Gaudencia Daniel (18) aliomba kuongea kwenye mkutano wa mazingira katika Kijiji cha Nyamirende, Geita, alipopewa
akasema โMhe, ninahitaji kujua kusoma na kuandika, nimechelewa kusoma nisaidieโ huku machozi yakimtoka akamkumbatia.
@JMakamba
:Hujachelewa tutakusaidia.
๐ธ
@Nsamila