OFISI YA RAIS TAMISEMI Profile Banner
OFISI YA RAIS TAMISEMI Profile
OFISI YA RAIS TAMISEMI

@ortamisemitz

55,537
Followers
80
Following
6,323
Media
6,728
Statuses

Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, (Official Page for PO-RALG) 1923 Dodoma Email: ps @tamisemi .go.tz Mji wa Serikali Mtumba

Dodoma, Tanzania
Joined October 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
111
137
2K
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
AJIRA MPYA ZA UALIMU NA AFYA, 2023 Mtakumbuka kuwa mwezi Aprili, 2023; Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitoa kibali cha ajira ya watumishi 21,200 kati yao 13,130 walikuwa wa kada ya Ualimu na 8,070 wa kada za Afya.
Tweet media one
135
116
2K
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
RAIS SAMIA ATOA AJIRA 21,200 ZA ELIMU NA AFYA “Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia ameridhia kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za Ualimu na Afya.
Tweet media one
183
158
2K
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
144
78
1K
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
74
34
996
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
23 days
TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII 8,900.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
54
154
846
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Vijana nane wafungua zahanati kupitia mkopo wa halmashauri VIJANA nane ambao ni wataalam wa afya pamoja na mwanasheria mmoja kutoka katika Jiji la Dar es Salaam wamejiajiri kwa kufungua zahanati kupitia mkopo wa halmashauri.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
76
118
820
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 month
TAHASUSI (COMBINATION) ZA KIDATO CHA TANO,2024
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
151
218
828
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
7 months
Kurejeshwa kwenye Kituo cha Kazi cha Awali
Tweet media one
162
69
712
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tangazo la Nafasi za Ajira kwa Kada za Afya na Ualimu. Kuingia kwenye mfumo bofya Kila la Kheri kwa Waombaji wote.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
91
130
676
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Tweet media one
242
67
616
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA NA ELIMU,2022
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
54
139
602
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
64
45
556
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tunapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa Mhe @samia_suluhu_hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa fedha kiasi cha shilingi Bil. 130.5 kwa ajili ya ujenzi wa shule za Kata 214 za Sekondari na Shule 10 za Wasichana za Mikoa (Shule 1 kila Mkoa). 🙏🏿🙏🏿🙏🏿 @ummymwalimu
Tweet media one
Tweet media two
384
83
544
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
4 months
Tweet media one
268
60
558
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
12 days
LANDCRUISER PRADO TX Wakuu wa Wilaya wanajukumu kubwa la kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ikizingatiwa kuna fedha nyingi zimepelekwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya…
Tweet media one
347
49
558
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
58
27
541
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
7 months
Taarifa kuhusu mwanafunzi SIFIKA DANIEL REUBEN kuzuiliwa kudahiliwa Shule ya Sekondari Namwai kwa masomo ya Kidato cha Tano,2023.
Tweet media one
112
73
503
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
MAELEKEZO ZUIO LA BAJAJI NA BODABODA JIJINI DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi @ortamisemitz , Mhe. @innobash amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Amos Makala kusimamia usitishwaji wa zuio la bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Tweet media one
84
38
437
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI,2023. Wanafunzi 188,128 waliokidhi vigezo wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule mbalimbali nchini pamoja na Vyuo vya fani mbalimbali.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
22
39
416
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
#TUMEGUSWA @ortamisemi imeona video fupi inayotembea kwenye mitandao ikionesha wanafunzi wakitumia mitumbwi kwenda au kutoka shuleni. Ni kweli kwamba bado tunachangamoto ya wanafunzi wanaoishi kwenye maeneo ya visiwa vilivyopo katika bahari na vile vya kwenye mito na maziwa.
160
99
366
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
70
18
368
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
82
42
365
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Hii ni Shule Shikizi ya Tuliza Moyo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mkoa wa Morogoro kupitia mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19 shule hii sasa imejengewa madarasa 4 ambapo gharama yake ni milioni 80. Wanafunzi wanasoma kwenye mazingira bora kabisa.
Tweet media one
44
28
351
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
4 months
Tweet media one
49
19
363
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
41
31
353
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Taarifa muhimu kutoka @nectatz
Tweet media one
36
54
349
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 months
WALIMU WALIOKALIA MADFTARI WAPATA VITI Shule ya Msingi Nyansalala iliyoko kata ha Bukondo Halmashauri ya Wilaya ya Geita ina Jumla ya walimu 12 wakike 6 na wakiume 6. 2.katika Ofisi ya Walimu kulikua na upungufu wa viti na meza za walimu ambapo hivi karibuni walionekana walimu…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
234
32
342
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
27
39
335
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
8 months
Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. @mchengerwa_m amesema Ofisi yake imapata kibali cha ajira na katika kipindi cha mwaka huu wa Fedha 2023/24 itatangaza ajira zaidi ya elf ishirini kwenye Kada ya Ualimu na Afya.
Tweet media one
54
41
342
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
63
33
328
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Nimenusurika-Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere amshukuru Rais @SuluhuSamia kwa kumuacha aendelee kuhudumu katika mkoa huo.
