Kuna dem nilikua nadate then one day tukiwa tumechill nikamuuliza kuhusu her hoe phase, wueh, nilisimuliwa maajabu nikajihurumia ady machozi ikaanza kutoka kumamaye, dem alikua ananiuliza nini mbaya namshow Kuna kitu inanigwara macho, I've never trusted women since then