaldo 2 Man city 0
Tweet media one
288
45
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Kupinga ubaguzi nikupiga mbishe zako tafta hela zako uhame uswahilini ukaishi uzunguni
824
68
3K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Iphone ya macho matatu inavyo kubalika leo na kusifika ndivyo ambavyo iPhone 6 ilikua inakubalika miaka kadhaa iliyopita.... isikupagawishe, lakini thamani ya mwanadamu ya leo ni ile ile naya miaka elfu mbili iliyopita..usiuze utu wako kwa sababu ya mabati na aluminium
170
161
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Wapwa nimefika TBC leo huyu dada anaitwa Mkabesah na account yake ni hii ⁦ @mkabesah ⁩ kwa hivyo hii ingine ni parodi hii hapa ni feki @ElizabethMramba ipigeni chini account sahihi ni ⁦ @mkabesah ⁩ TBC ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
288
92
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Unalaumu wasanii kupenda chama flani wakati wewe mwenyewe unapenda chama flani...
865
120
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
10 months
Kama sio mtunzaji mzuri wa fedha epuka mikopo
Tweet media one
60
106
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Thanks Mhe. @jokateM nimepokea kijiti #kaziiendelee
Tweet media one
88
92
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Kusema kijana aliyetoka chuo akazalishe ajira ni muujiza, hata chumba cha laki kulipa kitamtesa, muhim apate taasisi, kiwanda, au kampuni afanye hapo, apate ujuzi, experiences, Mtaji,network..miaka kadhaa baadae anaweza na yeye akaanzisha cha kwake akaajiri wengine, Ajira kwanza
341
230
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Mwanafunzi huna iphone kwasababu ww ni mwanafunzi, haipatikani shuleni hiyo unaipata ukipata kazi au ukiwa unapiga mishe zako, acha kujipa stress zisizo na msingi au kutumika kirahisi, wanao kupa hata wao hawakua navyo wakiwa mwanafunzi kama wewe
129
123
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Kama twit yangu inakupa hasira sio kosa langu nikosa lako kufanya twit yangu kuwa na nguvu kwenye ubongo wako kiasi hicho na kupandisha hisia zako kama mlipuko wa volcano
264
60
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ukitaka kua mwandika comments au twit nyingi ambazo ni positive tafuta hela
244
55
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Namshukuru Mwenyezi Mungu jana katujalia binti tumempa jina anaitwa Zuri, pili namshukuru mama zuri, safari ya kuja kwake imenifunza mengi sana, ule mchakato wa kujifungua umefanya nizidishe mara 10000 upendo wangu na heshima yangu kwa wanawake wote duniani
206
67
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Asilimia 98% ya wanafunzi kidato cha sita wamefaulu... unafikiri kwa nini kidato cha sita ufaulu huwa mkubwa kuliko kidato cha nne???
204
36
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Badili kwanza ghetto lako kabla hujafikiri kubadili taifa lako
150
85
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
8 months
Cha msingi Maombi
Tweet media one
60
30
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
6 months
Tume wafunga au tumewaponda ponda
Tweet media one
45
42
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Hivi rais wa wapwa alipatikanaje???
235
28
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Una mwacha mdada mwenye future kwa sababu ya mwenye chura na kucha
143
79
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ole sijamwelewa kabisa leo
368
35
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ukiwa na hela ni ngumu kuambiwa wewe sio type yangu.... wapwa tutafteni hela
120
87
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tweet media one
38
24
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Hope tutakuwa na msimu mzuri salamu kwa mashabiki wote wa united popote mlipo
Tweet media one
129
64
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Tuinuane wapwa
493
92
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Tabia ya kuwaandaa wanafunzi kwenda kujiajiri kupitia speech ya siku ya graduation sio sawa kabisa, kama tunataka vijana wajiajiri tuwajengee ujuzi wa kufanya hivyo toka ngazi za chini
120
166
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tweet media one
57
26
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Tafuta hela zako, kua na mpenzi wa ndoto zako, saidia ndugu zako na tunza afya yako.....