Tweet media one
13
18
318
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Tweet media one
29
31
299
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
15
15
292
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
21
28
281
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Waombaji 83,514 waomba ajira kupitia mfumo: Kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi vizuri kwa kasi ya kutosha na mpaka tarehe 25.04.2022 saa nne usiku waombaji wa Kada ya Ualimu walikua 69,813 na Kada ya Afya ni 13,683.
Tweet media one
Tweet media two
64
59
280
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
81
41
275
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 months
SERIKALI imeanza majaribio ya mfumo wa ufundishaji mbashara ambao mwalimu mmoja anaweza kufundisha wanafunzi wa nchi nzima kwa wakati mmoja. Mfumo huo ambao kwa sasa unafanyiwa majaribio kwa baadhi ya shule za mikoa miwili ya Pwani na Dodoma, unamwezesha mwalimu kutoka kituo…
Tweet media one
184
28
279
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
28
48
277
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
4 months
Unajua kuwa Umoja wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA) wameshamaliza kazi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025? Walimu wako Serious sana kwa hili wamekua wa kwanza na wamevunja rekodi katika…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
262
32
273
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
7 days
SERIKALI INATARAJIA KUAJIRI WALIMU 12,000 DODOMA: SERIKALI inatarajia kuajiri walimu 12,000 watakaoenda kufundisha katika Shule mbalimbali hapa nchini. Akijibu swali la mbunge wa viti Maalum, Ester matiko Naibu Waziri Tamisemi, Mhe. @zainab_katimba amesema Serikali inatambua…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
53
34
283
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
10 days
Tweet media one
25
10
270
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Tangazo la Kuitwa Kazini kwa Kada ya Elimu na Afya linapatikana kwenye
28
41
258
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Tweet media one
45
25
248
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Idadi ya Watumishi watakaoajiriwa ktk Kada za Ualimu ni 13,130 ambao watafundisha ktk shule za Msingi na Sekondari. Aidha idadi ya watumishi watakaoajiriwa kada za Afya ni 8,070 ambao watafanya kazi katika Hospitali za Halmashauro, Vituo vya Afya na Zahanati” @AngellahKairuki
Tweet media one
23
15
249
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Wanafunzi watakiwa kupumzika kipindi cha likizo; WN @ortamisemitz Mhe. @ummymwalimu amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuhakikisha wanasimamia suala la wanafunzi kupumzika wakati wa likizo ili kuwapatia watoto muda wa kujifunza masuala mengine ya Kijamii.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
49
29
247
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (MARUDIO); Ofisi ya Rais, @ortamisemitz inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
83
244
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
23 days
Tweet media one
23
22
246
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kibali cha kuajiri watumishi 21,200 wa Kada za ualimu na Afya.
Tweet media one
22
29
244
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 months
TANGAZO LA KUITWA KAZINI Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi…
Tweet media one
Tweet media two
25
39
240
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
25 days
Tweet media one
8
5
226
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
8 months
AJIRA ZAIDI YA ELFU 20 KUTOLEWA TAMISEMI Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. @mchengerwa_m amesema Ofisi yake imapata kibali na katika kipindi cha mwaka huu wa Fedha itatangaza ajira zaidi ya elf ishirini kwenye Kada ya Ualimu na Afya. Waziri Mchengerwa ameyasema hayo Wilayani…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
49
210
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
10 months
GEREZANI - SABASABA - MBAGALA KWA DK 15 TU SAFARI za Magari yaendayo haraka (Mwendokasi) kutoka Gerezani hadi Mbagala zinaanza rasmi keo kuelekea msimu wa Maonesho ya kimataifa ya Biashara ya 47 (Sabasaba) ambapo jumla ya magari 30 yataanza kutoa huduma.
Tweet media one
4
16
223
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Rais Samia atimiza ndoto ya Medical Tourisim Arusha; RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia ametoa Sh. bilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya huduma za wagonjwa wa nje, dharura, maabara, na huduma za dawa (OPD Complex) katika Hospital ya Jiji la Arusha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
34
24
208
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
14 days
Tweet media one
30
20
216
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
39
18
212
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
11
9
202
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya Watumishi 2 wa Afya kwenye Zahanati ya Ishihumulwa iliyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora’ @AngellahKairuki
Tweet media one
45
23
200
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
9 months
WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2023 KUANZA MASOMO YAO LEO. Wanafunzi wa Kidato cha tano wapatao 130, 446 wataanza masomo yao leo kwenye shule za Sekondari 548 kati ya hao wanafunzi wa bweni ni 125,402 na wanafunzi 5,044 ni wanafunzi wa kutwa. Kutokana na ongezeko la wanafunzi…
Tweet media one
11
30
205
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Waombaji 18,449 waula ajira mpya za elimu na afya 2023
42
33
201
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
12
8
200
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Shule ya Msingi Museveni iliyopo Wilayani Chato imejengwa kwa ufadhili wa Mhe.Yoweri Kaguta Mseveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda na itachukua wanafunzi wa Awali na Darasa la kwanza hadi la Saba. Shule hii imesajiliwa kama shule ya kutwa na inatarajia kutumia mtaala wa Kiingereza
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
16
195
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
14 days
Ofisi ya Rais - TAMISEMI itawasilisha Bajeti yake leo Bungeni kuanzia saa nne asubuhi, Hii ni Bajeti ya Wananchi je mwananchi una maoni gani, ushauri au mchango katika bajeti hii? Tuandikie hapa tutasoma na kufanyia kazi!
