2021 nikikam huku kusema nichangiwe mzae wa mine amededi, mkaniita miano,,, mkafanya nikapost huku ma burial permit, ile barua huwa unaandikiwa ya date mtu amededi, mimi naeza fake mzae wangu amededi but nyinyi hamuwezi fake mtu ako ICU, naaaah, it has to be fair