Kila alichogusa kiliongezeka bei na mpaka sasa havijashuka bei,pesa imepotea mtaani,maisha yamekuwa magumu,mamilioni ya watu vipato vimeyumba,matajili wamekimbia nchi, ajira hakuna,mishahara haijapanda,utekaji,mauaji,kesi za kubambikiwa alafu mnatuambia ni shujaa wa Afrika? How?