Tweet media one
55
24
200
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
4 months
Tweet media one
6
13
196
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
15
19
189
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
SERIKALI YATOA KIBALI CHA KUAJIRI WATUMISHI 21,200 KADA ZA UALIMU NA AFYA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza nafasi za ajira 21,200 kwa kada ya Walimu na Afya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
14
27
190
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. @ummymwalimu amezindua Mpango Mkakati wa Pili wa Miaka Mitano wa Wakala wa Barabara Vijiji na Mjini(TARURA) na kaulimbiu isemayo 'TARURA tunakufungulia barabara, kufika kusipofikika @TaruraTz
Tweet media one
13
19
185
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
Tweet media one
27
45
185
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
34
24
182
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
12
10
178
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Kazi ya Uboreshaji ws Miundombinu ya Elimu ni Endelevu @ummymwalimu @darmpya_ @wizara_elimuTz
Tweet media one
28
18
173
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Waombaji wote wa Ajira za Elimu na Ajira hii ni kwa ajili yako tu, zimebaki siku 6 tu zoezi la uombaji wa Ajira lifike tamati hakikisha unaangalia na kufuatilia kwa makini maelekezo haya!
42
42
174
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
VIGEZO VILIVYOTUMIKA i. Mwaka wa kuhitimu Katika kigezo hiki, kipaumbele kimetolewa kwa waombaji wenye sifa waliotangulia kuhitimu kwa mfuatano wa mwaka, kulingana na hitaji la kada/kozi au kiwango cha Elimu, na pia mwaka wa kozi ilivyoanza kutoa wahitimu
Tweet media one
52
31
180
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
10
12
176
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
28 days
Tweet media one
28
19
180
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 months
Tweet media one
15
13
177
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
10 months
WAKUREGENZI WAPEWA SAA 48 KUPELEKA BENKI BILIONI 2.4 ILIYOKUSANYWA KUPITIA POS.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
9
173
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
9 days
Tweet media one
42
18
177
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
UTEUZI
Tweet media one
1
13
169
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Wanafunzi wa Kidato cha Tano tunawakumbusha kuwa Shule zinafunguliwa Tarehe 13.06.2022 na hakutakua na fursa ya kubadilisha(Kuhama) Shule uliyopangiwa ! Jiandae mapeema ukaripoti shuleni kwako.
Tweet media one
33
21
166
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tafadhali Puuzia tangazo hili limetengenezwa na wahalifu wa Mitandao
Tweet media one
53
23
165
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 month
Tweet media one
12
18
172
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Tweet media one
10
7
169
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
Tweet media one
17
18
162
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 months
Tweet media one
22
16
165
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
7 months
Waziri Mchengerwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kulipa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Ajira Mpya kabla tarehe 30 Oktoba, 2023.
Tweet media one
35
42
166
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
18
15
160
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
MUHIMU SOMA 🔴
Tweet media one
29
28
151
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
17
13
159
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
24 days
🟢BUNGENI Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba akiwa anaingia bungeni leo kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu @ortamisemitz
Tweet media one
11
18
158
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
1 year
Je unakwama popote kwenye zoezi la kuomba Ajira piga Kituo cha Huduma kwa Mteja cha @ortamisemitz
Tweet media one
21
13
156
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022
Tweet media one
25
27
148
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
7 days
SERIKALI INATARAJIA KUAJIRI WALIMU 12,000
37
17
181
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
11 months
MAALUM KWA WAAJIRIWA WAPYA WA TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu wanaotajwa kuwa ni ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka baada ya kuwasili Mkoani humo.
Tweet media one
32
11
153
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Muonekano wa kabla wa vyoo vya shule ya Msingi Umbwe iliyoko Halmashauri ya Moshi Dc na muonekano wake baada ya ujenzi. #Tunajali #Tunatekeleza @ummymwalimu
Tweet media one
21
18
151
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 months
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USHIRIKI WA WANAFUNZI KATIKA IBADA SIKU ZA MASOMO @wizara_elimuTz
Tweet media one
16
38
155
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Tweet media one
14
19
150
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
3 years
@earadiofm Vyoo bora vilishajengwa katika shule ya Msingi Ifwagi Wilayani Mufindi Mkoani Iringa na wanafunzi hawana changamoto hiyo kwa sasa @earadiofm @ummymwalimu @MsumbaNews_ @voiceofbongo
Tweet media one
Tweet media two
10
15
146
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
4 months
‘Walimu ninyi ni moyo wa Taifa hili, msiwe wanyonge’
60
22
151
@ortamisemitz
OFISI YA RAIS TAMISEMI
2 years
Ajira 7,000 za Walimu wa Msingi za Sekondari Zanukia; @ortamisemitz imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini’ @innobash
Tweet media one
29
28
146