@OPLMKe
Reminds me of Mtemi Bokono...Jua lina bahati(Akijikosoa)La,La!Jua halina bahati.Lina uwezo mkubwa;sio bahati.Mtemi Bokono hawezi kulinyanyasa kwa askari au gereza. Askari wake hawawezi kulitesa.Hawawezi kuling'oa kucha msituni, badala ya kulionya, Bokono atajificha kibandani