111
187
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Niwashukuru wote mlio ipa promo money heist season 4, mmefanikiwa kunipotezea muda wangu
170
50
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Wazazi wakitengana mtoto akiishi na baba hua anakua pia na upendo kwa mama ila akiishi na mama kumpenda baba ni hua inategemea 😂😂
135
119
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Vijana mtanipinga sana ila nawaambia ni rahisi sana kua maarufu kwa harakati za maneno ya kukosoa siasa au serikali za Africa sababu mataizo ni mengi.....ila ngumu sana kua maarufu kwa namna za kina Ruge,Mengi, Mo, bakhresa, Kusaga...na Hawa ndio hubadili maisha ya vijana wengi
306
128
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Unasoma degree ya masoko, unapata GPA kubwa, unabakizwa chuo, unafanya masters, unaanza kufundisha juu ya masoko ingawa hujawahi kuuza chochote
125
102
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Mweshimu mwana anayekukumbuka wakati amepata
35
112
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Good boy
Tweet media one
77
26
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Twitter ndipo nilipojifunza kua mwanamke na mwanaume ni sawa, kwa sababu ningumu sana kutofautisha tabia za wanaume na wanawake hapa Twitter
319
55
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ole alipo ifikisha timu inatosha united watafute mwalimu mwingine
163
20
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Hip hop 🔥🔥🔥
Tweet media one
54
51
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
1 year
Nawala haturingiii
Tweet media one
0
58
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Jamii ya wapwa nikubwa, utapata marafiki, michongo, wachumba, maarifa nakadhalika daah hakuna kama wapwa
130
59
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Ukisha kua na Majukumu Mengi kudaiwa ni kitu cha kawaida kabisa
107
98
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Top 4 lazima kwa united... tunahitaji kushinda game tatu zilizo baki, na tuta shinda
175
30
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Namna kura zilivyo pigwa na kuhesabiwa kwa uwazi ni jambo la kupongezwa, Hongera chama cha mapinduzi
68
42
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Unamwonea wivu jamaa ana msichana mzurii, au msichana ana jamaa mwenye hela, kumbe huo uzuri ndio stress za huyo jamaa, na hizo hela ndio chanzo cha majanga kwa huyo msichana....kama uko salama na mambo yako hayo ndio mafikio yako rizika na chako
91
101
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Natafuta marafiki wapya
273
48
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Kushangilia united pia ni shule nzuri ya kujifunza namna ya ku-manage hisia zako
87
41
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Clouds Fm sio tu ni redio ni Nembo ya ubunifu, chuo cha ubunifu, kitabu kinacho paswa kusoma juu ya ubunifu... kweli wingu limerudi kwa uhakika wa mvua na jua kunyesha shamba la burudani.. mmetisha @cloudsfm 🔥🔥🔥🔥
67
61
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
9 months
Yanga tumepiga penalt mbovu kabisa lakini sheria nayo haifuatwi kipa anatoka miguu yote nje ya mstari
246
81
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Hela ambazo huna zipo ndani ya hella ulizo nazo
93
97
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Gari ya kwanza kununua kwa jasho lako inakuwaga ni gari kali sana haijalishi ni gari gani
105
51
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Moja ya vitu vinaumiza kuviona mtu ana masters analipwa laki 8 ....daah ni tatizo la kiuchumi, kielimu au nikushuka chati kwa vyeti?
231
78
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Zoezi ni rafiki nalamuda mfupi, tayari nimehesabiwa, hakikisha una hesabiwa, niwatakie siku njema ya Sensa kwenu wote
Tweet media one
159
35
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
10 months
Pale unapoambiwa muda wa michezo umekwisha
Tweet media one
25
27
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Tunainuana kwa ku follow back, RT, likes au kupeana michongo???
342
130
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Unawezaje kumfunga City na Tottenham ndani ya wiki Moja??????
175
50
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
3 years
Sikujua kama hii account ina nguvu kiasi hichi
262
23
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Tozo kweli ni maumivu lakini vipi matokeo yake? Tumeweza kujenga vituo vya afya 150 na kukamilisha madarasa 560 ndani ya miezi kadhaa. Tuna mkumbuka Orwell alivyo eleza kiundani maumivu waliyopitia Waingereza katika kutafuta maendeleo yao???je kuna maendeleo bila maumivu??
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2K
124
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
It’s a wrap
Tweet media one
55
22
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
2 years
Niambie wimbo wako bora kutoka kwangu
608
32
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
1 year
Tunakula weekend
Tweet media one
2
22
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Nirahisi kutowa lawama kwa sababu ni ngumu kutowa solution... kumekucha tukazisake solution
153
46
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Inasemekana kwa mwalimu nyumbani kwake kulikuwa na Vitabu elfu 8, wewe ghetto kwako kuna vitabu vingapi
289
34
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Kijana wa karne ya 21 bado anaunga mkono kupiga wanawake, upande mwingine wa dunia vijana wanatafuta kwenda 5G
209
43
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Lakini ukifanikiwa sana watu hawapendi ndio mana tumeshangilia sana kipigo cha Liverpool
112
53
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Kutoka Weusi Bonta, ametia nia ya kuomba ridhaa ya kuomba nafasi ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
99
55
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Stori inayosema Mungu alimuumba kwanza mwanaume, alafu baadae akaja kumuumba mwanamke kutoka mbavu zake, nadhani iko hivyo kwa sababu imeandikwa na mwanaume na iliandikwa kipindi ambacho jamii zilikua nyuma sana katika haki za kijinsia, ni Stori ya kimfumo dume
1K
98
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Arsenal wamefanya swala la Manchester united kubeba kombe la FA kuwa rahisi mnoo
232
27
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Kitakacho badili maisha yako sio ndoto kubwa uliyo nayo bali ni vitendo vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku
66
140
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
4 years
Wali maharage vs Ugali dagaa nani legend????
474
28
2K
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Walio nipa kibali cha kusherekea siku hii maalumu ❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
52
33
2K